MAGIC SCHOOL | ep 16 |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 379

  • @JamesSimon-x6c
    @JamesSimon-x6c 13 днів тому +49

    Kaka mbona Kama unatumia nguvu kubwa kupush kazi za wengine alafu za kwako ni Kama zinaelemewa maana kweny account Yako ni movie za wengine but am sorry "❤

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  13 днів тому +35

      Hiyo inaitwa kushare Sio kupost hizo ni kazi za watu wengine na zipo kwenye Account zao ila kutokana na ugumu wa soko na wao pia bado wanajitafuta kama mimi ila angalau mimi nina watu kidogo ndio maana nawasupport kwa kuwawekea Community ili watu waweze kuwaona na wao🤝 Ila hazipo kwenye Account yangu

    • @Lidya-e1i
      @Lidya-e1i 13 днів тому

      🎉🎉🎉dubu wangu huyo ​@@OfficialDubu_tz

    • @JamesSimon-x6c
      @JamesSimon-x6c 13 днів тому +7

      @OfficialDubu_tz ok bro nadhan nilikua sijaelewa lakin ni jambo zuri kuwasaport lakn nakushauri uwe unatoa movi mbili kwa mpigo Kama mtu asipoelewa hii awe anafatilia nyingine bro🙏🙏

    • @JamesSimon-x6c
      @JamesSimon-x6c 13 днів тому +5

      @OfficialDubu_tz Ila sio kwa ubaya koz mim piah nakufatilia Sana kaka kazi ni nzuri 🔥🔥

    • @AnuaryShedafa
      @AnuaryShedafa 13 днів тому

      ​@@JamesSimon-x6cmbn hii Kaz n nzur sanà

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 13 днів тому +19

    Kaka dubu kazi yako aijawai kua mbaya yaani naipenda sana namaanisha kazi yko dubu ni nzuri sana ❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹

  • @HawaHassani-ge8ko
    @HawaHassani-ge8ko 13 днів тому +14

    Kazi nzuri Dubu ila nakupenda❤❤❤

  • @LucyAnthony-c2n
    @LucyAnthony-c2n 13 днів тому +12

    Ila kweli dubu alikuwa anaumwa kumbe😮😮😮 pole mwayaa umenyong'onyea kidogo kula tu Kwa wing namazoz utakuwa sawaa we love ❤❤you so much.

  • @Guyfleury17
    @Guyfleury17 13 днів тому +10

    Dubu kazi nzuri na uwendelee kutupatia na nyimbo mpya nakukumbuka kwa nyimbo mja Dear EX CONGATULATION DUBU

  • @Awoshy
    @Awoshy 13 днів тому +16

    Mandonga anamajibu ya karaha😂😂😂😂

  • @SevidaEmmanuel
    @SevidaEmmanuel 13 днів тому +7

    Dubu tupo pamoja Sana,Kaka Dubu ❤❤❤

  • @FaytmaMashamu-x9o
    @FaytmaMashamu-x9o 13 днів тому +7

    Wow Dubu kazi yapendezesha mashallah

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 13 днів тому +7

    Dubu kikosi chako kipo vizuri kabisa,hongera zenu

  • @HajratHajrat0501
    @HajratHajrat0501 13 днів тому +7

    Mlivomaliza na iyo style chingi na misoo Mmenimalizaaa 😂😂😂😂

  • @JaphetKarisa-d4g
    @JaphetKarisa-d4g 13 днів тому +7

    Mandonga alimdanganya chingi😂😂😂

  • @Akachacha_media
    @Akachacha_media 13 днів тому +23

    USHAANZA KUWAHI KIDOG SAFI, LIKE MBIL BASI APAAA ❤

  • @SalmaAlly-x4k
    @SalmaAlly-x4k 13 днів тому +10

    Ni nzurii sanaa❤❤❤❤🎉

  • @NaimaEsther-c3t
    @NaimaEsther-c3t 13 днів тому +13

    Wooowh❤❤🎉
    But dubu unafanya kazi nzurii saana japo atupati kwa halaka lakni
    Ni perfect❤

