Jag älkar mitt land Kongo, I love my country Congo, Napenda inchi yangu Kongo Salut á tous les Congolais et j' aime la RDCongo na Mungu wi bariki Afrika na bariki pia na Kongo salamu kutoka Sweden(Suéde)
Mim kama shabiki wa simba hakika nimefurahi sana sana kw Muwakilishi wetu kutoka ligi ya Tanzania akiwa congo Fiston Mayele kupiga goli. Maan baadh ya makocha wanasema mabeki wa kibongo ni wepesi ndio maan dube, Mayele wanawika kwenye ligi yetu kwhyo matukio hayo yanaonyesha kilicho kizuri hakijifichi big up sana king mayele. Chukua mauwa yako 😊🎉🎉🎉
Umesema kweli kaka unajua Hawa wachambuzi wasoka la bongo wengi ni WA michongo kaka kizuri kitabaki kuwa kizuri kaka uko sawa Asante sana mtani tuko pamoja
Tv3 tanzania tunawapenda sana. Asante kwakutupa matangazo kwa luga ya kiswahili. Yani tuna enjoy sana. Na hongera sana kwa Team ya DR congo kwa ushindi. Na Asante sana kwa fiston kalala mayele kwa kutu entertain.
So trough this video, I can see how fiston mayele kalala aka the king , is so loved in Tanzania . As a Congolese 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 I'm so proud of him and so happy for young Africans fans 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Nalipenda sana taifa langu DRC, nawafurahiabpia watanzania, kwa kuwathamini wachezaji wakongomani katika teams zao za soccer! Mungu bariki Congo n'a Tanzania.
Nani asinge tetema nasi? Kalala ahsante sana merci beaucoup mwana mboka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🐆🥰 on t’aime par ici, saluer nous notre belle sœur quand tu va la retrouver en train de te remettre tes trophées qu’elle était parti prendre pour toi!
Waambie wale wanaosema Mayele ni mchezaji wa kawaida tu, akiwa mbali wanamsifia akiwa nchini wanasema wakawaida na waliposikia anatakiwa nje wamefurahi ajabu, duuuh mbumbumbu bwana wanashangaza🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂😂😂
Kwa namna ya watangazaji wetu kama unamsikiliza kupitia redioni basi utasema mpira ulikuwa ni mkali na timu ama moja kushambuliwa sana kumbe ni midadi tu!! Nilizoea kumsikiliza Charles na Kikeke wakitangaza match za EPL zilizo kali sana na zenye move murua na hatari lakini hawakuwa na mdadi kama hawa wa kisasa!!
je vous adore le commentaire éprouve vraiment de l amour a fiston mayele
Jag älkar mitt land Kongo, I love my country Congo, Napenda inchi yangu Kongo Salut á tous les Congolais et j' aime la RDCongo na Mungu wi bariki Afrika na bariki pia na Kongo salamu kutoka Sweden(Suéde)
Fiston Kalala Mayele 🔥🔥🔥🔥
💛💚Young Africans💛💚
Jamani mayeleee oyeeeeee
Mayele mzee wa vibration zenyewe!!! I like this man and it's humbleness!! Salute from Kigali!! Fan wa league ya TZD
dj
Mchezaji mkubwa anahitaji kupewa nafasi tu hata mda mdogo ataleta tofauti.
Mim kama shabiki wa simba hakika nimefurahi sana sana kw Muwakilishi wetu kutoka ligi ya Tanzania akiwa congo Fiston Mayele kupiga goli. Maan baadh ya makocha wanasema mabeki wa kibongo ni wepesi ndio maan dube, Mayele wanawika kwenye ligi yetu kwhyo matukio hayo yanaonyesha kilicho kizuri hakijifichi big up sana king mayele. Chukua mauwa yako 😊🎉🎉🎉
Umesema kweli kaka unajua Hawa wachambuzi wasoka la bongo wengi ni WA michongo kaka kizuri kitabaki kuwa kizuri kaka uko sawa Asante sana mtani tuko pamoja
Bravo sana
Nakubaliii mtaniii💚💛
Hahh mayele bana
Wachambuzi wanalazimishwa kuzungumza visivyotakiwa Kwa kulipwa hongo
Mayele anazidi kujibrand what a striker 🎉🎉
Tv3 tanzania tunawapenda sana.
Asante kwakutupa matangazo kwa luga ya kiswahili.
Yani tuna enjoy sana.
Na hongera sana kwa Team ya DR congo kwa ushindi.
