UTAPENDA MAPOKEZI YA MTOTO WA HAMISA NYUMBANI KWA DIAMONDPLATNUMZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 98

  • @NimbonaUdhaifa-jw2lo
    @NimbonaUdhaifa-jw2lo Рік тому +1

    Mansha Allah mungu mkubwa kbs ❤❤❤

  • @mercyamagove1223
    @mercyamagove1223 3 роки тому +4

    Kusema ukweli mtoto wa hamisa ni mutamuu😘😘😘😘😘😘

    • @mary5162
      @mary5162 3 роки тому +1

      Kira mutto ni mutamu kwa menye naye🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @neilasinan5126
    @neilasinan5126 3 роки тому +2

    Mashallah cutee boy more then all of them

  • @sherylachieng4660
    @sherylachieng4660 Рік тому

    Mfalme Dylan.....I love it

  • @KidaKapyata
    @KidaKapyata 10 місяців тому

    All ze best dylan yote mipango ya mungu

  • @ElishaMosses-o5m
    @ElishaMosses-o5m 2 місяці тому

    Waoooooooo ongera San diamond Kwa kujaliwa watot wazur

  • @yvonneolaka3238
    @yvonneolaka3238 3 роки тому +1

    Wooow Hamisa you look great and fabulous

  • @GalaxyA-ve8tu
    @GalaxyA-ve8tu Рік тому

    Safi sana akuna kubagua watoto ujui atae kuzika umjui

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 роки тому +5

    Fatuma Zari anatuoneshatena new King bea niatari kumekuchaaaa 🔥🔥🔥

  • @avitdeus8407
    @avitdeus8407 3 роки тому +1

    Nijambo la kumshukuru mungu watoto wote wakutanishwe

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 3 роки тому +5

    Hata kama mama diamond anamchukiya uyu mtoto Dylan ni muziri kuliko wote duuh saana kweli hamisa unakizazi kizuri saana kabisa usijali maneno ya iyo familiya ya diamond

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz Рік тому

      Acha uchochezi watoto wote wazuri, hakuna MWANADAM alieumbwa kwa mfano wa MUNGU akawa mbaya...wa MUNGU wote wazuri.

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz Рік тому

      Acha uchochezi watoto wote wazuri, hakuna MWANADAM alieumbwa kwa mfano wa MUNGU akawa mbaya...wa MUNGU wote wazuri.

  • @achyachy6367
    @achyachy6367 3 роки тому +6

    Then I think it's not the first time the kid has gone to his father's house, remember one time Misa did interview and she said Dylan used to go over the weekend even when Diamond was still with Tanasha....it's just that they never used to post photos

  • @Cecilia-j5n5e
    @Cecilia-j5n5e Рік тому

    Hapo umefanya vizur kaka kumkubali malaika uyo ya kwenu ya kwenu mtoto mpeni haki yake👍

  • @mrsebuuuhappy8177
    @mrsebuuuhappy8177 9 місяців тому

    hapo nimekupenda sanaaa

  • @jacklinibrahim8805
    @jacklinibrahim8805 Рік тому +1

    Kwanza sijuwi wanaume hua wanataka nini hamisa ndo mwanamke ambae alikua mke anaemfaa sijaona mwanamke aliezaa nae au alie nae kua anamzidi hamisa nini kwanza zari nimtu mzima pili tanasha amemzidi uzuri diamond hawa endani Tatu zuchu heheheeh watu wanazarau sana hata. Mm hatoweza kufaa amenifikia aliekua anamtaka wema sio taipu Yake watu wana macho ila hawaoni hamisa ndo mke wanae endana na diamond wanaume kabla yakukurupuka kusema mambo mengi jiangalie kwanza

