Vidio hii iwafikie washiliki wa kanisa la SDA POPOTE WANAELEWA KISWAHILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 276

  • @kenyanagri-biz5778
    @kenyanagri-biz5778 2 роки тому +32

    Mimi huenda kanisa jumapili na nmekua nikifuatilia video zako Ndacha. Sasa nimeamua kwa moyo wangu baada ya kuujua ukweli kuwa naingia SDA. Asante kwa mungu wangu alienielekeza kujua amrizake tukizitunza na kuzifanyia kazi tutakua twaelekea kwa njia ya kweli.

  • @micahlilumbi1419
    @micahlilumbi1419 3 роки тому +5

    Nashukuru mtumishi ndasha kwa sababu nilijaribu kuwaelezea ndugu zangu Wakanitenga kiimani Leo hii nashukuru mungu maana umeliweka hadharani ubarikiwe sana.

  • @BenardKiplimo-so4ds
    @BenardKiplimo-so4ds 2 місяці тому

    Thanks Mwalimu Ndacha I like it God be whit you

  • @mhandodanny4256
    @mhandodanny4256 14 днів тому

    Mungu akubariki Ndacha

  • @danielalen9311
    @danielalen9311 4 місяці тому

    Asante sana
    Mungu akubariki na kukufunulia zaidi kwa Roho Mtakatifu

  • @helenchegeni5047
    @helenchegeni5047 5 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana kumbuka nabii alisema kanisa litaoneka kuaguka lakini baki humo maana diko kwenye usalama

  • @FidelLubambu-ns7sf
    @FidelLubambu-ns7sf Рік тому

    Asante Sana mwalimu Mungu akubariki kwa Ku uweka ukweli wazi ,endelea kutufundisha Sisi ambao hatujuwi mambo yanayo fanyika kwenye kabisa letu la SDA, nikotayari kupokea ukweli huo asante.

  • @DanielJackson-f3g
    @DanielJackson-f3g 2 місяці тому

    mungu akubariki sana umenifundisha mengi mtumishi wa Bwana

  • @iddyhassan7666
    @iddyhassan7666 2 роки тому +4

    Daaaaah yaan umenifumbua ufahamu mwalimu God bless you all the time

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 3 роки тому +3

    Listening to you feel rich Mr Gatibandashafrancix We are getting blessed beyond description Congratulations SIR keep flying hardworking pays

  • @HoseaAnjelus
    @HoseaAnjelus 4 місяці тому

    Yes mr.ndacha give us really information

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 3 роки тому +6

    Mmmmmmh. .I admire the Grace and anointing apon you SIR Behind-the-scenes

  • @judynyamwange7157
    @judynyamwange7157 Рік тому +1

    Tuombeane sana kwa idini ya kiadventista na mungu atulinde tuone ufalme wake

  • @odagodan4339
    @odagodan4339 3 роки тому +5

    Napenda sana wahubiri wa kutaja kosa na kusema ukweli live live na huu ndio mfano Yesu alifanya

  • @kristopapaapaulo811
    @kristopapaapaulo811 3 роки тому +3

    It was my mission to tackle those issues...in the church of SDA..
    Am happy umeweza kufunuliwa niliyokuwa nayaona! Mungu akusaidie Mwalimu!

  • @DanKanu-ox4hx
    @DanKanu-ox4hx 6 місяців тому

    Ubarikiwe mwalimu nimejua mengi kupitia mafundisho yako

  • @hymnosoffaith
    @hymnosoffaith 2 роки тому +1

    Great message brother.... Yesu akasema "many shall come from east and west and shall be gathered at my fathers throne...while the sons of the kingdom are thrown out" kazi ipo kwa waadventista..uasi umelivamia na hatuna habari

  • @DenisElias-b9b
    @DenisElias-b9b 2 місяці тому

    Napenda sana ukweli kwa sababu ukweli hutuweka huru..Mungu akubariki

  • @lydiambugua9865
    @lydiambugua9865 Рік тому

    one thing i love about this man he knows God and his word but he does know the mind of God,coz as all religion do he does reducing God to religion called Christianity while that is not the will of God ,His will in Genesis 1:26is to rule earth through the unseen (soul&spirit)in the seen (fresh)so its all about government,leadership,control,the Bible is a constitutional book coz in Psalm he says i exalt my word above my title so He is under His word just like earthly govt no one is above the constitution,again Bible is a law book containing legal words like,king,kingdom,govt,council, lawyer,laws,judge,courts,judgements,territory,nations,cities ,rulership,and thats why no one is fighting kingdom all are fighting religious battles😮

  • @alukochannel336
    @alukochannel336 2 роки тому +4

    This is a pure truth bro ..we saw it long time ago ..thank God you are seeing this ..thanks to God ..thanks so much.

