ITAKULIZA! SPIKA Asimulia MAISHA ALIYOPITIA - "NIMELALA NJAA, NILIKUWA MASKINI"
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- ITAKULIZA! SPIKA Asimulia MAISHA ALIYOPITIA - "NIMELALA NJAA, NILIKUWA MASKINI"
BAJETI kuu ya serikali kwa mwaka 2020 / 2021 imepigiwa kura Bungeni leo Juni15 na kupitishwa kwa kishindo baada ya kura za ndio kuwa nyingi (304) dhidi ya kura za hapana (64) ...
Baada ya bajeti kuu kupita, waziri mkuu, Kassim Majaliwa, anahitimisha Bunge..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Sikuamini Kama ungewwza eleza hayo kwa ajili yetu sisi vijana na taifa la baadae Mungu akulinde Sana n a nimejifunza mengi Sana ama kweli history is a teacher
Watu wengi wenye mafanikio wametoka ktk familia duni sana kimaisha. Mungu akulinde Spika wetu Ndugai. Historia yako imewapa fundisho Wabunge wako ktk Bunge la 11.Mimi pekee umenikumbushia maisha yangu nilikotoka, na mama yangu hakufaidi matunda yangu. Maisha ni fumbo kubwa sana.
Pole sana Mpendwa wanadamu tunapitia Machungu sana ! tuko kwenye kiatu kimoja . Baada ya baba yangu kunihaingikia sana kuishi kwa umsikini mkubwa nikilala chini kwenye Jamvi bila hata shuka, vile ndo nimeanza maisha tu . Mauti ikamkupa Niliumia sana kwani nilitamani afaidi Matunda yangu .Ni vigumu kabisa kumuelewa Mungu jinsi anavyo Operate kwa maisha ya kila mmoja.
Mvumilivu hula mbivu. Uvumilivu wako Mungu aliokupatia ndo umekufikisha hapo ulipo. Mwenye Haki hakuwahi kuachwa na Mungu . Pole sana Spika . Lakini Matunda unayo sasa.Mungu akubariki sana Tunakuombea sana uwe na afya tele na urudi tena bila kupingwa. Ni Spika Imara mwenye msimamo sana .
Hongera sana spika,, umetuthibitishia kuwa uvumilivu ni zao la mafanikio
Mheshimiwa Ndugai,Mungu akubariki na familia yako.umetoka mbali na kweli hapo umefika ni Mungu
Big up sana kwako Mh Ndugai umepambana kwa kiasi chako Baba...binafs nimekuelewa na nimetambua kazi yako...Barikiwa mno
Well said Mr. Speaker! You have done your part, leave the rest to the Almighty God. I would love to see you in the next few months.
I struggled myself I know the feeling of having nothing but I have wonderful life now 😭
U touch my Heart with That Quotation.
Say, Alhamdulillah and keep on believing in Jallajalal.
it’s GOD
Hongera Jpm,Ndugai Majaliwa mmetufundisha mengi kwa kuwa wa wazi,tumejua mengi ktk Serikali yenu ya awamu ya tano. Naamini pia nyie ni walimu wazuri kwa watumishi na wananchi kwa ujumla..
Hassan Malamla binafs namkubali ndugai angerudi kuwa spika
@@kenngunjiri1978 amerudi haja yako imejibiwa
Mungu azidi kukuinua mh.spika wa bunge la Tanzania mungu akutie wepesi Na akupe maisha marefu
Hongera sana Mh spika kwa hekima na busara uliyonayo kwa kuweza kuliongoza bunge hilo hakika hekima yako ndio imekuwezesha kufika leo hii.Tunakuombea Mungu sana huko kwenye jimbo lake waweze kukuteua tena urudi uendelee kuwa spika wa bunge hilo.
Hongera na umenitia moyo , maisha yako ni sawa navya watanzania wengi Sana, . Days are numbered one day yes
Pole sana spika kwa kumpoteza mama yako mpendwa kweli hotuba yako ni fupi lkn inahuzunisha sana.Umepitia maisha magumu na umepata elimu yako kwa shida lakini Mungu hakukuacha aliyaona mateso na mahangaiko yako leo hii Mungu amekupatia dhamani ya kuwa spika hakika ashukuliwe Mungu wetu aliye juu.
