Steve Mweusi Ft xouh Shauri Yako (official Video Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 904

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi  Місяць тому +515

    ASANTEE KWA SUPPORT YAKO KAMA UMEIPENDA LIKE END COMMENT 🙏🙏

  • @masonmount6170
    @masonmount6170 Місяць тому +35

    Ndugu zangu hii dunia isitufanye tukose kumuabudu na kumnyebyekea Mungu....Allah the GREAT,

  • @JamesWisdomtz
    @JamesWisdomtz Місяць тому +269

    Ndugu zangu kamwe ujana usitufanye tuone kumuabudu Mungu ni ushamba 😢😢😢

  • @MajaliwaJuma-c5g
    @MajaliwaJuma-c5g Місяць тому +80

    Ila huyu mwamba mbona haimbi wakati anaweza sana kama mnamkubar mweus family gonga like

  • @Abilitytalent-w9n
    @Abilitytalent-w9n Місяць тому +48

    Jamani anachokiimba stive mweusi ni ukweli mtupu.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mbengotv
    @mbengotv Місяць тому +20

    Congratulations Steve mweusi 👊

  • @Dr.MahChisindani
    @Dr.MahChisindani Місяць тому +12

    Wakenya wenzangu msipite hii ❤...sema ng'weee

  • @sijemoct1216
    @sijemoct1216 Місяць тому +93

    kama unamkubali steve kama anajuwa kuimba gonga like zangu hapa

  • @EuphraimDavies
    @EuphraimDavies Місяць тому +32

    Stive we nimkali nakubali kazi yako❤❤

  • @XavierRashidi
    @XavierRashidi Місяць тому +7

    Steve kumbe unajuwa kuimba, unapenda kutuvunja mbavu zetu tu na cheko,ambapo unajuwa kuimba weye weye waaaaaah😊 🇨🇩

  • @Marionwanjiru-s8f
    @Marionwanjiru-s8f 27 днів тому +3

    Steve naye twakupeda hufanya movie ziwe nzuri keep up

  • @Wiliam-Chibude1
    @Wiliam-Chibude1 Місяць тому +6

    We mkali mzee ungeyingia Laxmi ukafanya mziki unaryuwa💥💥💥💣

  • @DanielChesire-f6m
    @DanielChesire-f6m 29 днів тому +5

    Hatari sana mwangu stivoo I respect you❤❤❤

  • @WinnaB-rc9mh
    @WinnaB-rc9mh 26 днів тому +2

    Huyu Ana talents mingi jameni baraka chungu zima congratulations kenya twakupenda Steve 💯💥🔥

  • @AkexLamek-vv1cv
    @AkexLamek-vv1cv Місяць тому +12

    Nipo Congo Kinshasa ngoma kali 🎉🎉saana

  • @davidkyunda78
    @davidkyunda78 Місяць тому +5

    Big up sana ndugu yangu Steve nakukubali sana magoma Yako yananikoshaga sana
    Kama masihara tu kumbe vitu vinakubalika sana

  • @SwifraKitemwe
    @SwifraKitemwe Місяць тому +21

    Wazur hawalingi .. nani kaelewa hapo naomba like

  • @pwainaina215
    @pwainaina215 Місяць тому +2

    A aaahhh weeeeh stive umetisha tena kwa hii ngoma kweli ww ungekuwa na pesaa airport nakusaindia kufugia kuku , ah basi ujinga tu kuogaaaaaahhh
    I love you brohv😊❤

  • @Carl-ki
    @Carl-ki Місяць тому +3

    Stivu huu ni unyama mzee ❤❤

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 26 днів тому +1

    Vizuri saaaanaaaa kijana wetu.
    Steve,ukweli umefanya vizuri wimbo uko powa❤❤❤❤❤

  • @leroymomo06
    @leroymomo06 Місяць тому +3

    Courage petit yangu Moses, uko prêtre atakama unakuwaka farceur

  • @Amithzilloy-z5z
    @Amithzilloy-z5z Місяць тому +2

    Stiven mweusi nakupenda unanichekeshaga sana paka najisikiagalah ila nakutakiya bitendobizima ukuwe kulevo kama jestin bieby haki njema sarut

  • @ellahjonas4881
    @ellahjonas4881 Місяць тому +7

    Mungu akutangulie kakaangu Steve mweusi Mungu akuepushe na wabaya

  • @abelkipkosgei1621
    @abelkipkosgei1621 Місяць тому +3

    Ngoma za Steve huwa vibe ajab. Love from 254

  • @mutambabil
    @mutambabil Місяць тому +3

    100% i like it from Goma, congo DR. So nice !

