YANGA KUSHIRIKI AFRICA SUPER LEAGUE MSIMU UJAO/KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE/ACHUKULIWE BINGWA WA LIGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 172

  • @FelisterDuway
    @FelisterDuway Рік тому +4

    Baba levo nampenda ❤alafu hachambui anashabikia

  • @AbubakarBenedictius
    @AbubakarBenedictius 4 місяці тому +10

    Mimi n Mkenya mfano tuseme Gormahia inacheza na yanga mm ntashangalia yanga kenya kila mtu na Maisha yake ...hakuna umoja hata kidogo kwanza upande wa Soka ....so hta kama kenya ikacheza na Tz bado ntashangilia tz bila kupepesa ......Wanasema uzalendo kwanza but Kenya siasa, uporaji wa Mali na ukabila ndio Bendera kwasasa .....so raha jipe ww na familiar yako

  • @gervas58
    @gervas58 Рік тому +7

    Nimependa sana hii kwani Baba levo ni kama Yule Zuzu wa Uganda....

  • @bonniegtmagabe2009
    @bonniegtmagabe2009 Рік тому +3

    The 1st one❤

  • @simonmchilo1032
    @simonmchilo1032 Рік тому +1

    Inshort mngekua mnaweka wasomi

  • @MichelEliya
    @MichelEliya Рік тому +1

    Baba levo bgpu sana ❤❤❤

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 Рік тому +4

    Baba levo😂😂😂😂🤗🙌

  • @sultanmbogo860
    @sultanmbogo860 4 місяці тому

    baba levo uko sawa sana rigi kubwa kama hiyo yenye pesa nyingi haina muongozo wakushiriki wanachaguwa wanaowataka bila vigezo hiyo sio rigi kuba nisawa na bonanza

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 Рік тому

    Baba levo hajui uchambuzi wa mpira😂😂 Anazingua sana hajui aendelee kusoma na kusikiliza kesho atakua mchambuzi

  • @DenisMhema-sr9zy
    @DenisMhema-sr9zy Рік тому

    Edo ukogo sure sanaaaaaa

  • @HamisiKamungu-z7z
    @HamisiKamungu-z7z Рік тому

    Unamwambia zuzu Basi Ni zuzu namba moja

  • @salhabeautybashiru8393
    @salhabeautybashiru8393 Рік тому

    Baba levo👏👏👏👏👏

  • @TaskoTembo
    @TaskoTembo Рік тому

    An baba levo leo umeongea point kbx

  • @swedywamba5535
    @swedywamba5535 Рік тому +1

    Baba levo nimekuelewa sana

  • @chachachazy6418
    @chachachazy6418 8 місяців тому

    Uchambuzi wa super league Bado kuna usimba ya yanga babalevo kiazi sana

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Рік тому +3

    Oscar ni nyau
    Kajikaza kuiongelea YANGA positive 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @newtonoskar1566
    @newtonoskar1566 Рік тому

    Baba Levo akiwepo comment zinakua nyingi

  • @juniormihengo549
    @juniormihengo549 Рік тому +1

    Baba levo wee kiboko hunaga siasa..😂😂😂😂

  • @SmilingDolphin-xg2kd
    @SmilingDolphin-xg2kd 5 місяців тому

    Baba levo acha uyanga wew kuwa mzalendo hiyo kimataifa

  • @daudben6354
    @daudben6354 Рік тому +3

    Napendaga sana ubishi wa Baba Levo. 😂

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 Рік тому

    Baba levo mweu sana et usimulete boss kwenye mpira

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Рік тому

    Jambo zur saaana

  • @twalibuchaye7687
    @twalibuchaye7687 Рік тому +1

    Wasafi toeni mbulula huyo baba levo hajui kitu chochote kile kazi kubisha bila sababu

  • @SaidChande-yl3wq
    @SaidChande-yl3wq Рік тому +3

    Thamani ya Africa super league ni hi ya Kuanza 20th Oct 2023🎉🎉🎉

  • @francislohay4198
    @francislohay4198 4 місяці тому +1

    Ila nyie wachambuzi mna uwezo mdogooo sanaaaaa, mnachofanya ni uchambuzi au usengeeeeee