  • @veronicamutahi413
    @veronicamutahi413 Рік тому +2

    Roho wa Mungu hayuko tena Kwa wasabato,Sasa injili yao si kuongoza watu waokoke bali wakariria siku. Ilhali siku zote ni za Mungu.Hawa ni mafarisayo na waandishi wa Sheria waliotetesha yesu Kwa kuponya siku ya sabato.

  • @safariemmanuel9865
    @safariemmanuel9865 3 роки тому +5

    Mimi nakuunga mkono ndugu Ndacha ,kwa kweli ukaongea kweli namna ilivyo kutoka katika vitabu ya roho ya unabii unaitwa mpagani tangu hiyo siku hutarudi kamwe kwenye mimbari tena,leo hii kanisa la sda limekwisha kuenda kinyume na imani ya awali. Ombi langu ni Mungu atusaidie ili kweli yake iangaze dunia mzima

  • @CreophasMusukuma-kg1xu
    @CreophasMusukuma-kg1xu Рік тому +1

    Mwalimu unafunsha kweli na Mungu akuongezee siku za maisha yako

  • @Michael-ig6nu
    @Michael-ig6nu Рік тому +1

    Amen 🙏 mwalimu ndacha Bwana aendelee kukufunulia mengi zaidi

  • @achilesfaustine9478
    @achilesfaustine9478 2 роки тому

    barikiwa sana mwalimu mungu akubariki azidi kukupa uzima uifanye kazi yake

  • @bakari52
    @bakari52 2 місяці тому

    Kumbe pastor Ndacha hajapata ufahamu wa majini kua ni viumbe wa Mungu. Na hajajua tofauti ya shetani na jini

  • @Tumaini-dd7kg
    @Tumaini-dd7kg 4 місяці тому +1

    Kiukweli uko sahihi,lakini pamoja na uovu huo wote pamoja na hila hizo zote kuna watiifu wa Mungu na hili ni jukwaa lillo imara,Ndacha Mungu akubarik

  • @JohnHaule-p2f
    @JohnHaule-p2f 2 місяці тому

    Mungu akubariki mchungaji ila naomba njinsi ya kupata kitabu Cha bambano kuu

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb Рік тому +2

    this is how your videos should be clear and full screen.shalom

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Рік тому +1

    Kalibu sana, kanisa la kiristo

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 Рік тому

    Thanks bwana Ndacha kwani tutajua ukweli lini

  • @mokayamdwesley7441
    @mokayamdwesley7441 3 роки тому

    we need this timely message bro.jua kwamba tuko pamoja.wacha wanafiki watatoka tu pole pole.we firmly stand on those timely heritage the bible and the spirit of prophecy.no more no less.

  • @NzyimanaAloys
    @NzyimanaAloys 4 місяці тому

    pasta ndaca mimi nimikriso .mudogo tu arakini nakupenda sana .naomba tukutane

  • @mhina-mm1og
    @mhina-mm1og Рік тому +2

    Mungu akuariki unapoendelea na ukweli wa Mungu

  • @AminaImani-d9b
    @AminaImani-d9b Рік тому +1

    Ni pepeto umepepetwa Na Mungu mwenyewe tunakuombea sana kama utasikia Sauti ya Roho mtakatifu Kanisa La Mungu lipo na halitabadilika hata siku

  • @rosenyawata5314
    @rosenyawata5314 2 роки тому +1

    Asante Mungu atusaidie sana

  • @johnngolwe8587
    @johnngolwe8587 3 роки тому

    Mungu akubariki, tusaidie maana wengine hatupati vitabu hivyo ili tuvisome ila wewe unatufulia. Mungu alisaidie kanisa letu.

  • @EfraimNjole
    @EfraimNjole 5 місяців тому

    Mungu akuongoze na roho mtakatifu awe pamoja nawe

  • @johnmuriithi8832
    @johnmuriithi8832 3 місяці тому

    Mimi nilikua natafuta ukweli huu na SASA nmeipata.nashukuru mungu

  • @johnmuriithi8832
    @johnmuriithi8832 3 місяці тому +2

    Naona tunafanana kabsaa

  • @danielrotich3890
    @danielrotich3890 6 місяців тому

    Ni kweli useme na usiogope ,Mungu akubariki.

