BONDIA HASSAN AFARIKI AKIPIGANA - ALISEMA ATACHINJA JOGOO AKISHINDA - MAMA YAKE ALIA AKISIMULIA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 161

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 дні тому +4

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 3 дні тому

      Jamani msiba usikie kwa mwinzio,pole familya, Mungu awatie nguvu ,

    • @MeedyBakari
      @MeedyBakari 3 дні тому +1

      Poleni sana ndugu msiba wetu wate wa Tanzania

    • @TyaleMkoma
      @TyaleMkoma 3 дні тому

      Dah! Pale kwenye ulingo alipodondoka moja kwa moja wangempeleka Hospital sio nyumbani.

    • @UmumaherBakar
      @UmumaherBakar 2 дні тому

      Hivi kwanini mnahoji mfiwa wakati ndiyo kwanza tukio bichi tafute hata mtu mwengine wa karibu bhana kupoteza mtoto ni jambo gumu kama Mimi hata kuongea nisingeweza

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 3 дні тому +12

    Mwenye zi mungu aiweke roho yake hassan mahali pema peponi milele na milele daima aminaa nimeumia sana poleni sana familia yake yote

  • @spesiozabisansaba6424
    @spesiozabisansaba6424 15 годин тому +1

    Jamani hii michezo haifai kabisa 😢😢,, watu wanapigana kweli bila kosa na wanashangiliwa kabisa😭😭😭😭

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr День тому +2

    Inalilahi wainalilai lajun polen wanafamilia, hassan mwenyezi mungu akulaze mahal pema pepon

  • @Vike333-l8o
    @Vike333-l8o 3 дні тому +8

    Wanafamilia Mwenyezi Mungu Awape Subra inauma sana Apumzike kwa Amani Kila Nafsi itaonja Mauti

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 3 дні тому +10

    maskini mamake mzuri,pole sana dear, Mungu amlaze mahali pema Amen

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 3 дні тому +6

    Masikini pole dadangu Allaah akupe subraah sana ndugu yangu inauma sana

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 дні тому +4

    Waislamu wote kiujumla mambo aliyoyakataza kipenz chetu Muhammad rasulullahu tuyawache kila siku yatatufika mengi kwa kumkanusha kipenz cha Allah tuachani tusubir lile alotupangia Allah litufike liwe kwa uwezo wake sio kusababishwa na wengine

  • @MegaNasri-bv7tc
    @MegaNasri-bv7tc 2 дні тому +1

    Mama mzuri azeeki duh adi raha , lkn mtoto kaenda kaacha mama bado kijana na nguvu zake. Mungu wee 🙌🙏😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q 17 годин тому

    Innalilah wa innalillah lajiun,,mbele yko nyuma yetu pumzka vema shemej angu jmn ngumu kuamn 😌😭😭😭

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 3 дні тому +8

    HII MICHEZO HAIFAI.MTU HAMNA UGOMVI HARAFU MNAGOMBANISHWA UNATEGEMEA NN HAPO

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 3 дні тому +14

    Kijana mdogo nikufanya mazoezi tu lakini sio kupogana wengine sio binadamu wengi e unapigana na mizimu

  • @Mohamedi-y1j
    @Mohamedi-y1j 2 дні тому +4

    Sisi sote ni maiti .Mungu amuweke mahala pema peponi aaahmmin rabbil aghlamin

  • @floraboramungu5407
    @floraboramungu5407 2 дні тому +3

    Ni mipango ya Mungu but mngewai jamaniii mgaya angeponaaa mtoto wa watu bado mdogoooo

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 дні тому +3

    kufanya chekap kila mara nini😢😢😢 bondia wa ngap huyu anafarik ondoen huu mchezo kwang me binafsi cutaki😢😢😢😢😢

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki 8 годин тому

    Poleni sana Kwa kweli inauma sana

  • @ZaidatuHittu
    @ZaidatuHittu 2 дні тому +3

    Ndugu yangu !Mama mlezi pole sanaa kwa msiba.Lkn sijuwi ulifungwa na kitu gani ndugu yangu?Hukupaswa kukubaliana na maelezo ya hao rafiki zake.ulitakiwa mda huohuo kwenda huko aliko mgonjwa!

