Akataa GARI MPYA aliyopewa na MWANAE ahofia JENEZA,Naogopa itakuwa amejiunga FREEMASON

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 119

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 3 дні тому +9

    Huyu mama MashaAllah anahofu ya Allah mungu amzidishie

  • @Sharifakhamis-vx2ne
    @Sharifakhamis-vx2ne День тому +3

    Mama anayajua mengi Sana , Allah akulinde mama

  • @TwalibumsaaMusharaba
    @TwalibumsaaMusharaba 3 дні тому +6

    Mama nimekpenda sana upo sawa

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 дні тому +11

    Huyo mama anamjuwa vizuri mwanae

    • @mustarwhite
      @mustarwhite 2 дні тому +1

      Apana amna lolote ni vile tu mwanae ameingi kwenye muzik na yey uku ana amini muziki ni haramu tu.maana mama ni mswali suni.

  • @ChwChw-r8k
    @ChwChw-r8k 3 дні тому +4

    Mungu akusaidie dada yangu usipokee umauti usio wa mungu

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 5 годин тому

    Mama umefanya vizuri sana ❤❤❤

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 2 дні тому +3

    MUNGU ANATOSHA MAMA. Safi sana

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 2 дні тому +5

    MAMA KATOA FUNZO KUBWA,,PESA ZA HARAMU NI KAA LA MOTO. Allah Akuhifadhi Sana MAma Mtegemee tu ALlah Dunia sio kitu.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 дні тому

    BRAVO MAMA NIMEKUKUBALI SANA SIO KINAMAMA DANGONTE UBALIKIWE KWA SWALA ZAKO☝️☝️🤲🤲

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 дні тому +3

    Mama upo sahihi mtego huo

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 3 дні тому +6

    Mama mwamini Mungu, omba shukuru Mungu, kubali zawadi uliopewa na mama Yako na umtangulize Mungu aliyekuumba hakuna kifo hapo, kemea kwa jina la Yesu na utoe sadaka uone baraka za mwanao

    • @mohamedisimai
      @mohamedisimai 3 дні тому +5

      Watu wana imani zao za dini ya haki sio yesu wako

    • @saliminikitete4417
      @saliminikitete4417 2 дні тому

      Acha tamaa

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 2 дні тому +1

      Mama akisema hapana ni hapana.

    • @Shekhahamed-v2f
      @Shekhahamed-v2f День тому

      @@PendoMarco-x3u kwakweli umeona. Mama amemdhalilisha sana mtt wake

  • @ibuphilipo7940
    @ibuphilipo7940 2 дні тому +1

    Hongera mama,kwa ufahamu huo.

  • @muddyramadhan3255
    @muddyramadhan3255 2 дні тому +4

    Hii kiki hd meneja anakandya tena hili filam niko pale

  • @mtomea19
    @mtomea19 2 дні тому +2

    Huyu mama anamwamin mungu pia anahofu ya mungu.

  • @PeterSimon-z9l
    @PeterSimon-z9l 2 дні тому +4

    Tuliosikia Hivyo Ni Vitu Vya Kawaida Haviwezi Kumletea Madhara Tujuane Hapa 🥱🤔

  • @Yusuphrevocatus-g3v
    @Yusuphrevocatus-g3v 3 дні тому +5

    mama anasiri nyingi sana moyoni mwake juu ya mwanae nyie hamuwezi kujua mwacheni tu huyo mother

  • @Elecovid
    @Elecovid 2 дні тому +2

    Da. Sawa mama yangu

  • @ValerianaKilumile
    @ValerianaKilumile 3 дні тому +4

    Kweli kabisa zama hizi vijana wanatumika sana na shetani(tamaa mbele mauti nyuma)

  • @moriskadungula9353
    @moriskadungula9353 2 дні тому +4

    Wana act

  • @AshaJuma-dz6hq
    @AshaJuma-dz6hq 2 дні тому +2

    Nataka niulize tuu lakn sio kwa ubaya gari hachukui vp kuhusu mahitaji mengne akimnunulia kwa hyo pesa anayosema ni haram ya freemason