  • @julianlaurent2107
    @julianlaurent2107 3 роки тому +3

    Kwani maisha ya Daimondi yanaendeshwa na mitandao

  • @EstherMgabu
    @EstherMgabu 11 місяців тому

    Asante Diamond kumpokea Dialaan

  • @OllytozzofficialMusic-l3v
    @OllytozzofficialMusic-l3v Рік тому

    Kama mama diamond amamchukia hyo mtoto basi tunamuomba mungu nafsi yake mama dangote aichukuwe mapema asije akawa sababu ya watoto wengine kuitwa ma yatima mungu naomba usikilize kilio changu

    • @faithfaith-zr6gz
      @faithfaith-zr6gz Рік тому

      Huna hata haya wewe!! Umechukua nafasi ya MUNGU ili mama diamond afe!! Afe Mama yako kwanza ili uone utamu wake, We unajuaje Kama kwl anamchukia?! Au unajuwa Kuna nn mpk wafike huko.

  • @akimopatience4909
    @akimopatience4909 3 роки тому +1

    Handsome boy Dylan more than

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +6

    Mwijaku alisema hamisaa aliambia mond ukitaka mtoto njooumuchukue lkn sio hamisaa kumpelekaa mwijaku alihojiwa juxi akasema hivyoo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    Rahaaa yann yakuletewaa watoto tuu mwanaume hutulii ukaoa katulia

  • @CatherineNamonje-ok7oi
    @CatherineNamonje-ok7oi Рік тому +1

    Yah l like it❤

  • @achyachy6367
    @achyachy6367 3 роки тому +7

    Diamond always meet this kid out of camera , so I don't know why it's really a big issue now to you pple ...the kid stays in TZ for God's sake !

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 11 місяців тому

    MTOTO WA HAMISA MZURI SANA MMM UMEPATA MTOTO NIMEMPENDA SANA HUYO MTOTO.

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 3 роки тому +2

    Mashaalah 🤲💓

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 роки тому +2

    Jamaniii huyo ni damu yake SIMBA

  • @nasifatyyahaya1564
    @nasifatyyahaya1564 3 роки тому +3

    Pendezaaah sana

  • @Biancaaa12345
    @Biancaaa12345 3 роки тому +1

    Dedylan is always with the father. Jealousy will kill people. Foreigners r welcomed because they r visitors. Hamisa and mama diamond r playing people because they know u Rukamba

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 роки тому +8

    Hayo mapokezi yako wapi wee domo kaya? Unatuchanganyia mapicha tu hapa.

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 7 місяців тому

    Mwijàku ni mbeá watamvalisha shanga

  • @mamaanivia9234
    @mamaanivia9234 3 роки тому +3

    Hata mapokezi ya zari uwezi kuyalinganisha na ya mtu yeyote hawa wote nikuwarizisha tu

    • @shanishosho911
      @shanishosho911 3 роки тому

      Sana kabisa ndio mana tunamuita mama lao

    • @zakatiathumani6424
      @zakatiathumani6424 3 роки тому

      Chefuuu

    • @mwasitiramadhan128
      @mwasitiramadhan128 3 роки тому

      Dada muongoo sana nyie ndo wachonganishi hakuna cha kuja wala kutua mnafiki sana

    • @shanishosho911
      @shanishosho911 3 роки тому

      @@zakatiathumani6424 tapika😄hakuna km kipenzi cha doctor sandra👌

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +1

    Hayo mapokezi yenu kila siku Daim9nd kabeba bag hilo hilo na tunguo twake utadhan mganga wa kienyeji

  • @magretpaulo3590
    @magretpaulo3590 3 роки тому

    Mtoto wa hamisa ana umri gani

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 3 роки тому +2

    Handsome boy Dylan

  • @RozaWasanze-e2v
    @RozaWasanze-e2v 8 місяців тому

    Mtoto wa Sarah na yeye mama dangote ajiandaye tu kupokea ni watoto halali kabisa

  • @kevinmukisira
    @kevinmukisira 3 роки тому +4

    The reason I love hamissa

  • @alicedzame3492
    @alicedzame3492 3 роки тому

    That's good

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 3 роки тому +2

    Napendaga sauti yako mtangazaji

  • @mary5162
    @mary5162 3 роки тому

    Fatuma nirigupendaga NA mwoyo wangu wote nirikuja kugunduwa jeshiiiii hawumupendagi nakajikuta nagucukiya fanya ubadirike Mutangazaji hapendezewe kuwa ngambo moja sorry🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 2 роки тому

    Wow!

