KUMBUKIZI: KAULI YA MWISHO YA NDUGULILE KABLA YA KIFO CHAKE KUPITIA AYO TV, “JIMBO HALIPO WAZI”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 2 години тому +1

    Ooh! Pumzika kwa amani baba! Ni huzuni sana kwa kweli…pole nyingi kwa ndugu, jamaa na marafiki…🙏🏻

  • @joelukani3134
    @joelukani3134 3 години тому +4

    Nafasi imekuwa wazi leo sasa.. daahh Mungu anatisha sana

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 3 години тому +2

    Nakukumbuka ulimshinda Bashite kwenye kura za maoni ple Kigamboni awamu ya 5. Wana kigamboni na Watz wengi tulikupenda sana. RIP

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 2 години тому +1

    Innalillah wainnaileihy rajiuun 😭

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 години тому +1

    Inalillahi waina ilayhi rajioun

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 години тому

    Nashangaa mlioko tayar kuumiza watu au kuua kwasababu ya vyeo mwenzetu hata kuapa hajaapa Mungu kamwita na jimbo liko wazi

  • @HappyJohn-h8q
    @HappyJohn-h8q 2 години тому +4

    EEEEEE MUNGU WEWE UOGOPWE NA WANADAMU WOOOTE DUNIANI. UNATISHA SANA. IMEANDIKWA MSIWAOGOPE HAO WAUAO MWILI BALI MUOGOPE YEYE AWEZAE KUUA MWILI NA KUTUPA ROHO KTK JEHANAM YA MOTO.

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 2 години тому +1

    RIP kamanda tutakukumbuka

  • @HemedyLukindo-y9h
    @HemedyLukindo-y9h 3 години тому +3

    Mungu anatisha akimtaka yeyote anamchukuwa.

  • @AngelMhina
    @AngelMhina 3 години тому +2

    Mbna alikuwa na afya nzuri jaman sijui alikuw anasumbuliwa na nini