Ningekuwa Mimi ni DOROTH NGWAJIMA WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII NA WTT ,HUYU BABA NINGEMPA TUZO YA DHAHABU NA HUYO MTT NINGEMSOMESHA MM KAMA WAZIRI. SO, kwa kuwa mm ni mkulima flani tu hivi Sina uwezo huo ,kazi yngSasa kuiombea hii familia Mungu azidi kuibariki Kila iitwapo leo❤❤❤❤
Nitumie namba ya huyu Baba. Binti yangu alivaa kiatu kilichochanika wakati baba yake alikuwa mtu mkubwa sana serikalini😢😢😢. Nilipambana. Nilipimwambia Baba yake anisaidie basi hata hela ya kiatu cha shule kwa kuwa mambo mengine yote nafanya mwenyewe. Alinijibu mfundishe mtoto wako kutunza kiatu. Kiatu pair moja inatunzwaje jamani baada ya kutumika miaka miwili😢😢😢😢😢. Naomba nitoe sadaka ya kiatu cha mtoto. Binti Atafika mbali. Nimesimama na binti yangu kwa machozi. Naye ananitia moyo anaserereka kuishi ndoto yake. Anafanya vizuri.
Hongera sana mzazi hakika wewe ni baba unaetambua haki ya mtoto wa kike na SI kubagua watoto kama baadhi ya wazazi wanao bagua watoto na kuona wa kiume tu ndo wanafaa kusoma yaani nimekupenda mpaka nimekupenda sanaaaa❤
Unakuta hata shule anay soma mtot wake anaijua jina lakin kuiona hajawah utaskia nna binti yangu anasoma kibamba dars la6 nyooooooh wanaboa sasa nd umwmbie kuna kikao shule yn haendi hatakam hajaend kzn vikao vyot ni mama chefuuuu et baba baba mchezo kuna baba alaf kuna MIBABA😏
Hongera sana mzazi,mtoto mwenyewe anaringa na baba yake na anafuraha sana ya kupendwa.Mungu akubariki na kumtunza binti yako afanikiwe katika maisha yake.
Pole ndugu yangu Simama kama Mama wape Furaha watoto wako wanaume tuwaombee tu ili Mungu awabadilishe ni wengi wako hivyo siyo huyo wa kwako tu. Pambana shoga angu
Hongera mm babaangu alikataa nikisoma akanitafutia mume na nilivyokataa akanipiga vibao mateke nikakumbia nyumbani mpaka Leo sijarudi naumia ningesoma ningekua mbali sasaivi nalia maana msichana nafanya kazi za saidia fundi kubeba zege nabeba mitoroli inaniuma sana na sijui alinilaani sijapata hata mume Hadi Leo ila mungu yupo IPO siku tu
aiseee huyu baba ni zaid ya mzazi jmn..nataman wababa wengi muige kutoka kwa mwenzenu; kingine mdogo wang hongera kwa kumpata baba mzuri jitahid kusoma mdogo wang ili uzid kumfurahisha babako
ucumie babaang kwa kutukanwa..wewe ndio baba bora kabisa hata me nmejivunia wewe asante sana baba ang👏👏👏👏👏
Hongera sana baba ni wachache wenye upendo huo
Ahsante kwanza me hadi nimetokwa machozi kwa furaha. Barikiwa sana baba
Ningekuwa Mimi ni DOROTH NGWAJIMA WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII NA WTT ,HUYU BABA NINGEMPA TUZO YA DHAHABU NA HUYO MTT NINGEMSOMESHA MM KAMA WAZIRI.
SO, kwa kuwa mm ni mkulima flani tu hivi Sina uwezo huo ,kazi yngSasa kuiombea hii familia Mungu azidi kuibariki Kila iitwapo leo❤❤❤❤
🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️
Amina Amin
Amiin❤
Comment of the year! Amiin🙏
Bless up ❤️🥰
Sijui nalia nini! Yaani huyu binti anatakiwa apambane sana ampe faraja mzazi wake! Mwenyezi Mungu akujaalie uweze kushuhudia mafanikio ya mwanao!
