Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ongera dd yng Mungu akutunze azidi kutunza utume wako siku moja ukaimbe pamoja na Malaika kwake juu Mbinguni.
Dada hongera MUNGU AKUBARIKI natamani na Mimi siku moja niwenaimba kama wewe dada
Kiukwel huyu dada akiimva nasisimka natamani nami kumwimbia Mungu kama yeye
Aminaa🧎🧎🙏🙏 Mungu azidi kukukirimia baraka zake nimeipenda hiyo hongera sana
Kristo! Hongera kwa sauti nzuri huwa nakukubali roho mtakatifu akuongoze ktk mavazi miili yetu ni hekalu la roho mtakatifu,ubarikwe sana utume mwema.
Dada ww unajua mungu akuongoze ufike mbali
Despina hujawai kukosea ❤️❤️❤️
Nimekum uka mama angu zamani hongera dada UNAJUA kupatia
Jitahidi ukaimbe na Malaika mbinguni ukamsifu Mungu Muumba. Yashinde ya dunia, Mche Mungu dada yangu. Unaimba vizuri
Nice song I appreciate it ❤
Bravo dear one👏🎉🎉🎉🎉🎉😘😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Despina barikiwa Sana tu
Despina ❣️
❤❤❤❤ umenibarki sanaa
Good song mydear. Ni Wiselady Blessed
Despina Unajua sana. Mungu akutunze
Hongera sana Dada unajua kutubariki
Dada unatisha Sana kipaji chako ni kikubwa sana
Despina hongera sana
Hongera mpendwa Unakipaji cha pekee UBARIKIWE SANA
NICE
Tumuimbie kerubim na kumsifu sarafim Amina.
Kkkt mpo hapo(Mungu twakuimbia)
Hapa ndipo nakuelewa zaidi hongere sana
Safi Despinaaa!!!... Usitusahau Marafiki zako,tunakusubria!!!
Dada ubarikiwe, unasauti nzuri sana
Amen kwa Io Sala.Despina barikiwa sana wimbo quality ya juu sana
Barikiwa sana dada ❤❤
Mmeutendea haki wimbo. unatafakarisha haswaaa👏👏👏
Hongera dada Despina nyimbo nzuri imenigusa, uzid kubarikiwa
I feel bad that I did not see this earlier.. magnificent, amaazing.
Dressing code is on top notch 🤞...Congratulations.
Unaupiga mwingi dyadya unaniinfluence sana Mungu akutangulie❤️
Hongera Sana dada Despina 🔥🔥🔥🔥 nakupenda Sana
What a nice song hongera sana uimbanji mzuri
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤️ Nabarikiwa Sana kila ninaposikiliza wimbo huu, hongera sana
Dada hongera, Ila shauku yangu nikuone live!!
Hata live Yuko vizuri
Me shauku yangu nimuoe kabisa awe ananiimbia chumban
Kbs same to me
More fantastic 🔥🔥🔥🎶🎶💚💚💚
Mbwenu twaija kuuusima 🙏 kwenu wanaimba. Ekitabo kye mpoyia.
Nice song
Hua najisikia amani sanaa kusikiriza huu wimbo dada hongera sana
Nzur sana dada
Hogera 💞
Love you so much my sister, good work.
Wimbo mzuri sn
Barikiwa sana dada
Hongera sana Despina! Tunamshukuru Mungu kwa karama hii.
Atukuzwe Mungu milele!!!!
Nimebarikiwa sana na Wimbo. True Worship
Hongera sana
Amaizing sound ee mwenyezi Mungu niongoze.
Hongera sana wimbo mzur sana
Hongera sana Despina na Gallax pro
One of my favourites. Congrats Despina.
Mungu akuzidishiye nguvu yakumsifu Mungu kwa kuimba ili siku moja site tiimbe Na Malaika mbinguni.
Vazi siyo, kabisa mabega wazi si staha mbele za Mungu.Ila Umeimba vizuri.
