RUBANI WA NDEGE MPYA AFUNGUKA NAMNA WALIVYOIFIKISHA NDEGE TANZANIA, TAZAMA ILIVYO NDANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 бер 2024
  • #TANZANIA: Rubani aliyerusha ndege mpya hadi Tanzania afunguka namna walivyoisafirisha, Waziri Mkuu, Mbarawa, Makonda, Zungu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali wapanda kuitazama ilivyo ndani

КОМЕНТАРІ • 16

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 3 місяці тому

    This is a good improvement, congratulations madam samia suluhu hasani.

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 3 місяці тому +1

    Hapa ndipo ccm ilipo tufikisha baada ya miaka 60 ndege moja tu garama walizo tumia 😭😭😭

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 3 місяці тому +2

    Zilizonunuliwa Kwa mihemko hakuna mrejesho!

    • @aliceudoba3672
      @aliceudoba3672 3 місяці тому

      Huko zinapotoka wanazidampo sisi wajinga tunafurahi wote kama chizi kaona dampo jipya

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 3 місяці тому

    Ruban anajiskia kinoma anajibu kwa mbwembwe.

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 3 місяці тому +2

    Kweli bado tuko nyuma Sana!
    Ukinunua gari nchi mzima isimame!?

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 3 місяці тому

      Wanadamu hamna wema wala shukurani wewe unayo

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 3 місяці тому +1

    Huu ni USHAMBA au ni DHARAU kwa wananchi??

  • @samasob8233
    @samasob8233 3 місяці тому

    Maswali ya mwandishi wa TBC hayana mashiko kabisa, inabidi ajifunze kuwa professional na kuuliza maswali inavyotakiwa, rubani amejibu kama ilivyopaswa kwa sababu hakukuwa na swali pale,,,,mwandishi anauliza kitaa kitaa tu, bado sana

  • @user-bl4bx7tm8c
    @user-bl4bx7tm8c 3 місяці тому

    Jamani ndege za magufuri izo

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 3 місяці тому

    Mzee wangu abasi mtemvu namuona kwambali

  • @hamisikapange6594
    @hamisikapange6594 3 місяці тому

    Inachukua Abiria wangapi hii Ndege.

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 3 місяці тому

    Kubwa lijalo

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 3 місяці тому

    Aaaaaaaaaa