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 дні тому +5

    Umeona mpka meneja anaelewa kila kitu , mama anajuwa kiundani msimuone mjinga

  • @BensonMuthui-zu4md
    @BensonMuthui-zu4md 3 дні тому +4

    Wooiiii kube ety n mabo ya kawaida man 😢

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara День тому +1

    Mbona meneja nae anamkandaniza jamaa😂😂

  • @benjamimmyaya5907
    @benjamimmyaya5907 3 дні тому +3

    Upuuzi mtupu. Wanataguta viewers tuu😊

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 4 дні тому +5

    Nimekupa mama

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 3 дні тому +6

    Huyu mama anaakili finyu. Naimanizake c nzuri

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 3 дні тому +1

      Acha tamaa,nyie ndiyo mnao tumika na kutumiwa sana

    • @JeniphaEdward-w2b
      @JeniphaEdward-w2b 2 дні тому +1

      Wewe MJINGA wewe uoni macho yandani wewe

    • @mustarwhite
      @mustarwhite 2 дні тому

      Kbs

    • @Roxana-q5j
      @Roxana-q5j 2 дні тому

      Kwani huna macho ya kiroho wewe imani yako ndogo sana

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania День тому

      Vijana tamaa sana mama ana inani yake .

  • @JeniphaEdward-w2b
    @JeniphaEdward-w2b 2 дні тому +2

    Mama anajua sili nzito uyu kiukweli mama anaakili sana

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t 3 дні тому +3

    Dah mtihan huuu mpak mama anapinga jaman

  • @MweusiAlly
    @MweusiAlly День тому +1

    Wafirika tujitambue nimekubali umasikini unamla mtu mpaka akili kila mtu akifanikiwa nimchawi

  • @JoshuaRafael-q3r
    @JoshuaRafael-q3r День тому +1

    Amen amen

  • @emmanuelernest3596
    @emmanuelernest3596 2 дні тому +1

    Huku bodyguard,nahuku meneja mbona mnatuchanganya!! 😅😅😅mapila nyie😅😅😅😅

  • @bakundatuyizere8556
    @bakundatuyizere8556 21 годину тому

    Mama anajua mambo

  • @EsterMarwa-b3d
    @EsterMarwa-b3d 3 дні тому +4

    Ungekuwa mama yake mzazi usingeongea kwa kujiamini hivyo kupenda Kiki

  • @PendoPeter-rr4jk
    @PendoPeter-rr4jk 2 дні тому +3

    Kiki zingine zinaboa

  • @PaulMsema
    @PaulMsema 14 годин тому

    Mama amemzaa anamjua kila kitu,hvyo mama endelea kukaza,kimwili ni gari kiroho ni jeneza

  • @davidsibejo4916
    @davidsibejo4916 3 дні тому +3

    Wew kama unahisi nijeneza peleka msikitin au knisan lisomew dual kama nijeneza utapata majubu hapo hapo

  • @mullahmasudy2622
    @mullahmasudy2622 4 дні тому +5

    Mama kagoma kufa😂😂

  • @TanboKalenga-s3j
    @TanboKalenga-s3j 2 дні тому +2

    hio sauti sio ya rayvany

  • @agapemunyi2095
    @agapemunyi2095 2 дні тому

    Kuna Dem mwaka mmoja nyuma alisema alioana nae watu wakamuona muongo kuwa mshkaji jnne hafanyi kazi ,alipata mimba jnne inatoka wakamuona kichaa Leo imerudiwa Tena jnne hafanyi kazi

  • @simbaboymawe435
    @simbaboymawe435 3 дні тому +1

    Ilo kwel jeneza kwaio hakuona Rumion au Ist unaenda kump mama ako gar kama ilo na yey anajisif pesa ipo

