Hili ni JESHI la mtu mmoja la kuleta injili na ukumbusho kwa BINADAM wote tumrudie aliyetuumba ck moja tutayakumbuka haya lakin itakuwa to let! Mtumishi wa MUNGU Asante kwa wimbo mzuri
Mtumishi mungu akusimamie katika kazi YAKO . Wakumbuke hayo mpenzi yamehalibu vijana Wengi lakini wao wanayasifia duuh huo mzigo wasipo tubu wataubeba maana ni wachochezi wa hayo mambo
Hili ni JESHI la mtu mmoja la kuleta injili na ukumbusho kwa BINADAM wote tumrudie aliyetuumba ck moja tutayakumbuka haya lakin itakuwa to let! Mtumishi wa MUNGU Asante kwa wimbo mzuri
MUNGU azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi Aminaa
Amen mtumishi mungu akubariki sana 🙏🙏🙏 naomba wamrudie mungu
Amina Babaaaa ubarikiwe wimbo mzuriii 🎉🎉🎉❤❤❤❤💯✔️📖📖📖📖🤲🤲🤲🙌🙌🙌🎂🎂🎂🔥🔥🔥🙏🙏🙏
Wakumbushe mtumishi wa Mungu.
Mungu awasaidie kuelewa...hii nyimbo inatosha mahubiri.
Amina baba Mungu akubariki kwa kuusema ukweli
Ukweli unauma , sema mtumishi atakae kutubu atatubu. Mungu akubariki zaidi
Hakik uyu rafiki anachokiimba anakijua Kama ningefanikiwa kuonana nae ningefaidk mengi,,
Barikiwa sana wasije wakasema hawakuwahi kusikia neno la uzima.
Hongera mwimbaji, Mungu akusimamie.🙏
Uuuuuuubaaaaaaariiiiiiiiiikkkkkweeee saaaana mtumishi wa mungu aliye juuuuuu saaaaaana
Daaaaa jamaniii unajua brooo umetisha waambie wajue
Imefika wakati ni kuwambia watu ukweli Mungu akufunike bro maana ivyo ni vita
Kwakweli mungu akubaliki sn mtumishi wangu
I love the massage God bless you
Sema yamkini watatubu
Wa kwanza leo dondosheni like zangu kwa uwingi jamani 🙏🙏🙏
@@ALIMASIEMMANUEL-mg8ev hongera sana
@@BARAKA888asante mkuu kutoka D.R.C🇨🇩 naitwa almasi emmanuel, nasapoti sana kazi zako, big up sana my brother
@ALIMASIEMMANUEL-mg8ev Mungu akubariki sana kwa kufuatilia page hii
@@ALIMASIEMMANUEL-mg8ev na nikukaribishe Tanzania
Barikiwa sana
Mtumishi mungu akusimamie katika kazi YAKO . Wakumbuke hayo mpenzi yamehalibu vijana Wengi lakini wao wanayasifia duuh huo mzigo wasipo tubu wataubeba maana ni wachochezi wa hayo mambo
Natamani wasikie hata kwa sehem ya huu wimbo yamkin wakabadilika
Asee mungu akupe nguvu
Nakukubali sn Tena sn mm
mtumishi anawataja kabisa
@@justinengogo Zambi si ya kuikumbatia kemea onya karipia
@@BARAKA888 amina mtushi
Powerful massage BROTHER God blessed you 🎉🎉💥💥💥🎉🎉🔊🇰🇪
Thank you
Mungu akulinde mtushi wa mungu
Ubarikiwe ❤
❤❤❤❤ Amina mutumishi wa MUNGU
🎉🎉🎉🎉❤❤SONGA mbele
@@paschalcassianoriginal9411 amen mtumwa wa Bwana acha tuzipeleke
Unawataja kabisaaaa 😂😂😂
@@JAMBOBoy-v3k atakaye nionea haya mbele za watu nami nitamuonea haya mbele za baba yangu
Moto umewakaa😅🙌
@@happyluvanda9875 amen
Barikiwa
Ujumbe nzur
Ubarikiwe 🎉
😊 kila la heri
Amen
Amen Amen
Bro iyi yako mbona kama beat ya chameleon mamaroda?
Amina
Amin amin
We zombi
Ila broo una kakitu flan... Ila unaimba umepewaga kipaji... Ni vema ukiwaambia watu tumwimbie yeye Alie juu.
harmonize amekubari kutubu
😂😂😂
Kweli inaumiza lakini siyo kosa kwaule amesema kweli hilo nataka liké yenu
Huyu kama anapromoti ushoga kinamna. Vinginevyo asingeweka hizo picha za mashoga anaowatumia salamu.
Sio ivo
Kuna watu hawaelew mpaka waone na picha,,kikubwa ujumbe ni iyo voice inayotoka kama wa kuelewa wataelewa... 🔥
AMINA
@@PascalSabonga amen barikiwa
Barikiwa
Amen amen