  • @rhumbakid_music.
    @rhumbakid_music. 13 днів тому +12

    Kazi safi dubu... kenya twakutambua vibaya sana❤

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 13 днів тому +8

    KAZI nzul sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 13 днів тому +9

    🎉🎉🎉🎉mmewahi sana rafiki zangu hongereni 😊

  • @ASIADONASIA
    @ASIADONASIA 13 днів тому +10

    Dubu kaz nzuri ❤

  • @FatmaShughuli
    @FatmaShughuli 13 днів тому +11

    Napenda uyo dubu mimi😅😅😅😅😅😂😂😂 alfu wew chobiii

  • @benardmukani902
    @benardmukani902 13 днів тому +15

    Katika tano bora mm🎉🎉🎉🎉🇰🇪

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI 13 днів тому +6

    Walete Dubu ❤❤❤ na maua yako chukua 🎉🎉🎉🎉

  • @AnuaryShedafa
    @AnuaryShedafa 13 днів тому +13

    Mandonga anasema ety kama katoto ka mbwa 😅 , big misondo kamaindi eti Wew ntakupiga, mandonga utalia

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 13 днів тому +10

    🤣🤣🤣🤣🤣😁unyama wawanafuzi nimwinhi

  • @negoboy002
    @negoboy002 13 днів тому +14

    🎉🎉🎉🎉❤nko ndani mapema sana dubu pitia hapa😅😅nimekuona umeanguka 😅

  • @Diyankurze
    @Diyankurze 13 днів тому +7

    ila Pakome zou zouwa😂😂😂 na abaya lake kma gaidi wa idiamini dada

  • @FatumaChizi-m2n
    @FatumaChizi-m2n 13 днів тому +8

    Leo moves NI moto Sana naombeni likes ata 10 BC nawapenda sana note Mungu awazidishie umarufu zaidi

  • @Mainatongwe
    @Mainatongwe 13 днів тому +6

    Kaka kanzi nzur sana🎉🎉❤ congratulations 🎊🍾🎉 sema nawapend nyani ngwengwe na udg wake moto wamejua kunivunjaa mbavu 😂😂😂😂😂😂

  • @YuzmaYasin
    @YuzmaYasin 9 днів тому +3

    Dubu kaz nzur sana nakupenda❤

  • @hamzamihosho6480
    @hamzamihosho6480 13 днів тому +5

    Mwalim moto na nyani gwegwe iyaaaa mnanichekesha mpaka mnaboa😂😂😂😂

  • @mckwimba3454
    @mckwimba3454 13 днів тому +4

    Jmn naombeni no ya kitorondo, wallah natamn kumuoa

  • @UrbanMunyalo
    @UrbanMunyalo 13 днів тому +10

    Congrats dubu ....much love from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RambaratSadock
    @RambaratSadock 13 днів тому +13

    Nafurahi Leo mapema sana 😅

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv 13 днів тому +4

    Pacome zouzwaaaaaaaaaaa😅😅😅yaan hawa watoto

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 13 днів тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dubu kwa wataka kujenga shule yako😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv 13 днів тому +4

    Kitorondo anajimaliza kwa dubu 😃 ila kitorondo mrembo jamni🥰

    • @shaxonboy_
      @shaxonboy_ 13 днів тому

      Anatumia jina gan insta😁

    • @BabyCharles-jl3gv
      @BabyCharles-jl3gv 12 днів тому

      @shaxonboy_ 😅😅me ata sijui labda dubu aulizwe kwakweli me tu nataka jina lake la TIKITOK

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 7 днів тому

      Sanaa❤🎉

  • @ZiduTunutu
    @ZiduTunutu 13 днів тому +19

    Wakwanza 🎉🎉Leoooo Naombeni like zangu sjawah hata kupata like 10 kama unamkbal Dubu Gonga like twende Sawa