  • @Elasmo_mwinami
    @Elasmo_mwinami Рік тому +3

    Two COMENT ❤

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 4 місяці тому

    Kwa hiyo Yanga mpaka mpeleke mkanda

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 4 місяці тому

    Mimi shabiki wa Yanga lakini baba level hajui kuchambua mpira, ushabiki umepitiliza

  • @hapio1704
    @hapio1704 Рік тому

    Napenda burudani ya Baba Levo na Oscar

  • @pierretembele8129
    @pierretembele8129 Рік тому +3

    Level analeta ushabiki kuliko kuchambua soccer ⚽️

  • @RichardAmosi-hz3nm
    @RichardAmosi-hz3nm 4 місяці тому

    Baba levo yuko sawa simba watatia haibu msim huu

  • @FelisterDuway
    @FelisterDuway Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂babaa levo shikamo

  • @LUIAABDALAJAMALDINELUIA
    @LUIAABDALAJAMALDINELUIA 4 місяці тому

    huyoo baba levo hafai kusemeya radio hana hakili

  • @flova7022
    @flova7022 Рік тому +1

    Huyu jamaaa levo Chenga Sana .

  • @KemySamwel
    @KemySamwel Рік тому +1

    Yanga ubingwa wake wa Tanzania ni wa bahasha na ndomana hawafiki mbali

    • @josephatilunde9329
      @josephatilunde9329 Рік тому +2

      Fainali CAF ulifika wewe??

    • @KemySamwel
      @KemySamwel Рік тому

      @@josephatilunde9329 fainal gani unakutana na viwete Mambo uku unakoshindwa

    • @dr.allyahmada
      @dr.allyahmada 4 місяці тому

      Hata simba nae anapewa bahasha?

  • @mtukufusafari5535
    @mtukufusafari5535 Рік тому +4

    Ila Oscar ni mchambuzi mzuri

  • @davidkabungo1192
    @davidkabungo1192 4 місяці тому

    Hivi mwenye hii media anamuonaje baba levo / level ! !. Ni mtu mwenye uelewa mdogo ktk masuala ya mpira. Yaani hafai kwenye masuala ya mpira.

  • @aziziramdan1762
    @aziziramdan1762 4 місяці тому

    Baba leo wacha ushubwada 😂😂😂😂

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii Рік тому

    Huyu baba levo ni shabaki

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e Рік тому

    Wamechukuliwasimbakwendakutia aibuuu😅😅😅,karia nitatizo nisimba asiyejielwa pamojana wanaomzungukaa🤣🤣🤣😃😃

  • @hapio1704
    @hapio1704 Рік тому

    Oscar hamjui Aziz Ki

  • @AmiriLupembe
    @AmiriLupembe 4 місяці тому

    Baba levo njoo uuze mawese huna jipya simba.ndio baba wa pilau wa bongo

  • @JamalYahaya-xv7mu
    @JamalYahaya-xv7mu Рік тому +1

    Ila nanyinyi mnamakosa uyu baba levo atatufanya tushindwe ata kuwaskiliza uyo siyo mchsmbuz wampila leongo analeta mapenz ajui chochote kwenye soka mpaka tunashindwa kuwaelewa

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 місяці тому

    Hatuna ligi bora mpaka Tff imalize tatizo la marefa ambalo limezidi sana Tz. Marefa wanatoa kadi nyingi fake kuisaidia hasa yanga kiasi kwamba kadi zingine zinaonekana wazi kuwa za upendeleo/uonevu mpaka zingine zinafutwa. Kufutwa kqa kadi maana yake kuna timu zimefaidika na makosa ya marefa na zingine kuonewa; hivyo huwezi kuita ligi yetu kuwa ni bora.

