JAMAA KUPEWA NYUMBA YA KUISHI NA BABA MKWE ENDAPO ATAMUOA BINTI YAKE, JE WEWE UTAWEZA KUISHI UKWENI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 39

  • @SalimAli-sk3gi
    @SalimAli-sk3gi 3 години тому

    Frida hapo sawa

  • @HashimKhalid-bu5ng
    @HashimKhalid-bu5ng 10 годин тому

    Nakukubali sn kk mirlad ayo kwa ubambanaji wako Allah bless kazi yako

    • @AkuBoe
      @AkuBoe 9 годин тому

      Sawa dogo langu😊

  • @FatumaJuma-b2g
    @FatumaJuma-b2g 10 годин тому +2

    😂😂😂,mirad Ayo et kupiga mswaki oi😂😂 apo changamoto Nizam inashuka mh

  • @vero57
    @vero57 9 годин тому +1

    Akikaa kwa wakwe hapo hawezi kuchepukaa 😂😂

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 9 годин тому +1

    TULIYOGUNDUA VIDOVIDOX ANAPENDA MISHANGAZI TUJUWANE KWA LIKE 😅😅

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 годин тому +1

    Hata ndugu zake mwanaume hawatakuwa huru kumtembelea😮

  • @rashidrashidmaulid1129
    @rashidrashidmaulid1129 9 годин тому

    Hata mitungi huend kunywa ukweni duh noma sana😂

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 8 годин тому +1

    Nashauri hiyo nyumba watakayopewa wakapangishe ili wao wakapange kwingne watakuwa wanachukua kodi tu wakalipie wanakokaa

  • @mudybaaroo4540
    @mudybaaroo4540 7 годин тому

    Hehehe Ni kasheshe kuishi ukweni😅😅

  • @rashidrashidmaulid1129
    @rashidrashidmaulid1129 9 годин тому +3

    Binafsi mimi simshauri maana mimi pia ilisha nitokea ila upande wa mahari nilikuwa bado sipo sawa kiuchumi wazazi wake wakadai we owa tu mahari utaleta ndoa fungen hata ya boman gharama yake ni nafuu sana ni kama laki 2 mambo yanaisha hiyo ndoa kidin yetu inaruhusu nikasema sawa nikapambana nikaoa tulikuwa na mtoto moja tukaongeza wa pili watoto wote wakike wazuri mpaka sasa mke wangu sipo nae yupo kwao kazuiliwa nilimpga alizingua kila kosa kwao ni hyo mahali unaambiwq unampiga ulimlipia mahari😂 mwambie asijichanganye

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 8 годин тому

      Acha miyayusho....mm nakubali

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 4 години тому +2

      unampiga mtu mzima? wewe unapigwa na nani? kapigane na wanaume wenzio ndo uonyeshe uwanaume wako

  • @salimlubuva9860
    @salimlubuva9860 9 годин тому

    Mzee Pangisha hyo nyumba kodi utupe tuendelee kujipanga. Ila kuja kuishi hapo sahau😊😊

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 8 годин тому

    Akakae tu maana hao pia ni wazazi wake.
    Mbona WANAWAKE wanakaaga ukweni.
    Nenda Martin umepata kibali cha Kiungu.
    Mshukuru Mungu amekuona

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 10 годин тому

    Millard ayo.. Hapanaaa haiko Sawa kbsaaa. Daaa huyo kijana atakua na uhuru.... Msimsgauri ujinga huo.

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 13 хвилин тому

    Sisi ambao tulikaa ukweni tunajua shida zake yaan vijana wenzangu mcjaribu niulizeni mimi

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 4 години тому

    kuna shida gani kukaa kwa wakwe? sema ukikaa uwe na akili na hekima, lasivyo mtavurugana sana.

  • @hboywasasa
    @hboywasasa 58 хвилин тому

    Sasa hapo nani kaolewa

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 8 годин тому

    Kwa nini asiende kupanga

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 годин тому

    Ni kos a ku b wa sa n a ku h am ia kwa wakwe..Never ever😢

  • @rashidrashidmaulid1129
    @rashidrashidmaulid1129 9 годин тому

    Kukaa bule kodi hulipi na umeme huna ela basi na chumvi ata😂😂😂

  • @broja255
    @broja255 10 годин тому

    Akakae tuu wao n wazaz pia

  • @rashidrashidmaulid1129
    @rashidrashidmaulid1129 9 годин тому

    Umeme ukiisha hapo mwamba huna hata mia 😂tayar aibu

  • @vero57
    @vero57 9 годин тому +1

    Asiende, mambo ya kuishi na wakwe au mawifi sio poa , wewe jipange tuu

  • @JosephLyimo-zt6nl
    @JosephLyimo-zt6nl 9 годин тому

    Atakuwa kaolewa mshikaji

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 10 годин тому

    Ila kuna makabila hayana aibu.. Kijana acha huo ujinga ubongo utalala usikae kwa wakwe kbsaaa

  • @Clex-f5s
    @Clex-f5s 10 годин тому

    Jichanganye😂😂

  • @magembesitta5657
    @magembesitta5657 9 годин тому

    Uo ni ujinga haitawezekana

  • @SalimAli-sk3gi
    @SalimAli-sk3gi 3 години тому

    Hapo kiikweli asiji yakaja kuyaona pili mawazo ya vido huja nena hucho nikifungo

  • @tumainipanga9357
    @tumainipanga9357 6 годин тому

    No

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 Годину тому

    Vido anapenda mteremko miladi ayo umeshauri vinzur

  • @HashimKhalid-bu5ng
    @HashimKhalid-bu5ng 10 годин тому

    Tunawapata hpa zenjibar

  • @kijaziwakijayo6833
    @kijaziwakijayo6833 Годину тому

    Unakubali vipi kukaa Ukweni wewe Vido..., unaudhuria kweli vikao vya kiumeni wewe!?

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR 8 годин тому

    Frida ni FAKE ANAPAKA MAKE UP KM UGOMVI ..HAJIAMINI

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 10 годин тому +1

    Tatizo ni kwamba wao ni binadamu hivyo hukosanaa wakati mwingine Sasa hapo kwenye ugomvi mke hugusa kwenye kidonda hivyo mwanaume hata kuwa na amani ataona kama anahurumiwa huwezi kuwa kiongoz Bora Tayari unayo mapungufu hayo hapo analelewa