Na Asante sana kwa fiston kalala mayele kwa kutu entertain.
Journalist Reporter wa Tanzania iko Hatari kweli. Tunakupenda Sana uku Congo, 🇨🇩 Fiston kalala Mayeleeeeeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@jeanclaudemusimbi8209 Tuna mshabikia sana mhariri wetu wa lugha la kiswahili wakati anaturushia habari za match. Sisi wa kongomani tupo pamoja nawe
So trough this video, I can see how fiston mayele kalala aka the king , is so loved in Tanzania . As a Congolese 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 I'm so proud of him and so happy for young Africans fans 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Asante kalala mayele kwa kazi nzuri maana Mimi ni mwana jangwani
❤king Mayele
Nalipenda sana taifa langu DRC, nawafurahiabpia watanzania, kwa kuwathamini wachezaji wakongomani katika teams zao za soccer!
Mungu bariki Congo n'a Tanzania.
Asante sana kwa waandishi. Hongera sana DRC
Mayele ni mwamba kwelikweli , mungu ampe maisha marefu kisoka kwani ni miongoni mwa wachezaji wanaleta heshima barani afrika
Sawa Mungu ampe maisha marefu atafute timu achezee
Sio Yanga hapo atadumaa tu
@@sadih5333 siyo kweli ndugu yangu acha fitna
@@sadih5333Tu es très jaloux de Mayele pourquoi ????.
Hôtep 👁️🔮🔥
we love you Mayele fiston merci beaucoup
🇨🇦One touch one goal, what a striker Mayele🫡
We are so glad for you mayele , continue like this
❤❤❤❤tunapenda sana mchezaji wetu mayele ❤❤❤❤kwamtetemo
Huyu jamaaaa ni best player
The King of Yanga Fiston traum tor
Huyu ni predator the King of NBC PL ✅ Fiston kalala mayele
C'est en direct ?
Hapo kwa kutetema ,,,sisi wana yanga tumewashinda wa Congo
Félicitations Mayele, Yanga, nous t'aimons #Daimambelenyumamwiko
FISTON KALALA MAYELE DE KING OF YOUG AFRICAN S TANZANIA.
Kalala oza. Mystique,but ya Victoire na danse wana,ah somo
Yoka biso mboka elengi ✌️🇨🇩
🎉🎉🎉my beautiful country Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🦅💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾🔥🔥🔥🔥🔥👉🏾🫡🫡🫡🫡🫡🫡✌️FIMBO NA FIMBO 🏃🏾🧑🏾🦯👨🏾🦯🤳🏾🤳🏾.
The journalist trying to speak french 😄😄 I like it !!!!
He's liying
Nakukumbari mayele nakuombeya
Tv3💪🏾💪🏾🤳🏾 eshima kwenu
Mimi niko congo naku kubali sana kaka mungu aku bariki
Mayele Ni mmoja tu the king
Mayele to world 🌍
Pa pa pa pa pat 😮
Huyu jamaa anajua anajua tena 🔥🔥🔥
Mayeleeeeeeeee
Watu Wana tetema🥰🥰🥰🥰🥰
Il a cruisifier le gardien félitation le jeune congolais ❤
Swala kitaifa support iwepo sio Ona mayele anafunga Innonga anatetema❤...Jana Tanzania inashinda tuwape sifa wachezaj wetu mashabiki fln washabikia Adebayo jmn swala kitaifa tuwe serious tupo tyr kumsifia Adebayo ambae si wetu tunsingiaza Mambo ya Vilab kwny taifa😂😂 so poa sema sema wabongo sifa😮😊
Wee lijinga tu
Merci beaucoup fiston mayele notre avenir
Je suis Congolais de père et de mère, et j'aime mon pays ❤
ua-cam.com/video/u3n1lUXZ9v8/v-deo.htmlsi=DltLEBK9t1epa_xu
Inoga nae katetema...kumbe huwa anapenda hilo vibe
Merçi l' Univers pour ces bénédictions
Toujours mon grand frère preso
Vive mon équipe ❤
Mayere ni mtu hatari sana akipata chance hakosei
My people 🎉❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nani asinge tetema nasi? Kalala ahsante sana merci beaucoup mwana mboka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🐆🥰 on t’aime par ici, saluer nous notre belle sœur quand tu va la retrouver en train de te remettre tes trophées qu’elle était parti prendre pour toi!
Enonga anavyotetema kwa nguvu..alimiss hili livaibration..The king is only one..
