I love the conversation... Mnatuchangamsha... Mkiwa wote studio inakuwa unyama sana 🔥🔥🔥. Pia Camera Quality it's amaizing... Video inatoka clear yaan... Millard umewekeza vilivyo. Usisahau kunipa mashavu yangu kesho Kwa hewa....🎉🎉🎉. I love amplifier ya clouds fm❤❤❤
😂Frida anacheka mpak me mwenyew najikuta nacheka 😂Cema i appreciate sana Millard ayo blue boy wakishua role model pale vido vidox apa frida amani Sikuiz mtaan wananiita blue Boy 😂🏃🏿♂️
Sinura nikutokana na kutokunufaika na lolote isipokua kuwafaidi yeyote. Hata Rose muhando tulijua kua ana pesa hata kwenda South Africa kwa Sony. Baadaye akaja kusema kua mkono umeumwa kwa majini. Leo yunawajua

pamoja sana Joshua ! tunashukuru kwa comment yako na tumefurahi kusikia kutoka kwako
Yaan hii combination ya mtu tatu🔥🔥🔥🔥raha sana kuskiliza stori zao wanazoshare time ya page one💙💙💙
pamoja sana Anatollia ! thanks for watching
Yani inapendeza mnavyokuaga na mastory zenu jmn. Huo utatu wenu udumu na Mungu awabariki sana.
Amen, asante sana Israel
sema ni sawa tu
Huwa nafuatila sana kutoka Kenya, I like everything about the trio you're amazing
Napenda sana kufatilia amplifaya nikiwa njiani natoka kazini, kinanipunguzia sana stress za foleni. Chemistry yenu iko juu. Hongereni sana.🎉 ❤
HATA SIJASKIZA BADO LKN I LOVE FRIDA SANASANA HUWA ANAJISHANGALIA VITU WALA HAJALI VERY NICE 🔥🔥🔥
😂😂😂
Nawakubar sana
Millard, frida na vido hii chemistry ni balaa yan unaenjoy
One love mwanang Sanaa millard ✌️
😂😂😂 hata mimi kuja dar nilishangaa watu hawalali ni wako busy hatari
Mi napenda na izo hekheka ndio zimenifanya niipende dar sijui kwann raha tu ukienda kariakoo utasema unaenda mkoani hatari sn
nawapenda sana nyie wat
❤❤❤ ni good hyo nmeipenda san
Nimependa Sana story zenu,
pamoja sana John, shukrani kwa kutazama
😂Frida anacheka mpak me mwenyew najikuta nacheka 😂Cema i appreciate sana Millard ayo blue boy wakishua role model pale vido vidox apa frida amani Sikuiz mtaan wananiita blue Boy 😂🏃🏿♂️
hahahahah ! pamoja sana Blue Boy wa pili EJ
😂😂😂Dah kibanda furaha amplifaya mnanikosha sana
Kumekucha duuh 😊
Mwambie afute neno chura make ni yeye alilianzisha ilo neno😂
Tumekaa kama watuu tunaelimika na kufurahii
Frida hua ananichekesha sana
Hata mimi naweza kujisifia kuwa nimekuja Dar mapema mwaka 2018. Kwa kifupi ni kwamba Flyover pale ubungo imenikuta mjini 😂😂😂🙌
😂Bro me nasoma Sheria ila na enjoy kuona amplifaya mpak mnani inspire nikimaliza sheria nikasome SJMC-UDSM ili niwe kama nyie
hahahahha
❤
Sinura nikutokana na kutokunufaika na lolote isipokua kuwafaidi yeyote. Hata Rose muhando tulijua kua ana pesa hata kwenda South Africa kwa Sony. Baadaye akaja kusema kua mkono umeumwa kwa majini. Leo yunawajua
Cjui kampata pedeshee gani uyu dada … ss tupo tunasubir uje tutuomba sapoti hapa ukirudi