LUSINDE na OLE SENDEKA WAPISHANA BUNGENI MADUDU RIPOTI ya CAG - ''TUSIJIDANGANYE, SIPOKEI TAARIFA''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 20

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @husseintwaha1737
    @husseintwaha1737 Рік тому +3

    Ila huyu jamaa ni ana kiwango kikubwa cha unafiki cjui hata ubunge huwa anaupataje,sema mfumo unawabeba sana ni mjinga sana huyu

  • @misosikonki
    @misosikonki Рік тому

    Mungu awe nasi

  • @nelsonjackson7995
    @nelsonjackson7995 Рік тому +1

    Wewe mbunge unakitu, kuku na binadamu tofauti wezi wapo kwanini mzunguke San Sheria ifate mkondo,kiongoz akihiba mnachelewesha ukum ila wananchi wa Hali ya chini wakifanya makosa fasta ukumu inatok km mnashindwa tutawahuku sisi wananchi.

  • @alenialex6941
    @alenialex6941 Рік тому

    Kuna wabunge wengine Makuma tu inatia uchungu vitu vimepandaa Bei era imeliwa jitu linatetea wizi mbwa mkubwa

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 Рік тому +1

    U huru wa kufanya kazi walio pewa watumishi ndiyo tatizo lenyewe maana watakuwa wakiiba bila woga so Kwa Hili siyo sawa Kwa Raisi wetu tunaomba abadiri gia awabane watumishi ili wawe na nidham.

  • @beatusimakwaya3346
    @beatusimakwaya3346 Рік тому

    HUYU NAYE RUSINDE AMESHAKUWA CHAWA ,SIJUI KALOGWA NA NANI , WATU WANAIBA YEYE ANASEMA ETI TARATIBU , HUYU HAGAI KABISA

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 Рік тому

    Lusinde kapewa pesa na hao wezi

  • @JohnMalambo-hk5hk
    @JohnMalambo-hk5hk Рік тому

    Ww umehongwa pesa zote

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Рік тому

    Mafisadi na majizi matupu.!!! Ona yanavyonenepa.

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 Рік тому

    Kibajaji Ni gari la Zima Moto msishangae kuona kaanza kazi yake

  • @bminawandu
    @bminawandu Рік тому

    Huyu wame mchagua wakina nan awa ndio wezi wenyewe

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Рік тому

    Huyu ni hamnazo

  • @emanuelgella8201
    @emanuelgella8201 Рік тому

    Aina ya wabunge kama Hawa ndio wanafanya bunge lionekane dhaifu, atatetea wezi, mbunge wa kusifu tu, ungekuwa muimbaji basi wa nyimbo za injili, Hana akili Hana hoja Hana ana tumbo tu, hizi pimbi hizi😢

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Рік тому

    Lusinde anatafuta uwaziri

  • @abedibyaese1771
    @abedibyaese1771 Рік тому

    ZOTE iso si zamikopo

  • @isaacmollel345
    @isaacmollel345 Рік тому

    Uongo hayomagari yakuchimba maji yako wapi panda kwako

  • @domycossan1395
    @domycossan1395 Рік тому

    Rais amewapa uhuru mkubwa sio wa kufanya kazi bali ni wa kuhujumu fedha bila kufuatiliwa