taratibu tu ela zitakuja kuwa kitu cha kawaida ata uku africa kwani naona siri ya dark money inazidi kushika hatam dunian kote.....ushauri tu wa bure tusitaman maisha ya watu ,,,mafanikio yana siri kubwa guys
Huo sio ushauri bali ni ukumbusho,M'mungu kwenye Qur'an mbona alishatueleza kuwa tusitamani maisha au mafanikio ya mtu,ila me nakuunga mkono upo sahihi
Hakika maisha ya usanii yanapaswa kuwa na usanii mwingi sana, kama hauna uelewa huwez elewa nini nmemaanisha, kwahiyo hata wakipatwaga na changamoto wakaanza kutuomba michango ya matibabu tuwachangie tuu maana kwenye usanii bila usanii inakua ngumu🤝
Nyuma ya kitu kizuri chochote Kuna maumivu makali usiyoyajua tusitamani sana maisha yawatu ya kirahisi rahisi tu Kuna Siri kubwa nyuma ya pazia mungu atupe Mali halali zenye uhalisia
Kaka chino god bless u,,😢😢😢mimi nibless tu milion tano ya mtaji ili niweze lea familia yangu,wazazi,kwetu hakuna msomi hata mwenyekit wa mtaa tumezaliwa tisa
Daaah yan nimefurahi sana kumbe chino ni mtu mzuri sanaaaaaa yan nlikua sikuelewi kabisa ila leo nimeangalia interview hii asee kumbe ni bonge la mtu allah akulinde akupe afya njema wewe ni binadam wallah uzid kufanikiwa usaidie wengine unakumbuka ulikotoka unawakumbuka watu wako huna majivuno safiii sanaa wanaman
Mtoaji Mungu tutajuaje waache kuwato kafara wenzao Kisha wanajificha eti kwakumchukua ndugu yake na marehemu hata raha Hana kijana wawatu 😢😢anajua nini kilitokea
@@zaytounerzahran7553 ingekua nchi za wenzetu wanatumwa feds kufuatilia kimya kimya kila source ya shillingi anayopata hata mwaka mzima unafuatiliwa kimya kimya ila Bongo ya mama unachowez kufanya ww fanya ilimrad usikamatwe. Huko serikalin ndy kumeoza kwa rushwa na wizi
Mmmh ni kweli mziki una pesa lakini ni mapema muno kwa haya mafanikio sio kweli nakataa nakataa Tena kwa hits zipi hizo za kuwazidi akına Mbosso akina Mario ni mapema sana kila kitu tukipe mda 😅😅😅
Wengi bado wamelala ukisema ukwl tu eti chuki wafkir mamb kirahisirahisi mambo yanatokea from nowhere hizo rahisi sana hata hao wasanii wa mbele huo ndio mwenendo wao
Sasa mnataka watu wa nyamaze ili iweje kama ametoa kafara mtoto wawatu kwanini asiumbuliwe ametoka lini kimziki mapema hii amzidi Marioo na Amapiano yake
Facial expression ya jamaa inaonesha wazi kuwa kuna kitu hakiko sawa kabsa hapa! Lucifer! Lucifer! Lucifer wewe. Subiri Mwana wa Adam arudi! Umetuharibia sana vizazi vyetu. Dah....🤦♂️😭😭😭
Comment nyingi watu wanasema eti nyuma ya mafanikio kuna kilicho jificha,, nauhakika chino hapigi show chini ya milioni kumi.. tufanye ni milioni kumi tu, kila wiki apige show moja kwa mwezi ni milioni 40., na inawezekana ukitoa HIT na ukawa na connection nzuri show ni nyingi msanii anakuwa hapumziki na wengine wanapiga show mpaka mbili kwa wiki moja.. sasa ww piga hesabu kwa mwaka mtu anatengeza kiasi gani.?? Ni ss maskini ambao hatuna connection za kupiga hela za hvyo ndo tunakuja na kisema mambo ya kafara. watu wanapambana show zinafatana na mpaka zingine wanazikataa. Tuache wivu mtu akifanikiwa sio kafara jamani
Mashalah mashalah mashalah chino anaela asaiv... mashalah Kila la heri bwana..chino umebalikiwa kaka ..Kila la heri
Kama mziki unalipa basi jay melody angekua na mali nyingi sana hapa kuna siri kubwa sana
Kwani hana mali umeambiwa mkuu
Yan ukiangalia Chino kwenye mitandao Hana wafuasi wengi hata robo ya Jay Melody hafikii lakn mafanikio mengi ase Kuna Siri kubwa nyuma ya mafanikio
kajiongeza kazitumia connection za serikali kikamilifu. anajichanganya na wakubwa wa nchi wanammgea madili
Jay hana mambo mengi
Kama ni mafanikio ni hongera kwake chino,,,, mutangulize Mungu upate zaidi na zaidi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sasa amtangulize Mungu yupi.