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii Рік тому

    Baba levo akili mbovu hiyo nafasi ni Kwa ajiri ya uchawa

  • @yosefamlumbe7044
    @yosefamlumbe7044 Рік тому

    hawana uwezo wa kushiliki kombe la vigogo utoporo bado sanaaaa nko pale mwakana azama atashika na fasi ya 2 utoporo nafac yao n 4

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Рік тому +1

    Baba levo ndo anakchangamsha hik kpnd

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg Рік тому

    Eddo acha uongo Enyimba inatoka ukanda gan?

  • @ramlaissa3352
    @ramlaissa3352 Рік тому +1

    Itafika mda hatufuatilii wasafi ,kuna uyanga mwingi ,hatupati taarifa kamili za uhakika Bali ni uyanga tu ,

  • @vivanjob9298
    @vivanjob9298 4 місяці тому

    We are going direct au ni vipi wanajangwani
    Mwaga like ,comment, na kopa

  • @TeopistaKombaTeopista
    @TeopistaKombaTeopista Рік тому

    Bila baba Levo kipindi kitapoa, anachangamsha sana kipindi hiki

  • @IsraelMwakagire-hn8pn
    @IsraelMwakagire-hn8pn Рік тому

    Oscar ni mnafiki sana

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Рік тому

    Baba levo nae hajui kitu😂😂😂

  • @zacnermasalu7062
    @zacnermasalu7062 Рік тому

    Oscar shabiki wa timu gani???

  • @KemySamwel
    @KemySamwel Рік тому

    Huyo baba levo hajui kitu

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 Рік тому +1

    Mbna hamsemi yanga kuwa Bora afrika number tatu hamsemi

    • @flova7022
      @flova7022 Рік тому

      How hebu nieleweshe rank gani nipe link

    • @biggievandar254
      @biggievandar254 Рік тому

      @@flova7022 nenda uangalie IFFHS utaona

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Рік тому

    Mhmm jamaniii umu mbona pagumu ivi? Apa wanachambua mpira au wanabishana ushabiki?

  • @LeonadmwanisawaLautel
    @LeonadmwanisawaLautel Рік тому

    Nawakubali sana wanangu munakimbiza muno

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 Рік тому

    Baba levo apige unafiki tu uchambuzi hawezi

  • @flova7022
    @flova7022 Рік тому

    Huyu level mtoeni anawaharibia vipindi. Hajui mpira kbsa

  • @GasperLukino
    @GasperLukino Рік тому

    Baba levo ananogesha kipindi

  • @adrianobihabwa3464
    @adrianobihabwa3464 Рік тому

    baba levo akikosa kipindi siangalii

  • @emmanuelmuchunguzi45
    @emmanuelmuchunguzi45 Рік тому

    baba levo siyo mchambuzi ni mshabiki wa pungu kajiweni

  • @said6494
    @said6494 Рік тому

    Uyo muha npira wapi

  • @AllySaidy-s3u
    @AllySaidy-s3u Рік тому +1

    MUSIJIDANGANYE YANGA HAIWEZI KUSHIRIKI HAWANA UKUBWA WOWOTE USHINDI WAO NI WATIGO PESA TU

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 4 місяці тому

      Tigo pesa umepigwa nje-ndani kombe la ligi + Ngao ya jamii.

  • @MIJOMwankina
    @MIJOMwankina 4 місяці тому

    Amsemi vibanda umiza ni yanga na simba ndo faida yetu mazeee

  • @vuaikhamis7146
    @vuaikhamis7146 4 місяці тому

    Baba levo sasa umeanza kuongea ya maana

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 Рік тому +6

    Ila mjue yanga ameshika number tatu hyo ndotimu pekee Tanzania hakuna chasimba Wala nn yanga mkubwa simba hakua hapo kwa list

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Рік тому

      Kwa chuki zao huyo sikia wakitoa pongezi wl kuingolea kwa ukubwa kwa kuwa ni yanga, ila wl mwaka robo ndo ungesikia kl sehemu. Wa naweka mbele mahaba.

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 Рік тому

      Useme meshika namb 3 kwenye nini,

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Рік тому

      @@chancelorharubu2731 kwani nyie mlishika no 8 kwenye nini?

