President Ruto: Wakenya wako na pepo mbaya ya kupinga kila kitu, mpaka chanjo ya ng’ombe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 866

  • @DavidMukwa-xz9vw
    @DavidMukwa-xz9vw 8 днів тому +73

    Ruto must go...

  • @Stellah-z1j
    @Stellah-z1j 8 днів тому +111

    Hapo kwa Chanjo ya Ng'ombe Rais nakuunga mkono kabisa, we need the cows in parliament vaccinated.

  • @shirowdestinys5775
    @shirowdestinys5775 8 днів тому +78

    Ask yourself why they are rejecting everything...juu pia wewe umekataliwa hadi binguni😂

    • @JestoneAlfayo
      @JestoneAlfayo 8 днів тому +1

      Not biguni ni mbinguni so sorry

    • @dennismwangi8778
      @dennismwangi8778 7 днів тому +2

      ​@@JestoneAlfayo Sasa io ni kitu ya kucorrect mtu ama we ni Zakayo Kasongo pia

    • @wowclipskanairokenya2406
      @wowclipskanairokenya2406 7 днів тому +2

      ​@@dennismwangi8778😂😂😂😂 I think amemkosoa bila ubaya! Sio Kasongo 😅😅

    • @KibiruWanjiru
      @KibiruWanjiru 3 дні тому

      ​@@dennismwangi8778n kukosoa ame kosoa

  • @JessiNyokabindegwa
    @JessiNyokabindegwa 8 днів тому +157

    Hiyo pepo ni wewe you must go ruto

  • @Officialmark-8k
    @Officialmark-8k 8 днів тому +162

    Your words makes people of kenya to luck trust in you...Mr kutenga.

    • @KerryKiprono
      @KerryKiprono 8 днів тому

      Its lack***

    • @Officialmark-8k
      @Officialmark-8k 8 днів тому +1

      @KerryKiprono it's ok teacher who knows everything📌

    • @KerryKiprono
      @KerryKiprono 8 днів тому +3

      If you're gonna correct the govt at least use the correct spelling

    • @Officialmark-8k
      @Officialmark-8k 8 днів тому

      @KerryKiprono see your name start with kip😂😂😂😂

    • @Arapkim
      @Arapkim 8 днів тому

      Mkale asipinge zak

  • @Amk849id
    @Amk849id 8 днів тому +92

    Jiulize kwa nini wanapinga??? Shida ni wewe 😂😂😂. Umewahi Ona Rais mgani akipingwa hadi sadaka🤔🤔🙄🙄

    • @mosonikcheomet1206
      @mosonikcheomet1206 8 днів тому +1

      I don't know why they oppose everything including nothing no need of doing it

    • @DosViva
      @DosViva 8 днів тому +4

      😂hio pesa yake ni ya kipepo

    • @josephnzioki8884
      @josephnzioki8884 8 днів тому +1

      ​@@DosViva,😂😂😂

    • @sophiajuma6798
      @sophiajuma6798 8 днів тому +1

      😂😂😂😂

    • @wodeyaeric5351
      @wodeyaeric5351 8 днів тому

      Mbona hamkuzikiza Uhuru when he told you to vote for Raila? Ruto didn't vote himself. Shortly after, you turned around that he is bad. Trust me even if you voted Raila, you would have turned against him by now. You behave like people on their death beds. They ask for sausage, you bring they ask for ugali. You bring ugali they fail to eat it too and ask for chapati. Know what you want and what to expect for the country to move forward. Otherwise, you are holding the country hostage!!! And those to suffer most ni wanainchi sio Ruto. He is rich enough to deal with his personal issues.
      Sahi, you are already in confusion that because Gachagua was dismissed for indiscipline he is fit for presidency. Soon or later you would find him worse because the criteria for arriving at him as the next president is sympathy and nothing else. Grow up.

  • @anthonymwangi7296
    @anthonymwangi7296 8 днів тому +88

    Shida sio pepo shida ni wewe muongo huaminiki kabsaaaaa

    • @derickjumba139
      @derickjumba139 8 днів тому +1

      amedanganya nini hapo? Siasa ya ujinga tu ndio inaendelea.

