KAULI YA BINTI WA NDUGULILE MBELE YA RAIS SAMIA, ASEMA JUU YA WINBO WA PROF. JAY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 23 години тому +1

    Ni wasomi ila akili kduchu😮

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 22 години тому

    Njia ni Moja tu hata kama umesoma

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc День тому +1

    Jamani Sina msiba nitaoufahamu zaidiya ulemsiba wa jpm stop babawamababa tz naaflika

  • @neemaelisha7689
    @neemaelisha7689 11 годин тому

    Mbona watoto wanaonekana hawana uchungu na msiba wa baba yao au ndo wamefurah

  • @YumbuManogoleku-e7g
    @YumbuManogoleku-e7g 20 годин тому

    Raha ya milele umpe eebwana

  • @azizimtege
    @azizimtege День тому

    Hawawezi kiswahili?

  • @LydiaJemsi
    @LydiaJemsi День тому

    Kwaiyo sisi ambao hatujui kingereza tusiwaangalie

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 22 години тому +1

    Ndio maana hawataki tupige kura watoto wao wamesoma ili waendelee kurisishwa nchi watoto wetu hawana elimu yeyote

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro День тому

    Ni moja ya ujinga tulio kuwanao Tanzania ndio mtamuona msomi kumbe ni mjinga tu mama mtanzania baba mtanzania umezaliwa Tanzania lugha hiyo ya nini hata uwongozi hafai kupewa nchi keshakuwa na tabia ya kishenzi

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 23 години тому +1

      Ni aibu kubwa asee hii familiar ni yawasomo ila akili ndio changamoto

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 22 години тому

    Hawana shida baba Yao ameiba vya kutosha

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro День тому

    Kiswahili kwanza sio kingereza tuwache ujinga sijapenda

  • @hashimuyassin9323
    @hashimuyassin9323 День тому

    Hawa watanzania tena wanyamwezi hawaki kiswahili hii hapo sawa tena mbele ya rais

    • @MagnusBugingo
      @MagnusBugingo 7 годин тому

      Hizi Mambo KWENYE familia yangu hakuna