wimbo mzuri unanibariki sana binafsi mm sio msabato lkn nabarikiwa sana na uimbaji wa wasabato kwa ujumla, Mungu azidi kuwatumia vyema kwa viwango vya juu
Nataman kwaya zote zingekuwa kama hii kwaya tatzo kwaya zingne zimejaza nywele bandia kichwani midomo Yao kucha zao zote zimekaa kikahaba tu Mungu atusaidie waimbaji
Uliyesema mungu haangalii mavazi Ila anaangalia nini?mwonekano wa mavazi ni mahubiri tosha je?wangevaa nguo za ajabu ungeelewa walichokiimba au ungeishia kuangalia mavazi
Hakika Mungu yupo tuwe na hofu ya Mungu nimewasikiliza kwa makini sana wabalikiwa kifungu kwako kifungu hakika nimebariwa sana kea wimbo huu Nataka nitangaze habari njema aaaa jamani mnanifanya mwezenu nijinsky nipo peponi Eee mw/ Mungu wape uwezo hawa want wake waendelee kutubariki sie wengine ni madereva kazi yetu kuwafikisha waendako na tunabarikiwa kupitia wao
God bless you beyond limit ,you are the great Kings in gospel music in Africa and beyond. Not only in the signing but much more in proper dressing and and good hair styles no coloured or bloody nails and mouth. You are our best unlike here in kenya
Mungu wa Ibrahim,,Isaka na Yakobo ndiye Mungu wetu pia,,hakika awabariki mnooooo,,,, nimebarikiwa sana na wimbo huu hakika nitakwenda kwa nguvu za Mungu
Mungu wa mbinguni awabarki kwakweli wimbo huu unatusogeza karbu na krsto, ushauri msibadilike kwa muonekano maana mmekuwa tofauti na kwaya nyingi muonekano wenu tu unamtangaza kristo mbarikiwe Mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Bwana awe nanyi King'ongo. Mnanibariki sana tena sana. Sina namna ya kueleza. Huu wimbo naurudia mara nyingi wala sichoki. Nitawatembelea sabato moja. Karibuni Mbezi Luis
Huu wimbo jana nmeuweka kwa radio kutwa nzima majirani hawakuchoka kuusikiliza.hongereni sana kwa kazi nzuri wana king'hongh'o,directer mp4,producer mp3.
Mungu awabariki sana lakini mimi naombeni ule wimbo wa vitu SITA kwenye album yenu ya kwanza ya vitu SITA nilisikiliza toka mwaka 2017 toka hapo sijausikia tena
wimbo mzuri unanibariki sana binafsi mm sio msabato lkn nabarikiwa sana na uimbaji wa wasabato kwa ujumla, Mungu azidi kuwatumia vyema kwa viwango vya juu
Ameni
Mpo dar sehem gani jamani
Nataka nije niimbe na mimi
Ubalikiwe
Barikiwa zaidi
Nimebarikiwa sana, nimeponywa sana kupitia wimbo huu.Namtukuza Mungu sana kupitia wimbo huu.22 August 2024
Tunaobarikiwa kwa nyimbo Zurich kama hizi tijuana hapa
Wimbo ninaoupenda sana na unanifunza na kutia moyo kwa Bwana,amen
Amina sanaaaaaaaaa wimbo mzuli
Nataman kwaya zote zingekuwa kama hii kwaya tatzo kwaya zingne zimejaza nywele bandia kichwani midomo Yao kucha zao zote zimekaa kikahaba tu Mungu atusaidie waimbaji
jamani mungu haangalii nywele
Napenda ulivyosema.. ubarikiwe sana
Never judge someone let God to judge them
Amen tunamuomba Mungu atuongeze zaidi ya hapa tulupo
Uliyesema mungu haangalii mavazi Ila anaangalia nini?mwonekano wa mavazi ni mahubiri tosha je?wangevaa nguo za ajabu ungeelewa walichokiimba au ungeishia kuangalia mavazi
Barikiwa wimbo mtamu
Tangaza habari njema ya Yesu
Hongereni majirani zangu nafurahi kumwona vai mam ness na mumewe na wengine Mungu awabariki sana
Hakika mnamtukuza MUNGU, nawatia moyo endeleeni kuimba hadi YESU akija awakute mkiimba, amen.
