Kiukweli Hans namkubali lakini kwenye sakata la kagoma anajikanyaga sana unasemaje singida walimuuliza kagoma kama kasaini yanga wakati singida ndy wenye haki ya kumuuza sababu Bado alikuwa na mkataba yaani hapa Hans simuelewi kwenye hili..
Hans ushabiki unatawala akili yake, kwanza mchezo alikuwa anamilikiwa na timu, yanga waliwezaje kumsajili mchezaji wa timu nyingine bila ya makubaliano ya timu inayommiliki. Kama kuna shida ya usajili nilitarajia Singida ndiyo ingeshtakiwa maana wao ndiyo waliomuuza mchezaji.
Ukifatilia hizi interview utawajua watangazaji na timu zao wanazoshabikia .japo wao wanahis hawajulikan kuwa wapo upande upi. Mfn mzuri huyu dogo hans ni Pure yanga. Anahangaika kweli leo hii anasema simba hawana makosa ila interview zingine anasema simba wanamakosa.
Hans unatumika vibaya kaka Baki kwenye uchambuz sio kuingilio mikataba ya watu kaka hayo ni maisha ya watu... please acha kutumika na ya nga unajipotezea wasif wako kaka
Wewe hujui ujinga uliopo Kwa Simba na yanga hizo team zonadharau sana mm nimecheza hapo unaweza kuahidiwa uongo mpaka ukazeeka ko bola mtu asaini tu hata mikataba ya team hata tano sio mbaya
Hans naomba unijib swali langu kagoma alisaini miaka mingapi yanga na ni wapi alisema kwamba yeye akienda yanga atakosa namba nipe majibu make nimekusiliza vizuri kwahyo nipe majibu
Siasa pamoja na wachambuzi ndio wanaharibu hawa wachezaji na tff wanafuata mihemko na wachezaji naona busara iko kisheria ilianza na fei hii sheria ya busara bado itaendelea huko mbele
Huyu Hans anataka sema Yanga walisainisha mchezaji bila kuongea na wenye mchezaji ambao ni Siginda. Waliotoa release ni Siginda na hawasemi kwamba waliwahi kupokea pesa kutoka Yanga juu ya Kagoma. Hapa naona kisa cha Bernard likijirudilia
Yanga walimsainisha Kagoma na walikubaliana Amaluzie Mkataba Wa Miezi Sita na waliwapa Singida kiasi Cha pesa na kingune Apewe Kagoma kama Malipo Hadi Miezi Sita, January ndipo angejiunga na Yanga,Shida Mchezaji alidanganya kuwa hakusaini
Hans we nimdogo sn uchawa haukufai chambua mpira kwa ualisia wake uchawa mwachie Edoc mwembe. Alikiba nakuomba kunamtu anaitwa Mwamnyan yupo U fm fanya namna aje apo crown
We hans hujui unachoongea..yanga hawjalipa waliongea na mchezaji ambae alikua na mkataba..hawajaongea na singida..simba waliongea na singida wakauziana mchezaji na simba hata hilo pingamizi halina maàna sababu leseni ya usajili wanatoa caf relese lette4 wanatoa singida kwa kosa ni la yanga kuongea na mchezaji mwenye mkataba
Hans umesema Yanga na Fontain walishasaini mikataba ya kuuziana Kagoma harafu hapo hapo unasema Simba walipokuja Kumtaka Kagoma Fontain hao hao wakamuuliza Kagoma je, umeshasaini Yanga? Mm nakuuliza ww Hans inakuwaje Fontain na Yanga wauziane mchezaji bila kumshirikisha mchezaji? Harafu usiseme wachezaji wanatamaa.. ww nn kimekutoa wasafi kama siyo tamaa?
Hans ww ni wa ajabu sana,nani alihidhinisha KAGOMA kuchezea yanga?yanga waliongea na mchezaji na wakamalizana wao ila siyo timu inayommiliki mchezaji,.
Kwahiyo Aziz ni bora kuliko Kagoma? Huyo mpiga soga hapo Studio anaropoka tu mavimavi anaumizwa sana na uchawa wake wa Uto..masuala ya mahakamani yanakuja vipi hapo
KWANI GAMOMA ALIKUA NI MCHEZAJI HURU ? HAKUA NA MKATABA NA TIMU YAKE YA ZAMANI NA JE WENYE HAKI YA KUMUUZA MCHEZAJI KWA TIMU NI NANI? MCHEZAJI NI WA FOUNTAIN GATE , YANGA HAWANA CHAO
Uyu chalii ni utopoloo wa hatari na anapojikomba chura fc kchz atakuwa anatafuta kaz kule chura fc pia pamoja nakuwa yeye ni uto pia ameshndwa kufcha ilo kwenye kaz yake
Chura fc ndo nini we chizi kweli usikute kichwani kuna bangi yanga ambayo ni gumzo kwa sasa kwenye soka we unasema chura fc una mavi yanakuwasha vyura inafaa wawe simba ambao hawajielewi
Asije hatumtaki yeye si ametukataa! Hatutaki wachezaji wenye tamaa km hzo💚
Hans kila swali anajikanyaga...siku ingine jipange na uwe smart
Sio unaenda mbele unarudi nyuma....