  • @BarbieKish-ej3lg
    @BarbieKish-ej3lg 13 днів тому +11

    Kazi nzuri Dubu❤
    Ila Nakupenda

  • @Mamanoorah
    @Mamanoorah 13 днів тому +6

    Leo hawajachelwa sana wow congrats guys🎉🎉

  • @UmmyAsfar-sn5ul
    @UmmyAsfar-sn5ul 12 днів тому +3

    Jamani mm nampenda kitorondo kwa ajili ya Allah, maa shaa Allah

  • @MirageSufo
    @MirageSufo 11 днів тому +3

    Kazi mzuri sana dubu Mozambique tunakusapot

    • @MirageSufo
      @MirageSufo 11 днів тому +2

      Kazi mzuri sana dubu Mozambique tunakusapot 🇲🇿🇲🇿

  • @NyagiroJared
    @NyagiroJared 13 днів тому +15

    Congratulations kwa kuleta hii haraka thanks kazi nzuri

  • @abdimkiwaika5057
    @abdimkiwaika5057 12 днів тому +3

    Dah pakome hup mtumbo na abaya 😂😂😂

  • @anniesylivester4100
    @anniesylivester4100 13 днів тому +5

    😂😂😂😂😂😂ila ao walimu wawili nmecheka hadi machozi😂😂😂😂kamvika mwenzie io chupa dah

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe 13 днів тому +7

    dubu masikini Mungu aku saidie

  • @AntonyMuhindi-G
    @AntonyMuhindi-G 13 днів тому +23

    From Nairobi Kenya🇰🇪 and I love this

  • @Anna-e8q4h
    @Anna-e8q4h 13 днів тому +5

    Wow jaman asanten jomon🫂🥰🌍

  • @OliveMikel-bz8xt
    @OliveMikel-bz8xt 13 днів тому +4

    Nawapenda sn jaman move nzr 🎉🎉🎉sn 🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 13 днів тому +2

    😂😂😂😂😂Mandonga unamudomo jamani kaka Dubu kaza buli Mungu nimwema utafika mbali tu❤

  • @LizieTopsha-254
    @LizieTopsha-254 12 днів тому +3

    😂😂😂😂aki nyie mnapamba❤❤❤🎉🎉🎉🎉 watching from 🇸🇦🇸🇦

  • @SOma-l7j
    @SOma-l7j 13 днів тому +4

    Kazi nzuri sana🎉❤❤🎉🎉❤

  • @MarcelinbbmBirindwa
    @MarcelinbbmBirindwa 8 днів тому +1

    Wa pili leo from DRC 🇨🇩 congo tunawa kubali sana team dubu 😊😊

  • @championsboy1501
    @championsboy1501 13 днів тому +6

    Nimecheka. Sana 😂😂😂 ety kama kitto chambwa

  • @MariamAthman-my8ir
    @MariamAthman-my8ir 13 днів тому +8

    Awe huogop weny tumetok kuangalia dunia tujuaane plz❤❤❤

  • @FatumaSeifu-e3i
    @FatumaSeifu-e3i 13 днів тому +3

    Gusa achia twende kwaoo 😅😅😅😅😅 nyani nywenyweee

  • @MwajabuMtitu-co6wx
    @MwajabuMtitu-co6wx 13 днів тому +4

    Yn mwalimu moto na nyani ngwengwe wananiuwa sn mbavu zangu

  • @MagrethYungu
    @MagrethYungu 13 днів тому +4

    Kazi nzuri jamanii🎉🎉

    • @MagrethYungu
      @MagrethYungu 12 днів тому

      Mh mbona mnacherewesha😭😭

  • @NicksonLangat-y2s
    @NicksonLangat-y2s 13 днів тому +3

    Congratulations 🎉🎉 leo mmekuja mapema

  • @MercyOdera-d2r
    @MercyOdera-d2r 13 днів тому +4

    😂😂😂 aki mandonga jamani

  • @KapendFiston
    @KapendFiston 12 днів тому +2

    ivi mutatobowa kwa sababu amuchelewishe tena movie yenu na wapenda sana kazi nzuri sana ongereni Sana timu Yote mzima

  • @JaphetKarisa-d4g
    @JaphetKarisa-d4g 13 днів тому +2

    Mwalim motoooo mizimuioooo😂😂😂

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 13 днів тому +5

    Kazi nzuri guys ❤❤

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 13 днів тому +8

    😂😂😂😂😂😂eeeeeeeeh 37,aki me nmecheka daaaah ,ila kazi nzuri sana ,leo mmewaisha haraka pongezi kutoka kenya 🇰🇪

  • @Awoshy
    @Awoshy 13 днів тому +2

    Mwanafunzi nimechelewa hapa a sina kidumu wla mfagio😂😂😂
    Ila kimemlamba kutoka kwa mkuu😂😂😂🎉❤

  • @angeamina-op1xv
    @angeamina-op1xv 13 днів тому +4

    Mimi ndo wa mwisho jamani❤🎉

  • @RahmaZuberi-p3w
    @RahmaZuberi-p3w 13 днів тому +4

    hongera kwa movie zako na music yako

  • @MercyOdera-d2r
    @MercyOdera-d2r 13 днів тому +3

    Dubu kazi safi sana

  • @bosslady1286
    @bosslady1286 13 днів тому +6

    Leo nimewahi 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @LarisWandera
    @LarisWandera 12 днів тому +2