  • @SHADRACKWANDERA-s4n
    @SHADRACKWANDERA-s4n Місяць тому +2

    Steve huyu dem anakufaa inaeza kuwa couple nyinge Kali sana ....huyu mtoto Ako poa sana.

  • @Amomwah1
    @Amomwah1 Місяць тому +4

    Kazi safi Steve. Fan namba 1 Kenya

  • @NkuruFils
    @NkuruFils Місяць тому +22

    Kama unampenda Stiven.nipeni like zangu mie wa kwanza kutoka Rwandan l then appreciate this song

  • @VinaboyOfficial
    @VinaboyOfficial Місяць тому +3

    Leo mie wa kwanza hapa. team Steve nipeeni likes jamani 🎉🎉

  • @frereamisifikiriagapao
    @frereamisifikiriagapao Місяць тому +2

    Steve Mweusi wewe ni babu kabisa, nakuamini bro.❤❤❤❤❤.

  • @JoaoTomásCaneta
    @JoaoTomásCaneta Місяць тому +4

    Kazi mzuri sana stive mweusi ❤❤❤ Niko msumbiji 🎉🎉

  • @francomkandawile8572
    @francomkandawile8572 Місяць тому +2

    Yani nimerudisha mara mbili mbili, good job

  • @DamageMweusi-e3u
    @DamageMweusi-e3u Місяць тому +51

    💥💥mmi mgeni naombeni like ZENU kama umemkubali SteveMweusi

  • @adonettebucumi-w7q
    @adonettebucumi-w7q Місяць тому +3

    Yani umetisha kwahii wimbo🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @RichardMavoko-tl7et
    @RichardMavoko-tl7et 14 днів тому

    Kumbe na huku unaweza sasa unashindwa wapi kaka njoo uchukue kijiji uku ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤from Malawi 🇲🇼 ♥️

  • @Martinsilwamba308
    @Martinsilwamba308 Місяць тому +3

    Keep it up my brother

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 8 днів тому

    Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 A good song from Steve 🔥 🔥

  • @Menedja
    @Menedja Місяць тому +2

    Shauri Yako Steve ❤❤❤...
    You're the Best 🎉

  • @pascalchipuza3836
    @pascalchipuza3836 Місяць тому +2

    Huyu jamaa anajua kuimba japo watu tushazoea ni kutuko

  • @SAMOCHUBRAND
    @SAMOCHUBRAND 29 днів тому +3

    Ngoma kali🎉. Maua yako kaka 💐💐

  • @Patriotism-x3v
    @Patriotism-x3v 28 днів тому +2

    Sio Irene ni shija😂😂😂😂😂🙌🙌

  • @Carl-ki
    @Carl-ki Місяць тому +3

    Stivu na uoe ndugu yangu
    Miaka inaenda ujue
    Kuimba tu kuoga aah!
    Wimbo mkali ❤

  • @LebonGar
    @LebonGar 29 днів тому +1

    Steve umetisha banaaaah iyi song ni💥💥💥💥💥💥💥

  • @Djjohnpowerke
    @Djjohnpowerke Місяць тому +3

    Safi sana 🙏🔥

  • @KwizeraPatrick-ip7yh
    @KwizeraPatrick-ip7yh Місяць тому

    Jameni apa nazidi kukubali kweliiiii steven mukali wewe!!!! From Rwanda

  • @Emily-e8c
    @Emily-e8c Місяць тому +3

    Aiiiii wapi likes zake Steve mweusi alafu follow pia huyu jamaa anaitwa shua boy

  • @martinmuteti2325
    @martinmuteti2325 28 днів тому +1

    😂😂😂😂 Steve unaweza bna nkuchki ktka Kenya

  • @EdgarPonera
    @EdgarPonera Місяць тому +47

    Kusoma tu comments kulike aaah!