Hongera chino mungu akupe uhai mlefu maana siyo lahisi kwal vita ninying lakin nakuombeya mungu awe pamoja nawewe kila wakat 🙏
taratibu tu ela zitakuja kuwa kitu cha kawaida ata uku africa kwani naona siri ya dark money inazidi kushika hatam dunian kote.....ushauri tu wa bure tusitaman maisha ya watu ,,,mafanikio yana siri kubwa guys
Kabsa
True
Vinamuda bac😂😂
Huo sio ushauri bali ni ukumbusho,M'mungu kwenye Qur'an mbona alishatueleza kuwa tusitamani maisha au mafanikio ya mtu,ila me nakuunga mkono upo sahihi
Na ndo maana alofanikiwa kimaisha hapa dunian hawezi kukuelekeza njia zote alizopita
Hakika maisha ya usanii yanapaswa kuwa na usanii mwingi sana, kama hauna uelewa huwez elewa nini nmemaanisha, kwahiyo hata wakipatwaga na changamoto wakaanza kutuomba michango ya matibabu tuwachangie tuu maana kwenye usanii bila usanii inakua ngumu🤝
Mwanya bwana eti congulation chino😮😮😮
Nyuma ya kitu kizuri chochote Kuna maumivu makali usiyoyajua tusitamani sana maisha yawatu ya kirahisi rahisi tu Kuna Siri kubwa nyuma ya pazia mungu atupe Mali halali zenye uhalisia
Ameena
Fanya kazi mbwa ww
Mmmh waja Sasa 😂Hebu Fanya Kaz pesa zipp tuu😂
Waache wafurahie uzuri wa ua linalochania asbh... Hata aibu Hana eti familia
@@betterlifeinvestment2192mbona kama makasiriko na matusi juu
Chino ana roho nzuri sana sana. Dogo fighter mno
Kaka chino god bless u,,😢😢😢mimi nibless tu milion tano ya mtaji ili niweze lea familia yangu,wazazi,kwetu hakuna msomi hata mwenyekit wa mtaa tumezaliwa tisa
Daaah yan nimefurahi sana kumbe chino ni mtu mzuri sanaaaaaa yan nlikua sikuelewi kabisa ila leo nimeangalia interview hii asee kumbe ni bonge la mtu allah akulinde akupe afya njema wewe ni binadam wallah uzid kufanikiwa usaidie wengine unakumbuka ulikotoka unawakumbuka watu wako huna majivuno safiii sanaa wanaman
Big up brother Tanzania 🇹🇿 we all way up
Napendaga sana kichekoooooo yaaan ukichekaa N Hatariiiiiii
Tid,dully sykes,barnaba,Mr blue,q chilla vipaji vyote walivyonavyo hawajawahi kuishi hata nusu ya maisha haya
Big up Chinno Kid. All the best
Usisahau kuwekeza mzee big up kaka
Mpe hongera zake ila siku nyingine wakisema ni vyao wakuoe na stakabadhi kukuthibitishia
Masikini tuache roho mbaya mwenzetu akifanikiwa! Mtoaji Mungu tupunguze fikra finyu
Mtoaji Mungu tutajuaje waache kuwato kafara wenzao Kisha wanajificha eti kwakumchukua ndugu yake na marehemu hata raha Hana kijana wawatu 😢😢anajua nini kilitokea
KASEMA ANA WATU NYUMA 🔥🔥
sili anaijua mwenyewe
Nakukubali mwanangu chino wanaman
Uyu msengeeee kasha jipataaaaa tayariii
❤❤❤ King of reggae music in dodoma Tanzania
Muziki unalipa sana kumbe!
Jaman Kwan hayo meno kalazimishwa kuwekewa cheni 😂😂😂😂anaongea kama amekula mavi 😂😂😂
Nakubari chino dunia ya mungu vtu vyenyewe tunaviacha kweri kabsa
Oeeeee craping for others until your time ❤❤❤
Achen wvu bn kapambna jamaa kila mtu Mungu kampangia maisha yake we ukizpata ukawa w kula t actually haztoonekan but kilakitu n malengo tu
😂😂😂hi ni move ngoja nisubili BEHIND THE SCENES nione inavyookua
Huyu jamaa toka dereva wake afe kwenye ajali ya gari amekuw na mafanikio Sana mh pana kitu nyuma ya pazia
Mungu akubariki Sana kaka uendelee kupata Zaid
Hii si sawa kabisa ifike wakati na mungu atuone nasisi sio tule moto duniani na mbinguni kwel
Daah😂😂😂umenena kwa uchungu Sana aisee na kweli hebu atukumbuke na sisi
nimemuelekeza ndg hahahahahaa
ND mpambane kihararii vipo tu😂
Hahahahahahahaaaaa😂😂😂😂...