Kwaya mungu Awa jaliye nehema
Amen... Nimebarikiwa kwa wimbo huu
Mungu Awabariki Wana Kingongo ,wimbo mtamu sana
Nyumba tamu kama asali, palikiwa
Wimbo huuu unanibaliki sana mungu aendelee kuwainua Zaid katika huduma hii
Kwakweli mnatamtangaza Kristu kwa uzuri. Mbarikiwe🙏
Hakika Mungu yupo tuwe na hofu ya Mungu nimewasikiliza kwa makini sana wabalikiwa kifungu kwako kifungu hakika nimebariwa sana kea wimbo huu
Nataka nitangaze habari njema aaaa jamani mnanifanya mwezenu nijinsky nipo peponi Eee mw/ Mungu wape uwezo hawa want wake waendelee kutubariki sie wengine ni madereva kazi yetu kuwafikisha waendako na tunabarikiwa kupitia wao
Waoo!! Nyimbo imetulia, Kikristo zaidi 🤝. Shikilieni hapohapo
God bless you beyond limit ,you are the great Kings in gospel music in Africa and beyond. Not only in the signing but much more in proper dressing and and good hair styles no coloured or bloody nails and mouth. You are our best unlike here in kenya
Nawapenda sana mungu awape nguvu sana
So so nice with a powerful massage, watching from Nairobi Kenya 🔥🔥🔥🔥
Naomba mawasiliano ya kwaya
Mwana wa daudi - nimeupenda saana
Hongera mmeutendea haki wimbo mmeshambulia na ujumbe mzuri
had rahaa nice song jaman nliisubr kwa ham sanaa hatmae leo nmeipata mubarkiwe sanaa watumish MUNGU azd kuwainua msonge mbele mkmutukuza muumba🙏🙏
I like solo part uuuuuuhhhhh,nitanazeeeeee,,,so nicr
Mungu wa Ibrahim,,Isaka na Yakobo ndiye Mungu wetu pia,,hakika awabariki mnooooo,,,, nimebarikiwa sana na wimbo huu hakika nitakwenda kwa nguvu za Mungu
Well composed songs, may the bless you
AMINA AMINA NA AMINA !!!! Nabarikiwa nikiwa Kenya
Waooooo. Nawapenda. Sana. Kazi. Nzuli. Sana. Mungu. Awabaliki. Sana.
God bless you King'ongo Choir
Mbarikiwe sana watu wa Mungu ujumbe mzuri sana
Mungu awabariki San mnapozidi kutangaza ujumbe kwa walimwengu kwa njia ya nyimbo
Hakika mungu hatawapungukia katika mipango yenu yote kwanamna mnavomtukuza,mbarikuwe xana
Mpo vizuri,SaSa mwombeni Mungu ili awapiganie hadi Ikulu ya mbinguni.
Munaimba vizuri sana mungu awabariki
Asante Sana dada😅😅😅
Mungu wa mbinguni awabarki kwakweli wimbo huu unatusogeza karbu na krsto, ushauri msibadilike kwa muonekano maana mmekuwa tofauti na kwaya nyingi muonekano wenu tu unamtangaza kristo mbarikiwe Mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Hakika hii kazi ninzuri, mbarikiwe sana kwaya ya king'ongo
Amen mungu awabariki kwauimbaji wenu
Mbarikiwe sana watu wa baba
Mungu azidi kuwainua katika kazi yake,,,,, mbarikiwe kwa kazi nzur
Yani Asia Mungu akubariki
Hongereni Sana Sana, wimbo umejaa Utukufu. Siachi kuusikiliza..niwe kwenye milima, mabondeni siachi...uuuhuuuhhh
Nyimbo Kali thumb's up,!
Mungu awabariki wote waimbaji
Ameeeeen kubwa sanaaaa SDA ni noma sana
Wow wimbi mkali baraa shetani hakatizi hapo Nickson chanika mwasomola nawaona hongera mungu awabariki mumetishaaaaaaa
Walisema saudi n kubaya but nko huku naomba mungu aning'ang' anie ili nkitoka huku niende kutangaza habari njema🎉🎉🎉🎉❤❤
Nawapenda Sana King'ong'o Choir na Uu wimbo Mwaka Huu Sichok Kuuweka Mwenzenu.
Nina balikiwa na nyimbo zenu kikiwa Dar es salaam mungu awabaliki❤❤🎉
I like your outfits accually mumenibariki sana MUNGU awabariki saana.
Kigongo mubarikiwe sasa na mungu mimi naketi congo drc sasa ninaombi moja ni kunisaidiya ni save u wimbo
Huyo mwalimu yuko vizuri anakipaji mshikilieni muombeeni mungu ampe maonoo zaidi dar rahaaaaa hadi basi
Amen
Mungu awabariki Nina barkiwa sana
Napenda huu wimbo❤
Aseee,Huu Wimbo mzurii saaana. Nilikuwa nautafuta saana. Nakumbukaa mliuimba makambi ya mtaa wa MAZIMBU mwaka Jana.
