This group was without a doubt very good.....l however did observe that apart from a focus group of fans and radio play of a very small selection of its otherwise very extensive body of work.... recall DJs like Eddie Fondo, Katana, James Abila et all.....Kenyans went by without fully appreciating its creativity.....My verdict...we missed a real golden opportunity...but I will be eternally grateful for the good friends who introduced me to the music of Safari Trippers!!!
Huu wimbo dada mmoja alimwona Marijani, akampenda, akampelekea barua kisha akatoweka. Marijani kufika nyumbani na kuifungua akakuta hayo maneno kaandika yule dada. Ilikuwa ama kwenye matembezi fulani au sherehe, na Marijani ndiye alikuwa hapo mbele. Sasa sijui kama walikuja kuonana tena baada ya mavumilio hayo. Marijani ameimba nyimbo nyingi sana baadhi zikiwa ni visa vya kweli.
Kila ninapousikia huu wimbo nakumbuka siku nilipokuwa narudi likizo nyumbani Moshi KUTOKA korogwe baada yakufunga shule pale old korogwe prymary school mwaka 1974 wakati huo nimesafiri na gari Moshi la mkaa maarufu cent car Basi ile muda wajioni kabisa hicho kibao lilikuwa kinapigwa idhaa ya taifa kwana jamaa alikuwa na redio take national band 2 tukawa tunasikiliza kuputia Masada ya short waive

Wooow. Lived close to Chang'ombe Maduka Mawili. Old is Gold. Nice memories.
Huu wimbo dada mmoja alimwona Marijani, akampenda, akampelekea barua kisha akatoweka. Marijani kufika nyumbani na kuifungua akakuta hayo maneno kaandika yule dada. Ilikuwa ama kwenye matembezi fulani au sherehe, na Marijani ndiye alikuwa hapo mbele. Sasa sijui kama walikuja kuonana tena baada ya mavumilio hayo. Marijani ameimba nyimbo nyingi sana baadhi zikiwa ni visa vya kweli.
Ila kwa ushapu wa Marijani watakuwa walionana tena na huyo mdada
@@henrychaula1174 Hahaahahahaha!! Wabongo mna maneno sana.
Nyimbo zote za marijani visa na vituko vilivyotekea kweli ama kwa jirani marafiki au yeye mwenyewe. Huwa haimbi visa vya kubuni.
Kila ninapousikia huu wimbo nakumbuka siku nilipokuwa narudi likizo nyumbani Moshi KUTOKA korogwe baada yakufunga shule pale old korogwe prymary school mwaka 1974 wakati huo nimesafiri na gari Moshi la mkaa maarufu cent car Basi ile muda wajioni kabisa hicho kibao lilikuwa kinapigwa idhaa ya taifa kwana jamaa alikuwa na redio take national band 2 tukawa tunasikiliza kuputia Masada ya short waive
Aliimba kwa hisia sana daah Rest in peace Marijani
Memories Chang’ombe Maduka Mawili
Marijani kwangi mwanamuziki siyo mpiga Muziki kwani ni bora kwangu ni namba 1 wa wakati wote
Sonqs za Marijani karibun zote zilikuwa na mikasa ya kweeli
Uyu jamaa hatotokea tena kwa kweeli.
Alikuwa fundi sana wa huu mziki.
1972 niko maanzese karibu na uwanja wa fisi! Hata shule sijaanza!
Memories of Chang’ombe Primary School
Safari Trippers Band of Tanzania.
utakumbukwa vizazi na vizazi
RIP Marijani!!
Rip David Wa Musa
That was massive from safari trippers
Sauti tamu 🙏
nakumbuka alikua golikipa WA gerezani Utd kidongo chekundu
2019 upo na mimi hapo?
makumbele 2020
2020
hukuwahi kukosea
Temeke mundo bar,miaka ya 1975,(majini wa bahari)
Majini bahari mbona si hawa
thanx deus
2021
R ip tutakumbuka Daima