NJIA RAHISI YA KUPUNGUZA UZITO ULIO ZIDI MWILINI MWAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @froline5209
    @froline5209 Рік тому +4

    Imagine pastor hizo ndio chakula ziko hapa Saudi hakuna mboga tuko kwa shida lakini tunaomva Mungu atujalie turudi makwetu.Asante sana kwa somo

  • @veronicaenock7292
    @veronicaenock7292 Рік тому +3

    Mungu akubariki sana,binafsi ulinisaidia saana katika safari yangu ya kupunguza uzito🙏

  • @tinawile7310
    @tinawile7310 Рік тому +1

    Asante mtumishi kwa elimu hii muhimu Mungu akubariki

  • @eustina837
    @eustina837 Рік тому +4

    Asnte postar lakin huku chakula n wali

  • @piliezra4657
    @piliezra4657 Рік тому +2

    Amina namshukulu Sana mungu nilikuwa nakilo 99 sasa Nina 73 kwakupagilia mlo Asante pasta wangu

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 Рік тому +2

    Tunashukuru sana pastor ubarikiwe zaidi

  • @callennyanchama4014
    @callennyanchama4014 Рік тому +2

    Asante pastor kwa maeleso mazuri barikiwa kutoka marekani

  • @rhodawilliam3871
    @rhodawilliam3871 Рік тому +2

    Ni Naomba Namba ya simu ya group la maombi Mahubiri tv Tafadhali mtu aliye nayo anitumie

  • @renatuskanuthy5743
    @renatuskanuthy5743 Рік тому +1

    asante kwa somo zurii linatufumbua wengi

  • @user-yt3nn9gz8u
    @user-yt3nn9gz8u 2 місяці тому

    Asantee sanaaa

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll Рік тому +1

    Amina Mchungaji Mungu akubariki

  • @fik44
    @fik44 4 місяці тому

    Mungu azidi kukutumia.mchungaji

  • @hellenkatile589
    @hellenkatile589 Рік тому

    Nashukuru kwa Somo hili....barikiwa mno

  • @amnamax8676
    @amnamax8676 Рік тому +1

    Asante sana

  • @rizikilaunda961
    @rizikilaunda961 Рік тому +1

    Mungu akubariki mitu mishi wa Mungu ulisemaka utakuja marekani sijuwi nilini mimi niko Indian Indianapolis sijuwe utakuwa state ngani?

  • @deborahmfinanga3991
    @deborahmfinanga3991 Рік тому

    Asante sana mungu azidi kukutunza

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll Рік тому +1

    Chapati!!

  • @msafirihemedi6094
    @msafirihemedi6094 Рік тому +1

    Natamani kupata namba yako Pr.