Very sad indeed how we value dead than a struggling living in pain and suffering let me believe that I won't value the dead but help the needy..be blessed my lovely people
Yaan nmejikuta nalia ,kwa masononeko"Inafaida gani kunisifia nikisha lala sisikii"Mungu tusaidie tukumbuke kutendeana wema sisi kwa sisi tukiwa bado hai🌹
Nawapenda sana! uimbaji wenu ni wa kitofauti MUNGU azidi kubariki vipaji vyenu! naamini kwa nchi yetu lazima mshike nafasi ya 1 Love from Furaha choir-LONDON
Nice song inanikumbusha far🎉🎉
Amen true nice message my people more blessing, keep up the good work❤❤❤❤🎉
God bless you and your singing.its a blessing to my soul
Hongereni sana nyimbo inamgusa kila mmoja
Nyimbo tamu ajabu
This has been on a replay mode for three days now and still is...
Mungu awabariki sana
Hii kwaya ni chanzo kikubwa kilichonivutia kuwa msabato hakika mnanibariki sana may God bless you Songambele SDA choir
Sasa hivi niko utube na songa mbele quire ,wananipa roho uokovu..
Barikiwa sana mtu WA Mungu
Amen
amina Sana wapenda
I can't enough of this song ❤❤someone to like my comment so that i will be watching it wherever this comment is touch.
Amen
Someone to like this comment such that I can be coming frequently to listen this amazing song
❤❤❤
Mungu anisaidie nifike kanisa lenu siku moja amina
Songambele mbarikiwe sana. Hizi sauti taaamu pia sizikoshe Mbinguni.
Niko hapa Kwa sababu ya @brayo muziki 🔥🔥...Wapi watu wa Brayo na likes
Mimi onoka#cynthia juma
Jameni mkija Makambi kwetu Nairobi Mathare north mwaka huu mwezi wa nane nitawapa zawadi mnikumbuke mungali hai
wamealikwa huko?
Nipe zawadi kama unanipenda wakati ningali..... sitaki sifa nikishalala
Very sad indeed how we value dead than a struggling living in pain and suffering let me believe that I won't value the dead but help the needy..be blessed my lovely people
I was blessed with your gospel 2024 Mathare North camp meeting, Nairobi. I really shade tears when you hitted this one.
Nawapenda mnooo kiukweli mnaimba Mungu awabariki
Nimebarikawa sana na hii wimbo,God bless you all
Mimi sio mwanachama wa SDA ila mnanivuta Sana karibu na Mungu .. Moshi mnasikika Sana
Nipe Zawadi Ningali Hai, Nikushukuru ❤❤
Twende mbele turudi nyuma hawa watu wanavipajii nawapendaa sanaaaa❤❤❤ Watu wangu wa nguvu snanaaaaa🎉🎉🎉 nawapendaa jmn songambele More blessed ❤❤❤ sana
You are awesome. Glory be unto God
Kabisaaa mungu azidi kuwapa imara zaidi❤❤
Mnanibariki sana Mwenyezi Mungu zaidi kuwajalia neema❤❤
Hilo sio la kuuliza alafu wanaupendo hatari
@@edwardtabitha4426sana nawapenda ase❤
Wonderful work the children of the Living Father
always your best .
hili linabariki Sasa Mungu hawabariki sana
Amen am blessed.
Nipezawadi @KE 254
Siezi choka kusikiza hii song ❤
Wimbo imenitoa machozi😢😢
Wimbo wenye ujumbe nzito.
Wimbo tamu kweli kweli
Inafaida gani kunisifia nikilala mauti, amen
Binafsi nimebarikiwa Kwa ujumbe Wa wimbo huu unao elezea maana halisi ya MKRISTO . MUNGU na awabariki Kwa utumiaji wa karama zake
My favourite choir.....penda nyinyi sanaa
Nice song
Nyimbo tamu Sana may God bless u
Kiukweli nimebarikiwa sana na hii nyimbo sengeni mbele,na Mungu awatangulie
Songambele nikwaya yangu ya pili yakwanza ni kurasini nyie ninoma nawapata nikiwa ZAMBIA 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Zambia mnaongea kiswahili ?
