KIMENUKA HAMISA MOBETTO AMBADILISHA JINA MTOTO WAKE DYLAN AMPA JINA JIPYA DIAMOND HAAMINI HADI CHETI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 86

  • @FannySubira
    @FannySubira 10 місяців тому +9

    I salute you mubeto, hata mimi ningefanya hivo hivo, mnawo Sema kama Amisa kafanya makosa mnaongeya bila kufikiriya, wanaume mnakichukuliya hicho kitu powa, kwasisi wanawake special moments inauma, sana mondi analeta mapozi mengi, kama kasingiziwa huyo mtoto, kwahiyo ajisikiye uhuru , mama hawezi kumpendekeza mtoto kwababayake , very proud woman hata mtoto wayatima anakuwa nayeye atakuwa na asishangai kesho mungu akaja kumdhalilisha mondi, kama alivyo muabisha babayake na mondi, mondi angekuwa nahikma asingerudiya mistake yababayake

  • @antoniajonathan2809
    @antoniajonathan2809 9 місяців тому +2

    Jaman Kama kujishusha kajishusha Sana mobeto kafanya Jambo la busala ili aishi na maisha yake inachosha jamani eee hongera mobeto

  • @kalolosima8335
    @kalolosima8335 10 місяців тому +2

    Huyu Hamisa yuko sahihi kabisa kwanza nampenda sana kwa maamuzi aliyoyafanya , mijibaba uwa siku zote aijielewe kabisa akiishaona mtoto kakuwa oho oho mtoto wangu mtoto wangu. Mwanzoni Tukiwa kwenye mausiano tunakuwa vizuri mimba tu ikiingia sababu zinaanza. Mara mimba si yangu,mara uta

  • @mariammbabazi9970
    @mariammbabazi9970 10 місяців тому +10

    Very strong decision ❤❤❤

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 10 місяців тому +5

    Hongera kipenzi.majina mengine yanaweza kukuletea mikosi kwa mtoto wako.fight kipenzi wako wengi huku nje wanalea watoto wao wenyewe.

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 10 місяців тому +6

    Sawa kabisa. Hakuna sababu ya kumpa mtoto mtu ambaye amaonekana ana shobo. Kwani diamond ni nini bhana, Haya ni maisha tuu.

  • @HauratJafar
    @HauratJafar 9 місяців тому +1

    Hongera honey ndo maana nakupenda una akili ka mchwa

  • @fatumajeneby5449
    @fatumajeneby5449 10 місяців тому +8

    HAMISA ALHAMDU LILLAHI🙏MUNGU KUKUEPUSHA NAWO!
    "MUUMBA NDIYE ATAMLINDA"

  • @ashaali2853
    @ashaali2853 10 місяців тому +3

    Vizuri sana hamisa sisi tulifanya.kitambo sana

  • @ElizabethJohn-s5o
    @ElizabethJohn-s5o 9 місяців тому

    Mungu ndio baba wa mababa mungu amuondoshee fikra za baba atakua kichwa Wala sio mkia

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 10 місяців тому +1

    Arudi kwa hamisa hatumtakiiiii Hamisa WELLDONE❤

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 9 місяців тому

    vizuri sanaaaaaaa 👌

  • @hassanAnton
    @hassanAnton 8 місяців тому

    Mungu atakaemuongoza

  • @nuruabdulbakari4522
    @nuruabdulbakari4522 9 місяців тому

    That's lovely..

  • @RejoiceDaniel-un7je
    @RejoiceDaniel-un7je 9 місяців тому +2

    Amefanya uamuzi mzur kwa Sasa mapema hapo baadaye ingemuumiza sana mtoto

  • @funnymohammed1494
    @funnymohammed1494 10 місяців тому +4

    Safi sana missa

  • @HajiKhamis-e2s
    @HajiKhamis-e2s 9 місяців тому

    Hongera dada umeweza kazidi kukusumbua d,n,a Kila siku

  • @SabburahSwabra
    @SabburahSwabra 10 місяців тому

    Big up dada ata wangu anatumia majina yangu .n hadi sasa niko nae n anasoma kwete.man mkisaliti watoto haimanishi tutawazalimu mtulele .