  • @JnatJaaa
    @JnatJaaa 3 дні тому +1

    innalillahi wainnalillahi rajioun.hapo Mzee amesema wawe wanaangaliwa afya ni Bora zaidi..pole sana wafiwq ..Mungu awape subra inshaaAllah

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 2 дні тому +2

    unafanana na Nandiiii

  • @lukumanisharifu
    @lukumanisharifu 3 дні тому +8

    Jamani huu mchezo haupo na aifai wazungu wanatuaribu aiwezekani kupigana kichwani huu ni ujinga huu mchezo ufungiwe auleti tija Tz

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 3 дні тому

      Kwa nini kila tukio baya tunawalaumu wazungu? Ajali hii inawahusuje wazungu? Je, wazungu ndiyo walioandaa pambano hili? Je, sheria za nchi zinasemaje kuhusu mchezo wa ngumi?

    • @EmmanuelMajele
      @EmmanuelMajele 3 дні тому

      Malafiki fek toka jana wapo nae geto akiwa aongei wamekaa nae tu uzembe mkubwa sana na kukosa helimu

    • @HarsonKisanga
      @HarsonKisanga 2 дні тому

      Sana kaka hao marafiki ni feki tena hawafai kuwa rafiki. Japo kifo ni ahadi ​@@EmmanuelMajele

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 3 дні тому +11

    Mchezo huu Mimi siuafiki kabisa

    • @BrunoNamanga
      @BrunoNamanga 3 дні тому +1

      Hunishindi mimi siutaki hata kuusikia.ila nifanyeje tu

  • @HasnatMustafa-n1q
    @HasnatMustafa-n1q 2 дні тому

    Pole sana mama daa h nimelia sana allah amuweke mahali pema peponi 😢🙏🙏🙏🙏

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 3 дні тому +6

    Huu mchezo sio mzuri waachiwe wenyewe akina mwakinyo na mandonga

  • @spesiozabisansaba6424
    @spesiozabisansaba6424 15 годин тому

    Hii pia ni dhambi jamani, Mungu hapendi😢😢

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 19 годин тому

    Waandishi wa bongo sasa hawajuagi maumivu ya wafiwa😢😢wao wanachojal ni habar tyu

  • @AizaKalinga
    @AizaKalinga 21 годину тому

    Poleni xana wanafamilia

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb 3 дні тому +1

    Poleni sana wanafamilia.Mungu awape faraja.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 дні тому +4

    Walio andaa pambano hawana vigezo ilitakiwa wao wamkimbize hospital mapema 😢

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 дні тому +1

    Bwana ametoa bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. RIP HASAN, WAZAZI WAFIWA POLENI. FARAJA!

  • @sumakibonde5152
    @sumakibonde5152 2 дні тому

    Hakuna Mungu kwenye mchezo wa ngumi, period.

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 дні тому

    Poleni sana ndugu wa marehemu. Apumzike kwa amani

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 3 дні тому +3

    NENO LA BABU YUPO PAFECT WAWE NA MADOCTOR KUWACHEK KABLA YA BAMBANO☝️🤲😭

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 2 дні тому +2

    Mm michezo ya ngumu sitak kiukweli japo kifo huwa kinasababu

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 3 дні тому +2

    Innalillah wainan lillah rajoun , kwahiyo mwezi huu wamefariki bondi wawili yule aliyefiwa zanzabar na huyu au nimekosea mimi

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 3 дні тому +5

    Tatizo hawa watu wanaotayarisha hayo Mapambano wanatakiwa washitakiwe na wajibu mashtaka ya uuaji

  • @GhardesGh
    @GhardesGh 3 дні тому +2

    Poleni sana

  • @mwanjaarashidi7402
    @mwanjaarashidi7402 3 дні тому +2

    Pole sana

  • @annalyimo1270
    @annalyimo1270 2 дні тому

    Pole dada jamani nimeumia sana😢😢

  • @hailatomantatusefu3433
    @hailatomantatusefu3433 День тому

    Innalillah wannalillh rajiun poleni familia na ndugu na marafiki ila Uyo dd wanase mama mlezi ninamsikia hapo mtsngazaji je mama mzazi yuko wapi au.ndo Uyo Uyo ila mtangazaji anaita mama mlezi. Hakika sote ni wa ALLAH na kwake tutarejea

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli 2 дні тому

    Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote wa marehem pola ampe khauli thabiti ndugu yetu

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk День тому

    Pole sana mama 😭😭🤲🙏

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 3 дні тому +5

    Unaçhekiwa unakuwa Safi kiafya wakati wa pambano ukipigwa sehemu mbaya yanaweza kutokea!poléni

  • @Bosslady-f5e
    @Bosslady-f5e 2 дні тому +1

    Pole mama

  • @AishaSabo-r6t
    @AishaSabo-r6t 2 дні тому

    Poleni sana ndugu zetu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 дні тому +1

    NA NYIE SERIKALI HV KWANINI MTU AKIUMWA AKIENDA HOSPITAL ANAAMBIWA BILA HELA HATIBIWI KWANINI HAMUWEZI KUREKEBISHA? CY MASKINI TUNAKUFA BILA KUWA NA HELA.