Pongezii kubwa mzazi mwenzangu kuna lakujifunzaa🎉🎉🎉🎉🎉
Akishafanikiwa atasema nani kama mama😢😢daah kwa nyie mlopata mapenzi ya baba zenu msiwasahau jamani😢Mungu awasaidie🤲🙏🏻
Hongera baba bora Namuomba Allah amfanyie wepesi mwanao aweze kufaulu pamoja na wote walofanya mitihani waweze kufaulu Aamiyn
Motivation nzuri sana ila wenye akili timilifu pekee ndio wanaokuelewa.
Hongera sanaaaaa mzee mana umeonyesha upendo wa hali ya juu,wewe ni baba bora na mfano wa kuigwa aisee,umetisha mnoo
Nitumie namba ya huyu Baba. Binti yangu alivaa kiatu kilichochanika wakati baba yake alikuwa mtu mkubwa sana serikalini😢😢😢. Nilipambana. Nilipimwambia Baba yake anisaidie basi hata hela ya kiatu cha shule kwa kuwa mambo mengine yote nafanya mwenyewe. Alinijibu mfundishe mtoto wako kutunza kiatu. Kiatu pair moja inatunzwaje jamani baada ya kutumika miaka miwili😢😢😢😢😢. Naomba nitoe sadaka ya kiatu cha mtoto. Binti Atafika mbali.
Nimesimama na binti yangu kwa machozi. Naye ananitia moyo anaserereka kuishi ndoto yake. Anafanya vizuri.
Pole ndivo ivo wamama tunapambana na watoto wetu
Hongera kupambana jinyime leo ila kesho vitakujia
Hongera sana baba🎉🎉🎉 ❤❤ hao wanaomwambia mjinga, ndiyo wakimbia majukum.
Nimeipenda sana.Baba Ongera sana umeonyesha mfano nzuri
Hii IDEA, nimeipenda na nimeichukua
Hongera sana baba kwa supplies nzuri kwa mtoto na wote watanzania
Big up kipenziiiiiiiiiiii changu najua wengi hawakuelewi familia yako tunakuelewa sana❤❤❤❤ our family comedian 🌹🌹❤️❤️
Mama G🎉🎉🎉
Mungu akulinde na mwanao❤❤❤
Hongeraaa Baba bora 🎉🎉
Katka hii nchi huyu ndo mwanaume wakwanza kujali watoto kuliko yeyote❤❤❤❤❤ UMETUFUNDISHA SAÑA WANAUME
Best dady ever 🎉
Nasikia machozi hongera baba bora tz,,,,Hawa wengine mpaka umpeleke ustawi wa jamii ndio waangalie watoto
Hongera sana mzazi hakika wewe ni baba unaetambua haki ya mtoto wa kike na SI kubagua watoto kama baadhi ya wazazi wanao bagua watoto na kuona wa kiume tu ndo wanafaa kusoma yaani nimekupenda mpaka nimekupenda sanaaaa❤
Nimekuelewa baba hongera Sana baba.