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 роки тому +2

    Mi mtakuja kunipokea lini?😂😂😂🤣🤣🤣

  • @ironladywamugo5753
    @ironladywamugo5753 3 роки тому +2

    Acheni kutupoteza tunahitaji follow up ya scandal ya Babu na Bibi

  • @solangekubota9487
    @solangekubota9487 3 роки тому +1

    Mimi mtanisamehe kuuliza, sasa siku zote izi wa babysmama walikuwa na chunga Za afunguwe mlango??

  • @eddydauson7525
    @eddydauson7525 3 роки тому

    Hata we ni mama ungempeleka

  • @rozmihambo1935
    @rozmihambo1935 3 роки тому

    Mmmmm napita tu

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 3 роки тому

    Umbea tu.
    Think of Covid-19 imejaa huko nyumbani.

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 11 місяців тому

    Nimekuwa na furaha naitamani kulia kwa furaha

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 роки тому

    WACHENI USHETANI WENU NA UWONGO MNANENA UTASEMA MUMEJIUMBA NYINYI YAKOSAWA SAWA KUMBE CHAPWA KWA LANA ZA KISHETANI NA WEWE MTANGANYIKA SHETANI MWANAMKE KIMAUBILE KWENYE AKILI LAKI WANAJUWA KUWA DAIMONDI HANA WATOTO KABISA SASA NASHANGAA NYINYI MUNAOJIFANYA VIJI MUNGU MUNGU VYA DUNIA MKIFAMTASEMAJE KWA ALLAH SUBHANAWATAA ALLAH MUNAWABANDIKIZIA MABABA WATOTO WA MAMAZAO 😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇😇🇹🇿😇🇹🇿🇹🇿😇🇹🇿🇹🇿😇🇹🇿😇😇😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿💀🔥💀🔥💀🔥💀🔥💀🔥💀

  • @sambogoamba4790
    @sambogoamba4790 3 роки тому

    Waongoooo

  • @neemakalenga2141
    @neemakalenga2141 2 роки тому

    Hi

  • @AminaMfinanga-n9p
    @AminaMfinanga-n9p Рік тому

    Nakweli mungu mkubwa

  • @ukhtisanura1656
    @ukhtisanura1656 3 роки тому +1

    Hawana kazi tu

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 3 роки тому

    Safi sana

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 3 роки тому

    Da fatma ♥️♥️♥️

  • @fridahmaingi6025
    @fridahmaingi6025 3 роки тому

    Mzeee diamond funga zip sasa.

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 Рік тому

    Nikama diamond alichukua vipimo kimnya kimnya akajua ukweli Sasa dah

  • @elit3_furor517
    @elit3_furor517 3 роки тому

    Fatuma DNA haidanganye uyo mama diamond atasemaaah mpaka pumzi imtoke Dylan atabaki damu yao mpaka dunia ishe hata watu wengi hawafanane na ma baba zao lakini ni damu moja anajisumbuwa bure uyo bibi mahirizi

    • @shanishosho911
      @shanishosho911 3 роки тому

      🤣🤣Mbona povu doctor sandra oyeeeeeeee

    • @MJ-rr6dy
      @MJ-rr6dy 3 роки тому

      uliyaona majibu ya DNA? hapa kuna kitu hakitakiwi kuwekwa hadharani lakini kuna siku ukweli utasemwa hz ni sababu ndogondogo bibi anaujua ukweli siku nyingi.