    • @simonwaweru7040
      @simonwaweru7040 8 днів тому

      Tell me one lie the president ever spoke

    • @walteralulu8483
      @walteralulu8483 8 днів тому +5

      ​@@derickjumba139 Ruto ndio shetani mkubwa

    • @victorosong
      @victorosong 8 днів тому +3

      Ana pepo ya uongo.

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 8 днів тому +60

    Tunapinga manake you're not truthful

  • @AliWanko10
    @AliWanko10 8 днів тому +80

    Ata wewe tuna kupinga pepo mbya wewe 😂

  • @tete-a-tete1010
    @tete-a-tete1010 8 днів тому +54

    Ruto’s Performance Report Card; Economy - Zero, Social wellbeing - Zero, Governance - Zero, Integrity - Zero, Development - Zero, Job creation - Zero. Corruption fighting - Zero. Abduction and Killing - Distinction. Stealing and Selling. High Distinction.

  • @sciencetv.553
    @sciencetv.553 8 днів тому +88

    Sasa hii pepo ndio inaongea sasa hivi

  • @tommosigisi3705
    @tommosigisi3705 8 днів тому +42

    Ask yourself why . Wewe ndiye Uko na pepo chafu ya wizi

    • @rachel0073
      @rachel0073 8 днів тому +1

      🎉kabisaaaaaaaa

    • @gideon6643
      @gideon6643 7 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdallahsaid4997
    @abdallahsaid4997 8 днів тому +56

    Hatutaki chanjo za bill gates
    Wewe ndo ushindwe

    • @MrTabasamu
      @MrTabasamu 8 днів тому +5

      Ashindwe pepo mkubwa mbaya.

    • @njeshkim5468
      @njeshkim5468 8 днів тому +5

      Actually, Ruto's nickname is Bill 😂

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 2 дні тому

      Sema hapa kwenye ng'ombe inabidi mupinge kweli, kwa maana wanatia sumu kwenye nyama kwa makudi.

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 8 днів тому +59

    Mwizi mkubwa

  • @kamondowaweru1053
    @kamondowaweru1053 8 днів тому +33

    53 million kenyans can't all be wrong! It's you the chief con who is pepo chafu

    • @hezekiahmatiko3494
      @hezekiahmatiko3494 7 днів тому

      ati 53 what!!!

    • @Lucyferandtheson003
      @Lucyferandtheson003 4 дні тому +1

      They are not 53 million Kenyans. It is only the murima people that are opposing everything, possibly on a mission to revenge for Gachagua's ouster

  • @GeofreyRiaga-l1m
    @GeofreyRiaga-l1m 8 днів тому +38

    Amesehau adani pia tulipinga

  • @KennedyWafula-w4l
    @KennedyWafula-w4l 8 днів тому +43

    If from 2022 ungesema neno moja tu ya ukweli na uitimize we would have trusted you .but 2027 sio mbali Gen Z tuko pamoja,wew ndio pepo mbaya ya kuleta shida Kenya

    • @petroyohana1126
      @petroyohana1126 8 днів тому

      You want miracles for 2 years??

    • @KennedyWafula-w4l
      @KennedyWafula-w4l 8 днів тому +7

      @petroyohana1126 your father got you after dating your mum for 4 months now you're talking of 2yrs

    • @beatricekasudi4743
      @beatricekasudi4743 8 днів тому

      😅😅😅😅😅😅​@@KennedyWafula-w4l

    • @mmwaapamghambonyi7836
      @mmwaapamghambonyi7836 8 днів тому

      GenZ ni mnyama gani ,??!! hawana hata clue Kenya inaenda wapi !!

    • @DosViva
      @DosViva 8 днів тому +1

      ​@@KennedyWafula-w4l😂 nailed it 🎯

  • @Amk849id
    @Amk849id 8 днів тому +27

    After hio mradi vijana waende wapi 😢,,, unajenga nyumba watu warent na sio Bure instead building factories for then to get jobs.

  • @Data_Analyst09
    @Data_Analyst09 8 днів тому +15

    Bwana Rais nitaendelea kupinga "affordable housing"
    Ni SCAM kubwa sana!

