HII NDIO NYUMBA YA MSWAHILI WA KALE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 5 років тому +2

    Mashaallah hii nyuma naiona hasa nyumba ya marehem bibi yangu yaaani mzee umeeleza juu ya mstari ahsante sana

  • @omarame4613
    @omarame4613 5 років тому +1

    babu asimulia vizur by kiswabi swabinna

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 5 років тому +1

    😭😭😭umenikumbushaa bibi yangu wallah awarehemu wazazi wetu ameen

  • @hajihajirajab609
    @hajihajirajab609 5 років тому +2

    Mwenyezi Mungu awajaze kheri.. Historia yetu izidi kutunzwa..

  • @asfarsham9037
    @asfarsham9037 5 років тому

    Biarusi hawajamvalisha kisutu. Otherwise nzuri sana

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 5 років тому

    😁kitu changu cha kwanza kukimiliki mwenyewe ni rafu 😁😁mzee umenikumbusha mbali sana 😁😁😁shukran sana👏👏👏

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 5 років тому

    Nimekumbuk mtungu kiwe na sahani mvunguni kila nikiend kwa marehem bibi Allah amrehemu AMIN yaan adi rahaaa mtungi maji mardiiiii matam yako wapi yale saiv na wali kwenye chungu

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 Рік тому

    Hivo vitu kwetu pemba vipo mpaka leo🙏♥️

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 5 років тому +2

    Ingelisaidia katika kuutangaza utamaduni wetu duniani na kuvutia watalii, vipindi kama hivi kuweka subtitles ya kiengereza pia kama alivyoulizia Yassir, sehemu ilipo.

  • @alrumhali9654
    @alrumhali9654 5 років тому +2

    Yah nivizur kujui ipo wapi hii nyumba tuweze kutembelea

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 5 років тому

    Ah Ahsante sana kwa kweli nimefaidika sana tumejua mengi mm santuri nilikua siijui

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 років тому

    Inapatikanwa wapi io nyumba?

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 років тому +2

    Yaani duh maskini we wapi tena hayo zanzibar

  • @abdillahmohammed6853
    @abdillahmohammed6853 5 років тому

    Ami salim seif huyu ni ami yangu kabisa

  • @maulidhamad3659
    @maulidhamad3659 5 років тому

    Jamani hii nyumba ikowp

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 років тому +2

    Iko wapi iyo nyumba ya Mswahili

  • @ss-pl6yo
    @ss-pl6yo 5 років тому

    Shukuran

  • @alrumhali9654
    @alrumhali9654 5 років тому

    Tujitahid kutunza Utamaduni wetu

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 5 років тому

    Samahani hapana kombe hapo pana sahani tu hapana kombe

    • @khadijamasoud4825
      @khadijamasoud4825 5 років тому

      jamani nimependa hata mm nakumbuka nilipokuwa kijijini nikitumia hando ila mtangazaji chumba cha msuwahili hkina choo

    • @aidajuma3083
      @aidajuma3083 5 років тому

      Makombe ndo wanavoita hata nibi yangu mpaka leo anaita makombe

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 5 років тому

      Si ndo izo sahani zenye mauwa wakti huo aina hizo tukiita makombe