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 дні тому

    😂😂😂dah huyu mama kweli kiboko

  • @SadikiMpelengana
    @SadikiMpelengana 3 дні тому +2

    Waongo pia km ingekuwa kweri meneja SI angemsema mtejawake kwenye mitandao

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 2 дні тому

      We ukiona mpk mama kagoma we unabakije kama sio utakuja kukutana nacho ndo maana kasema ukweli

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 3 дні тому +1

    Content hiyo

  • @salumsuphian7249
    @salumsuphian7249 2 дні тому +1

    Eti mtoto ana mabilion mengi kuliko yeye kwaiyo kwasababu yeye ni mzazi anatakiwa awe na pesa kuliko mtoto

    • @mustarwhite
      @mustarwhite 2 дні тому

      Binafsi nimemuina mama yetu ni mjinga,ko alitaka awe masikin na anapambana kila kukicha.😅

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 дні тому

    Wakina Mama Martha Meaipaja wako wengi kwenye imani za giza

  • @Erik-kj5no
    @Erik-kj5no 2 дні тому

    Watakachokifanya mama hao watu kama hausari na kama hujaokoka watakupa maradhi ili usarende kuwa making ikiwezekana huyo mwanao akae mbali kabisa asikuzoee

  • @beatricekanyinge3940
    @beatricekanyinge3940 2 дні тому

    This lady has seen fire with his money , may God help her

  • @JameBoki
    @JameBoki 2 дні тому +1

    Hio sio sauti ya rayvany

  • @sharifakigola2879
    @sharifakigola2879 День тому

    Amesema yupo lagos ndo huko wanapotaoa hayo mambo

  • @AthumaniSeleimani
    @AthumaniSeleimani 2 дні тому

    Meneja mwenyewe haelewi sasa unafikiri kipi ni kipi

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard 4 дні тому +3

    daaa kuna watu wanamawazo mgando.

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 3 дні тому

      huyu mtoto aliondoka kwao kwa mda mfupi akasema yeye ni tajiri so akawa anapiga picha na pesa kama hiz dola watu wakawa wanamuonesha ndio maan toka siku hiyo hataki kumuelewa mwanae ,mpka wa leo

    • @zawadicharo9740
      @zawadicharo9740 3 дні тому

      N msanii yupi ​@@Happy-n5i5x

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 3 дні тому

      @@zawadicharo9740 hat sio msanii wa maan ni kawaida anajiita chui huko instagram sijui chui tajiri 🙌.na mama yake ana wasi wasi kwasababu kipind anaanza kupiga picha na pesa ndo kipind ilitokea msiba sijui wa babu yake huyu mama yake alishwah hojiwa ni mda kama mwaka jana au mwaka juzi

    • @JaneBihagala
      @JaneBihagala 3 дні тому

      Ni ya kweli haya? Nikajua maigizo

    • @ibrahmenard
      @ibrahmenard 3 дні тому

      @@Happy-n5i5x duuu iv ni nan?

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy День тому +1

    WAPOTOSHAJI, wamemzamisha mama tayari.

  • @starfireog8695
    @starfireog8695 День тому

    Uyu Sio reyvaan uyu nibosi chui

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 дні тому

    Hii n mara ya pili kwa huyu Mama kukataa zawad ya Reyvany,,, UZEZETA kwenye familia ndio unalipa hyo gharama

    • @FrancisNgomaitara
      @FrancisNgomaitara День тому

      Sio rayvan bhanaa huyu anaitwa tajir chui sio rayvan yule

    • @saxannjo6173
      @saxannjo6173 День тому

      @FrancisNgomaitara ila mama yake rayvany pia aliwahi kucomplain ishu kama hii

  • @AthumaniSeleimani
    @AthumaniSeleimani 2 дні тому

    Kama nikweli siyo kiki basi mama na mama kweli anakuwa na mapenzi na mwanae na hapendi mwanae awe na hela za manyau nyau alafu mbona huyo tajiri anapo ambiwa inshu ya frimasoni hakanushi kwamba ajihusishi mambo hayo

