FOLENI NJIA YA BUBUBU SASA YAPATA UFUMBUZI WAKE RAISI DR,MWINYI HATUTOIBOMOA FIDIA YAKE NI KUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @alhajjkassim2648
    @alhajjkassim2648 Рік тому +2

    Mh barabara ya bububu kwa kiwango cha flyover ingeweza kutatua foleni if possible

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Рік тому +4

    Jamuhuri ya muungano inatuhusu nini ktk mambo yetu ya maendeleo ya ndani tunahitaji mamlaka kamili Zanzibar

    • @westmoh6404
      @westmoh6404 10 місяців тому

      Tafuta mamlaka utayapata

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 9 місяців тому

      Sisi ni Muungano na hakuna mamlaka kamili kwenye Muungano wowote hata wa mtu na mke au mume wake achilia mbali nchi. Kuna mambo mengi ambayo Zanzibar haiwezi kuingia wenyewe kwa sababu hatupendi kusikia lakini Zanzibar sio nchi nchi ni Tanzania mbele ya mataifa mengine sisi ni Watanzania na Rais wa Zanzibar ni kama Govenor kwa nchi zinazotumia mfumo wa State (Muungano) ambapo kila eneo lina Kiongozi wake na taratibu zao lakini Rais ni mmoja na nje ya mataifa mengine anatambulika huyo mfano rahisi ni Marekani USA.

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 9 місяців тому +1

    HIVI KWELI KIFUSI KILICHOCHIMBWA MASHAMBA KUJENGA BARABARA BAADA KUUZA BASI ZURA WANGETOA TENDA MASHIMO YAKIOCHIMBWA YAFUKIWE.

  • @OmarMachano-y4x
    @OmarMachano-y4x Рік тому

    Basi kama nigharama basi hata waliokweyehifadhi serikali na ivumiliwe Barabara ijegwe

  • @awenamohd8357
    @awenamohd8357 Рік тому +3

    Tusaidieni hali mbay fuoni kitongani tunaomba nasisi hatuna barabara

  • @salumsasua9906
    @salumsasua9906 2 місяці тому

    Kinuni kuendea chunga naona meisahau barabara hiyo

  • @husseinally4932
    @husseinally4932 11 місяців тому +1

    Mimi naona bora ile barabara ya daraja bovu inyooshwetu

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 9 місяців тому +1

    UPANDE WA UTALII MAGOFU KAMA MARUHUBI RUINS YANABOMOKA HAYA A UTUNZAJI MBONA GHANA WAMEWEZA KUTUNZA SOKO LA WATUMWA KAMA LIMEJENGWA LEO SISI TU NASHINDWA KWA WIZARA YA UTALII ISHUGHULIKIE NA MAGOFI KAMA UZINI KIBOMBANI KUNA GOFU LA KALE ZIMA NI KUREKEBISWA TU HAPO TUTAUTENDEA HAKI UTALII WETU

  • @othmanawadh3964
    @othmanawadh3964 Рік тому +1

    Congrats kiongozi

  • @majaliwahussein5362
    @majaliwahussein5362 Рік тому +2

    Ikiwa tutakuwa tunaogopa gharama hatuwezi kuujenga mji wa Zanzibar ifike wakati tukubali kuumia lkn tuujenge mji wetu

  • @nassorhemed3953
    @nassorhemed3953 Рік тому +1

    Pemba ndo imetupwa kabisa barabara ndo haifaii kabisa

  • @iddikhamis8454
    @iddikhamis8454 Рік тому +2

    Angalieni ns barabara ya kuelekea kusini unguja haifai hasa mbovu, mbaya na masafa yake ni marefu zaidi kuliko hiyo ya bububu.

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 Рік тому +1

      Idris-Khamis usiwe na wasiwasi na barabara ya kwenda kusini kwani huko kusini Unguja ndiko nyumbani kwa mkuu wa nchi nzima ya Tanzania hivyo ni muda tuu ila barabara itajengwa.

    • @iddikhamis8454
      @iddikhamis8454 Рік тому +1

      @@ameedamilja7992 Hiyo habari ya kujengwa barabara hiyo ya kusini imesemwa kitambo ila utekelezaji ndio haupo.

  • @smilevideocreatorsznz
    @smilevideocreatorsznz Рік тому +2

    Mashekhe wapo tutaendeleza duaa

  • @OmarMachano-y4x
    @OmarMachano-y4x Рік тому

    Je hivi nikweli waliopembezoni mwa njia ya Bububu wapo katika Hitachi ya Barabar

  • @MaryamMakame-to2jp
    @MaryamMakame-to2jp 10 місяців тому

    Huyu midi au

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 Рік тому +2

    huyu ni mwandishi wa habari au ni mpuuzi wa ccm maana hajui hata kuuliza suala au ndio komba kakutana popo kwenye tawi la muembe?

  • @bongo39
    @bongo39 10 місяців тому +1

    Kaka piga kazi wanafik wachawi fitna mahasid jashoga wapo wengi ila wala wasikukatishe tamaa unayo yafanya wewe haijawahi kutokea tokea zanzibar zanzibar ijitawale na marais wote heo wamepita hawajawahi kufanya hayo na hao wanaobeza yote unayofanya achana nao ni muwasho tuu wanawashwa wanajiskia skia hivi

  • @juma2668
    @juma2668 Рік тому

    Pl0