  • @EliaMholo
    @EliaMholo 5 місяців тому

    Mungu akubariki

  • @MakholoBabá
    @MakholoBabá 5 місяців тому

    Mimi nakubaliana nawe pastor hakika wanena ukweli watu wanaangaika kuijaza majina kwa daftari yamakanisa

  • @cleophacekalilo2729
    @cleophacekalilo2729 3 роки тому +2

    Unaenda unaijua kweri mwenyezi Mungu azidi kukuogoza Kuna siku utaamini kuwa utatu mtakatifu Ni mafundisho ya kipagani siyo mafundisho ya mwenyezi Mungu kutoka kwenye biblia hayo mafundisho hayapo

  • @mtemiagribusiness-rr2hl
    @mtemiagribusiness-rr2hl Рік тому

    niko iringa - Tanzania
    mtumishi, Mungu akutie nguvu sisi tunakupata vizuri

  • @justoker4275
    @justoker4275 3 роки тому +2

    Leadership mostly kutoka juu mpaka jini wako na sida sana . Mungu tusaidie

  • @CreophasMusukuma-kg1xu
    @CreophasMusukuma-kg1xu Рік тому

    God bless you my leader

  • @miraclemiraji4428
    @miraclemiraji4428 2 роки тому

    Wengi watafilikilia wao wafikiliao ila ni ujumbe wa roho mimi naitwa Miracle miraji kutoka Tanzania nimetumwa kulisadikisha hili ni ujumbe wa Mungu mwenyezi

  • @johnmnonjela651
    @johnmnonjela651 3 роки тому +1

    Mungu akubariki mwalimu wangu

  • @Lawrezmmukundi
    @Lawrezmmukundi Рік тому

    Amina

  • @NoorMohammed-ee2vf
    @NoorMohammed-ee2vf 8 місяців тому

    Mwalimu Ndacha tuko pamoja

  • @WEKETV.2999
    @WEKETV.2999 Рік тому +1

    Ndugu Dacha, nakuelewa vizuri sana. Mimi nilikuwa SDA na nilisema maneno fulani yanayofanywa kinyume ya maandiko mpaka rafiki wangu alipigwa na Pastor alipouliza nimefanya makosa gani na ilibidi niende. Kama una jambo tafadhali wasiliana na mimi. Mwalimu Onyango ananifahamu vizuri. Maneno yako ni ukweli mtupu!

  • @RogersMattassa
    @RogersMattassa Рік тому

    Njoo ukunda wajue kweli kweli watu wa Mungu. Watu wanaitaji kujua kweli

  • @mercynyanchoka6283
    @mercynyanchoka6283 3 роки тому +4

    Pastor piga kelele usinyamanze, hadi ujumbe utakapofikia kila muhumini wa sabato arekebike

  • @EdwinKiptum-t8u
    @EdwinKiptum-t8u 10 днів тому

    The great controversy now the great hope!

  • @alexandremasumbuko2473
    @alexandremasumbuko2473 2 роки тому +1

    Ingiya sana ndani mtumishi mimi piya ninaiheshimu Sabato na nimekuwa ndani ya Adventiste ila kanisa hili si la kweli hata kidogo lina mambo linaloamini yasiyo kweli piya mwanzo wa Adventiste ikianzishwa na William Miller imekuwa katika uongo kabisa mfano neno Bwana Yesu Kristo ametoka patakatifu akienda patakatifu sana ????????? "MARKO 16:19 -MATENDO 7:55 -WAHEBURAYO 10:12" fikiriya hii sana hii ni mfano tu barikiwa sana

    • @thomaskiungo4075
      @thomaskiungo4075 10 місяців тому

      Wee nawe unafata upepo kaka soma biblia uelewe so kusema kwerkwer tu wakati huelew bro

  • @truth7796
    @truth7796 Рік тому

    Mungu alitoa hukumu ya haki juu ya shetani, majini na mapepo wote... Inakuaje Mohammed kuwasilimi, hapa kuna mambo fiche... God judgement is final and no one can compromised....

  • @sakinakakozi8781
    @sakinakakozi8781 2 роки тому

    Nawafatiliya Sana ndugu zangu.

  • @kizitomedia6041
    @kizitomedia6041 5 місяців тому

    I need your support Ndacha

  • @FranklineMauta-ul9zg
    @FranklineMauta-ul9zg Рік тому

    Mungu na akuongezee siku mpaka yesu arundi

  • @robenmassawe4125
    @robenmassawe4125 2 роки тому

    Mungu azidi kukufunulia ilikusudy uzidi kufungua mateka waliofungwa nashetani

  • @interiorpaintingdesign9307
    @interiorpaintingdesign9307 3 роки тому +2

    ukweli nivema usemwe na ndio naona ata wengine wanaingiza waislamu kwenye madhabahu kukuja kusema yesu sio mwana wa mungu. tena kwenye madhabahu umoja sda. nachukia sana hicho kitendo.

