"HUYU Ndiye MKE WANGU Jamani, KIPENZI Changu, Ananipa RAHA" - SPIKA NDUGAI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 287

  • @freddiemanento6318
    @freddiemanento6318 4 роки тому +21

    Mhe Spika umefanya jambo jema sana leo kumtambulisha MKE wako hadharani na pia kumshukuru hadharani. God bless, hapo NDOA LAZIMA IWE NA RAHA

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 роки тому +5

    Hongera sana Mh Ndugai kwa kuwa na mke mzuri na mwenye upendo mkubwa kwako. Mungu azidi kuidumisha ndoa yetu mpaka kifo kiwatenganishe.

  • @lameckeliakimu8677
    @lameckeliakimu8677 4 роки тому +6

    Ongera sana mh sipika Kwa kuwa kiongozi wa mfano kuanzia katika ngazi ya familia na ngazi ya kitaifa, Mwenyezi MUNGU akubariki sana.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 роки тому +7

    Mama anaonekana tu usoni kwa ni mtu mzuri mwenye roho ya imani na upendo asante kwa kujali Spika wetu shukran sana

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 роки тому +9

    Mh. Speaker umejizaa 100% Mungu awabariki watoto wako. Amina

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 роки тому +19

    Matajiri wengi hawana watoto zaidi ya WA 4. Ila walala hoi hadi mayai ya ishe. Unazaa hadi mnahudhuria clinic na wajukuu

  • @ericaoscar7779
    @ericaoscar7779 4 роки тому +1

    MUNGU akutunze na akubaribi spika wetu mpendwa wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na familia yako....amen

  • @esthernsami7732
    @esthernsami7732 4 роки тому +14

    Mheshimiwa Ndugai alichokufanyia Mke wako ndio maana ya upedo.Mungu ambariki na wanawake waibe mfano. Nyumba isiyokuwa na upendo, haizai maendeleo

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 4 роки тому +3

    Sasa msimsahau mungu katika kazi zenu mtangulizeni sanaa mungu hukumuni kwa kutendaa haki mungu awatangulieni nyote mlio bungeni awape afyaa njemaa mrudi kupigaa kazi tenaa

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 4 роки тому +3

    Hongera Spika wetu kipenzi mungu akupe maisha marefu inshalaah wewe na familia yako nawapenda sana viva Ndongai

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 роки тому +2

    Asante kwa kunipa raha waooo sound so good,kila la kher mheshimiwa spika🤲🙏❤.

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 4 роки тому +3

    Mh ndugai nakupendaga mno my father... I love you and your family na una timu ya maana kweli kweli

  • @christophermakunzo4232
    @christophermakunzo4232 2 роки тому

    Ni Furaha na Raha sana ukithamini huduma ya mwenzi wako hadharani. mara nyingi hatuna kawaida ukithamini michango wa mapenzi wetu hadharani au kuwasifia hadharani labda akifa. Hii ya mheshimiwa Job nimeipenda sana.

  • @ednamanji
    @ednamanji 4 роки тому +8

    Mungu akubariki Mheshimiwa Spika na familia yako. Wabunge wengine hawastahili kuitwa waheshimiwa kwani wana saliti wake zao kwenye Magest house , mara nyumba ndogo. Hawaheshimu viapo vya ndoa.

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 роки тому +1

      😆😆😆😆😆😆😆😆😆

    • @upendoamani5054
      @upendoamani5054 4 роки тому +1

      Kweli kabisa

    • @festomassawe9539
      @festomassawe9539 4 роки тому

      We ungeju uyo jamaa anamichepuko mingapi unge tulia....uyo kao uku kwetu mke wapili na kashamtema....saivi karudiana na uyo mke wandoa...ndio anamsifia😂😂😂

    • @ednamanji
      @ednamanji 4 роки тому

      @@festomassawe9539 Pamoja na hayo unayoyasema. Basi ashukuruwie Mungu Mfalme wa Amani aliyeweza kumtumia roho matakatifu akagundua mapungufu yake na kuwaacha wengine wote na kuamua kumrudia mke wake wa Ndoa. Alithamini na kukumbuka mazuri ya mke wa ujana wake.Heri anayekushukuru na kuthamini huduma yako . Kuliko anayekuoa na kukufanya wewe house girl wake halafu wanawake wa michepuko ndo wanafaidi juhudi yako.