  • @Gilberttesha
    @Gilberttesha 28 днів тому +2

    Apo ndo sijajua unaimba kwel au ndo unatuchekesha 🥺🙅‍♀️

  • @FrancymoGabriel-wb7gl
    @FrancymoGabriel-wb7gl Місяць тому +9

    Yaan japo kuwa Hadi kwenye mziki unanichekesha ilq umemzidia Hadi ndaro hongera kaka mkubwa

  • @Simonibudeba
    @Simonibudeba Місяць тому +2

    good morning 🤝
    good sound 🔊
    good music 🎶🎵🎼
    good collaboration 🙌
    good bye 🚶‍♂️

  • @PCBOYchibuOfficial
    @PCBOYchibuOfficial Місяць тому +3

    Usia wa stev mweusi🙏😆❤

  • @SimoniThomasi
    @SimoniThomasi Місяць тому +1

    Kujua kuimba tu kujitoa ufahamu aaaaah

  • @STOPPA_BOY_RAPPER.
    @STOPPA_BOY_RAPPER. Місяць тому +4

    KAZI safi🇹🇿🇰🇪🔥🔥

  • @ibraahkenya4169
    @ibraahkenya4169 Місяць тому +1

    @steve_mweusi wapiblike zake.. Mob love from nairobi...... Ngoma sawa sawa na comedy.. King

  • @Donpes25
    @Donpes25 Місяць тому +6

    Mziki mzuri sana nimeipenda sana

  • @salmoncelestine6840
    @salmoncelestine6840 Місяць тому

    Stive napenda hustle zako

  • @DelcarkeMunyampala
    @DelcarkeMunyampala Місяць тому +3

    Mimi wa kwanza Toka 🇺🇲🇺🇲🇺🇲

  • @joe-luxemwizere8075
    @joe-luxemwizere8075 Місяць тому

    Kabsa Baba Steve Nakukubali🔥👊

  • @kagamesamuel5089
    @kagamesamuel5089 Місяць тому +2

    Nice song brother mweusi

    • @youngflamingo_tz
      @youngflamingo_tz Місяць тому

      @@kagamesamuel5089 ok but na mm ni msanii nisaidie kusubscribe wadau

  • @SmilingBeaver-jm6bg
    @SmilingBeaver-jm6bg Місяць тому +1

    Big up Steve much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sergesntunzwenimana
    @sergesntunzwenimana Місяць тому +7

    ❤❤steve mweusi nakubali bro like zangu kutoka Burundi

  • @leconse
    @leconse Місяць тому

    Napendaga kazi zako sana Steve toka 🇨🇩 DRC Congo

  • @paulmaganga9700
    @paulmaganga9700 Місяць тому +2

    Kazi nzuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ruth5338
    @ruth5338 21 день тому +1

    Kenyan's guys uyu Steve ukweli unaendana kufanana na Bahati

  • @denniebwoyy18
    @denniebwoyy18 Місяць тому +2

    Hii ngoma ingeitwa 'Nakuchana'💀😂😂🥱

  • @sanitizerjosphat
    @sanitizerjosphat Місяць тому +2

    Wow sasa stive hii ni vibe... I love the vocals and the message..... Sanitizer josphat here from kenya Shabiki sugu❤❤

  • @JohnRaperJohnRaper
    @JohnRaperJohnRaper Місяць тому +3

    Imeweza kakaka like it brother❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 wapi KENYA like zunu?🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR Місяць тому