@@AmaniManase-x1i Jamaaa kaongea kwauchungu nmecheka ad nmeliaaaa yaan😂😂😂
Kuna ktu hakijakaa sawa i hope nothing illegal or supersticious kwasbb mafanikio ni makubwa kushinda mtu na hata kaz yake.
Nimetoka kuliongea hilo kwa mtu asiyejua mzunguko wa hela unavyoenda watachukulia kawaida ila mfunguke
@@zaytounerzahran7553 ingekua nchi za wenzetu wanatumwa feds kufuatilia kimya kimya kila source ya shillingi anayopata hata mwaka mzima unafuatiliwa kimya kimya ila Bongo ya mama unachowez kufanya ww fanya ilimrad usikamatwe. Huko serikalin ndy kumeoza kwa rushwa na wizi
Mmmh ni kweli mziki una pesa lakini ni mapema muno kwa haya mafanikio sio kweli nakataa nakataa Tena kwa hits zipi hizo za kuwazidi akına Mbosso akina Mario ni mapema sana kila kitu tukipe mda 😅😅😅
😂😂😂😂😂
Wee endelea kukataa hivyohivyo ,,,utkufa masikini na roho mbaya yako
Kumbe muziki unalipa saana
Huyu ni msanii katoa nyimbo gani? anajiusisha na nini? au mziki tu?nyumba nzuri nimeipenda
Itafahaamika tuu ngoja tuendelee kuangalia movie 🎬
Maisha yana siri kubwa... 😂😂 Chino kawa tajiri kuliko Marioo, mboso na lavalava 🤭
😂 yaanii
Kuna Kitu hakiko sawa
Haha 😂😂
Vijana wa P Diddy wako vizuri kweli 😅😊
😂😂😂😂
Wanarohu nzuri
Noma💥
Sanaa inalipa sana.
Chino ametumia akili na sanaa ametoboa kimaisha.
Vijana tupambane kila kitu kinawezekana
Kweli shetan noma
Mungu ni noma zaidi ya shetani
Ringo uspande gorofani maana jamaa analoho nzuri sana
Kuna siri kubwa apa....sio sanaa
Vip kuna pid did
@@obbybenitho5803😂😂 hauna akili kbs 😂😂😂
Ni kwel hata mm naunga mkojo hoja wanabebaga ngada pia hawa
Kuruka ruka tuu mafanikio ya hvo, wawadanganye wajinga 😅😂
Unga mkojo pekeako😂
juhudiii nidham havimtupii m2
Respect
Mtangazaji ❤
Seme uyu chino kama kitaila frani iv 😂😂😂 Dah maishaa bhnaa kweli pin code 😂😂😂
Watupe nasis code
Me mwenyewe naona Kama taila hivi😂
@@innocentjoseph805mwehu 😅😅😅
hongera kaka
Ishi maisha yako aiseee sitamani pesa za mtu
Hv ni kudans tu au ni kuimba maana kama celew hv yan kwa mzk ghn had leo unamilk hvyo vtu mzee mmmh au bas 🏃🏃🏃🤣🤣🤣
Jaman chino ametafta acheni ale matunda yakee naqubaliii snaa kaka tupo nyuma yako kaka
Vijana tupambane tuache majungu mungu akulinde mdau endelea kupambana
kuna time mungu akiamua kila unachogusa kinajibu
Tamaaa zitawapoteza, uyu nae msanii😅😅😅😅😅
Allah akutangulie Inshallah
P Diddy kashafika mpaka huku, bongo bila Diddy wasanii hamna kutoboa😁
Maskini mnakomenti usengee😂😂😂
Kama umejenga hongera sana ila kama umepanga huzuni kubwa
Kwa hiyo wote tulio panga unatusikitikia duu
Kijana katika kutamani maisha ya mtu usivuke mipaka...ilo tu
Mashaallah 👏👏
Huyo jamaa hana riho mbaya anaishi na watu vzr jamaa ana wakumbuka wanae
Kila penye mafanikio ya haraka nyuma na mbele kuna vilio vingi nakujutia😢
Eti ananunulia watu magari😢😢😢
Mridieni Mungu Vijana Mnapotelea gizani.
KASHAUNGWA FREEMASON HUYO.Sisi walimwengu tunajua hayo!! ...Anasema ni Watu wazuri...ni Brotherhood hao...Freema...
Wengi bado wamelala ukisema ukwl tu eti chuki wafkir mamb kirahisirahisi mambo yanatokea from nowhere hizo rahisi sana hata hao wasanii wa mbele huo ndio mwenendo wao
Watanzania tunaroho mbaya sana usipokua nacho hawaku saport ukiwa nacho watakupiga vita umaskini mzigo
Sasa mnataka watu wa nyamaze ili iweje kama ametoa kafara mtoto wawatu kwanini asiumbuliwe ametoka lini kimziki mapema hii amzidi Marioo na Amapiano yake
@@limymasele21una ushahidi gani kama kamtoa kafara? Acha fikra potovu. Au ulikuwepo wakati anamtoa kafara??
