wimbo huu unanipa kumbukumbu tele.Mara yangu ya kwanza kuusiakia huu wimbo nilikuwa mtoto mdogo hapo Nairobi kwenye maonyesho ya Nairobi international agriculture show kwenye kibanda chaTanzania "Tanzania stand". Bendi hii ya safari trippers ilikuwa baadhi ya bendi kadhaa za Tanzania zilizokuwa zimealikwa kutumbuiza kwenye kibanda hicho. Sawa na kama vile Morogro jazz band na pia" mzee moris na ngoma zake kumi " walivyo kuwa wamealikuwa mwaka wa sabini katika maonyesho ya Tokyo Japan.I WAS SO YOUNGI WAS ABLE TO MEMORIZE THIS SONG THAT VERY SAME DAY at one stand.i stood there in the hot Nairobi sun all day that day and never visited another KIBANDA that day.I have since relocated andnow live in new York city and oh what a pleasant surprise kuusikia huu wmbo pamoja na " usiache mbachao kwa msala upitao by same band.,You should give it a listen..UTAUPENDA POA.
i dont know for how long i have been searching for this song, im more than happy i found it last! once upon a time there was music, this is music right here.
Leonard Mambo Mbotela loved this song.Not a single day he was in VOK ,later KBC that he didn't play it.. I used to listen to the song, on radio until a bought the vynil record and later a cassette of collection of Marijan Rajab songs ..In 2024 I am still listening to the song and loving it more..
What an iconic song, takes me back to 1973 when it was very regularly played on VoK in Nairobi. Leonard Mambo Mbotela would play this number quite often.
Kuzaliwa ni 1992 nimepata kusikia wimbo huu mara kwa mara Radio Tanzania RTD since 2000 bila kukosea na nilikuwa natamani sana kuusikia tena luckily uko hapa UA-cam
Mdogo wangu Power Nguzo, Inatia mkuki moyoni nikijiuliza ni jamii gani inayoweza kuwaacha Jabali la Mziki,Marijani Rajab na kabla yake Soloist National,Mbaraka Mwinshehe Mwaruka kufa wakiwa masikini!!!!! Ni jamii ya aina gani,narudia? Salam toka hapa London,England.
Thanx bro, yaani natamani kila leo niwe naskia sauti ya Jabali la mziki Marijani rajabu. He is my best musician. Kila nyimbo huiimba kwa hisia stahiki.
This guy was a genius. The lyrics, the flowing poetry and the super-engaging vocals are what makes this an evergreen jewel of a tune. Marijani Rajabu; I salute. RIP
Great song from Marijani Rajaab. Very educative songs. He died a poor man , but his riches go beyond with our hearts filled with much gratitude. We still remember you and do so forever.. Dr. Ogeto International
Huu mwimbo kwa mara ya kwanza kuusikia,nilikuwa kidato cha pili Mazengo sec 1973 tukisikikiza 10,bora za wk kila jumapili saa 2usk kwenye holi la chakula
Extensively popular in its heyday.... friends of mine in those far off days would literally swear by it....as times go by one appreciates the beauty of the number!!
Wanazengo naomba kujua nyimbo iloimbwa ambyo moja kati ya mashair yake ni" wenzako wote wanakwenda kutizama ndugu zao,wengine wanakwenda kucheza sokomoko" nakumbuka kipande hiko tu aisee...naomba msaada kwa mwenye kuijua hii song
Muziki wa dansi wa zamani ulikuwa ni darasa tosha kwani ulikuwa unaelimisha unatoa nasaha mambo yauchumi na utamaduni na uvaaji ulikuwa wa stara zaidi kuliko huwezi kujua mke ni yupi na mume ni yupi
KIUKWELI huu wimbo Mara ya KWANZA niliusikia ulipotoka 1974 NAKUMBUKA siku nasafiri likizo ya mwisho wa mwaka tumefunga shule ndani ya gari Moshi tokea Tanga naenda nyumbani Moshi muda wajioni kabisa Kuna jamaa ana REDIO yake national 277 kipindi Cha jioni idhaa ya taifa RTD WIMBO unapigwa tunapata BURUDANI, Huu wimbo ndio WIMBO WANGU Bora kwa safari tripers nanimeuweka Kama ringtone kwenye simu yangu
Mkuki moyoni, hatari sana, mpo mnaosikliza wimbo huu siku hizi.Weka maoni yako.