    Kazi nzuri dubu lakini mnachelewesha episode jameni

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko 13 днів тому +3

    Thank you sana dubu I really appreciate you ❤❤❤❤baba we need more

  • @deborahngoliga
    @deborahngoliga 13 днів тому +3

    Mm watatu jamani naombeni like zanguu💜💜

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 11 днів тому +1

    dudu kazi zuri san nisalimy m mkubwa wa 🔥🔥🔥

  • @xhdh3610
    @xhdh3610 13 днів тому +5

    Nawapenda sana🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 13 днів тому +2

    Dubu 😂😂😂😂😂😂😂 wataka Bibiako hazee watoto 37 hooooiiiii

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 13 днів тому +5

    ❤❤❤❤❤mambo 🔥 ogera zenu

  • @AmorisPuella
    @AmorisPuella 13 днів тому +7

    Watoto 37 eeeeh 37 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 13 днів тому +6

    Mashallah ❤❤❤

  • @AishuArshana
    @AishuArshana 13 днів тому +4

    Mambo si Aya bas❤❤

  • @FRANKWG
    @FRANKWG День тому +2

    Watoto wametisha dubu maana hadi kitolondo kakoma

  • @JamesKereth-zb8cb
    @JamesKereth-zb8cb 13 днів тому +5

    HIVI HIYO LOCATION MLICHOMA MAKABURI AU 😮

  • @100kidso
    @100kidso 13 днів тому +5

    Moto 🤞🏿🔥

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 13 днів тому +5

    Safi dubu🔥

  • @BraveJohn-fh4fv
    @BraveJohn-fh4fv 13 днів тому +7

    Muwe mnawahi bas kutoa tunachoka kusubili please 🙏 but congratulations for good job from Tanzania_mbeya

  • @RAJABUMapene
    @RAJABUMapene 13 днів тому +3

    Wa10000000 kutoka mtwara tz nipen like zangu

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 13 днів тому +1

    Safi sana dubu tunakuombea sana usishindwe kabisa

  • @shukranbeny7011
    @shukranbeny7011 13 днів тому +3

    Sema mko vzl sana ila mnachelewesha kutoa mpka tunasahau

  • @RamadhanAlmasi-g7f
    @RamadhanAlmasi-g7f 13 днів тому +2

    Kaka nakubari sana kazi zako

  • @MustakiYusuphu
    @MustakiYusuphu 10 днів тому +1

    Mungu ni mwema kwakila nyakati akupe afya njema ndug yang dubu uje tandahimba ule korosho

  • @Younomane
    @Younomane 13 днів тому +2

    Unawaza kufanaye kumbe yeye anataka ufe wewe aryabu kweri🇿🇦🤝

  • @kenyatoday9256
    @kenyatoday9256 13 днів тому +4

    Kazi nzuri

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv 13 днів тому +3

    Mmetuwahishia adi raha😊

  • @HoneyMeddy
    @HoneyMeddy 10 днів тому +1

    Dubu kazi nzur sn ila unachelewa kutoa jitaid utuwaishie tafadhali

  • @GgGgg-z8x
    @GgGgg-z8x 13 днів тому +3

    Mmm Dubu bro n mwanamke gani huyo(37) kids😂😂😂😂😂

  • @ValentineChepkemboi-jt7it
    @ValentineChepkemboi-jt7it 13 днів тому +4

    Good work dubu

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 13 днів тому +7

    Huo uchawi mbona hampai mnakanyaga mbio kama sisi

  • @LilianGeorge-u4t
    @LilianGeorge-u4t 13 днів тому +3

    Damu mzito kuliko mtori oyaa Goa chingy umetishaa 😅😅😅😅

  • @MganzaFynest-i5m
    @MganzaFynest-i5m 13 днів тому +5

    Nakubali dubu

  • @sofiahassan-th6ek
    @sofiahassan-th6ek 13 днів тому +4

    kazi nzuri

  • @williamfredy2887
    @williamfredy2887 13 днів тому +6

    Wakwanza mimi 😢😢😢😢

  • @AaAs-u8i
    @AaAs-u8i 13 днів тому +2

    Yani hwa watu wawili nyani ngwengwe na mwalimu moto mm hunimaliza mbavu walahi hata kama nimenuna nitacheka 😂😂😂😂😂

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 13 днів тому +6

    Team Dubu tujuane kwa like