Huyu Hans muongo naye ni utopolo tuu wapi kagoma alisema atakosa namba vyurani?
Kiukweli Hans namkubali lakini kwenye sakata la kagoma anajikanyaga sana unasemaje singida walimuuliza kagoma kama kasaini yanga wakati singida ndy wenye haki ya kumuuza sababu Bado alikuwa na mkataba yaani hapa Hans simuelewi kwenye hili..
Hans ushabiki unatawala akili yake, kwanza mchezo alikuwa anamilikiwa na timu, yanga waliwezaje kumsajili mchezaji wa timu nyingine bila ya makubaliano ya timu inayommiliki. Kama kuna shida ya usajili nilitarajia Singida ndiyo ingeshtakiwa maana wao ndiyo waliomuuza mchezaji.
Hii michambuz nayo inamchosha mwenzao anawaeleza ila hayaelew yanarudia rudia swali lilelile😂😂😂😂😂
Muwongo were mung kama yupo akuzibe momo were bub uuuuuuuuuu
Hannnsssiii paka weeee
Inachekesha sana 😂😂😂
No luck of communication hapo Kaka, Karia tu mwnyewe mwanachama wa Simba😂..
Dûh mmeshalipwa pesa mnamuhulizaje mchezaji umesaini huo ni utapeli viongozi wa singinda
Hans NAJIONA MJUAJI sana
Ukifatilia hizi interview utawajua watangazaji na timu zao wanazoshabikia .japo wao wanahis hawajulikan kuwa wapo upande upi. Mfn mzuri huyu dogo hans ni Pure yanga. Anahangaika kweli leo hii anasema simba hawana makosa ila interview zingine anasema simba wanamakosa.
Tatizo la Wachezaji WAZAWA WANATAMAA.....INATAKIWA AFUNGIWE ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE.....
Hans unatumika vibaya kaka Baki kwenye uchambuz sio kuingilio mikataba ya watu kaka hayo ni maisha ya watu... please acha kutumika na ya nga unajipotezea wasif wako kaka
Hii iwe funzo bana kwa hawa wachezaji waache mitamaa ya ajabu, hatua ichukuliwe hapo tu kwa huyo bwana mdogo
Wewe hujui ujinga uliopo Kwa Simba na yanga hizo team zonadharau sana mm nimecheza hapo unaweza kuahidiwa uongo mpaka ukazeeka ko bola mtu asaini tu hata mikataba ya team hata tano sio mbaya
@@JaphetVenancekabisa mzee ila watu wengi hawalijuhi hilo
Tamaa ndio shida. Aige mfano wa Chama alitewa ofa kubwa zaidi n Simba baada ya kusaini Yanga ila yeye akawa na msimamo wake
Simba hamjielewi msiongelee ushabiki Kagoma anamakosa wachezaji wa wabongo ni shida wengi hawajielewi
Yaan ww hansi hakuna unachoelewa
Hans naomba unijib swali langu kagoma alisaini miaka mingapi yanga na ni wapi alisema kwamba yeye akienda yanga atakosa namba nipe majibu make nimekusiliza vizuri kwahyo nipe majibu
Siasa pamoja na wachambuzi ndio wanaharibu hawa wachezaji na tff wanafuata mihemko na wachezaji naona busara iko kisheria ilianza na fei hii sheria ya busara bado itaendelea huko mbele
We ni mwongo atakuaje wa halali wakati wenye mchezaji wamemuuza simba Kagoma hajajiuza na singida walishasema wao wanaitambua simba
Huyu Hans anataka sema Yanga walisainisha mchezaji bila kuongea na wenye mchezaji ambao ni Siginda.
Waliotoa release ni Siginda na hawasemi kwamba waliwahi kupokea pesa kutoka Yanga juu ya Kagoma.
Hapa naona kisa cha Bernard likijirudilia
Yanga walimsainisha Kagoma na walikubaliana Amaluzie Mkataba Wa Miezi Sita na waliwapa Singida kiasi Cha pesa na kingune Apewe Kagoma kama Malipo Hadi Miezi Sita, January ndipo angejiunga na Yanga,Shida Mchezaji alidanganya kuwa hakusaini
Alipewa sh ngap kagoma nayanga?