Mimi nasikiliza sana,nilikua nzisikia hapo awali nilipokua mdogo sana
Hizi tunazisikiliza sana. zinatukumbusha mbali. Enzi zile baba asikununulie kiatu kinaitwa Oshwal, kilikuwa kimechongoka mbele, kikaitwa 'mkuki moyoni!'
wimbo huu unanipa kumbukumbu tele.Mara yangu ya kwanza kuusiakia huu wimbo nilikuwa mtoto mdogo hapo Nairobi kwenye maonyesho ya Nairobi international agriculture show kwenye kibanda chaTanzania "Tanzania stand". Bendi hii ya safari trippers ilikuwa baadhi ya bendi kadhaa za Tanzania zilizokuwa zimealikwa kutumbuiza kwenye kibanda hicho. Sawa na kama vile Morogro jazz band na pia" mzee moris na ngoma zake kumi " walivyo kuwa wamealikuwa mwaka wa sabini katika maonyesho ya Tokyo Japan.I WAS SO YOUNGI WAS ABLE TO MEMORIZE THIS SONG THAT VERY SAME DAY at one stand.i stood there in the hot Nairobi sun all day that day and never visited another KIBANDA that day.I have since relocated andnow live in new York city and oh what a pleasant surprise kuusikia huu wmbo pamoja na " usiache mbachao kwa msala upitao by same band.,You should give it a listen..UTAUPENDA POA.
I bought the single inDecember 1975 in Nakuru on my way home for school holiday. Sauti yako nyoro is another wonderful hit
Mimi ni kijana wa 30's lakini hizi nyimbo za zamani ndio zangu. Marijan Rajab moja ya wanamuziki bora kabisa kupata kutokea hapa Tanzania
Hello am Edwin niliskiza wimbo huu Nikita mchanga sana Nairobi in the 80's
Nimezaliwa 1998 lakini naona ni nyimbo nzuri kuliko hizi za kizazi chetu jamani.
Vumilia unapenda za wahenga!
i dont know for how long i have been searching for this song, im more than happy i found it last! once upon a time there was music, this is music right here.
This is the music we want instead of kizazi kipya with no good message
@@alfredwayu278 you are right. Whatever they sing these days is sad 😢
@@elizabethtatu6838 congrats
@@elizabethtatu6838 karibu Eliza. Enjoy
Such talented guys...I love the song.
One of the best composition of our times.great work indeed
This guy, Marijani Raajab was extremely talented. RIP
Leonard Mambo Mbotela loved this song.Not a single day he was in VOK ,later KBC that he didn't play it.. I used to listen to the song, on radio until a bought the vynil record and later a cassette of collection of Marijan Rajab songs ..In 2024 I am still listening to the song and loving it more..
What an iconic song, takes me back to 1973 when it was very regularly played on VoK in Nairobi. Leonard Mambo Mbotela would play this number quite often.
Kuzaliwa ni 1992 nimepata kusikia wimbo huu mara kwa mara Radio Tanzania RTD since 2000 bila kukosea na nilikuwa natamani sana kuusikia tena luckily uko hapa UA-cam
Mdogo wangu Power Nguzo,
Inatia mkuki moyoni nikijiuliza ni jamii gani inayoweza kuwaacha Jabali la Mziki,Marijani Rajab na kabla yake Soloist National,Mbaraka Mwinshehe Mwaruka kufa wakiwa masikini!!!!!
Ni jamii ya aina gani,narudia?
Salam toka hapa London,England.
Also Hemedi Maneti
Huu wimbo una mengi ,
Kama pia Rhoda wa lokasa ya mbo ngo ,
Pole ndugu kwa mkuki wa moyo .
Been looking for this for many years. I used to hear it on KBC
Hakika enzi hii haitasahaulika kwa wale tuliocheza rumba hili mungu awapumzishe mahali pema kwa kazi nzuri walizofanya
Hiki kibao nilikuwa nakisaka sana kaka, hakika nafarijika sana...zingatia mi ni kijana wa sasa ila ni mwiba mkali kwa nyimbo za kale
Thanx bro, yaani natamani kila leo niwe naskia sauti ya Jabali la mziki Marijani rajabu.