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 4 роки тому +4

    Huyo boy sura ndugai kwisha kazi

  • @florencekashaija7539
    @florencekashaija7539 4 роки тому

    Asante kuwakilisha wanawake kwenye kurasa za juu.

  • @marysona2663
    @marysona2663 4 роки тому

    Hongera sana mkurugenzi wetu wa wilaya ya Bahi! Wanabahi tunajivuna kuwa nawe mama yetu Fatuma Ndugai.

  • @emmanuelchacha6126
    @emmanuelchacha6126 4 роки тому

    Amekuvumilia kweli Baba..Mshukuru sana

  • @yassersaid8233
    @yassersaid8233 4 роки тому +1

    Nakuamini master wetu wewe ndio mwalimu wetu

  • @paskaziamasinda4958
    @paskaziamasinda4958 4 роки тому +7

    Nimekupenda
    Sana
    Mheshimiwa
    Mspika
    Unamoyo
    Wa
    Unyenyekevu

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 4 роки тому +10

    Mashaallah Allah awajalie afya njema

  • @eng.hamisim.maliki9133
    @eng.hamisim.maliki9133 4 роки тому +8

    Dah,kijana wa kiume kafanana sana na Mh. speaker

  • @josephswai6725
    @josephswai6725 4 роки тому +20

    Kama umesikia atusikia mheshimiwa gonga like kama zotee

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 4 роки тому +7

    I wish to give you a Hug. May God Almighty Continue to Bless you, Protect you and Increase you Horn House Speaker Ndungai.
    We Love you
    We cant wait to see you back again in the House as Our Continuing Speaker..
    We are not saying goodbye because you are not going anywhere🙏
    Bless your Heart

    • @charlessebai4896
      @charlessebai4896 4 роки тому

      ,

    • @issaczachariah8829
      @issaczachariah8829 3 роки тому

      not sure if anyone gives a shit but if you guys are stoned like me during the covid times you can stream pretty much all the new movies on Instaflixxer. I've been watching with my brother for the last couple of months :)

    • @santiagochris9022
      @santiagochris9022 3 роки тому

      @Issac Zachariah yea, have been using instaflixxer for months myself :D

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 4 роки тому +1

    Hapo syo sehem yakufunga ndoa, twahita viwanda vijana tufanye Kaz,,,

  • @yassersaid8233
    @yassersaid8233 4 роки тому +2

    Respect and peace salute brother ndugai ccm oyeeeeee

  • @wazirituppa6739
    @wazirituppa6739 4 роки тому +1

    Daaaa Miaka Yotee Ungekuwa Ivi Ungekuwa mzuri sana ila mungu Akujaliee Roho hiyo hiyo ya upendo na Unyenyekevu

  • @timotheojumal894
    @timotheojumal894 4 роки тому +12

    Upendo huanzia nyumbn 🙏🏼

  • @ayubchaz1500
    @ayubchaz1500 4 роки тому +6

    Chilihamonga mkombi, proud mgogo,

  • @makambakoonlinetv7971
    @makambakoonlinetv7971 4 роки тому +3

    MUNGU AKUBARIKI SANA MHESHIMIWA SPIKA JOB NDUGAI KWA JINSI ULIVYOLIONGOZA BUNGE KWA UMAKINI MKUBWA NA KWA VIWANGO VYA JUU SANA,UNASTAHILI KUWA SPIKA WA MFANO BARANI AFRIKA.

  • @khalidmohd
    @khalidmohd 3 роки тому

    Hapa sio pahala pa kutaja shida na raha za familia zenu huu ni ushamba

  • @dhomila2982
    @dhomila2982 4 роки тому +5

    Lovely lady, lovely children, lovely family. Long live family

  • @farajajuddy4391
    @farajajuddy4391 4 роки тому

    Hongera mama mpiganaji!!wewe ni zaidi ya mama

  • @tariqmussa8099
    @tariqmussa8099 4 роки тому +1

    Ongera ndugai mama nimemwona na vijana uo ni mfano mzuri

  • @humayduwe1762
    @humayduwe1762 4 роки тому +1

    Nimeipenda mungu awabariki, upendo wa familia ni upendo wa mungu.