Kwa nn singida hawajauliza yanga Kama kagoma amesaini ya yanga na wamebaki kumuuliza mchezaji tu? Hiyo haimake sense singida nao wana makosa saaana
Sasa kama aujui kama pesa zilirudishwa, unapata wapi uawakika wakusema kagoma anamakosa
Hans na ww huna uhakika na hzi habar unabahatisha bahatisha tu,,,,unaenda mbele unarud nyuma
wanaSimbwa hata msijisikie vibaya, lengo letu sio kuwakomoa nyie lengo letu ni kuadabisha huyu kijana tapeli. ikitokea mkakatwa points itakuwa bahati mbaya ila hilo.siyo lengo letu😂
Hans we nimdogo sn uchawa haukufai chambua mpira kwa ualisia wake uchawa mwachie Edoc mwembe. Alikiba nakuomba kunamtu anaitwa Mwamnyan yupo U fm fanya namna aje apo crown
Crown media huyujamaa anataka kuwaaribia kipindi
Hapa bado wachambuzi mna tudanganya Kwan yanga walipo mtaka alikuwa mchezaj huru hata singida wa sijue
We hans hujui unachoongea..yanga hawjalipa waliongea na mchezaji ambae alikua na mkataba..hawajaongea na singida..simba waliongea na singida wakauziana mchezaji na simba hata hilo pingamizi halina maàna sababu leseni ya usajili wanatoa caf relese lette4 wanatoa singida kwa kosa ni la yanga kuongea na mchezaji mwenye mkataba
Watangazaji mna vichwa vizito asee duh
Hans umesema Yanga na Fontain walishasaini mikataba ya kuuziana Kagoma harafu hapo hapo unasema Simba walipokuja Kumtaka Kagoma Fontain hao hao wakamuuliza Kagoma je, umeshasaini Yanga? Mm nakuuliza ww Hans inakuwaje Fontain na Yanga wauziane mchezaji bila kumshirikisha mchezaji? Harafu usiseme wachezaji wanatamaa.. ww nn kimekutoa wasafi kama siyo tamaa?
Utopolo roho mbaya tu,,kagoma angekuwa anachezea team nyingne wala kusingekuwa na shida ila sababu ni simba ndo mtihan umeanzia hapa,,,,,wasenge hawa
Si Ubaya Ubwela 😂😂
Kwan yy alivyochukua ela alitegemea nn
Itakua aliamviwa we sain tutamalizananao si aliambiwa hata Boka.
Huyu Hans yupo kwenye kamati ya Yanga?
Watangazaji machawa wa yanga
Hans ww ni wa ajabu sana,nani alihidhinisha KAGOMA kuchezea yanga?yanga waliongea na mchezaji na wakamalizana wao ila siyo timu inayommiliki mchezaji,.
mcezaji ndo mwenye kosa mashabiki wa Simba acheni mihemko
Hans wananchi wameanza kuona hisia zako za upande wa jangwani
Kipaji vipo vingi vina wampe fundisho
Kwahiyo Aziz ni bora kuliko Kagoma? Huyo mpiga soga hapo Studio anaropoka tu mavimavi anaumizwa sana na uchawa wake wa Uto..masuala ya mahakamani yanakuja vipi hapo
Bado haujasema. Nautasema tu.
Pia anatakiwa apewe adhabu atafungiwa kucheza ili ajifunze
KWANI GAMOMA ALIKUA NI MCHEZAJI HURU ? HAKUA NA MKATABA NA TIMU YAKE YA ZAMANI NA JE WENYE HAKI YA KUMUUZA MCHEZAJI KWA TIMU NI NANI? MCHEZAJI NI WA FOUNTAIN GATE , YANGA HAWANA CHAO
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza wandishi na watangazaji hii ya kagoma hamuiwezi milioni thelathini zilikuwa za wachezaji wawili muelewe
Uyu jmaaa fala kweli kama sio mchezagi Tff wametoaje kibali acha ujinga
Huyu Hans anajikanyaga sana
Hans ANAJITEKENYA
Uyu chalii ni utopoloo wa hatari na anapojikomba chura fc kchz atakuwa anatafuta kaz kule chura fc pia pamoja nakuwa yeye ni uto pia ameshndwa kufcha ilo kwenye kaz yake
Chura fc ndo nini we chizi kweli usikute kichwani kuna bangi yanga ambayo ni gumzo kwa sasa kwenye soka we unasema chura fc una mavi yanakuwasha vyura inafaa wawe simba ambao hawajielewi
Mtu akiongea ukweli basi anakua timu flan
Hutaki tetesi kacheze rede😂
Hans utoto una kusumbua
Muache aende
😂😂😂😂😂
Hans hacha ujuaji utatuaribia kipindi
Acha ushamba usiongee kwa mapenz ya timu yako uto
HANS UTOPOLO
HV KWANN HUWA MNAWABANIA WACHEZAJI WAZAWA?HV HAMUONI KUWA MNAUWA VIPAJI VYA VIJANA? NAKUUWA TIMU ZA TAIFA?TUWE TUNALIONA HILI.
Vipaji haviuwawi wajifunze kuheshimu taratibu
Hakuna aliye banwa aludishe pesa aombe msamaha aendelee kucheza aache utapeli
We mchambuzi Bado kujitambua KWENYE media. Point 3 anakatwa KAGOMA?
Stupid! : you have hate speech
HANS UTOPOLO