    • @biggievandar254
      @biggievandar254 Рік тому

      @@chancelorharubu2731 club yenye ubora ukanda waafrika simba hayumo

    • @petetyohana
      @petetyohana 4 місяці тому

      *Namba tatu kwenye Nini?*

  • @maguosenior7809
    @maguosenior7809 Рік тому

    Tatizo la Baba Lavo ni mnazi wa Yanga.Hachambui kama mchambuzi making.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Рік тому +1

    Sasa Yanga sio wenyewe

  • @grolymselle8403
    @grolymselle8403 Рік тому

    baba levo ajue lolote huyo,, unapoteza muda tuu

  • @chancelorharubu2731
    @chancelorharubu2731 Рік тому

    Mnabishana na mtu hata mpira haujui,anachoangalia ni ushbiki tu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    👊✌️👍.

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 4 місяці тому

    Kimataifa ila Oscar Oscar ni shabiki wa kolo ko muache

  • @abdallahlungo3816
    @abdallahlungo3816 Рік тому

    Mtani Jembe imefia wapi ?

  • @joelsamwel2580
    @joelsamwel2580 Рік тому

    Bila baba levo hii kipindi inapoa sana

  • @sauka9622
    @sauka9622 4 місяці тому

    Huyu babalevo huwa nmpiga kelele kwenye mpra hajui chchote

  • @SimonsalyAkonaay
    @SimonsalyAkonaay Рік тому

    Afu baba levo anaharibu uchambuzi wa wenye akili anatulisha matango pori tu hajui kitu

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Рік тому

    Mbona Oscar kila akiongea anamwangalia baba levo kuliko mshirika mwingine yeyote yule kwa nini?

  • @shabanikamchacho1949
    @shabanikamchacho1949 Рік тому +2

    Niliwahi kusoma mahali kuwa mashindano haya yalikataliwa Ulaya

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 Рік тому

      Sasa ulaya wanaingiliaje mashindano yetu ya Africa, ni saw na kusema et CAF imeyakataa mashindano ya ulaya Yale ya UEFA

  • @benclever
    @benclever Рік тому +1

    Leo ndo nimegunduaa kuwa oscah na eddo ni mashabiki wa simba... 😅😅😅

    • @SaidJumanne-ue2jy
      @SaidJumanne-ue2jy Рік тому

      Sababu wameongea uhalisia Simba kufanya kwake vizuri sana ktk kimataifa kwa muda wa miaka 4 mfululizo

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 Рік тому

      Eddo Yanga huyo

  • @bakarimkumbo5077
    @bakarimkumbo5077 Рік тому

    Mwanangu sasa kutoka 2010 mpaka sasa Afrika kusini hakuna amsha amsha kama ilivyokuwa miaka ya 1996/97/98 na 99 sasa hivi kwisha hapa mimi nipo hapa mwaka wa 29 hapa Afrika kusini

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii Рік тому

    Hiyo sio hamsha tu umeshiriki mara ngapi

  • @seifismail6041
    @seifismail6041 Рік тому

    Oscar unaleta uanangwa wako😂😂😂😂

  • @ZINDUKAMUISILAMU30
    @ZINDUKAMUISILAMU30 Рік тому

    Mtangazaji macheni🤣🤣🤣🤣

  • @manfredtegemeo4687
    @manfredtegemeo4687 Рік тому

    Tatizo baba levo anaingiza uchawa Wake Hadi kwenye television

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 місяці тому

    Yanga kucheza fainali kombe la shirikisho kulimpa point 3 na Simba iliyocheza robo fainali ya kilabu bingwa ilipata point 3. Huyo baba levo asiseme yakale hayanuki wakati wanajihesabia vikombe 30 vya ubingwa kimagumashi. Wanasema wao ni mabingwa wa kihistoria kwanini kama yakale hayanuki. Imewacgukua yanga miaka 25 kuingia makundi si aibu hiyo?