    • @elit3_furor517
      @elit3_furor517 3 роки тому

      @@MJ-rr6dy hakuna kitakacho wekwa hadharani kwa sababu hakuna kitu cha hofu kwa uyo Dylan nakama kipo saizi zamani kiko indje kwa sababu huyo mama diamond hampedi Dylan juu ya mama yake iyo familiya kwa kupenda kiki number 1 ni chuki zenye hazina kicha wala miguu

  • @evaisacka1642
    @evaisacka1642 2 роки тому

    Hogera dayamod

  • @JamilahOmary
    @JamilahOmary 5 місяців тому

    Jamn

  • @swahibamnene5847
    @swahibamnene5847 3 роки тому

    Yn wabongo cjui mkojer jmn

  • @merrymerry4282
    @merrymerry4282 3 роки тому +1

    Ila kuwa toto wa monde wote uyo ni mzuri saaaana kabisa wengine wapi uyo ni kijana saaana

  • @mariamusaidy4327
    @mariamusaidy4327 3 роки тому +2

    Simba pokea damu yako

  • @dianarobert3989
    @dianarobert3989 3 роки тому +3

    Kwa hiyo da Fatma na ww umeanza kutulisha matango pori😃mapokezi yko wapi

  • @achyachy6367
    @achyachy6367 3 роки тому

    Labda driver wa Diamond alienda kumchukua mtoto si lazima Misa ampeleke mtoto

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      Alisema haezi enda akimtaka ajeyy kumchukuwaa

  • @sugarlipskashrynmejavone5254
    @sugarlipskashrynmejavone5254 3 роки тому +1

    The fact is hamisa's son isn't that much valued

  • @misrahmisrah8761
    @misrahmisrah8761 3 роки тому +4

    Aibu huo ni ubaguzi sana sana au, kwakuwa mtoto anaishi Tanzania? Angekuwa mtoto wa nje ya Tz mtoto angeoneshwa na video juu msitueditie picha hamisa nawe hukomi ukoo umejaa Huna ulazima ya kumpeleka mtoto achana nao utajiri wa diamond usikubabaishe unakuaibisha mitandaoni

    • @asyahamaro7546
      @asyahamaro7546 3 роки тому

      I hope ujumbe ameupata 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @annezawadindurya8602
    @annezawadindurya8602 3 роки тому

    Yakowapi hayo mapokezi?? Mbona umbeya hivyo jamani!! Uzushi wa media tu waacheni wenyewe yana tuhusu nini tusio manga maisha yetu na sisi jamani..

  • @vicentgodfrey7296
    @vicentgodfrey7296 3 роки тому +1

    Mbona ili daimond linafataga akili za mama yake na wati yeye ni mtoto wakiume

  • @boalelaiyoko48
    @boalelaiyoko48 3 роки тому +1

    Kichwa cha Habari hovyo😠

  • @dfinafriga9863
    @dfinafriga9863 3 роки тому

    raho djamani

  • @amneyabdy2899
    @amneyabdy2899 3 роки тому

    Sio mtoto wakke

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 3 роки тому

    Na wewe umeanza kuandika vichwa vya habar vya uongo umeanza kuzingua

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 3 роки тому

    Weee mtangazaji ujitambui mjinga wewe

    • @mary5162
      @mary5162 3 роки тому

      Nirikuwa NA mupenda saana fatuma wakati nirigunduwa hamupende kond boyi nirijikuta namucukiya nisameh fatuma NA usiwe ngambo moja🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @fortunatamasigati3654
      @fortunatamasigati3654 2 роки тому

      Jamani punguzeni manenomaneno

  • @mercywambui3400
    @mercywambui3400 3 роки тому

    Do you really think that the comments you are seeking about this child are fare. What would you gain by making people think or even imagine that the child is rejected. Shame on you and think of the child first before you sell us your nonsense. Leave the children out of your malice and shameful envy.