  • @RAMLATHAJI-ig4pf
    @RAMLATHAJI-ig4pf 10 місяців тому +4

    ameenda kiislam kbs mtoto wa nje ya ndoa huyu atumie Abdullah au jina pande la mama vizur missa kwa kujielewa

    • @HaznaLuhanjo
      @HaznaLuhanjo 10 місяців тому +1

      Kwani watoto wengine wa diamond ni wa ndani ya ndoa?

  • @LucyJulias
    @LucyJulias 8 місяців тому

    bola 2 dadaangu Kama amemkataa yeye siyo mungu munguhajamkataa mungu ndokilaki2 bwana mungu amtamjalia naatampa mafamikio makubwa ugovi wababa namama ahusiki nam2toto mtoto nimalaika yeye anavomkata mtoto bila kijua anampa balaka nyingi Sana kuliko atahao alowakubali wewe mwamini mungu iposiku nawe atakufa mavhizi yako nazalau zote ulizozipata mwamini mungu am2pi mja wake ipo sikumungu atasimama usjali ndonia bwana

  • @birusidesmond3245
    @birusidesmond3245 10 місяців тому +2

    Good decision hapo hakuna cha idhin wala nini sheria ya ruhususa ataangeitaji kumuita jina la kakaake

  • @AminKanefu
    @AminKanefu 10 місяців тому +3

    Amefanya sawaaa kwakuwaaa baba alishamtenga mtoto ni sawaaaa kabissa Diamond atachomwa

  • @DianaOdira-m4e
    @DianaOdira-m4e 9 місяців тому

    Nice decision mammy,

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 10 місяців тому +25

    Hamisa mimi nilifanya hivyo hivyo na alisoma kwetu Kenya mpaka chuo kikuu akaenda Ulaya akasoma chuo cha huko aka pata masters Ni hivi yuwafanya kazi huko ulaya

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 10 місяців тому

    Misa❤good mama

  • @Biancaaa12345
    @Biancaaa12345 10 місяців тому

    DYLANDEETZ MOBETTO 👏 👌 👏 👌❤❤❤❤

  • @sweetiepie3012
    @sweetiepie3012 10 місяців тому +4

    Well done Hamisa ! This is a good move for your son wellbeing! What the point of a child using a father who is not involved? It will just traumatized the child every time he hear his fathers name!

  • @henriette99
    @henriette99 9 місяців тому

    Akitaka uyo Diamond akaze iyo kamba kbs bora mtoto ni mzima na mwenye afya aty husiona wababa itabunjika kwani ulikuwepo wacheni kusumbua hamisa ana moyo pia

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 10 місяців тому +3

    Hamisa ni tough decision but I as a mother I understand it had to be done. Dylan baby boy you will be fine you have a good family on your mummy side hiyo is enough baby.
    Nawewe Diamond seriously SHAME on you.
    Zuu wewe una imani talk to Diamond, Hamisa ni fellow woman aache this behavior ni ajabu sana he will listen to you bado hajakuchoka.

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy 10 місяців тому

      unataka mwenzio aachwe nini? Ameshindwa Tanasha shoga ake Hamisa kumshawishi Dai ndio aweze Zuchu?

    • @nurukiwia93
      @nurukiwia93 10 місяців тому

      Zuchu kiboko ya daimond​@@Bravo-or8oy

  • @KwekweBesada
    @KwekweBesada 10 місяців тому

    I nice decision

  • @Hawaa-cw6fl
    @Hawaa-cw6fl 9 місяців тому

    Ww umefanya lamaana sana hata kwetu tumewabadili ubini

  • @MeshackChenya
    @MeshackChenya 10 місяців тому +1

    Wawoooooo

  • @mtumwakassim1063
    @mtumwakassim1063 10 місяців тому

    Well done Hamisa!

  • @aishaomar1845
    @aishaomar1845 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂 l love Hamisa 😂😂😂 the kid isn't my ❤️❤️💙💙💙💙💙nathin 🦁😅😅😅🙏

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 10 місяців тому

    Kwani watoto wote wanafanana na wazazi wao? Acheni hayo, mtoto anaweza kufanana na yeyote kwenye upande wowote.