Hongera sana babaa ni upendo sana mkubwaa aisee ❤
Wewe ni baba Bora ingekuwa wanaume wote wako hivyo kudingekuwa na machokora Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu, afya na maisha marefu inshaallah
Hongera baba
Mibaba mingine haijui hata mtoto yuko darasa la ngapi na hata walimu mzazi hajulikani 😢
Ipo ipo tu kama misenge
😂😂😂
@@ashurajuma4837 nimecheka hatari😂😂😂😂
Unakuta hata shule anay soma mtot wake anaijua jina lakin kuiona hajawah utaskia nna binti yangu anasoma kibamba dars la6 nyooooooh wanaboa sasa nd umwmbie kuna kikao shule yn haendi hatakam hajaend kzn vikao vyot ni mama chefuuuu et baba baba mchezo kuna baba alaf kuna MIBABA😏
@@SwaumChawage 😂😂😂😂harafu mtoto akijakuwa ndo unashangaa analeta tumbo lake 😏😏
Wala ujakosea baba kila mtu akipata furaha anajinsi yake ya kufuraiya 👍👍👍👍🙏
Pongera sana baba yakee😂😂😂
Hongera Baba kuvaa sare ya Shule kumtia moyo mtoto wako
This lady is blessed to have yu as a father...proudly dad❤
The best daddy ❤❤❤ Tanzania nzima
Hongera sana kwake mzazi, hii ni mojawapo ya motisha kwa mtoto
Mungu akubariki ktk hilo na Mungu wa mbinguni akutane na haja ya moyo wako baba mwema!!
Kweli we niBaba wakuigwa kulko wale wabakaji
Hongera Sana BABA wewe Ni baba wa kuigwa Sana 🎉🎉❤❤
Hongera sana mzazi,mtoto mwenyewe anaringa na baba yake na anafuraha sana ya kupendwa.Mungu akubariki na kumtunza binti yako afanikiwe katika maisha yake.
Hongera sana baba.wew ni mzazi Bora Kwa mwanao.
Hongera sana...Baba wa mfano.
Hongera sana! Wewe ni baba bora sana!
❤❤❤❤ ningekuwa karibu na baba angu kama hv ninge enjoy
Mtoto anatakiwa ajue upendo wa dhati toka kwa baba yake kwake ajitahidi ktk masomo yake ili kurudisha upendo kwa baba,hongera Baba kwa malezi bora
hongera sana sana kiukweli nimipenda sana ❤❤❤
hongera sana baba,umefanya kitu tofauti sana,huo upendo una maana kubwa sana,
HATA MIMI,NIMEPENDEZWA SANA...NA PONGEZI HILI..
-NAMI,NAMPONGEZA SANA
Hongera sana baba umetuwakilisha vema
Hongera sana baba Mungu azidi kukupigania ww na mwanao
Dah! Wewe baba ni wa kipekee sana,na ni baba wa mfano sana,endelea kubarikiwa.
Hongera baba bora ningependa mume wangu awe anacheka na kuijoy na watoto kama ww
Kwaiyo dd shemej acheki na watoto
@@NewNew-ep5dq kama jini Yani 🤣🤣
@@NuruJara😂😂
Pole ndugu yangu Simama kama Mama wape Furaha watoto wako wanaume tuwaombee tu ili Mungu awabadilishe ni wengi wako hivyo siyo huyo wa kwako tu. Pambana shoga angu
@@RosemaryMalya Asante mwaya
Kiukwel hii ni surprise dah hongera sasa baba kwa kumtia moyo mdogo wetu
MNGU AWALINDE na mwanao insha'allah
Nafikiri huyu baba ukimchezea huyo mwanae atakuua
😂😂😂😂😂
Lazima mzazi uwe na motisha kwa mtoto wko ndio wawe na mambo kwenye masomo❤❤❤
Upendu wa juu kabisa mutoto asome nguvu yipo
Kweli kabisa maana kajtaidi sana.
Hapana ila ana upendo sana kwa mwanaye
hongera baba nimependa
Kaskazini mnayaweza ongera baba
❤❤❤😊😊
Nikweli baba umependeza big up kumupa nguvu mtoto wako❤❤❤❤❤❤
Kwakweli Mungu akubariki kwa upendo na kumtia moyo mwanao.
Umenifanya nitoe machozi,ni wababa wachache wenye uthubutu kama huyu baba hongera sana Mungu amsimamie mwanao Ili afikie malengo yake
Pongezi kwako Baba bara mi nimefulai sanaaa kuona upendo wako kama baba nani kama baba
Hongera Sanaa Baba..