He is my best musician.
Kila nyimbo huiimba kwa hisia stahiki.
I just feel the beat! Awesome arrangement. Those were the days when music was for entertainment. Massive talent!
Reminds me of the Program "Wajue wana muziki" by MDJ Eddy Fondo on VoK, Kenya.
Memories!!
in Germany.
sure, the best
And Ali Sali Manga too used to air that program
Hizi ndizo nyimbo bwana. Zinanikumbusha mbaaaali
Nimekosa la kuongeza .
Ila tuu ,
Wimbo mtamu huu
Nimeulingasha na Sofia wa lokasa .
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
My best songs reminds me of the only broadcasting studio KBC those years
Huu wimbo ulirekodiwa katika studio ya Chandarana mjini kericho nchini Kenya mnamo mwaka wa 1974
Ala! Kericho? I thought this was a Tanzanian Band.
Tanzanians never had any recording mechanism ,They used to come to Kenya to record their songs,The likes of munishi,@@tomlepski8306
@@tomlepski8306yes it was Tanzanian band maybe it just went to record in Kericho but the band was residing at dar es salaam.
The best song in all time...
This guy was a genius. The lyrics, the flowing poetry and the super-engaging vocals are what makes this an evergreen jewel of a tune. Marijani Rajabu; I salute. RIP
True
Thanks alot for this add. I've looked for this song long. Thank you for memories.
Very nice composition in deed, thank you. Nice music makes the heart rejoice. don't worry about dislikes, those are robots at work, not human.
Sweet memory when I was young in late 1993...
Soothing music,
The soul is at peace when you listen to this masterpiece.
I THINK THIS WAS THE VERY BEST SONG BY MARIJANI
Try also "Mwanameka" for poetic beauty.
This man was a real lyrist, listen to Zuena, Georgina as well. Mistari juu ya mistari.
Nyimbo Kama imetoka mwaka huuu kumbe kitambo
Great song from Marijani Rajaab. Very educative songs. He died a poor man , but his riches go beyond with our hearts filled with much gratitude. We still remember you and do so forever.. Dr. Ogeto International
Long time searching for this song mkuki moyoni,i have already downloaded it
Sina la kusema nipo la sita 1979 msata shule ya msingi
Machozi TU yamenilenga yani hata sifahamu hisia hizi kubwa. Leo 12/12/18 nalia bado Rest In Power jabal la muziki marijan
Kibao kamili enanijiya kwenye ndoto pumuzika marehemu
From bottom of my heart to my spine to nervous system it penetrates through it hola up old boys song
Da mkuki Mohoni fasihi ya mana sana Rest In Peace jabali la muziki
This makes me want to fall in love. Such a piece of art!
Mimi naupenda sana huo wimbo. Sichoki kuusikuliza daima.
This music takes me back to eighties and nineties... nostalgic
This song was in 70's
I HAVE BEEN LOOKING FOR THIS SONG ALL OVER !
Marijani alianza music akiwa bado anasoma tambaza school je ilikuwa mwaka gani tukumbushane
I love this song just the way Leonard Mambo Mbotela Mzee wa kazi formerly at KBC
Ulinijoma mkuki moyoni 😢😢😢😢
One of my best song although nikija wa miaka 20+...
Best ever from Jabal la muziki
Msisha zamani yalikuwa matamu kweli na nyimbo kama hizi!
Great pipes from Marijan !
nimetuliza moyo wangu kwa kukipata hiki kibao, nakipenda saaana.
Mpenzi baba lala salama. Nalengwa machozi...kumbukizi@@@
Hizo nyuzi kwa kweli zinanikumbusha mbali na maneno ya hekima
Thnx bro nguzo....Jabali hapo Marijan Rajabu
Finally i got it Have Been looking for it for almost one Year.
Niiice! .a great song indeed
Huu mwimbo kwa mara ya kwanza kuusikia,nilikuwa kidato cha pili Mazengo sec 1973 tukisikikiza 10,bora za wk kila jumapili saa 2usk kwenye holi la chakula
kazi nzuri sana, mwinamila ungeongeza nyimbo zake, na nyinginezo zote, hongera kwa kazi hii nzuri sana.