Mafanikio ya mwanadamu yana siri kubwa sana
Siri ni hiyo cheni ya shingoni na Pete.
Nakwambia
@@smartonlinetv5144😂😂 kweli bwana
Maisha ya kuigiza sio mazuri kabisa yani hata mungu hapendi
Hayo meno yanamfanya anashndwa kuongea kwa kujiachia😅😅😅
Bongo ukifanikiwa kidogo unatoa nyuma yaaan😂😂😂😂
Inaonyesha chino ananidhani Nzuri alafu anakumbuka walikua wanyonge wenzake
Jumba kaliiii
Mpika Mpishi😂😂😂😂
Mmh ndo muziki tuuu au😂😂
Sasa kaka mdomo uwo na Bado ukatia meno hhhh
Mm namini hakuna kinacho shindikana na sikila tajiri lazima ahaso saaana apana achen mawazo finyu
Ninyumba au ni ukumbi😅😅😅😅😅 watu wengi
Chino kwa jili ya kudans tu.... mmmmh sio kweli atakua anauza mchelee 😮😅
Ety chino ni kama pdidy mbona watu wamejaa ndani ivo wanatoka kweli mtanga na ringo embu wekeni neno😂😂😂😂😂😂
Alie mshauri kueka hayo meno nani jameniiii😂😂😂😂
Na hilo Cheni sasa mapete ka mwehu😂😂😂
Sass kaamua kuacha meno nje wkt wenzie wakijbu mambo ya bonden kanichekesha jmn😅😅😅😅😅😅😅
Marioo mwenyew anashangaa hizi pesa za chino 😂😂😂
marioo atakuaje na pesa kwa familia ile aliyojiweka(kajala) ya bata wanyonyaji
Huyu jamaa baada ya ile mbanga ya yeye na dereva ake gari iwage chapati mafanikio yalikuja ka bomba imeng'olewa koki😂
Facial expression ya jamaa inaonesha wazi kuwa kuna kitu hakiko sawa kabsa hapa! Lucifer! Lucifer! Lucifer wewe. Subiri Mwana wa Adam arudi! Umetuharibia sana vizazi vyetu. Dah....🤦♂️😭😭😭
Yaani umewaza kama mimi
😅😅😅😅😅😅😅
Nimemuona kaka wa marehemu alivyokuwa amekaa pale nje kwenye ngazi mpaka huruma asee kanyweaa
@@finiaskalist747 Lazima anywee kwasababu bado halewi sema ni siri yake.
Piddy atawamaliza sanaa
😂😂ela bwn inambadilisha mtu mpk kuongea kucheka😅😅
Kaka nyumba hiyooo niya bwana samatta mtuu akijenga ni Bruce kutoka burundi uriza Alikiba na mwana fa
Hakuna kitu kwa nyimbo gani
Yani Juzi Tu Leo Una Ranger kudansi tu Namjengo kama Huwa Mhm Emu Ngoja Nimhulize Sa god😂😂😂Mhm
😂😂😂😂😂 wanna man may bE DOING Some CULT activities 😅😅
😂
😂😂😂 Yaan
Haujui 😂😂😂
Kama hujui kitu uliza huyu aliweleza mashambani huko na kuimba now ni 2yrs
Ringo kawa chawa
Comment nyingi watu wanasema eti nyuma ya mafanikio kuna kilicho jificha,, nauhakika chino hapigi show chini ya milioni kumi.. tufanye ni milioni kumi tu, kila wiki apige show moja kwa mwezi ni milioni 40., na inawezekana ukitoa HIT na ukawa na connection nzuri show ni nyingi msanii anakuwa hapumziki na wengine wanapiga show mpaka mbili kwa wiki moja.. sasa ww piga hesabu kwa mwaka mtu anatengeza kiasi gani.?? Ni ss maskini ambao hatuna connection za kupiga hela za hvyo ndo tunakuja na kisema mambo ya kafara. watu wanapambana show zinafatana na mpaka zingine wanazikataa. Tuache wivu mtu akifanikiwa sio kafara jamani
A Chinooo...
going Conversation
Kuna vimasikini vina comment utumbo 😂
Acheni wivu
Alichovaa shingob ndo tatizo fuvuu I'll sjongon
Eti fuvu
Duh dogo punguza moto asee huu moto ipo siku utajuta mwamba
Aliyegundua kama chino kalewa mkono juu
jumba la pdidy
Mmmh usitoke live🎉🎉
UA-cam pana lipa saana
Jamani miye naomba niulize, amepanga au kajenga?