Ooohhh yes, sifa kwa Mungu, wimbo huu nimeusubiri kwa hamu siku nyingi❤Nawapenda, nawaombea, Mungu awabariki, awatunze awatetee siku moja muwepo katika kwaya ya mbinguni.
Be Blessed precious ones of the Most High GOD. Am I the only one seeing that precious little boy singing in this group?? Little Boy, you are Blessed and Highly Favoured by GOD😁😁👍🏽🙏🏽👏🏼❤
Mzidi kubarikiwa sana wapendwa kwa kazi nzuri hii. Huu wimbo unanigusa sana,niliuskiza mkiwa ziwani wiki iliyopita ikabidi nitafute,,mbarikiwe sana wana Songa Mbele.
Yani,Mimi nabalikiwa sana sana na na uimbaji wenu Sina chakuwapa ila nasema neno hili kutoka moyoni mwangu mmeandaliwa tajiyenu mbinguni, MUNGU azidi kuwa tunza sana 🥰🥰🥰🥰
Welcome to SDA Mwangaza Church/ District Camp meeting 2023. May Almighty be your guide through the mission. This is inspiring and totally encouraging piece. Blessings
Yan jmn nyie watu mbarikiwe sana mnaimba mpka bhss tenaa❤❤❤❤ Mungu azidii kuwainua amjawai kunleat down🎉🎉🎉🎉
Amen 🙌
amen wapendwa wa Mungu,naupenda saaaaaaaaana wimbo huu una nibariki sana kweli.Mungu awaongezeye nguvu ili musonge mbele katika utumishi
Ooohhh yes, sifa kwa Mungu, wimbo huu nimeusubiri kwa hamu siku nyingi❤Nawapenda, nawaombea, Mungu awabariki, awatunze awatetee siku moja muwepo katika kwaya ya mbinguni.
Huku Kenya tunasema huu ninwimbo ulioenda shule hadi chuo kikuuu❤❤❤❤
Be Blessed precious ones of the Most High GOD. Am I the only one seeing that precious little boy singing in this group??
Little Boy, you are Blessed and Highly Favoured by GOD😁😁👍🏽🙏🏽👏🏼❤
Amina, mbarikiwe
Be blessed with your encouraging song, may our Almighty God bless you all, wakristo wenzangu, listening from USA, mkenya
Amen!!! Mko vzuri !! Mnaushambulia wimbo mnanibariki sana!! But huu wmbo mmerudia maneno mno!!! Nawapenda sana
Huyo mtoto abarikiwe,,amenishinda kuimba😂😂 safi sana kwa wazazi na Kanisa
Sauti ya MUNGU muumba inanena Sasa😍💪😇🙏
Mzidi kubarikiwa sana wapendwa kwa kazi nzuri hii. Huu wimbo unanigusa sana,niliuskiza mkiwa ziwani wiki iliyopita ikabidi nitafute,,mbarikiwe sana wana Songa Mbele.
This has become my daily prayer and devotion blessed voices, the composition is on another lever God bless you guys we really love your songs
Yani,Mimi nabalikiwa sana sana na na uimbaji wenu Sina chakuwapa ila nasema neno hili kutoka moyoni mwangu mmeandaliwa tajiyenu mbinguni, MUNGU azidi kuwa tunza sana 🥰🥰🥰🥰
Mungu awabariki sana songambele nyimbo zenu nazipenda sana
Amina jamaní mubarikiwe sana pia mwimbishaji yupo vizuri sana
Mmejua kunifurahisha Sana mbarikiwe mpka shetan ashangae akimbie
Welcome to SDA Mwangaza Church/ District Camp meeting 2023. May Almighty be your guide through the mission. This is inspiring and totally encouraging piece. Blessings
Muna nafasi moyoni mwangu never disapoint ❤❤❤ sanaa watu wangu wa nguvuuuuuu Amen amen🎉🎉
👏👏👏 HALLELUYA AMEEEN. Mungu atukuzwe kwa injili hii ya wimbo.
Kazi nzuri sana nawapenda
Nawapenda saana!