Nawapenda sana
Toka mshikamano meatu
Waw true nipe zawadi ningali hai
Amen Amen Mungu awazidishie
Amen barikiwen msonge mbele kwelikweli
This song has really touched the lowest point of my hearts .God bless you
The Pianist Job is top notch,be blessed
Congratulations
Be blessed always
Huu wimbo ni tamu sana
Mungu awabariki sana nyamazobe.
Ujumbe wa wakati
this song imeniguza continue blessing us whit more songs and may God your voices
Ndioo kama unajua kunakitu umepewa kitumie vyema
Yaan nmejikuta nalia ,kwa masononeko"Inafaida gani kunisifia nikisha lala sisikii"Mungu tusaidie tukumbuke kutendeana wema sisi kwa sisi tukiwa bado hai🌹
Mungu awabariki
Nawapenda sana! uimbaji wenu ni wa kitofauti MUNGU azidi kubariki vipaji vyenu! naamini kwa nchi yetu lazima mshike nafasi ya 1
Love from Furaha choir-LONDON
Great work may God bless the voices
Mbarikiwe sana aseee
Au niwe msabato tu nikaimbe zangu😊❤
Am really blessed 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 what a song
❤ nimewaelewa🎉
God bless you this song encourages me
AMEN
E Bwana wa majeshi nitendee mema kama ningali uhai Tena 😢kabla nirudi mavumbini.... nyimbo mzuri sana. Mbarikiwe
Hamba..soldiers of the most high who art in heaven..who is soon coming to take his
Mbarikiwe sana
wow this touched me
God bless you, indeed a great message
Powerful message Songa Mbele. God bless you
sifa na utukufu kwa MUNGU
Ameeen ukweli mtupu nipe zawadi❤❤
Usingoje nikilala.....aiseee
Tuko hapa kutoka kenya kuwakilisha.
Kazi nzuri kabisaa. Barikiweni
you blessing me so much hapa mbinguni sikosi be blessed 🙌 # SONGAMBELE CHOIR
Funzo kubwa sana,mungu atusaidie tutende mema tukiwa hai
Huu wimbo umenibariki sana❤❤❤
The message is so deep.Let it reach more people and we learn to appreciate others when they are alive.❤
Mungu awabariki kwaya ya songambele, ujumbe mzuri mmenikumbusha jambo❤
Ingejua viema kama mgeuimba huu wimbo upya
Nawapenda sana Songambeleee Choir
Kwaya nzuri yenye kuleta joto moyono
Baaaas❤😊
Songs mbele waaauuuu❤
Ahsante sana msaidie mwenzio angali uhai
Amazing voices. Surely this is a sermon why we should stand with our neighbors during difficult moments.
Hakika MUNGU wangu wa mbinguni awakilimie kulingana na wingi wa baraka rehema fadhili na Pendo lake 🙏🙏🙏🙏
So touching.
Mbarikiwe sana.
Kwa kweli hii kwaya Ina kipaji kikubwa sana nyimbo zake Zina ujumbe wa mungu ujumbe muhimu sana
God bless you my people ❤❤❤
I like the message God bless you
Nice song.mbarikiwe wanasonga mbele.Good for skiza tune.
Kweli watumishi wa bwana
The song says the plain truth.Tupeane zawadi tukiwa hai.Amen
Yaani watu mungu mnatubariki saana
Asate kwanyimbo nzuri❤
Ni kweli wimbo smart kabisa
The message in this song is Soo powerful... Barikiwa wapendwa🙏
Nataman nikutane nao kwenye mkutano wowote alafu waimbe huu wimbo NAMI nipite niimbe nao
Sauti tamu pia ujumbe upo nipe zawadi yangu nkiwa hai❤❤❤
Bwana awabriki mfike mbari
God Bless the Choir Group❤
Nawapenda sana God bless you
Amen Amen and Amen
Hakika nimewakubari