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 4 роки тому +11

    Mheshimiwa ndugai kutoka Oman usiondokeee bunge bila wewe kama tarrab bila mzee Yusuf

  • @sulleysonsulley4160
    @sulleysonsulley4160 4 роки тому +5

    Mhe hongera una wasichana wazuri tutakuja kuoa

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 4 роки тому +3

    Ubarikiwe kwa familia nzuri, ila kwa ako kabinti kaliko vaa kaki mashallah ngoja nitafute namba🤣🤣🤣

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 4 роки тому +2

    Lakini Tumtangulize Mungu ktk Roho na kweli.

  • @saidhamza6390
    @saidhamza6390 2 роки тому

    Sijuwi hy mama ana hali gani sa hii baada ya mzee kujiuzuru.uspika.

  • @innocentkimata7274
    @innocentkimata7274 4 роки тому +11

    Maza anaonekana ana busara zaidi kuliko mh sabufa mwenyewe anyway kikubwa uhai 🙌🏾

  • @jssaa4733
    @jssaa4733 4 роки тому +2

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 maisha haya raha sana

  • @bigmachineprophett.mjonath5358
    @bigmachineprophett.mjonath5358 4 роки тому +5

    A wiseman of all the time

  • @mwambarock3696
    @mwambarock3696 4 роки тому +15

    Hapo kwenye laha sasa 😂😂😂😂kama msukuma nimemusikia 🤣🤣🤣kakulupuka hatuja sikia

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 роки тому

    Ndugai mdogo nimemuona asee.

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 4 роки тому +1

    Maskini asante kwa kazi nzuri.nakuombea ushinde uchaguzi .una busara sana

  • @magratekiula8854
    @magratekiula8854 4 роки тому

    Yukio vzr madam .....anafanana na dada yake Bashe..pia..

  • @editak4353
    @editak4353 4 роки тому +1

    Mke mwema hutoka kwa mungu

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 роки тому +6

    😁😁😁😁
    Leo Mh Spika Umetupa raha

  • @edithkovary3654
    @edithkovary3654 4 роки тому +5

    Well done madaam. Keep doing well. Remember you did promise to God in sickness and healthy . Fir poor or rich till death apart. So is your responsibility you did. I do not think Spika needed to praise you for that. Was part of your duties. I feel like like that was not the place for that. But that is my own opinion.

    • @joramsapula1590
      @joramsapula1590 4 роки тому +3

      It's true lkn kibinadam.....ni wachache ......weng kweny shda wanasepaaa

    • @chamimdesa148
      @chamimdesa148 4 роки тому

      🏃

  • @sophiamgaza3800
    @sophiamgaza3800 4 роки тому

    Unamke mzuri na watoto pia wazuri

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 4 роки тому +4

    Allah awajalie upendo daima Ameen

  • @alakomba6830
    @alakomba6830 4 роки тому

    Mke mwema huyu. Mungu amtunze

  • @judiththobias3234
    @judiththobias3234 4 роки тому +1

    Huyo ndio mwanaume anakusifia kabla hujafa

  • @clarajapheth8804
    @clarajapheth8804 4 роки тому +3

    Ndugai umelewa sana madaraka na ulikuwa ukinyanyasa upinzani. Shukuru Mungu alikutapika. Mkeo anaonekana mstaarabu

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +2

    Wapenda raha utawajua tu!

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 4 роки тому

    Angalau Ndugai umempa mke credit.....

  • @olivadickson1466
    @olivadickson1466 4 роки тому +2

    Hongera sana mama mm leo hii natukanwa matusi yote mabaya shikamoo mume wangu kwa zawad ya matusi🙏

    • @pendaelmollel1847
      @pendaelmollel1847 4 роки тому +1

      Oliva Dickson pole sana mama

    • @bellamathias3080
      @bellamathias3080 4 роки тому

      Pole best wengine hawajitambui

    • @olivadickson1466
      @olivadickson1466 4 роки тому

      Ndg yangu nimechaganyikiwa sijui ht hakiri imesisimama kbs na wtt 😰😰😰

    • @pendaelmollel1847
      @pendaelmollel1847 4 роки тому

      Oliva Dickson Omba Mungu atambadilisha Mumeo ,, halafu pia ww endelea kumuonesha upendo wa dhati hata kama anakunyanyasa utaona atakavyobadilika .. Usifikirie kuacha ndoa yako mama