    STEVE UNATUIMBIAAA NYIMBO ZA KIMMASAII

  • @albrightjaci
    @albrightjaci Місяць тому +2

    Ngoma safi mwanangu ... Kenya twakutambua steve❤❤❤❤🎉

  • @JohnaliMabruki
    @JohnaliMabruki Місяць тому +1

    Kwaya ihi 😂😂😂 Ila nipeni mauwa yangu jamani

  • @bolikoAli-y1q
    @bolikoAli-y1q Місяць тому +2

    Nakubali sana from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸👆

  • @Hayiratya2019
    @Hayiratya2019 Місяць тому

    Eshima Kwako music nzuli kbs❤🇷🇼🇧🇮

  • @TimotheoNtibayaga
    @TimotheoNtibayaga Місяць тому +3

    Ukweli Ngoma kali sana

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Місяць тому +1

    Kumbe upo vizuri bwana steve 🎉🎉🎉🎉

  • @MudyAlly-q7d
    @MudyAlly-q7d Місяць тому +6

    Yani ata ukiimba serious mi nacheka tuu huku

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 Місяць тому +1

    Kaza bro kazi imeenda😂😂😂😂

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e Місяць тому +2

    Great job so far 🎉

  • @Kashifreog
    @Kashifreog Місяць тому +1

    Nakukubali sana kaka❤

  • @ShadiTzboy
    @ShadiTzboy Місяць тому +3

    Nakubal tunaomkubal sitiv meeus like kwang apa tunaomkubal

  • @Patrickmcharo63
    @Patrickmcharo63 Місяць тому

    Nakuona tahira ila leo ume ni prove wrong 👏👏🔥🔥🔥🔥

  • @FrancisNgabo2
    @FrancisNgabo2 Місяць тому +2

    Hii Kali Steve 🙌🙌🙌

  • @ManyiziMusicStar
    @ManyiziMusicStar Місяць тому

    😄😄 Ebwana Ee 😄 mistari umeipangilia vizuri 😄🙌

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Місяць тому +5

    Jaman Cheusi inaimba kuliko DAIMONDDDDiii Sauti yako MURWA

  • @danielthecomedian4084
    @danielthecomedian4084 Місяць тому +1

    Mara yangu ya kumi kuisikiza hii ndoma steve hapo sawa

  • @NkorerimanaAugustin-vg8so
    @NkorerimanaAugustin-vg8so Місяць тому +8

    Anae amini nyimbo ameimbiwa mwijaku Kwa gord love like apa nduguzangu

  • @BimenyimanaJacques-d4x
    @BimenyimanaJacques-d4x Місяць тому

    Big up saana steve unaweza kbx

  • @AdakmasAd-hh1qo
    @AdakmasAd-hh1qo Місяць тому +2

    Wa kwanza from DRC 🇨🇩🇨🇩 Cong

  • @Lovenesssarive25
    @Lovenesssarive25 23 дні тому

    Asante kwakutu funza mengi ambayo atukukuwa najuwa ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉 congratulations 👏🎉

  • @ElikanaMganda
    @ElikanaMganda Місяць тому +2

    Kazi zuri brother

  • @emmanuelkarisa6043
    @emmanuelkarisa6043 Місяць тому +1

    Big up Mr steve, nakukubali kutoka Kenya 🇰🇪.

  • @damagemweusi
    @damagemweusi Місяць тому +3

    Nilijua handsome lazima atowe ngomaa

  • @Mr_Lionize
    @Mr_Lionize Місяць тому +1

    Kenya 🇰🇪 twaipenda 😅😅😊Shauri Yako

  • @Fizzohofficial
    @Fizzohofficial Місяць тому +2

    moto sana ... likes zangu from kenya KEKEKEKE..........nairobi

  • @RizikidjelaaMpelo-t8b
    @RizikidjelaaMpelo-t8b Місяць тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 unajuwa hadiunabia 🇨🇩🇺🇲🇹🇿🚁

  • @danielwambua8412
    @danielwambua8412 Місяць тому +2

    🔥🔥🔥kali sana

  • @DoublevisionTVKE
    @DoublevisionTVKE Місяць тому +1

    much respect from Kenya. Good work Steve Mweusi

  • @volontekamabu8200
    @volontekamabu8200 Місяць тому +3

    😂😂😂😂
    Congratulations my Big brother Steven. From DRC 👍🤝

  • @JulianaYusto
    @JulianaYusto Місяць тому +1

    Daaaaah ongera sana umetisha mungu akujalie kipaji chako kikue zaidi🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @abdulmutwi
    @abdulmutwi Місяць тому +5

    Form Buja Nipeni like kENYA 🇰🇪😂😂😂