Mungu akubariki baba bora🙏🙏❤️
Hongera.sana.tena.sana❤❤..nimependa
Hongera mm babaangu alikataa nikisoma akanitafutia mume na nilivyokataa akanipiga vibao mateke nikakumbia nyumbani mpaka Leo sijarudi naumia ningesoma ningekua mbali sasaivi nalia maana msichana nafanya kazi za saidia fundi kubeba zege nabeba mitoroli inaniuma sana na sijui alinilaani sijapata hata mume Hadi Leo ila mungu yupo IPO siku tu
@@AbisinaRashidi-c8d pambana,iko siku Mungu atatimiza hitaji lako... ukiona umri wasonga..tafuta mtoto 1, akili okay sawa
Pole sana,Mungu akupiganie
Duh ! Ujumbe mzito sana. Hongera sana mzazi.🤔
Love you baba.hongera.
Baba anaupendo huyu!
Hongera baba❤
Nimeipenda Sana,Mimi na mume wangu tunawajali Sana watt wetu😊
aiseee huyu baba ni zaid ya mzazi jmn..nataman wababa wengi muige kutoka kwa mwenzenu; kingine mdogo wang hongera kwa kumpata baba mzuri jitahid kusoma mdogo wang ili uzid kumfurahisha babako
Nimeipenda na nitaitumia wakati wa mafali ya mwanangu... Nimependa kabisa
Sana yani
😆😆😆
Nitakufatiria kuanzia leo hadi siku ya maafali ya mwano jirani
Mi pia
Hogera baba hawa ndio wazee tunatakaa sio wale wa kubaka bint zao
Hongera baba ❤
Mungu akulinde mdumu milele namsizeeke
Hongera saaana baba😂😂😂❤
Dah ❤❤❤❤ safii kabisa 🙏🙏
Vzr sana we we. Ni baba bora
Binadamu huwa hawana jema wamuache mtu....hayo ni mapenzi makubwa sana kwa mwanae na mungu ambariki aendelee kumjenga mwanae kwenye misingi ya elim.
The great man!!
Hongera sana, we wa mfano wakuigwa
Hongera sana 🎉
He used to be a good friend of mine. Ana vituko vilivyopitiliza tuliwahi kumpachika jina la saa mbovu. Lkn mwenyewe anajiita Big time
Kwa kituko hiki yuko vizuri sana.
Huyu ni baba bora kwa binti yake. Wala sio mwehu wala taahirani kama wanavyomchukulia, bali ni super baba. Ninampongeza mno.
Hongera baba
Hongera baba kwa kujali
Hii imeshawai tolewa na waziri Fulani kwenye should ya wasichana alivaa safe za shule,kiukweli ni baba bora sana❤
Hongera sana baba bora
Congrats 👏
Mungu akutunze mwanao apate hekima nying kutoka kwako
Safi sana, nimefurahi sana.
Congratulations🎉🎉🎉🎉
Dah naomba kuolewa na huyu baba please 😊
Na mm nakupongeza baba hongera ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂😂😂
Kibinti kizuur 🔥
Hogera sana baba
Safi sana mjomba wangu
Safi sana nakupongeza
Ayo Hebu wekeni namba ya simu ya huyu Mwamba tumtie Moyo Dogo aende shule bora kabisa
Ukiambiwa kuna baba mwengine hajui hata mtoto wake anakula Wala analala vpi? yan baba Mungu akuweke uje kula matunda ya mwanao.
Mbona Joti kila mara anaekti kama mwanafunzi na sare na mbona hawamuona taahira? Big up mzazi
Baba uko vzr
Nimeipenda Hii
Jamaa umetoboa mda c mrf nakuona kuleee
Kwa tz yetu umeshatoboa✌️✌️
sifanyi io kazi kamwe😊
Fanya zako achan na wengine
Safi sana!
Huyu ndiyo baba
Huyu ni baba bora kama alivyo babaangu