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 2 дні тому +1

    Ni kweli hu mchezo sio mzuri

  • @JoyceFaustine-s1g
    @JoyceFaustine-s1g 2 дні тому +1

    Kifo kina fumbo.shida sio marafiki zake kifo kinakufunga

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 2 дні тому +1

    Michezo ya ulaya hiyoo mnaleta tz ndo afyaa zetu mgogoro

  • @MusaRajabu-rw7uz
    @MusaRajabu-rw7uz 2 дні тому +1

    Ndiomana mwakinyo anavyogombana na mapromota watu wanamsema vibaya ngumi sio nzuri unakufa unaona watu wajue haki zao

  • @JahedaSalmin
    @JahedaSalmin 3 дні тому

    Poreni sana wana familya 😢😢😢

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb 3 дні тому +1

    Pole mdogo angu

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 дні тому +1

    bina bn pengne hata alikua hampend ila hapa analia kunafiki

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 3 дні тому +3

    Miaka 26 mdogo sanaa mi naona

  • @salamasaleh7077
    @salamasaleh7077 3 дні тому

    Pole sana inalilah wainailah pole sana dada

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 День тому

    Yenyewe jina Hassan Lina upendo sana roho ya huruma anapenda watu na anapendwa pia Yani rafiki kwa Kila rika

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 2 дні тому +1

    Hii michezo ni hatari,yan sipendi kama nini ALLAH MSAMEHE MREHEM

  • @ElizabethGarus
    @ElizabethGarus 3 дні тому

    Jmn tunaumia sis bondia wetu hassan wetu hatuamin umametuachia simanz mtaan kwetu

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 2 дні тому

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun,hakika kila mja na wkt wake,napo siingilii MAPENZI ya mtu ktk kuchagua mchezo aupendao lkn UKWELI AMBAO NI MCHUNGU,ngumi/masumbwi/ndonga ni mchezo KATILI MNO,na ndio maana zama hizo kule kwetu(.......) ulipigwa marufuku,🤔🤔🤔🤔🤔🤔,haya MTU APENDACHO !!!.

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 2 дні тому

    Pore sana mama nimeria sana😭😭😭

  • @MwajabuMussa-c2g
    @MwajabuMussa-c2g День тому

    Poleni sana jamani

  • @RahmaAli-jd7by
    @RahmaAli-jd7by 2 дні тому

    Innalillah wainna ilayh rajiuun
    Poleni sana ni juzi tuu Hassan alikua kariakoo akiwasaidia kuokoa watu kwenye ajali leo allah amemchukua hiki ndio kifo hakuna anaejua kifo chake

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 2 дні тому

    Jamani pole mama

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 3 дні тому +1

    Bona wamemchelewasha hsptl jamani

  • @ZawadiKiluwasha
    @ZawadiKiluwasha 3 дні тому +1

    Ss kwann muda wote hawakumpeleka hospital jmn mbona uzembe hivyo

  • @AishaSabo-r6t
    @AishaSabo-r6t 2 дні тому +1

    Allah ampe pepo ya fldaus iwe makazi yake

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 День тому

    Mchezo mengine aaah. Inasikitisha

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 дні тому

    Mm namlaumu san huyo mama ingaw limeshapangwa litokee wew unaambiwa mtoto kapata tatizo unaendeleaje kulala

  • @stamillusatila9084
    @stamillusatila9084 День тому

    Sasa hao mtu kadondoka halafu wamekaa nae tu sijui walikuwa wanategemea nini jamani. Wapuuzi sana hao kwanini wasingemkimbiza hospital muda huo huo.

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 3 дні тому +2

    Shukuru Mungu ila usiwalaumu watu,huyo mwanao wa kumzaa?Unaweza ukakubali kweli uambiwe mwanao kapatwa na jambo ila tulia hadi asubuhi utaweza kulala kweli?,Usilaumu rafiki zake lawama kwako pia ni nzito

  • @RayChausa-g6m
    @RayChausa-g6m 2 дні тому

    Inna lillahi waina ileyhi rajioun 😢😢😢😢

  • @mdosephayta8075
    @mdosephayta8075 3 дні тому +1

    Usiseme hivyo mama kila nafs itaonja umauti hakika madaktari hawawez kuzuia umauti

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 3 дні тому +1

    Jamaa wamemdhulumu kwanini wasimuwahishe hospitali wakampeleka kwa nyumba?huo ni uZembe

  • @YahyaNuru-v7d
    @YahyaNuru-v7d День тому

    Inna Lillah wa inna illaih rajiuuna nas tupo nyuma

  • @crepinakatundu-h4c
    @crepinakatundu-h4c 2 дні тому

    R.I.P.Marehemu.Poleni Wafiwa.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 День тому

    Huu mchezo ungefutwa jamani. Afya za kwetu hizi hazimudu huo mchezo

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 дні тому +1

    SERIKAR EBU LIANGALIENI HUYU NI WA NGAPI KUFAIKI. SASA NI MICHEZO GANI HY?MAANA NI YA HATARI SANA TUNAKAA KUSHANGILIA TUNAFURAHIA KUMBA NI MATATIZO.