Barikiweni saana
Mungu awabariki ujumbe mnzuri
Nashukuru kwa wimbo mzuri
Tutangaze habari njema ya Bwana Yesu
Naomba waimbaji awa waje kwa makambi yetu mwaka huu
Amen amen.huu wimbo huwa unanibariki sana. God bless you
🥰🥰One of the Best.....
Hongerenii Saana Kwa mbaraka wa Wimbo mzurii saaana. Hakika Mungu aibariki Kazi ya mikono yenu.
amen 🙏
Woo wimbo mzuli sana hakika Mungu ajitwalie utukufu barikiweni sana🔥🔥🔥🔥💞💞💞💞❤️❤️🥰🥰😍😍😍🥰🥰❤️🙏🙏❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Wimbo mzuli mungu atukuzwe
Mungu awatangulie katika uimbaj wenu🎉🎉🎉
Barikiweni sana watumishi wa Mungu
Bwana awe nanyi King'ongo. Mnanibariki sana tena sana. Sina namna ya kueleza. Huu wimbo naurudia mara nyingi wala sichoki. Nitawatembelea sabato moja. Karibuni Mbezi Luis
Huu wimbo jana nmeuweka kwa radio kutwa nzima majirani hawakuchoka kuusikiliza.hongereni sana kwa kazi nzuri wana king'hongh'o,directer mp4,producer mp3.
❤❤❤❤ wimbo mzr sana
Napenda sana❤
Nawapend kama bwana mung alivyotupenda wot mung azid kuinua vipaj vyen mtangaze neno lake Amina 🙏🙏🙏
Huu wimbo radha yake ni ya kipekee sana unanibariki mno
Nabalikiwa na family yangu
Ninabariikiwa sana mungu awabariki mwende mbele zaidiii😊😅😮
❤❤❤Mungu hawabari sana🎉🎉
Vizuri songeni mbele na baraka za Bwana
Tuna shukuru sana kwazi ambayo munayo itenda.mungu wetu azidi kuwatia nguvu ili mwisho wa kazi mupate kupokea malipo mema.mubarikiwe.nawa penda.
Naenjoy nikowa bunju na ujumbe mzuli asante sana waimbaji hakika mnatubaliki
Mbarikiwe mno wimbo umenibarki mnoo ,najikuta kila nikiwa free na usikiliza huu wimbo ,nimebarikiwa Sana
Nakatangaze habari njema Mbarikiwe sana❤
MUNGU azid kuwatumia zaid na zaid ,nyimbo ni nzr ya kuturudisha miguun pa MUNGU ,mbarikiwe pamoja katika shamba la bwana
Ukwel hi nyimboo Kali imekaa kisabato mbarikiwe pamoja na mtunz
Jaman Mungu awabarik sana.
mbarikiwe zaidi.from DRC congo 🇨🇩
Nimebarikiwa sana ,huyo solo na sauti ya nne wamenibariki sana. kazi yenu ni njema Mungu wa mbinguni awabariki.
Amen
Hii tamu Sanaa, mmetishaaaaaaaaa
Hello happy to see you again by god is grace
Ee mungu uko wapi bwana tazama wana wako wabavyokuimbia wakumbuke bwana yes ujapo tukumbuke sote
Amina mnatubaliki sana watu wa mungu🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana lakini mimi naombeni ule wimbo wa vitu SITA kwenye album yenu ya kwanza ya vitu SITA nilisikiliza toka mwaka 2017 toka hapo sijausikia tena
Kweli mmbarikiwe Sana, nimependa hii sana
Napenda Sana huu wimbo jamani mjemnigawie Yani mnitumiye🥰🥰🥰
🌝be blassed🤗God is great
Always blessed with this song❤
Haleluya wimbo umetulia sana na MUNGU AWABARIKI MZIDI KWENDA MBALI ZAIDI
@Asooora Hae
Amen
Daah hii nyimbo leo ndo nimeiskiliza vizuri nyimbo ni tamu nitamu ni 🔥🔥🔥 duuh hapa mmeua 🙌🙌🙌
Kabisa
Bwana awatie nguvu mmenibark wimbo wenu mtamu aisee
Mmeimba vizuri sana na ujumbe pia nzuri.
🎶Endeleeni kumtumikia bwana kwa njia ya nyimbo🤝
Amina Saana, Nimebarikiwa sana
Mbarikiwe sana wimbu mzuri sana
Amina waimbaji Mungu awabariki sana