Kwani mweka hawasomi watoto wa Maskini?
Daah!! Kwelii binadamu tumetokea mbalii kwelii ata tukipata mafaniko bx tuacheni tuishi
Mungu azidi kukuinua kaka.
Amin
Historian nzuri kwa sisi wazee wenzako.vijana hawayajui hayo tuliyokulia sisi was enzi hizo.
Hotuba yako mh-ndugai imenigusa sana ju ya maisha
Pole Sana mweshimiwa pia hongera sana hakika Mungu Ni mwema Sana
Mungu akutunze ndugu, mhe. Ndugai.
Mungu azidi kukuinua spica wetu.
Ni hotuba fupi ambayo inaujumbe mzito sana unaweza toa machozi bila kupigwa dah
Very inspired Mr spika lets us keep struggling and working hard
M/mungu akubariki xana mh job Ndugai
Mwenyez mungu akupe maisha malefu baba yetu ndugai
Mungu akurinde na akutanguri mpambanaji wa tafa na wila ya kongwa by me mtoto wa kongwa
Umenikumbusha mbali sana mh spika wetu maana hata mm nilisoma maisha ya shida sana. Ila niseme tu mungu atatusimamia sisi tunaepitia maisha ya shida sana. Karibu mpwapwa Gulwe ndio kwetu na nimesoma hapo Gulwe mh spika. Mungu akubaliki sana na uendelee kupapambana mwanzo mwisho katika maisha yako na mungu ataendelea kukulinda kila hatu
Ingia Instagram umtag Elias itapendeza Sana
Spika ndugai nakuelewa vyema YESU akuludishe tena bungeni hakuna anayeweza kukulipa bali ni BWANA wa majeshi asante sana
Tulio pita huko tuna utu utu ni mtaji msimamo wako na wa MH rais unatufikisha pazuli watu walijua ninyi ni watu wa kawaida lakini YESU alikuwa pamoja nawe natamani ni hata sauti job ndugai walau nifarijike japo sina namba basi tu asante sana na MUNGU akubariki Zaidi
@@wilisonongolo7294 Mungu akubariki na wewe
Usiyemfahamu sana,usitie neno lolote kuhusu yeye .Pamoja na yote Mh Ndugai ananifurahisha sana anavyoongea kiungwana
Safi sana ndugai kwa spirit yako uliyotushirikisha.
Ahsante kushukuru Job Ndugai
Kiukweli kwa miaka hiyo inayo wengi walitembea km zaidi ya hizo ktk kusaka elimu. Washangae wanaozaliwa sasa.
Hekma imekusaidia sana kufika hapo
So touching story
Asad alifanya proper judgement....ZAIFU
Humble servant. Hongera sana kiongozi
MUNGU ibariki TANZANIA👏
Mungu akubariki uishi usife kabla ya wakati ktk jina la Yesu
Amen iwe km ulivyotamka Mtumwa wa Bwana
Spika mungu akubaliki
Nimesikiza had mwsho nione kilichowaliza hata sijaona maana umaskin wamepitia wengi ht wazaz wangu wamepita hukoo....we mshukuru mungu tu.
Nimekukumbuka sana leo
Waooo, ubarikiwe.
Ogopa kiongozi aliekwenda peku shule lazima raia utembelee kucha
Mungu amekuwa mwema kwako!!!🙏
Mungu ndo ajuaye safari ya mja wake jamani. Usimchukulie poa yoyote umwonae mbele yako
Huyo mjinga Suzan anajisikiaje mpaka ametajwa kwenye hotuba ya kuaga ya Mheshimiwa SPIKA ???