  • @ommyrevocatus5765
    @ommyrevocatus5765 4 роки тому

    Msukuma shida Sana ET hatujxkia

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 4 роки тому +2

    Maashaallah kiongoz

  • @paulolaizet5175
    @paulolaizet5175 4 роки тому

    Haaaaaaaaa hongera sana speaker ndugai

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 роки тому +2

    Ukitaka kugundua kuwa watu wanawaza saana pipe bac litajwe fumbo utaona wanavyochachawaa

  • @fatumaabdul806
    @fatumaabdul806 4 роки тому +1

    Msukuma mungu anakuona

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 роки тому +2

    Ndugai wewe tatizo lako udhaifu hujitambuwi hatujawahi kupata spika dhaifu kama wewe,unaendeshwa na muhimili kama mwengine kama vile robot pumbu mkubwa wewe.

    • @makongoronyerere2595
      @makongoronyerere2595 4 роки тому

      Hahaahahha, sawa kamanda wangu, wagumu tunakuelewa, mshua boya2

  • @faustinekulwa2596
    @faustinekulwa2596 2 роки тому

    Jamaa alikuwa mstaarabu sana

  • @shemsakiobya1094
    @shemsakiobya1094 4 роки тому +1

    Waoooi mama💏 ongera sana baba kakusifia u mke mwema.

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 4 роки тому

    Na mke wa AZORI pia anahitaji mumewe mumrejeshe mulipompeleka, na mke wa BEnsanane, na wake za MASHEHE WA UAMSHO. Na mke wa LISU ameumia kwa kumpiga risasi groud hiyohiyo ya bunge. Its a matter of time

  • @benardmapuga8370
    @benardmapuga8370 4 роки тому +1

    Zainabu hizo njaa sasa akuoe wkt ndoa ya kikristo huwa mke mmoja mume mmoja we nadhani nenda kwa kingwendu muislam wake wengi ahahahaaaaaa hatari sana

  • @mulhazinzibar6912
    @mulhazinzibar6912 4 роки тому

    Sasamiminiulize hukobungeni watuwanajadili nini au wanajadili familiyazao basi kaziitakuwamzuri mwakahuu mhh hatarisana simufanyepati nyumbanikwenu muanzekutambulishanajamani

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +23

    Ala! Kumbe watoto wenu wanasoma huko China!! Kumbe mna haki ya kugonga meza!!!

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 роки тому +12

      China Hta watoto wa walalahoi wanasoma sio big Dili

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 4 роки тому +7

      Kwa kweli wananchi wa kawaida wanasoma huko,tuukubali ukweli

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 4 роки тому +6

      🤣🤣🤣 umenichekesha sana si unajua wenzetu watoto zao wanasomeshwa na serkali

    • @africa7479
      @africa7479 4 роки тому +7

      Mm dada angu kasoma Ukraine lakin kwetu ni walala hoi kabsa alisomeshwa na serikal na wengi wanaosoma china wanasomeshwa na serikal ya china kwasbb tanzania na china ni marafiki

    • @claytonkellymwaisango5283
      @claytonkellymwaisango5283 4 роки тому +1

      Kwani kusoma china niajabu??mwanamuziki wakawaida tu mtanzani aitwae jux ameenda kujisomesha china kwakujilipia ada yeye mwenyewe ndio hao viongozi wanchi wenye nafasi zao ati washindwe kweli??hizo zalau nakutotambua ukubwa na maana ya viongozi ktk taifalako,

  • @mwesigwakabyemela6112
    @mwesigwakabyemela6112 4 роки тому

    Nimekumbuka enzi nikiwa mbunge na waziri chuoni. Yaani siasa za vyuoni hazina tofauti kabisa na siasa za nchi