  • @OlivaGara
    @OlivaGara 10 місяців тому

    Bora hata maana mwanao kashatengwa na watoto wengene sasa jina au ukoo una kazi gani kama baba mwenyewe hawajibiki kwa lolote wala mobeto hakumfanya baba awe mbali na mtoto ila baba hana mda na mwanae mwacheni mobeto na maisha yake hata mm ningefanya ivo alivyofanya kiukweli wanaume mnatuvunja moyo,

  • @InnocentLeopard-vz4cf
    @InnocentLeopard-vz4cf 10 місяців тому +1

    Ndiyo

  • @jamilanassor6975
    @jamilanassor6975 10 місяців тому

    Maskin allah ata asaidia amkuze ameen

  • @kalolosima8335
    @kalolosima8335 10 місяців тому

    Ana ujinga wowote sema wewe ayajakukuta . Muache tu amubadilishe hilo jina wadada tunapitia mengi na kila mmoja anajaribu lake ujui yaliyomkuta mpaka anabadilisha hilo jina Hamisa uko sahihi kabisa hongera sana mi niko upande wako

  • @WivinaChilizanti
    @WivinaChilizanti 10 місяців тому

    Namm.naitaji.nikamubadirishejina.dada.ogera.sana..wanaume.nikizugumkuti.

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 10 місяців тому

    Mwacheni hamisa na mtoto wake baba alishamkataa. MUACHENI

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 10 місяців тому +4

    Apate hizini ya nini, na baba kamkataa mtoto

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 10 місяців тому +3

    Hamisa Lea tu mwanao hata Mimi mdogo wangu alifukuzwa na mume wake akiwa na siku nane ni mzazi anasema mtoto sio wangu asaivi mtoto amekua familia inajileta tunataka watoboe weseme ni wetu ndio watajua hawajui .

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 10 місяців тому

      Familia nyingine pasua kichwa asa mtoto walimkataa saiv wanaleta kwato zao punguani kwl hao

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 9 місяців тому

    Daylan Bilinass

  • @HalimaAdam-v7e
    @HalimaAdam-v7e 10 місяців тому

    Ila Hamis dada angu sikuzote mwenzako atakufanyia vibay bs na wew usilip ubay juu nikama mnakomoana mwanaume hakomowi

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 10 місяців тому

      Hata kama analeta shobo kwanini abembelezwe

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 10 місяців тому

      Eti Dada anajitafutia Pesa yake mwenyewe akae kuvumilia ujinga wa mwanaume anaejiona mung.... Well done baby girl 👏👏tena umechelewa

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 10 місяців тому +1

    Kakosea kidogo tu, ange rudi akamuita jina alopewa rangu kazaliwa ambalo lilikua Abdul, ange msajili Abdul Mobetto

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 10 місяців тому

      Abdull sio jina kama hujui majina yabkiislamu. Hakuna jina Abdull ila wanaitana kwa mkato tu. Majina ya waislamu yanayoanza Abdull mbele wanayakata lazima iwe Abduwakil, AbdullRahman, AbdullWakil ama vinginevyo. Sasa watu wanakata majina na kuwaita Abdull

    • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
      @mwanamkeshujaabongoflavama7180 10 місяців тому

      @@mwanaishaabubakar5013 najua uzuri sana majina ya kiislamu , usipenda ku judge kitu bila kukifahamu kwani nani asajua wana fupisha.

    • @salmakhalid6196
      @salmakhalid6196 10 місяців тому +1

      Mbona Hilo Dylan kalitoa diamond, alitoe na Hilo na akomeshe watu WA kwenye mitandao wawache kumtaja

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 10 місяців тому

    Wana pata tabu bureee
    Wao ni waisilamu, sheria ya kiisilamu mtoto w nje ya ndoa ni wa mama, hapo baba hana chake wala urithi hawezi kumrithi. Sijui kinachowahangaisha nini.
    Hata jina hana wajibu nalo.
    Anaitwa jina lolote la baba n wala hakina kosa lolote.