😄
Asante sana
Barikiwa sana Ndugu spiker
Mshukuru MUNGUBABA anakupenda
Bwana yupi unae mshukuru?tena hukumu yako IPO hapahapa duniani mungu ha dhiakiwi na mashetani
Maisha huwa tunapitia mengi sana Ila Ni Siri za watu tu
Mmhe bora umesema kweli kuhusu sapoti
80 Km Per Week!!Unatakiwa Kuitwa Job Land Rover 109🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Cant say a word
Kawaida Sana Hizo haso,,, mwenzetu ata shule ulipelekwa
saana!!!!!!,,,,,,,,,#
Wewe ni wakuigwa
Kwa lipi
Paul karera : kk majaliwa binafs nakuombea kwa mungu ww na magu awalimamie daima
Pb karera
Safi sana
All the best wabunge nyoteee
Spika huyu hapaswi tena kua spika wa bunge
Stanley john hovyo kwann hapaswi kama hujielewi ww
Everything comes when it should
Hongera kamanda!!
Faru john ila huyu mbunge msukuma comedy
nipewe info&updates wakwanza
Je katia utumishi wa uspika..ulimrudishia nini Mungu? Unadhani katia utendaji haki bungeni katika kiti chako Mungu alifarijia kuwa niliyemtoa kwenye huo umaskini amanishukuru kwa kuwatendea wabunge wake kwa haki?
Wewe umemtendea nini Mungu katika maisha yako? Wewe ndo umekaa kuangalia na kukosoa ya wengine huku ukiacha kulitoa bonge la boriti kwenye macho yako, yachunguze maisha yako binafsi, umetenda mema, au haki kiasi gani mbele za Mungu!!!! Unasahau kuwa imempasa kila mwanadamu, mdogo kwa mkubwa, maskini kwa tajiri kusimama mbele ya kiti cha enzi cha hukumu mbele za Mungu kutoa hesabu ya neno la siri likiwa Jema au likiwa baya!!!
Sasa we unataka akitoa zaka aje hakwambieee kuwa anrew nimesham tolea Mungu hiki usiwe mjinga
Hakuna Mbunge aliekua akitetea wananchi asisikilizwe ila wale tu wamegombana na wake zao wanakuja kumalizia matusi Bungeni otherwise wote wametendewa haki maana kati yao hakuna mwenye maisha mabovu labda km aliingia Bungeni kwakutoa kafara
Je nifahari kujivunia umaskini?
ungeingia jela ukasugua hata mwaka 1,hapo ndo ningekuaminia bro ndugai
Daa.imeongea.kwa busara sana
Umenena fact bro
Serekali inawasimamia nyinyi bana si tunaona
Ila mtu aliepata taabu wakati wa utoto mbona huwa hawi na kiburi kama chako?
Anajitambua...kujitambua ni mwanzo wa hekima....
Ata ukifanya mema huwezi mfurahisha kila mmoja
Wengi mlikuwa masikini lakini sasa mmekuwa matajiri wa kutupwa kwa kuwaibia masikini wenzenu!!!
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi bro,na wewe pambana kivyako utoboe
@@habibmohamed4766 apambane na hali yake
Fanya kazi wewe jamaa.
Kweli Kuna wengine wameiba lkn si kila umuonae kaiba mmh tuombeane tu
@@habibmohamed4766 juma kapilima hujielewi
Mbowe kalipa pessa za codi zetu au ndiokatusaulisha na nafaru John aliomnwa
Alitaka kututia hasara zaidi eti tumkodishie na ndege kumleta Dar mlevi yule .
Inapendeza
mchumia juwani hulia kivulini
Duu kusema kweli nimelia
Umeonae Elizabeth
Awamu ya 5 kama umekulia kimayaimayai kimielamiela kitajilikitaji basi wewew utatumbuliwa uwezikufanyakazi kama mueshimiwa uyu ammbaka alikua kama boss
Laikala to sagara
Sifa apewe BWANA wa majeshi..
Nakuona mkuu
Hadi nimelia jamani wana kongwa mchagueni tena ndugai
Hivi taratibu za kibunge zimekaaje kuhusu spika wa Bunge, anaendelea na jina la spika na Ofisi, au Ndio tuseme Sasa hakuna spika Kwa kipindi hichi mpaka uchaguzi ukamilike
Ndo maana kasema wenzangu Wabunge mnaniacha Mimi hadi mwezi 11
Baada ya dhiki faraja
OK
Huu umaskini tunaojivunia waksti tuko ktk bafasi za juu Mimi huwa sipendi . Ok tunawafanyia Nini masikini ...