Best 🙏💖
Uimbaji mzuri sana
Nice songs 😋
Mungu akusaidie dada
What angelic voice
Excellent work, moja ya nyimbo nilikuwa naisubiri kwa hamu sana
Asante sana dada...a prayerful mood indeed 🙏
Wau umependeza sana mwaya na sauti yako Mungu akujalia
Simply divine✨
Mungu awe upande wako dada kipaji chako kidumu na kukua
Tumsifu Mungu daima na milele
Utukufu ni kwa Mungu juu! Hongera sana sana kidearrr. I love it 💓
May the lord keep you to sing more songs for him hongera sana
Desipina unashusha mbingu jamani
Hongera sana. Prayerful and meditation mood song. Asante sana
Lovely ❤ song Despine May God continue blessing you🙏🏼
Barikiewa sana
My favourite song with my favourite singer.
I wish tufanye kolabo nawe
Amina sana Mamy 🙏
Down in adoration we fall🎼✨✅🎶🎵✔💯😋🤗🛐⛪
asante xana
Hongera nyingi
Hongera dadaetu mtafute Mungu kwa bidii madam anapatikana achana na mambo ya papa maana kiongozi kupofu atawpeleka shimoni
Hujielewi
Hongera Despina. That's an excellent performance
Well done my lovely sister ❤️💞 🌹
Lovely 😊
Nzurii mi naomba nijiunge niimbe na wew naomba namba ako
Muwe mnaweka na lyrics inapendeza sana. MF ubeti wa mwisho siuelewi kabisa sijui maneno gani najitahidi kukaza masikio lkn hamna!!!
Usichokijua ni usiku wa giza kinene. LOBA atukuzwe
Kwathu Ku Malawi timati titame mtanda wa Yesu done by St Patrick's parish choir 1 area 18 Lilongwe
Inafika unahisi upo angani na unapepea na maraika
Omeonge kweli kabisa huyu dd anajua zaidi ya kujua Mungu azidi kumtunza katika Utume wake
Amina, kazi nzuri sana
Nzuri
👏👏👏👏👏❤️🙏
Angelic👌👌👌👌
Waibaji wa siku hizi mnavaa vibaya
🥰🥰🥰
❤❤❤❤
Nikiona wimbo wako lzm niusikilize
🔥
Salute to her
Ongera dd yangu wimbo mzuri Sana Mungu akutangulie katika utume wako
Hiyo sauti ya kiume background ni nani
Excellent voices
Ameimba yeye sauti zote
Hah
Hongera dada Despina,umefanya kazi nzuri sana,kiukweli umetufanya tusali
Mungu akubariki mnoo
❤❤❤
Ongera dd yng Mungu akutunze azidi kutunza utume wako siku moja ukaimbe pamoja na Malaika kwake juu Mbinguni.
Dada hongera MUNGU AKUBARIKI natamani na Mimi siku moja niwenaimba kama wewe dada
Kiukwel huyu dada akiimva nasisimka natamani nami kumwimbia Mungu kama yeye
Aminaa🧎🧎🙏🙏 Mungu azidi kukukirimia baraka zake nimeipenda hiyo hongera sana
Kristo! Hongera kwa sauti nzuri huwa nakukubali roho mtakatifu akuongoze ktk mavazi miili yetu ni hekalu la roho mtakatifu,ubarikwe sana utume mwema.
Dada ww unajua mungu akuongoze ufike mbali
Despina hujawai kukosea ❤️❤️❤️
Nimekum uka mama angu zamani hongera dada UNAJUA kupatia
Jitahidi ukaimbe na Malaika mbinguni ukamsifu Mungu Muumba. Yashinde ya dunia, Mche Mungu dada yangu.
Unaimba vizuri
Nice song I appreciate it ❤
Bravo dear one👏🎉🎉🎉🎉🎉😘😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Despina barikiwa Sana tu
Despina ❣️
❤❤❤❤ umenibarki sanaa
Good song mydear. Ni Wiselady Blessed
Despina Unajua sana. Mungu akutunze
Hongera sana Dada unajua kutubariki
Dada unatisha Sana kipaji chako ni kikubwa sana
Despina hongera sana
Hongera mpendwa Unakipaji cha pekee UBARIKIWE SANA
NICE
Tumuimbie kerubim na kumsifu sarafim Amina.
Kkkt mpo hapo(Mungu twakuimbia)
Hapa ndipo nakuelewa zaidi hongere sana
Safi Despinaaa!!!... Usitusahau Marafiki zako,tunakusubria!!!
Dada ubarikiwe, unasauti nzuri sana
Amen kwa Io Sala.
Despina barikiwa sana wimbo quality ya juu sana