  • @alexanderarula4557
    @alexanderarula4557 8 днів тому +17

    Hio pepo chafu ni wewe ukonayo ,wacha uongo Mr kutenga.

  • @omwengajoseph4298
    @omwengajoseph4298 8 днів тому +26

    Mr. RUTO look at your mirror and tell Kenyans nani pepo?????

  • @thomaskitonga8657
    @thomaskitonga8657 8 днів тому +15

    Kweli hatutaki lies kabisa.....hio ndio pepo inawasubua wakenya.

  • @duncanchachamashallah9701
    @duncanchachamashallah9701 8 днів тому +24

    Uwuongo mingi ndio uwache

  • @Amk849id
    @Amk849id 8 днів тому +60

    Vijana gani Mr kutenga, 😂😂

  • @iniesta1057
    @iniesta1057 8 днів тому +21

    Pia wizi watu wamepinga

  • @franciskihu5988
    @franciskihu5988 8 днів тому +9

    Wakuu twendeleeni kufinya kabisa kumbe kasongo kanaumia 😂😂😂

  • @weslangat5091
    @weslangat5091 8 днів тому +11

    Pepo ndio wewe uko nayo, janjo ya ngombe iko na benefits gani... human being is important than animal..

  • @mrben254
    @mrben254 8 днів тому +36

    na hiyo pepo ndio ilifanya tumchague😅😅

  • @darklorde668
    @darklorde668 8 днів тому +24

    MWIZI MKUU DUNIANI

  • @DrRinDing-pq8fy
    @DrRinDing-pq8fy 8 днів тому +17

    Kwa sababu wewe Ni mdomo Tamu Tamu uko Na uongo 110%

  • @musictool9093
    @musictool9093 8 днів тому +31

    We don't want you in office,

  • @Wakim849
    @Wakim849 8 днів тому +25

    You need to involve ordinary people prior to making decisions. Communication and honesty is key.😮😮😮

  • @ebabuhvic2763
    @ebabuhvic2763 8 днів тому +20

    So what people cannot have their own opinions...hizi chanjo za bill gates analazimisha watu zitupiliwe mbali

    • @TateKibe
      @TateKibe 8 днів тому

      Hio ni propaganda bana😂😂weh

    • @DosViva
      @DosViva 8 днів тому

      Kila kitu anaforce watu mpaka taifa care na bado utalipa bill 😂

    • @erickik254
      @erickik254 7 днів тому

      Tumeishi tukila ng'ombe for decades alafu shetani analeta vaccine

  • @hirewarsame5992
    @hirewarsame5992 8 днів тому +96

    Your excellency Mr Mwongo 😂

  • @Rionjubi
    @Rionjubi 8 днів тому +11

    Mambo ya Adani wanaipinga...... We know you enough Mr kutenga

  • @Babygirlzulu
    @Babygirlzulu 8 днів тому +7

    😂😂😂😂pepo mbaya sini wewe
    Toka hapo tuwe
    Salama

  • @7sneves
    @7sneves 8 днів тому +17

    He is even attacking the church again. This man has lost it.

  • @japhethmulure5786
    @japhethmulure5786 8 днів тому +6

    Wewe ndio pepo yenye tunapinga

  • @abdidirie51
    @abdidirie51 8 днів тому +20

    Yah there is a problem and Mr President you are the problem

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 8 днів тому +13

    Mnafik mkubwa wa kugonganisha watu ni Ruto

  • @EstherMagret
    @EstherMagret 8 днів тому +6

    Wewe n Mwizi mkubwa hapa Kenya

  • @nixonodoyo4810
    @nixonodoyo4810 8 днів тому +5

    Ruto must go na Raila you are not accepted in Kenyan leadership come rain come sunshine pepo ni wewe na raila

  • @bonynjenga
    @bonynjenga 8 днів тому +15

    Mr lootall leader of swamp of thieves

  • @soniinyambu512
    @soniinyambu512 8 днів тому +4

    Pepo nayo imeanzia kwako 😢
    bible ujawai eka chini ??
    Gas ⛽ ya 300, until when??
    Mr ungovi

  • @kevgithu4221
    @kevgithu4221 8 днів тому +7

    Tutapinga Kila Kituuu.....Hatutaki Maendeleo ....Wee iba Umalize 😢😮

  • @gitaukaranja2856
    @gitaukaranja2856 8 днів тому +19

    This is dectatorship criticising country people for not accepting your policies is like now you seem to be forcing things to happen as you want is like the country is yours alone haiwezekani people should accept what is right for them but not wrong for them period

    • @collinskiprono7543
      @collinskiprono7543 8 днів тому

      Must you criticized everything???

