Yaani mwanamke ukijitambua hakuna atakaye kubabaisha Nakuunga mkono Riziki You’re beautiful in and out Kazana kuchapa kazi wenye kuleta za kuleta wazidi kushangaa mwenzao utakapo kuwa unahamia kwenye nyumba yako na unafungua biashara ambayo wao hataelewa umewezaje Una akılı sana Riziki Mungu awabariki na kuwalinda pamoja na familia yako ❤ All the way from USA 🇺🇸
Yaani mwanamke ukijitambua hakuna atakaye kubabaisha
Nakuunga mkono Riziki
You’re beautiful in and out
Kazana kuchapa kazi wenye kuleta za kuleta wazidi kushangaa mwenzao utakapo kuwa unahamia kwenye nyumba yako na unafungua biashara ambayo wao hataelewa umewezaje
Una akılı sana Riziki
Mungu awabariki na kuwalinda pamoja na familia yako ❤
All the way from USA 🇺🇸
Piga kazi riziki piga kaziii, 2024 hiii wanawake tunaleta pesa nyumbani!! Hatusubiri tena kuletewaa!!!👍👏🤸👌💪💪
Nakupenda mnooo dada angu😂😂😂😂Mungu atakupa hitaji la moyo wako usikate tamaa pambana❤❤❤❤
Nimekupenda sana kwakuwa na heshima kwa mumeo , mungu akubariki sana mdogo wangu.
MashaAllah hongera sana Da Riziki unapambana sana super woman, asanteee sana kipenz nimejifunza sana mengi
Unakili sana we mtoto, yaani nakupenda buree dadako, yaani kumweshimu mume tu mungu mungu atakubariki sana
Huyu dada ni mfano mzuri sana, hongereni sana na mumeo
MashaAllah
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪+254🇰🇪
Hongera sana mdada ww ni mwanamke wa shoka
Manshaa Allah ❤ ❤ ❤
History nzuri sana kila mwanaume ndoto yake kupata mwanamke kama huyu anatia faraja na matumaini kwa mmewe
Hongere sana, ni upendo wa kweli bora mnapamba wote na mr.kutafuta maisha acha wanaochelewa kusubiri wakute vimetimia waingie kustarehe.
Hongera sana riziki, ww ni mwanamke shupavu
Mashaallah tabarak ❤❤
Good woman ❤❤❤
Hongera Sana dada yangu ❤
Safi sana umenifunza dada!
Masha Allah 🎉
Mungu amuongezee huyo tajiri wako❤
Hongera mdada
Mwanamke wa shoka huyo ndiye mwanawake anaestahili tunzo sio hao wengine wa mitanadaoni ❤❤❤
Hiyo ndyo inaitwa maisha halisi achana na akina mwajuma ndala ndefu,,, tungekuwa na wanawke kama hawa hakika maisha tungetusua sio hawa magolkipa
Safi❤❤
Super woman
mwanamke wa nguvu hongera sana binti mwenzangu nimejifunza kitu
Dada endelea kukomaa ila ukipata kiasi cha pesa badilisha kazi fanya biashara utasonga mbali.
Hongera sana
Una akili ww riziki yaan acha
❤️💖🌹
❤
Kaka naomba unisaidie ile hospital ya matibabu ya masikio kuna siku moja uliwahoji wangojwa
Hongera sana