CHINO ATOA ZAWADI YA GARI KWA DOGO NOMA NA MENEJA WAKE SUBARA NA BMW UTAPENDA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 20

  • @PendoWilliam-x5z
    @PendoWilliam-x5z 2 місяці тому +3

    Mungu ambaliki chino na watuwako wakowote kaka❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 2 місяці тому +2

    Vijana wachache Sana chino unatembea katika mungu upendo ndyo kila kitu

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 2 місяці тому

    From 🇧🇮 mashaallah

  • @NasiryAndrew
    @NasiryAndrew 2 місяці тому +3

    Jambo zuri

  • @MaulidKidenga
    @MaulidKidenga 2 місяці тому +1

    Ila chino mtu aisee

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 місяці тому

    Akifanyaaa didy mnasemaaa mafutaaa yanausikaaa sasa upendoo wamoyooo unafikaa adiiiii bongoo Jeeee mafutaaa yaapooo umooo ndani

  • @AbdalaSaide-ls7lb
    @AbdalaSaide-ls7lb 2 місяці тому

    Big up

  • @NasiryAndrew
    @NasiryAndrew 2 місяці тому +2

    Sawa

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 2 місяці тому

    Vijana mjipange sana otherwise ushirikina na mafuta yanawahusu ..

  • @digital-d2t
    @digital-d2t 2 місяці тому +2

    Hii tamaa ya Hela itatupeleka pabaya

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 2 місяці тому +1

      Kivipi mzee

    • @kiakae1819
      @kiakae1819 2 місяці тому

      nahiyo tamaa ndo yako sio yetu wachaa wewe 😏

    • @kiakae1819
      @kiakae1819 2 місяці тому

      ujuwi kitu

    • @Ehwazmoha
      @Ehwazmoha 2 місяці тому

      Ilooo roho mbaya sijui mtoto wa kiume huyu anaongea hivi choko ww ! duh dunia hii inachekesha mtu anakonda kuona vitu mitandaoni

  • @beatboy30
    @beatboy30 2 місяці тому

    Huyu chino mzki kaamza jana tu pesa hizi vip wakati Kuna kaka zake ambao ni kitambo na so ka iv

  • @luvboynyamz27
    @luvboynyamz27 2 місяці тому

    Mim ni mkenya 🇰🇪 ila nashangaa,kwani udancer unalipa kiasi gani halaf kwani mziki wa amapiano unalipa kuzidi bongo flavor?? Daaah... nawaza yule dereva kwa nin alikufa peke yake😢😢.. vijana , tamaa zisiwaponze...sima ubaya mim..

    • @yohanepeter6800
      @yohanepeter6800 2 місяці тому +2

      Pumzika mkenya deal na maandamano yenu

    • @luvboynyamz27
      @luvboynyamz27 2 місяці тому

      @@yohanepeter6800 kwani mim maandamano inanihusu??🤣🤣

    • @Trey2k365days
      @Trey2k365days 2 місяці тому +1

      My brother from another mother mambo ni mengi bongo sahivi unahaki ya kuwaza hivo aiseee... Stay blessed

    • @luvboynyamz27
      @luvboynyamz27 2 місяці тому

      @@Trey2k365days nakubali kiogozi wangu🫡🫡