    • @Arapkim
      @Arapkim 8 днів тому +3

      Nini mzuri kutoka kwa uyu mtu weetu

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 8 днів тому +2

      ​​@@collinskiprono7543did your even read the comments ama wewe unaona mambo Iko sawa tuu sababu ni mtu wenu don't you see your comment and your name betrayes you shindwe pepo mweusi

    • @marthanjihia8283
      @marthanjihia8283 8 днів тому

      ​@@collinskiprono7543ndunga huyu hiyo chanjo tuone kama itafanya KAZI,,,,,

    • @alexbett-r8j
      @alexbett-r8j 8 днів тому

      @@collinskiprono7543 Wee umelipwa na serikali

  • @KevinMuyonga
    @KevinMuyonga 8 днів тому +6

    The problem is you Ruto must go!!!!

  • @andymaverick3544
    @andymaverick3544 8 днів тому +3

    Straight up Narcissist...Hiyo gaslighting deserves a noble peace prize

  • @Khatamoga
    @Khatamoga 8 днів тому +8

    Affordable housing should be free since is his public land. Houses built with public funds.

  • @JamesManyeki-y2g
    @JamesManyeki-y2g 8 днів тому +4

    Nyamaza ww ni pepo BAYA ,,u must go

  • @kennethkibatha3605
    @kennethkibatha3605 8 днів тому +7

    Nimeibiwa na nimetukanwa niko na pepo😢

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 8 днів тому +8

    Mr promise maliza uwende🤗

  • @Patriotic-d8e
    @Patriotic-d8e 8 днів тому +5

    Praying for you Mr. President, kile tunapinga ni wizi na ubadhirifu wa mali ya uma. We want a transparent government, we want to see you acknowledge corruption right from your office and begin to make things right. Just do what is right and do it from your heart, Kenyans will support you. Laa sivyo tutazidi kupinga mabaya.

    • @Lucyferandtheson003
      @Lucyferandtheson003 4 дні тому

      So hiki kiwanda kimewekwa Taita Taveta pia kinafaa kupingwa???????????????

    • @Patriotic-d8e
      @Patriotic-d8e 4 дні тому

      @Lucyferandtheson003 good question. Kiwanda ni kazi nzuri. However the President needs to correct his mistakes of the past so that it does not keep staining every good action of the present or future.

  • @snowflake_VEVO
    @snowflake_VEVO 8 днів тому +4

    All sovereign power belongs to the people of Kenya. Respect that.

  • @MwAfrika_Kev
    @MwAfrika_Kev 8 днів тому +8

    All we want is accountability corrupt politicians to be jailed and ODPP TO START INVESTIGATING MINISTRIES AND NOT DROPING CORRUPTION CASES OF POLITICIANS

  • @gitaukaranja2856
    @gitaukaranja2856 8 днів тому +15

    Mr seventy percent 😂😂😂😂

  • @amidanasimiyu6588
    @amidanasimiyu6588 8 днів тому +7

    We have a comedian for a president now lets blame evil spirits instead of systems that dont work 😅😅😅😅😅

  • @JoshuaShole-wl2zm
    @JoshuaShole-wl2zm 8 днів тому +9

    Sas Kila wiki milioni tano simsadie watu wako maospitali wamelemewa na bill wewe ni mdomo tu bila matendo unachosha bana sazingine kaa chini jiskilize angalau 😂😂

  • @catenjoroge8158
    @catenjoroge8158 8 днів тому +16

    😂😂😂😂😂😂 nipatie hiyo sadaka nikule

  • @kellyclarkson354
    @kellyclarkson354 8 днів тому +5

    Na bado kuna ng'ombe zinasema riiiiii meeeee😂😅 zikishangilia hii pepo

    • @marthanjihia8283
      @marthanjihia8283 8 днів тому +1

      Sindungwe hiyo chanjo ndio tujue kama iko Sawa .