  • @danielsita8226
    @danielsita8226 3 роки тому

    Ukweli mtupu pastor, hata wametumia elimu ya makaratasi kuzuia wale ambao wangeongoza kanisa LA mungu kwa ukweli na haki ili kulinda mkate wao

  • @amosmalakyese521
    @amosmalakyese521 Рік тому +1

    Aminaaa

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 3 роки тому +1

    Uko sawa mtumishi mm pia ni member but kuna mafundisho sijaamini

  • @jonastsokitsongo4667
    @jonastsokitsongo4667 5 місяців тому

    Nimekufwata vizuri, na Yale unasema kunakuepo ukweli. Dini ya SDA imefunuliwa maandiko matakatifu ya kipekee. Ila ujue kama shetani naye amelishambuliya. Matengenezo tutaifanya ndani sii kwa mtandao. Huenda unawaza kufanya matengenezo kwa kufunua hazarani makosa, Ila kwa kweli unafanya kazi ya shetani kuwaonesha Wale ambao wangesikia ujumbe huu warudie nyuma. Rudi kanisani, n'a ufanye matengenezo humo humo, apana kwa mtandao. Leta mashahiri, na onesha ukweli katika vitabu vya unabii, nazani utasikika.

  • @abednegomutisokilonzi5227
    @abednegomutisokilonzi5227 Рік тому

    Ndacha punguza kiburi na umruhusu Roho wa Mungu akuongoze.

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA  Рік тому

      Ndiye ameniongoza kusema hayo .. ana unataka niongozwe na roho wako niseme vile unataka?

    • @komandowainjiliyayesu
      @komandowainjiliyayesu 9 місяців тому

      ​@@BIBLIANURUYADUNIAkanisa linafanya kazi kubwa lakutangaza neno la MUNGU

    • @DanKanu-ox4hx
      @DanKanu-ox4hx 6 місяців тому

      Lazima ukweli usemwe kwa sababu wasabato wamepotea turundi Old SDA

  • @JuliusKioko-ub7lw
    @JuliusKioko-ub7lw Рік тому

    True.. end time hours

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Рік тому

    Kalibu kanisa la kiristo

  • @mutuasteve2179
    @mutuasteve2179 4 місяці тому

    Kwel mtumishie

  • @deusNjimba
    @deusNjimba 5 місяців тому

    Wame imeingizwa r.c bila kujua. Pole yao

  • @daud8785
    @daud8785 3 роки тому +1

    Hakika, Mungu akubariki

  • @ramadhandawuudalbertmachan6726

    Muchungaji ndacha wewe umekoza msimamo wa kidini umekoza kisimama na ukweli ,unapingana na kila imani, mara wajumapili mara waislamu leo hii umerudi kwa kanisa lako mwenyewe,bado hujafika kakaangu kesho ukiona nzuri kwe qurani utakimbilia wislamu, mimi nakushauri kaa kitako ukasome vitabu vyote ndio uje kwetu ukiwe na maamuzi kamili asanteh.

    • @DanKanu-ox4hx
      @DanKanu-ox4hx 6 місяців тому

      SDA ni mbili kama hauna habari,Kuna wale waliuswa watu wa msalaba na Trinity.Na SDA ya ukweli kama hiyo ya Ndacha Mungu akubariki karibu Old SDA church

  • @Danielmathayo-hj8ek
    @Danielmathayo-hj8ek 21 день тому

    SawA

  • @Aristidi-n5u
    @Aristidi-n5u 10 місяців тому

    Haleluya

  • @EdwinKiptum-t8u
    @EdwinKiptum-t8u 10 днів тому

    Ukweli mtupu...

  • @eliceliussifuna9459
    @eliceliussifuna9459 2 роки тому

    Ndasha wambiye wajuwe mungu c miungu

  • @savingtruth6411
    @savingtruth6411 Рік тому +1

    Nimependa ujumbe ndugu

  • @samuelmiryango3524
    @samuelmiryango3524 Рік тому

    Iyi ndio kazi sasa .. schana na waislam hao hawana ukweli Bali jikite kunyoosha izikanisa zinawaaribi kondoo nakuwapoteza .. ila naamini yesus kasema ametuweka sisi kondoo kwenye mkono wake naaakuna kitu wala mtu anaeweza kututowa kwenye mkono wake . So fundisha waliowake wataiskiya sauti yke ..ameen

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 8 місяців тому

    Na mimi nilikuwa mu sda kwasasa nimeokoka kabisa.nanimeona kwamba nilikuwa chini ya cheria mara yapili.ila sasa niko kwa fpct.ona mbali ndugu .yesu hakupumuzika s'abato hata siku moja.