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 Рік тому

    Ushamba mkubwa yanga aingie usm alger ambae alifika fainali asiingie. Hii ni aibu na hatutafika mbali. Kwasababu uongo ndio kipaumbele. Waliofeli darasani ndio wanatumika na kuungwa mkono. Dunia itatushangaa sana.

    • @JobJohnson-gp1qz
      @JobJohnson-gp1qz 4 місяці тому

      Kweli kubwa jinga ww mpila hujui ebu fanya mixhe zakoo

  • @HamisiKamungu-z7z
    @HamisiKamungu-z7z Рік тому

    Acha hasila hapa tunaelimishana babu

  • @dstaroficial
    @dstaroficial Рік тому

    Baba levo hapo kachomekwa naona kama bichwa box

  • @KemySamwel
    @KemySamwel Рік тому

    Baba levo hajui kuchambua mpira na pia hapo kawekwa hili nayeye haonekane anafanya kazi

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Рік тому +3

    Nafasi haitolewi tu kama njugu lazima timu iwe na ubora wa Kimataifa na kuwa na point nyingi.

    • @DullahIweni
      @DullahIweni Рік тому

      Muongo ww hujui vgezo vilivyotumika uliza kwanza.

    • @wekezauchumi7440
      @wekezauchumi7440 Рік тому

      Kama issue ni point simba kwenye rank ni ya 9 how come apate nafasi? Pia enyimba ni wa 33 rank za cuf iweje apate nafas?

    • @ramadhanrobin3125
      @ramadhanrobin3125 Рік тому

      Naona ilo kombe wamezngatia team moja kila nchi ambazo ligi zao zipo ndo maana Tz kaenda Simba peke yke maana ligi ya Nigeria pia iko juu ndo maana Enyimba wamo japo hawafany vzur sana miaka ya ivi karibuni

  • @ismailimatola3727
    @ismailimatola3727 Рік тому

    Baba levo simba awaendi kwenye mashindo kwasababu washakiwake wanataka iwe wanavyo taka,wachezaji wa simba wamepambana tokea kipindi na nyinyi pambaneni

  • @kheirahmad4064
    @kheirahmad4064 Рік тому +1

    Jitahidini muwe makini na kipindi hiki cha michezo. Watu tunakifuatlia kwa uelewa wenu wa nyny watu wawili Oscer na Edo. Huyo hajui kuchambua anaharbu kipindi.

    • @patrickmukundichalamila3038
      @patrickmukundichalamila3038 Рік тому

      Basi wao asipokuwepo hawana raha kama mimi maana anavyovijua ukivichanganya na vyahawa wanao chambua so kimtindo Hana ubaya.

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt Рік тому

    Wapiga chabo ni kama ww miaka mingi kwenye mpira huna ujuwalo zaidi ya utopolo umekuzidi

  • @GabrielPiusi-xu9dn
    @GabrielPiusi-xu9dn Рік тому +1

    Hivi baba levo nimchabuzi? Mpira amecheza?. Nani kamuweka hapo?. Mnaharibu. Sisikilizi Tena hiki kipindi chenu nichakihuni.

    • @MeksonyJoseph
      @MeksonyJoseph Рік тому

      Usiangalie

    • @ElishaMahora
      @ElishaMahora 4 місяці тому

      Acha kusema hivo wanasikiliza watu kutoka nchi mbalimbali halafu unazalau wachambuz wa nchi yako kuwa makin na hoja zako

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Рік тому

    Sio Timu zenye amsha amsha Bwana ni Ubora wa Timu tu.

  • @AbdulhakimAbdala-qc5pj
    @AbdulhakimAbdala-qc5pj Рік тому

    Mbn oscar kma anakitu flan hivi

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 Рік тому

    Status ya oscar na edo zinashushwa na huyo baba levo hawezi kabisaaa kuchambua mpira kipindi kinaonekana cha hovyo sanaa kisa baba levo

  • @freddyjonasjonas
    @freddyjonasjonas 4 місяці тому

    Babalevo nikuma tuuu kama Kuma wengine hajui michezo