DUH DKT MWINYI AJIBU MAPIGO KWA WANAOMPINGA | "BARABARA 2 ZA GHOROFA KUJENGWA ZANZIBAR"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #dktmwinyi

КОМЕНТАРІ • 9

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому

    Ndio baba chapa kazi waache waseme tuu kazi iendelee mbele hizo za maneno kawaida binaadam shukurani zetu ni ndogo kama hukufanya maendeleo watasema na pia unafanya maendeleo wanasema wewe baba yapotezee songa mbele ijenge zanzibar mpya baba yajayo yanafurahisha baba 😍👌👌👌

  • @Mkubwa-q5s
    @Mkubwa-q5s 5 місяців тому

    safj baba chapa kazi

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Рік тому

    Ahsante mipasho

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 2 роки тому

    Malengo mazuri ...rais wetu hongera!..ila wasipigwe ovyo wananchi japo wanongea hovyo !

  • @salummohd4008
    @salummohd4008 2 роки тому

    baraka shamte anahitaji zawadi kwa ukweli

  • @abdulhalim3840
    @abdulhalim3840 2 роки тому

    Fungua njaa juu kwanz hatushibi

  • @muhidinimohd1470
    @muhidinimohd1470 2 роки тому

    Inshaallah tuseme

    • @اللهأكبر-ذ7ث3س
      @اللهأكبر-ذ7ث3س 2 роки тому +3

      Wasomi wa uislam( mufti Menk) wanatuambia wakati wa kuandika In Sha Allah lazima uache nafasi tatu na siyo kuandika in Sha Allah kwa neno moja cause inaleta maana kinyume na iliyokusudiwa
      Jifunze kuacha space wakati wa kuandika neo in Sha Allah share na wengine wapate faida

    • @اللهأكبر-ذ7ث3س
      @اللهأكبر-ذ7ث3س 2 роки тому +1

      Kiarabu ambalo ni asili yake neno in Sha Allah yako matatu pia ان شاء الله