  • @winfredmusee9292
    @winfredmusee9292 8 днів тому +21

    Yaani Mr president umesema tuko na pepo😂😂😂ama wakenya ni kina nani

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 8 днів тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂,Matusi imejaa kwa mdomo ya President wetu.

    • @marthanjihia8283
      @marthanjihia8283 8 днів тому +2

      ​@@lucymwai7645anamwaga Tu uongo hawezi hata bariki Kenya kama president waliomtangulia rishwaa,hata yeye mwenyewe hatumtaki na mp wake

    • @cynthiacheptoo-kz1if
      @cynthiacheptoo-kz1if 7 днів тому

      Not all Kenyans those who are against everything it's like they're bewitched they need prayers

  • @jimfast-official
    @jimfast-official 8 днів тому +2

    If you succeed in one single thing you promised Kenyans.Kenya will trust u and work with u

  • @eddyk4875
    @eddyk4875 8 днів тому +2

    He still doesn't know he is the problem? No one can trust anything Ruto touches.

  • @abithuita7374
    @abithuita7374 8 днів тому +1

    You sweet talk us.. but your actions Speke louder than words… DECEPTION!!!

  • @davidkahingo257
    @davidkahingo257 8 днів тому +2

    Mr President no one is denying that we need an upgrade and improvement of our airport. All we need is transparency. No deals done in secret and no fishy characters should be contracted to do the job. Kenyans were against Adani not the the efforts to improve the airport...acha jokes Fanya Kazi

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 8 днів тому +7

    Pepo chafu

  • @morrismwaniki3017
    @morrismwaniki3017 8 днів тому +16

    i think your president needs😏😏😏😏 to see the doctor aki

  • @aliceamanya6457
    @aliceamanya6457 8 днів тому +5

    Kweli wewe ni saitani😂😂Shindwe pepo ni wewe riswa kabisa

  • @The-girl-nextdoor5450
    @The-girl-nextdoor5450 8 днів тому +2

    Ruto amesema he is the only sober man standing.... 55 million of us tumejaza mapepo kwa haga😂😂😂😂

  • @Ojuri_ojuku
    @Ojuri_ojuku 8 днів тому +6

    sasa pepo inaongelesha......waliookoka....🤣🤣🤣🤣

  • @Peninah-l3u
    @Peninah-l3u 8 днів тому +1

    Power is limited, na ungekuwa na hofu ya Mungu ungesikiliza wakenya, kazi yako ni kubomoa kile ulipata

  • @VaneKemunto-i3g
    @VaneKemunto-i3g 7 днів тому +1

    God's wisdom left this man long time ago even God withdrew his hand and presence from him that is why anatapika maneno

  • @mamakekasupu
    @mamakekasupu 8 днів тому +1

    Bure kabisa, mavi ya kuku! Kasongo kainga wazimu kabisaaaaa😂😂😂😂😂😂, lakini ni vizuri ametambua wakenya wanapinga kila kitu!!!!, we ndo pepo chafu, nenda sugoi

  • @josephputine8211
    @josephputine8211 7 днів тому +1

    I was told that the speaker man with his tie is a PhD holder. Which University did he go to learn how to insult his people instead of upholding respect. Fake PhD

  • @ruclaingachogu2170
    @ruclaingachogu2170 8 днів тому +1

    Ngai wooi spare my ribs eti twina ngoma tunakataa hadi chanjo ya ngombe surely 😅😅😅😅😅😅 twarega nginya muhothi mungu saidia

  • @kevinwendo1718
    @kevinwendo1718 8 днів тому +1

    The opposite is also true when you do wrong things repeatedly you are likely to face opposition.

  • @agathawanjiku6919
    @agathawanjiku6919 5 днів тому +1

    Waaah aki si tumechoka na wewe uwiiiii hii message hauijui bado

  • @siszjane5160
    @siszjane5160 8 днів тому +4

    The first African leader is Traore

  • @benstargraphicsmedia1852
    @benstargraphicsmedia1852 8 днів тому +2

    Wizi Wizi mbila kazi,,,,,will be your Legacy

  • @estherkirigo8427
    @estherkirigo8427 8 днів тому +2

    Sadaka is never disclosed, youve lost it.