Ahsante sana kwa kibao hiki. Nimekuwa nao katika ukanda wa tape lakini hiki hapa is clearer.
uzisheshe uzuri wa tabia!!!!!!!
Extensively popular in its heyday.... friends of mine in those far off days would literally swear by it....as times go by one appreciates the beauty of the number!!
Wanazengo naomba kujua nyimbo iloimbwa ambyo moja kati ya mashair yake ni" wenzako wote wanakwenda kutizama ndugu zao,wengine wanakwenda kucheza sokomoko" nakumbuka kipande hiko tu aisee...naomba msaada kwa mwenye kuijua hii song
"Huo uvivu gani,si uvvivu ni uzembe" x2 "wenzenu wote wanakwenda kutazama Ndugu zao na wengine wanakwenda kucheza sokomoko" x2
All musicians of the day should be arrested and kept quiet forever. This is the real music, therapeutic
Hiyo ni mwaka 1978 std III Loo shule ya Msingi, Marijani Rajabu, Mbaraka Mwinyishehe,Mungu awalaze pema peponi
wapi enzihizo nyange?
Nyange shule ya msingi wapi ulisoma?
haishi hamu kusikiliza naipenda sn
my best zilizopendwa song,inanikumbusha mbali!!
utunzi mzuru kabisa uaoendana na mapigo ya vyombo vya kisasa na kiasilia .nyimbo inaliwaza kabisa
Am 30 yrs and I love this😃😍😍😍😍😍😍
Dah!sjui tutakuja kupata wasanii wa namna hii tena 01.02.2019
hiyo kidato cha pili Tambaza ..Tambaza oyeee
Mwaka gani mkuu….??Marijani alisoma Tambaza pia na muziki aliaanza akiwa bado shule Tambaza.
Mwamb namwaminia sana
I like this song
Asante bro kwa kutupa burudan adimu
Mkuki moyoni wa Marijani Rajabu unanikumbusha. Tukiwa tunaishi ubena zomozi estate.
Love the song....!
Sielewi tunaelekea wapi. Hadi najionea huruma kuishi kizazi hiki. Hawa ndo waliishi sisi tunakaa.
Continue to rest in artenal peace" Doza" Marijani Rajab
Unanitesa unaniumiza unanichoma mkuki moyoni
July 2019... Forever golden
RIP wapendwa wetu
Muziki wa dansi wa zamani ulikuwa ni darasa tosha kwani ulikuwa unaelimisha unatoa nasaha mambo yauchumi na utamaduni na uvaaji ulikuwa wa stara zaidi kuliko huwezi kujua mke ni yupi na mume ni yupi
Usidhani najipendekeza….uzidishe uzuri wa tabia...
KWELI JABALI VYOTE VING'AAVYO SI DHABU HATA SHABA IKING'ARISHWA INANG'AA
Uzidishe uzuri wa tabia
kumbukumbu isiyofutika mziki wa akili asante sana kwa UA-cam leo hii tunaendelea kupata vilivyo bora kama hivi.11.11.17.
KIUKWELI huu wimbo Mara ya KWANZA niliusikia ulipotoka 1974 NAKUMBUKA siku nasafiri likizo ya mwisho wa mwaka tumefunga shule ndani ya gari Moshi tokea Tanga naenda nyumbani Moshi muda wajioni kabisa Kuna jamaa ana REDIO yake national 277 kipindi Cha jioni idhaa ya taifa RTD WIMBO unapigwa tunapata BURUDANI, Huu wimbo ndio WIMBO WANGU Bora kwa safari tripers nanimeuweka Kama ringtone kwenye simu yangu
2023 Nov
hivi hao wanaogonga dislike wanatokea wapi katika dunia hii?
Heheheee, henry, labda ni roboti
Especially over the weekend
good one
Leo baada ya kazi na uchomvu mwingi ni Safari Trippers tu....
Na ...si rafiki mwema
Ugomvi mbaya n.k.
Unanikumbusha enzi za utoto kule nyumbani Handeni,Tanga
Pot of gold
2025 gather here!🥰🥰
should be a gospel music😀😀😀
Mawaidha
ooooooooh, my!!!
waw
Kudos
good to go!