  • @LucyNyambura-c3f
    @LucyNyambura-c3f Місяць тому

    😅mshilriki akiasi anafutwa ushirika pastor akiasi ana pewa transfer

  • @ombasadaniel5960
    @ombasadaniel5960 3 роки тому +1

    Pastors are after money. Plz roho nyingi zimepotea. God bless you .

  • @john.waiganjo3737
    @john.waiganjo3737 3 роки тому

    Hongera mwalimu Ndacha

  • @sandewillymusic5615
    @sandewillymusic5615 3 роки тому +3

    Kweli kabisa. ata SDA zingine zina vutuko ndani

  • @FridahKathomi-o7i
    @FridahKathomi-o7i 4 місяці тому

    Naomba ukuje meru tuchambue ukweli pamoja

  • @lucaswanyonyi4037
    @lucaswanyonyi4037 Рік тому

    Umepona.diraa

  • @justinmulewa2654
    @justinmulewa2654 Рік тому

    Ukweli lazima usemwe,Mungu azidi kukupa hekma na Nuru ya kuendelea kuangaza

  • @kananisarafe8582
    @kananisarafe8582 3 роки тому +1

    Unao yatamka ni kweli kabisa,yafaa tujirekebeshe turudi kwenye msingi yazamani.

  • @carlosngetich2521
    @carlosngetich2521 Рік тому

    Jerusalem Seventh Day Church of God

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 роки тому +4

    Mimi nakusikiliza sana maana unasoma maandiko na sio akili yko

  • @zacharynganga2124
    @zacharynganga2124 3 роки тому

    Kuna vile umenifungua Mimi katika kuelewa maandiko na mhimu zaidi unabii

  • @bensonlangat640
    @bensonlangat640 3 роки тому +1

    Nimekupenda hapo hutuendi mahali tutengeneze hapo.

  • @asamtulli4598
    @asamtulli4598 Рік тому +1

    Masikini ndacha pole maana maana matengenezo yanafanyika ndani ya kanisa nasio kukurupuka pole

  • @theheraldbroadcastingnetwo4836

    Ubalikiwe

  • @elijahchegere4974
    @elijahchegere4974 3 роки тому +2

    Mimi ni mwislamu leo nimesilimu

    • @achilesfaustine9478
      @achilesfaustine9478 2 роки тому

      njoo kwa yesu ndugu

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Рік тому

      @@achilesfaustine9478 mpaka mkubali kwanza Yesu sio Mungu muumbaji na mtoke kwenye hilo shimo la utatu ndo tunawez anza kuelewana

    • @DanKanu-ox4hx
      @DanKanu-ox4hx 6 місяців тому

      Umetoka kwa yesu umeingia ndani ya manjini pole kwako

    • @DanKanu-ox4hx
      @DanKanu-ox4hx 6 місяців тому

      Kwanza kabisa soma Quran sura ya 72

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 2 роки тому +1

    Jamani wasabato mnasikia ujumbe WA sahihi tena mnatumia pesa coast field mbona tusiwasapot hawa watumishi jamani

  • @danielnyabuto6997
    @danielnyabuto6997 2 роки тому +1

    Ni kweli

    • @danielnyabuto6997
      @danielnyabuto6997 2 роки тому

      Teacher, shida iliopo ndani ya Adventist inaumiza sana.ashante kwa kunitia ujasiri.nashukuru

  • @cleophacekalilo2729
    @cleophacekalilo2729 3 роки тому +1

    Helen g white uyo kuanzisha kanisa na yeye alikuwa Ni nabii wa Mungu na alifunuliwa kitabu Kama mitume wengine au alipata ufunuo gani Ali alitabiliwa ndani ya biblia ?

  • @isaya8202
    @isaya8202 Рік тому +1

    Huu niukweli kwa mtu mwenyekusoma maandiko ataungana na wewe kuitetea kweli ndani ya kanisa, tutazidi kupiga ndullu ndani na nje ya kanisa kuisema kweli

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 2 роки тому +2

    Mimi ni wa j pili nimefuatilia mahubiri yako nimejua ukweli kiukweli nahitaji nijiunge sda ila izo changamoto tutazishindaje?