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 9 місяців тому

    Huo ni ujinga mutupu kubadili jina na hiyo sio sababu huyo mwanamuke anamujua baba wa mtoto mutu mwenyewe ni ni muuza k. Kwa kila mwanaume

  • @gracengunga348
    @gracengunga348 10 місяців тому

    Ndo nnakoelekea

  • @Alykondo99
    @Alykondo99 10 місяців тому +1

    Umefanya uwamuzi mzuri Misa kila siku masimango ya nini

  • @modestamashoke9038
    @modestamashoke9038 10 місяців тому

    Wewe malaika hayajakukuta bora unyamaze tu

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 10 місяців тому

    Kawaida mtoto wa nje ya ndoa yoyote yle mama ndio atapata jina yeye mama atakavyo taka😂😂😂 hkuna baya mbona hpo

  • @Devotha-h5m
    @Devotha-h5m 10 місяців тому

    Hongera kwakuchukua hatua bado mapema mtoto ni wamama apate hidhini kutoka kwa mondi km nani?angekuwa anataka kuombwa angekuwa karibu namwanae

  • @immaculeensabimana2097
    @immaculeensabimana2097 10 місяців тому

    Nic👌

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 10 місяців тому +1

    Kumbe inawezekana ngoja nifanye mpango mwanangu nae nibadilishe cheti chake

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 10 місяців тому

      Huku ulaya unabadilisha. Majina passport si kwambii cheti leo unaitwa Aisha francis kesho ukaitwa mwajuma ndara ndefu mwisho mara 2😂😂😂

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 10 місяців тому

    Idhini gani amemkataa mtoto.

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 10 місяців тому

    😮😢😢

  • @rehemacabdalla1785
    @rehemacabdalla1785 10 місяців тому

    Wacha afute kabisa kila siku anawanaume tofauti mtoto afanani na baba kabisa

  • @WivinaChilizanti
    @WivinaChilizanti 10 місяців тому

    Usiogpe.chimami.hivyohivyo

  • @brendazayumba235
    @brendazayumba235 10 місяців тому

    Hujachelewa ni maamuzi mazuri songa mbele kwanza ilo jina uliolitoa lingemletea nuksi

  • @SophiaMfanga-sn2xv
    @SophiaMfanga-sn2xv 10 місяців тому +2

    Mim mwenyew nimiongon wa kibadil watt wangu majina tena na ndoa tlikuwa nayo

  • @Meaw687
    @Meaw687 10 місяців тому

    Hakuwa mtoto wa diamond yule..

    • @RahmaThann
      @RahmaThann 10 місяців тому

      Alikuwa wa kwako au Maan unaongea km ulikuwa n uhakika wakati wanakutana ulishika mkuu wa Hamisa au vip usiwe unashadidi vitu usivyovijua n haya ni Mapito tu iko siku yatakuwa yako

    • @Meaw687
      @Meaw687 10 місяців тому

      @@RahmaThann humi tetereshi mimi.
      Mtoto sio wa diamond? Mbona kakataa DNA..umbwa wewe you think am scared of your nyef nyef ...koma sana naumaskini wako wa ubongo....shenzi type.his not the father period.

  • @Malaikakisseto
    @Malaikakisseto 10 місяців тому +2

    Ujinga tu! Hakukuwa na haja ya kubadili jina la mtoto ikiwa unauhakika babake ni huyo hata kama amkatae wewe muhudumie ila sio kutoiamini nafsi na akili yako baba habadiliki ungeacha tuu huduma wewe unawéza kujitafuta sana mtoto atakuwa vizuri tu.ila ulichokifanya kwa upande wangu naona umejisaliti mwenyewe na mtoto hata umlee peke yako kama atamuhitaji babake atamfwata tu acha kuamuwa ukiwa na hasira sana au furaha sana.babake kama hataki ni yeye lakini wewe unamtambua ni baba watoto hilonhalibadiliki kamwe kama hataki asage chupa anywe.

    • @danielshonde5497
      @danielshonde5497 10 місяців тому

      Uko vizur malaika

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 10 місяців тому +1

      Kwanini amlazimishe wakati amekataa Tena mara kibao ni Bora alipombadilisha na Hilo jina Kuna haja gani ya kutumia jina la mtu aliemkana mtoto, Hamisa umefanya vema sana.

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 10 місяців тому

      Mi sioni tatizo lolote hapo mtoto akikua akitaka kumjua babake atamtafuta mwenyewe lakini kwa sasa baba hamtaki mtoto