DOGO NOMA SIAMINI CHINO KIDD KANINUNULIA GARI ANAUPENDO MKUBWA MARIOO AMETUKATAA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @LemmykaiBernard
    @LemmykaiBernard 13 годин тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @FelixKato-u6e
    @FelixKato-u6e 2 місяці тому +1

    Ata hivo unajituma unajitahdi sana unacheza atal DOGO Muleba nilikushangaa kinoma Akuongeze tu nyingine Akijaaliwa zaidi😊

  • @angelSanga-p4q
    @angelSanga-p4q 2 місяці тому +13

    Alafu anaonekana anavuta sana bangi uyu dogo

    • @MsNajma-j7e
      @MsNajma-j7e 2 місяці тому +1

      Nawe umeona eee,,nirijua peke angu niliona

    • @SteveMbinga
      @SteveMbinga 2 місяці тому +1

      Amna dogo avuti bangi sema shisha na mitungii ming

    • @afrosonicaudiostation6567
      @afrosonicaudiostation6567 2 місяці тому

      Uhakika kazi na dawa.. ndiomaan ni mkaliii

    • @VicentySina
      @VicentySina 2 місяці тому

      Acha avute ziishe tusiharibu vizazi vijavyo

    • @adjafamkungilwa1154
      @adjafamkungilwa1154 2 місяці тому

      @@MsNajma-j7eKweli

  • @agapemunyi2095
    @agapemunyi2095 2 місяці тому +2

    Anajua Sana kujieleza ,anajitambua hta Kama mdogo vip

  • @SuediKitoi-j6o
    @SuediKitoi-j6o 2 місяці тому +1

    Dogo yuko vizuri sana,hayo yenu mengi siokwel

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 місяці тому +3

    Akifanyaaa Didy munasemaaa mafutaaa yanausikaa ukuuu bongooo Jeeee kwachinooo mafutaaa akunaa

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 2 місяці тому

    Kipaji anacho dogo anajua..ila bange pia ipo kwa sisi wazee wa chimbo tunatambua..all in all Mungu azidi kukuinua

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 місяці тому +2

    Huyu ni mdogo Ake na kino ,,,,wabongo bhana

  • @MubaMfui
    @MubaMfui 2 місяці тому +4

    Uzuri wa chino kidd ana love sana na watu wanao mzunguka

  • @youngchyna744
    @youngchyna744 Місяць тому

    Dogo anafita sana bangi huyuu

  • @Daleytz3377
    @Daleytz3377 2 місяці тому +1

    Uyuu ajui kuongea nawee😂

  • @deejay__best
    @deejay__best 2 місяці тому +1

    Mtangazaji Kachapia Alitaka Kusema NDONGA 😂😂😂😂😂😂

  • @godchila8013
    @godchila8013 2 місяці тому +1

    Dgo anagusa uyu ila.bangi inasaidia sana

  • @museojohn3879
    @museojohn3879 2 місяці тому +2

    Sasa bna aseme marioo amewakataa

  • @tpclimitedit88
    @tpclimitedit88 2 місяці тому +1

    Nakubali

  • @MohamediHongo
    @MohamediHongo 2 місяці тому +1

    Unyama noma

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 2 місяці тому +1

    Impreza bana dogo

  • @SamweliHozza
    @SamweliHozza 2 місяці тому +2

    Huyu dogo kama anakula vitu hivi

  • @barakalameck7342
    @barakalameck7342 2 місяці тому +1

    Hahaha asa aka nako gari ya nin

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 місяці тому +2

    Wamemtoa kafara mwenzao iri wagawane magari wasani bwan

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 2 місяці тому +2

      nawee mtoe babaako utoboe acha uchoko,mafanikio yanahitaji uache shobo uwe bize na kazi biashara nk ambacho unaona kitakupa pesa leo au mwakani.umeelewa wee mbatataa!.

    • @omaryhusseinlibenanga6134
      @omaryhusseinlibenanga6134 2 місяці тому +1

      Akili yako wewe ndogo sana mungu humpa amtakae unaweza ukamtoa mtu kafara na usifanikiwe acha imani potofu