  • @AbdalaJuma-pc1tf
    @AbdalaJuma-pc1tf 10 годин тому

    mimi ningekuwa raisi huu mchezo ningeufungie mabondia wanazidi kufa tu

  • @mdosephayta8075
    @mdosephayta8075 3 дні тому +1

    Innalilahi wainnalilah-rajuuni daaah pambano la tandale hili 😢😢

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 3 дні тому +1

    Innalillah wainaillah rajuun

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 День тому

    Waliyoitisha pambano waiilipe familia fidia

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 3 дні тому +2

    Mapambano ya vichochoron hakuna professional mtu anapiga popote refa hajielewi hii ndio shida

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g 16 годин тому

    Hata mm nilitak kusem ili mtu anapoingia kwenye michezo lazim afanye vipimo vya Afya aijalishi alipim lin

  • @NasibuSalim
    @NasibuSalim 2 дні тому

    Alie mpiga Hassan nae afungwe

  • @febochannel4964
    @febochannel4964 3 дні тому +3

    Hii michezo mtume ameiharamisha ila kwa kufata mayahudi acha yakukuteni tu

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 дні тому

      Mpuuzi unaleta upuuzi kwenye msiba

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi День тому

    Kwani ww hakujua ngumi ni kifo

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 дні тому

    Poleni saana ila jogoo kasave na mjue huo mchezo haramu jamaa hela zitatuuwa

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 3 дні тому +1

    naomba kuuliza huyo bondia mwenzie anaenda jailor ama ndo mchezo ila itamuuma hiyo kitu kuua mwenzie kwakupiga kama mi mkewe namkimbia

  • @HadijaOman
    @HadijaOman 3 дні тому +1

    Hii michezo siyo mizuri jamani mbona mnaikazania

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 2 дні тому

    Ata km wamesema kuwa uende asubuhi usingeliwaafik ni bora uende ujue hali yake kwanza sio uambiwe tu pumzik uje asubuhi na liwe fundisho kwa eengine uzembe wa huyo mama

  • @TunnuGombayeka
    @TunnuGombayeka 2 дні тому

    Rest in paradise hassanooh my comrade

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 дні тому +1

    usikisahau kifo mana kifo haki kusahau wewe

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali 2 дні тому

    Innalillah wainna ilàih rajiuna

  • @HamisiHemediWaguga
    @HamisiHemediWaguga 3 дні тому +1

    Wapare ubahili ni jadi yenu, rip

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 3 дні тому +2

    Ni mama mlezi kumbe huyo mama bado mdogo kuweza kuwa na mtoto wa miaka 26 😢 sio mama mzazi!!! Wala hajawaishwa hospitali yan alicheleweshwa dah ktk kujitfta kuna mitihani mingi sana!!! Ndoto zake zimeishia hapo.Mungu atusaidie ktk harakati za kujitfta tunapitia mengi sana

  • @JnatJaaa
    @JnatJaaa 3 дні тому

    Kila kazi ni ziwa na mkatamba likitokeaABC akiwa kwa kazi au kwa pambano km Hilo ni juu yao..kwani hivyo😮😮😮😮

  • @SalumuRamadhani-y4y
    @SalumuRamadhani-y4y 3 дні тому

    Jogoo akuna tena baada yake msiba daaa

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 3 дні тому +1

    JAMANI VIJANA TAFUTENI KAZI ZINGINE NGUMI HAPANA.

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 3 дні тому +2

    Kupigana sio mchezo kupigana ni kupigana

  • @JacksonMwailamla
    @JacksonMwailamla 2 дні тому

    ajar kazini kama jeshini tu hivi ni vipaji hata
    mimi ni bondia kiukweli siogopi kufa

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 3 дні тому +2

    Hafadhali jogoo kapona, Halafu nyie mchezo huu
    Ktk uislamu umelaaniwa nanyi,,,,wamchongo mnawaruhusu mtoto kucheza huu mchezo haramu wa ngumi, Sai mnalia