  • @gracegathuru5741
    @gracegathuru5741 8 днів тому +1

    Sasa mama mboga na wale wa boda boda munaitw pepo wee mulichagua 😢huyu waaaa
    Unatusi your bosses waaa!
    Kweli ruto umekosea heshima ma hustlers

  • @ApostleKathyKageni-Oganga
    @ApostleKathyKageni-Oganga 7 днів тому +1

    But this guy! Ati pepo?!!! 😢A leader who can’t listen is in great trouble.

  • @maryanneakiny9546
    @maryanneakiny9546 8 днів тому +3

    RUTO MUST GO 2HAGUE 😮

  • @lydcheke3959
    @lydcheke3959 8 днів тому +2

    Adani tulipinga......mbona govt ilipinga?😂😂

  • @cate8976
    @cate8976 7 днів тому

    Hawakutaki wewe ndio maana,ata ufanye nini bado watasema ruto must go,may God give you strength na ufunge masiko, don't listen to them.

  • @billyosunga963
    @billyosunga963 8 днів тому +3

    Umetutesa sana we mzee😢😂😂

  • @jameswamainabisswa8182
    @jameswamainabisswa8182 8 днів тому +1

    Pepo chafu ya uongo ishindwee Affordable housing gani 5M? Everything unaleta ina mada fiche

  • @gaichingaesam
    @gaichingaesam 8 днів тому +1

    Who opposed Devki!? JKIA,SHA, KETRACO AND BAMBURI ILIKUWA UWIZI MTUPU

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 8 днів тому +2

    Ruto ni mkundu sana.kajitombe umbwa hii

  • @bennahweezy.6543
    @bennahweezy.6543 8 днів тому +2

    Just ask yourself kwa nini 2napinga?u are the main prombler in this kenya

  • @kennedyomondi3530
    @kennedyomondi3530 8 днів тому +1

    No one is against affordable housing. The problem is the way it's done. Creating a conducive environment for investors would have been a better route

  • @dennisobochi470
    @dennisobochi470 8 днів тому

    Wewe ndio pepo chafu hi Kenya and God will answer u fullest.unasema kila mtu ni mujinga na mumbumbavu.mjinga akierevuka ,mwerevu huwa mashakani .

  • @SusanKaranja-tt8lq
    @SusanKaranja-tt8lq 8 днів тому +1

    Nimekwama kwa kupinga matoleo kanisani🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unamaanisha ma padri wako na mapepo ama???

  • @SharaShato
    @SharaShato 8 днів тому +2

    Acheni aongee iyo pepo imtoke😂

  • @jamesnjiru5928
    @jamesnjiru5928 8 днів тому +1

    Ni roho ya Kupinga uongo na kutenga.

  • @grammamresh8848
    @grammamresh8848 8 днів тому +1

    Mr kutenga,uongo zako ndizo zimefikisha sisi wakenya mwisho,pack en go

  • @JoseMalissa-zm7it
    @JoseMalissa-zm7it 8 днів тому +1

    It's true Prezoo hiyo pepo imeshindwa in Jesus name

  • @VeraVerah-w6z
    @VeraVerah-w6z 8 днів тому +1

    Ni kweli kabisa nchi yetu ya Kenya inahitaji maombi kabisa ndio nchi yetu iwe nchi ya Amani na maendeleo in Jesus name 🙏

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 8 днів тому

      Wacha kila mtu anji ombeee,Coz our Leaders from Africa they don't care about Mwanaishi wakawaindaa. Wanafurahi wakati tunaangaika.

  • @gilbertmalunza9137
    @gilbertmalunza9137 8 днів тому +1

    Utajuwa ujui😂😂😂 wewe ndio umekuwa pepo hapa kenya

  • @omwengajoseph4298
    @omwengajoseph4298 8 днів тому +2

    I disagree with you zakayo, because you always make false empty promises,too much borrowing but that 7 trillion no any development/ projects,it's only corruption going on. Hakuna pepo Ruto, wewe ndio pepo. SHA it's Adani inside stop lying Mr. RUTO, you're the problem.