Ameongea historia ya nyuma na usikute kakumbuka mbali hasa alivyosema alikua wapekee kwa mama yake pale amepata mafanikio km anapovunja Bunge agefurahi km angeenda kwa mama yake lkn pia anatutia moyo tusikate tamaa
Bunge la hovyo toka uhuru
kabisa
@@hezronmusalika8327 bunge la hovyo mnoo
@@Hauleshabby tengenezeni la,kwenu tulioneeeeeee.
Haswa Bunge la mipasho watu wanapalia ugali wao na bila kujali mwingine
Chadema wamenyanyasika sana kwa kashfa tu ila hatuijui kesho yetu
Leo umetia huruma na sio kawaida yako...nn kinajiri?
Me naitwa suzan me sio mjingaaa weeeeeeee
😂😂😂😂😂😂😂😂
Akina suzana wanakuwa wajinga wajinga wengi wao 😂😂😂😂
👍
Kumbe ulikuwa mchunga ng'ombe sasa nimekuelewa.
Hahahahahahha
Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kila mtu anajitilisha huruma aonewe huruma
Mjinga kweli wewe mtu kueleza hali halisi ya maisha eti anataka aonewe uruma
Corona sijui umewaacha kwanini
Ila kumbuka hata mashuleni watu walikua wanagombana ila siku ya kuagana hua inatia majozi
Na ndo hatunaga huruma....waliotumia nafas zao vibaya na kuonea wengine wakat wa malipo yao umefika
Uko sahihi!!!
sasa atapingwa
mbona mfumo na maamuzi unayo simamia hayaoneshi msaada kwa watu wa maisha ya chini?
Kuwa na huruma
Jmn mbona sielewi huyu spika ndo kamaliza mda wake au
Mwezangu mie hata sijui
Mzee mm ni ccm lakini kama kweli uliyapitia hayo huwezi kuwa na roho ya kishetani hivyo!
Magufuli hoye
kaingiaje apa nakati huyu ni ndugai
Haye
Mbna faru john
Km 80 per week ni kawaida...afu kwa kipindi chako ilikuwa kawaida.
Wapa wanafunzi wanatembea more than 120km tena wakati huu mnaponunua vimagari vyenu ghari... people are suffering even more the way you did!!
Roho mbaya tu imekujaa na huta fanikiwa utaishia kupata hela za vocha na bando tu .
@@aidanhamza4656 hhhhhhhhhh et ela za vocha na bando tu dah
Kwni siata yeye wengine walipanda ndege kurudi makwao yeye akajificha wewe unamwambia vimagari!!! Sasa unataka spika wetu atembee kwa miguu? , unaliroho la ajabu kweli,
Acha roho mbaya / chuki utabarikiwa .
Sasa ukiongea hivyo ndo utapata nini Bora kushukuru, yy ameongea hapo anajua Kuna wengine anawatia moyo ukweli akitoka hapo anaweza akalia Kuna Mambo mengi kaongea ila aliposema kwa mama aliku wa pekee na wakati walikizo alibaki shule sasa angalau Mungu kambariki alitamani akitoka hapo angeenda kumuona mama ila keshatangulia, tupendane tu jmn inaumiza
Huwezi ukafanikiwa kama spika bila support ya Rais. "Rais asipokuunga mkono hufiki popote" mwisho wa kunukuu na yametimia 😀😀 you are no longer getting support from president SSH
Ungempa mmoja tu
Msukuma mlevi huyo anataka faru joni.😀 Hakuna asiepata tabu. Baada ya dhiki faraja.
Zinatofautiana dear na ukiwa na Roho ya kukata tamaa unaishia njiani
Acha kudanganya watyu wewe Kama ulilala njaa kweli ungemkata tundu list mshahara wake na unajua kapingwa risasi uwena hurumaaa
Usitafute huruma
Anaomba kura huyo.
Sasa Huruma ya nn kwani wewe ndo unamchagua