Great goal Mayele
Viongozi Yanga timu yeyote inayemtaka MAYELE ofa NI bilioni 15.
Mimi ni Yanga, Ila Huyu Mayele akibaki Yanga msimu huu Basi Mganga wetu apewe Maua Yake.
Hili jamaa sio la kucheza hapa 😂
🤣🤣🤣🤣
. mayele yangaaaaaaaa
Fresh
Ninawaheshimu watoa maoni kwa njia wanayotoa maoni katika mchezo huu, heshima, from DRC
Salute broo
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩my country
match de la renaissance de léopard
Maeyeleeeeeeeee
Le pauvre gardien de but Gabonais! Il n'a vu que du feu!!!
I LIKE TZ LEAGUE
Cool
RDC Word 🇨🇩💪
Mayele nimmoja tuuu.king
😮Hili Mayele hatari aisee
Fiston IKO Matata kabisa kweli 😂😂👍
Felicitation pour vous vous etez le meilleur reporteur je pensee beaucoup a kabulo muana kabulo pour le moment et notre ministre de sport de la rdc
Kifaransa niatarii
Jamani nyie mmemuona inonga baka nae anatetema jamani 😂😂😂
Waroma vini
I wish I could understand Swahili.
is easiest language to learn, even mayele speaks it very well
Wishes come true
Huyu mayele anatakiwa acheze ulaya, mayele juuuuuuuuu
Well done Fiston kalala Mayele❤👏👏👏💪🤳🙏
Mayele in DRCONGO lingala langage mean clever.
Kumbe hata Inonga anapenda kutetema eee?
safi mayele
Trebien
Makabi namuona paleee
Mayelé veut dire intelligent
😂❤
Mayele ananyimwa pas na hyo kiungo lasta ,anaroho ya ovyo
Gabon watajilaumu wenyewe wamekosa goli Saba za wazi
asanteni timu langu la rdc, na subiri tutwange na M23
Mungu awabariki sana
Waambie wale wanaosema Mayele ni mchezaji wa kawaida tu, akiwa mbali wanamsifia akiwa nchini wanasema wakawaida na waliposikia anatakiwa nje wamefurahi ajabu, duuuh mbumbumbu bwana wanashangaza🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂😂😂
Gabon walikuwa wanamsikia tuu predictor sasa wamemjua ni
Nani
Mayele ni mwamba kweli😅😅
Meme le portier Gabonais n"a pas vu le ballon venire en boxe c"est un ko debout
Mayel usiondok yanga 2nakuhitaj
Na musikilia uyu gardien uruma alisimama na kushangara nyuma ya ile Gool
Kwa namna ya watangazaji wetu kama unamsikiliza kupitia redioni basi utasema mpira ulikuwa ni mkali na timu ama moja kushambuliwa sana kumbe ni midadi tu!! Nilizoea kumsikiliza Charles na Kikeke wakitangaza match za EPL zilizo kali sana na zenye move murua na hatari lakini hawakuwa na mdadi kama hawa wa kisasa!!
Huyu mayele hatar
Yaani mtu anatetea TAIFA lake lkn MAKOLO wanaumia, kweli JINAMIZI la MAYELE linawatafuna MAKOLO..🤣🤣🤣
KWANI WEWE HUNA TAIFA LAKO??? PIMBI WEWE
@@salimmalaka256 ....KOLO MLIBWANJI ..!
@@salimmalaka256 😆😆😆😆😆
Nani kaumia sasa aiseee yy ndio kilaza kwel kwel
Iyo kuhesabu ya mtangazaji mbona atuhelewi kutoka 7-9 mbona atuja sikiya 8 😂😂😂
Kulikuwa na ulazima Gani kumtaja inonga akiwa benchi nyambafu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔰🔰🔰💛💛💛💛💛
Safi watangazaji tunatakiwa tuboreshe lugha yetu kwa mfano mpira sio mpila
Ok
Mayele nimeona inonga anatetema.Yupo bench harafu.Waliochukia tunawsjua
WEWE ULIWAHI KUKAA BENCHI HATA TIMU YA MTAANI KWENU WACHA UJINGA
@@salimmalaka256 😆😆😆😆😆😆
@@salamasaidi6620 TOPOLO HILO 😂 😆 😂 😆 😆
Inonga nae anavibe😂😂😂😂😂😂safi huo ndo mpira bhuana
Ungeenda kufunga wewe na hata na mkono
Gambo rdc