  • @BeatusNzigiye
    @BeatusNzigiye 2 дні тому

    Meneja alivyokandia nikajua chai

  • @sabinuskomba2535
    @sabinuskomba2535 2 дні тому +2

    Meneja naye kazingua 😂😂

  • @elishaEzira
    @elishaEzira 2 дні тому

    Acheni atuwaelewi

  • @MohamedKaburu
    @MohamedKaburu 3 дні тому +2

    Tajir chui acha ujinga mama anakuona una weka mimeno yako kama shetani una hela azijulikan zinatoka wp mama machale kundesa

    • @mustarwhite
      @mustarwhite 2 дні тому

      Kwaiyo mama ajui kbs kazi za mwanae jmn kueni wakweli rayvanny mbona mpambanaji mkubwa tu kwenye taifa ili

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 2 дні тому

      Mama yake yule ni mkristo

  • @minaeli5989
    @minaeli5989 3 дні тому +1

    Nyie acheni ujinga huyo siyo mama wa rayvan yule mama yake hana ujinga huo

  • @oscarakyoo4641
    @oscarakyoo4641 2 дні тому +1

    Mm nna waswas hii ni kiki

  • @chrisstopherbasa4840
    @chrisstopherbasa4840 2 дні тому +1

    kiki

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 3 дні тому +1

    Hii ni stori ya uongo

  • @alexkonza4506
    @alexkonza4506 2 дні тому

    Manager kwani nyimbo mnaiachia lini ?

  • @BuraramaKwibe
    @BuraramaKwibe 3 дні тому

    Iyi sii sauti ya chui

  • @Hillaboy-m6r
    @Hillaboy-m6r 2 дні тому

    Kwanini gari liletwe na manager?

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 дні тому +1

    Mjengee mjengo mkabidhi

  • @ANASTASIAKIMATI
    @ANASTASIAKIMATI 2 дні тому

    Uyo chui ni nan mbn wat wanatumia picha ya Rayvanny wanaaema ND yy em tuweken saw Mana hatuelew

  • @Mc_Itemo
    @Mc_Itemo 17 годин тому

    Meneja amepaniki

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 3 дні тому +1

    Kiki

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 3 дні тому +1

    Mama unamzalilisha mwanao ujuee .

  • @JamesNjau-d5v
    @JamesNjau-d5v 2 дні тому

    Aaa

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 дні тому +1

    Dogo acha nae mama jau sanaa

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 4 дні тому

    Mchizi Gani?

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 3 дні тому +1

      kuna kijana anaitwa tajir chui huko insta ni kijana mdogo sanaa

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q 2 дні тому

    Kiki zakikuma

  • @mohamedisimai
    @mohamedisimai 3 дні тому

    Kwa jawabu zake jamaa ni masonic

  • @RashidiSempombe-mv5zj
    @RashidiSempombe-mv5zj 3 дні тому

    We mama unataka nini upewe mwanao kamek Ella kakununlia gali wew leo unakataa unaleta Iman za kipumbavu halafu tena baadae uje useme watoto hawawajali acha Iman izo🥴

    • @Picassomp-if2km
      @Picassomp-if2km 3 дні тому

      Anakwambia kwenye familia yake watu wanabadilika wanatema midenda ovyo yani mandondocha au hujamsikia vizur ...sasa mama na wewe nani mwenye imani za kipumbav...wewe ndo mpumbavu acha kushabikia magari

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 3 дні тому +1

    Nitrend za kijinga kwanza ni msanii gani huyo?

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 2 дні тому

    Mbona wanasema mama yake Chui ni mkristo

  • @JohnMathias-vf2hy
    @JohnMathias-vf2hy 3 дні тому

    Huyo msanii ni nan

  • @babupiza641
    @babupiza641 День тому

    kiki