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 роки тому +6

    Na unakuta mtoto wa kiongozi anasomeshwa nje na serikali Kama ilivyo ada

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 4 роки тому

    Hongereni hata wattoo wenu wanasoma China ,mke anabusara kushinda wote

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 4 роки тому

    Kweli Amekuvumilia maana una vituko sana jamaa

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 4 роки тому +5

    mashallah mungu atuwekee

  • @razakpaulo6407
    @razakpaulo6407 4 роки тому +1

    Nimekuelewa cpika one day ntakuja kuowa kwako

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 4 роки тому +8

    Watoto wa wakubwa wanasoma China af mnaendelea kusema tusomeshe watoto nchini

    • @msyaniedger1542
      @msyaniedger1542 4 роки тому +2

      Na wewe peleka china

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya 4 роки тому +3

      Wewe mdogo ??
      Wakwako peleka India

    • @tousihhhh6765
      @tousihhhh6765 4 роки тому

      njooo ndugu uchukue pesa yako ya cek shenzi haw

    • @ebenezamjema4634
      @ebenezamjema4634 4 роки тому

      Kama ukubwa tu ndio kigezo njia nyeupee,tujitahidi basi tuwe wakubwa.

  • @andrewmalamsha3042
    @andrewmalamsha3042 4 роки тому

    Umeongea vzur sana

  • @kentkihongole8235
    @kentkihongole8235 4 роки тому

    Mbona hakushauri ujinga unaofanya hapo kitin

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 роки тому

    Hongera sana kamanda wa kigogo

  • @eddoedwin274
    @eddoedwin274 4 роки тому

    Aya sasa kuna maisha nje ya bunge

  • @josephinejosephine1455
    @josephinejosephine1455 4 роки тому

    Ingekua kenya hio bunge ingeishia kotini

  • @yassersaid8233
    @yassersaid8233 4 роки тому

    Ndugai oyeeeeeee

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 роки тому +4

    Raha. bugeni jamani 🤣🤣🤣🤣🤣😍

  • @francemwanawesa5966
    @francemwanawesa5966 4 роки тому

    Wamekosa vya kujadiri siku hz wameanza kuwatambulisha wake zaoo

  • @leonidamatungwa5328
    @leonidamatungwa5328 4 роки тому +1

    Huyo ndio mkeo wa kwanza

  • @petergodwin1039
    @petergodwin1039 4 роки тому

    Hongera saana!

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 2 роки тому

    Mke wa mzandiki wa Taifa

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 4 роки тому

    Huyo mkubwa akioa,tumpe uspika

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +4

    Duuh mama mpole hadi raha

  • @zuberyrajabu3705
    @zuberyrajabu3705 4 роки тому

    Ndugai pigakazi mzee

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 4 роки тому +1

    So lovely!

  • @ayoubsuleiman3675
    @ayoubsuleiman3675 4 роки тому +2

    Hahahaaaa anakupa raha gani hizooo hatujaelewa

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 4 роки тому +1

    Sasa,kama ulikuwa ICU ulijuaje alilala masaa 24😆😆😆😆🤣

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 4 роки тому +2

    Masha Allaah

  • @zubedarichard2311
    @zubedarichard2311 4 роки тому

    Hawa watoto ndio wanakula bata bna sio cc uku shida kila sku

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 роки тому +1

    Unajiskiaje. Unapokejeli kuumia kwa mh mbowe. Familia ya Mbowe inakuonaje unapomkejeli mgonjwa wao

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 роки тому +4

      Magonjwa yupi cha pombe. Leo ndio mnaona kejeli wakati ndugai yupo India kwa matibabu mmesahau kile mlichokuwa mlisema. Kukimbia corona mkijua na spika hatakufa sio nyie muopeni Mungu

    • @chelesielisha5908
      @chelesielisha5908 4 роки тому +1

      Uliumwa kuliko lissu aliye pigwa lisasi 16 naukamfua ubunge huna busara hata kidogo

    • @janekikoti2179
      @janekikoti2179 4 роки тому +2

      Yule mbowe amlaum falu joni tu siyo ndugai

    • @fatmalyego2531
      @fatmalyego2531 4 роки тому

      @@janekikoti2179 kweliiiii

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 роки тому

    Ila ndungai sijui Kama utapigiwa tena

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 4 роки тому +1

    Mke Hafananii na we we una sura baya una roho bayaa

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 роки тому

    Ndiyo maana umeimarika sana mh.spika