Amen amen amen nice sana Singambela nawapenda sanaaa
Kazi nzuri penda sana
Mnanishawish kuja songambele
Yawa this song is the real deal mungu awabariki waimbaji wa songbele praise God
Hallelujah ❤
wow!💭💯💯 wimbo mtamu mno mnaniweka karibu na kristo na ninatamani kuwaona live kwetu kenya migori county mabera💯💯💯💯💯
Amina🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nabarikiwa sana to na wasabato kama kunamwimbaji yoyote anaeimba kama msabato niambie wajifunze kwenu
PERFECT SONG BRAVO BRAVO I LIKE IT KEEP IT UP PREACHING THE GOSPEL,SMALL BOY STUNNING VOICE.
Niliusubiri mnooo 💯💯💯💯
Mbarikiwe sana
Amen bwana apewe sifa nawapata vizuri Niko Simiyu bariadi majengo
This choir never disappoint,you have special place in my heart,you know how to make me happy,karibuni Dar es salaam makambi, wapi Bunde Panaito??
Yani hawa nikisikia wapo Dar kwa makambi sehemu yoyote nitaenda kwa gharama yoyote, hawa watu hunibariki sana.
Mungu awabariki sana nawapenda❤❤❤❤❤❤❤
Daah barikiweni sana jmn ❤❤❤❤❤mwongozaji wimbo safiiiiiii
I agree end it's my favorit, very good Gospel
Wimbo wangu pendwa,nawapenda sana Songambele hamjawah niangusha
This songs make me feel waah, May God bless you songambele choir muendelee kusongambele
Nina wapenda kwaya ya Songambele! To God be the glory my friends. Powerful singing
Jina lenu Lina sadifu yaliyomo,songeni mbele na Mungu azidi kuwainua.
Thank you for a good song be blessed.
Sweet music 🎵🎶🎵. Blessings 🙏
Mko vizuri
hawatayumishwa❤. Amen
❤❤❤❤ this is nice music
Mbarikiwe saaaana
I do listen to this song anytime am free... it's a blessing
Mungu azidi kuwatunza vijana Sinon, nyimbo ina ujumbe mbarikiwe
Nawapenda songa mbele sana. Mungu awabariki. Nabarikiwa mno
I love this choir,mnanifariji
Bwana atukuzwe
Remain blessed guys
Aminaaaaaaaaaa nawapenda mbarikiwe
Amen. Wimbo mzuri sana.
Pokea salamu kutoka Mombasa
waooh!! what a nice song.young boy kudos
Amen and Amen. Am blessed to the fullest. God bless you choir.
To God be the glory my friends. I like your singing
Welcome to mathare next year again,be blessed
Amina halleluyah ❤🙏
Beautiful singing with the joy in your hearts.Love you all and God bless.Your Adventist sister from Papua New Guinea🇵🇬🇵🇬
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu❤
That favorite choir this year 🎉🎉 message 😘👌
Amina songambele barikiwa sana
Absolutely fantastic
The tunes are therapeutic 🎉🎉🎉
Glory to God wonderful & heavenly music God bless you
Halleluya dio te bendiga mucho er maestro
Waau wonderful blessed voices this is how we are going to sing in heaven God strengten you and protect you from challenges ot rhis rough world
Mtukuze Mungu kwa kila jambo
Sweet music ,🎉🎉🎉🎉 amen
This song is on another level and to the tune. well sung . amen and amen
Salamu zangu Kwa huyo mtoto mdogo🙏🙏
Amen from Kenya
Hallelujah! Glory to God 🙏🙏🙏
I'm happy to watch this video for more than 10 times per day 👩💻 be blessed
Amena 🎉🎉🎉🎉
❤❤ you are blessed
Mbarikiwe sana Songambele🙏
Amina Amina Aminaaaaa🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe wapendwa
Always refreshing your pages to find new release ❤❤,
God bless you Songambele choir
Waooo amin🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Barikiwa watu wa Mungu sana
❤❤Barikiwe sana hatiye Mumeutoa
Hallelujah be blessed
OOOHHHH HALELLUJAH!! AMEEEN AMEEEN.
Nice voice
Congratulations 👏
Ameen may God bless you waaaah
Mungu awambariki sana
Glory Glory Glory
Beautiful rendition
Blessings to the young boy
❤❤❤❤ Am deado! Hallelujah!!!
Aminaa.. Hallelujah
Uuuuuui bariwa sana good song
Aiseeee ❤❤❤❤
Wow Amen👍👍👍👍👍
True definition of sda choirs
What a lovely song. Keep it up
Wow! Aminaaa❤
Amen. It's so so beautiful
Powerful piece,,,Amina
My favourite song, Amina
Amen. Wonderful.