Nimeipenda melody inatangaza asili yetu vyema kabisa.Ushauri wangu ukitaka kuandaa program ya wimbo wa asili fanyeni asili kweli ili hata dunia ujue tuna mila, ili hata makabila mengine yaliyoua itamaduni wao wajione wakiwa. Mavazi, na maleba yanayoambatana na ngoma hiyo hamkutenda haki, sidhani kiasili kabisa kama kabila hilo wanaume walifunga rubega za khanga
Huu wimbo Umenibariki ☘️

Huwa wanavaaje kiasili, tujuze wanavyo vaaa wa hilo kabila.
Well talented!!
That's immaculate!
Wa kwanza ku comment, Mziki mtamu sana na ujumbe Mzuri pia Mungu Awabariki waimbaji wote na yeyote atakaesikia wimbo huu
Wimbo mzur sana asanteee
Nyimbo nzl sana na inaujumbe mkubwa mzul wakutusogez klb na bwana
🎧♥️
Hakika.