GOBOLE LA URITHI - 14 (Season II) SIMULIZI ZA MAPENZI NA UPELELEZI BY FELIX MWENDA.

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 52

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi8213 День тому

    Kaka Felix wew unibamba sana na kicheko chako

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 6 днів тому

    Kama kawaida mwendo ni ule ule 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 6 днів тому

    Mungu mlinde doctor linda

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 5 днів тому

    Mbona gobole halifanyi ile kitu jamani ❤😂

  • @AshaHamad-oz4rg
    @AshaHamad-oz4rg 5 днів тому

    Felix wangu❤❤❤

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 5 днів тому

    Shukran sana simulizi mix ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 6 днів тому

    Doctor linda wauwe wote

  • @sharonnyabeta5134
    @sharonnyabeta5134 4 дні тому

    Dho!!😢 vipi tena uyu babu😢 c kila anae taka kukusaidia ana nia ya dhati😢😢😢

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula 6 днів тому

    1+ per day 🎉🎉🎉 big up

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 6 днів тому +1

    Wakwanza jamani naombeni likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @dariyally1766
    @dariyally1766 6 днів тому +1

    Kazi nzuri Edgar na msimuliaji wetu mpendwa felix Allah akuhifadh na vijana wa hovyo km kina king

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 6 днів тому

    Kumbe hili libibi (mama Raphael) Lina tabia chafu sana, lzm litalipia haya lifanyayo, chawi sn, mtoto wa mwenzio ukamharibu🤔🤔🤔

  • @rosykeny6889
    @rosykeny6889 6 днів тому +2

    😢😢 huyu mzee kumbe ni mpuuzi Acha akule umauti

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 5 днів тому

    Joyce amesahau hela alizopewa na mama Rafale kwa maiti ya babu kajogoo

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 6 днів тому +1

    Oooyo basi leo Gobole litoe mtu roho😂😂😂❤❤🎉🎉

  • @juliusmatiku3955
    @juliusmatiku3955 6 днів тому

    Sema simulizi nzuri ila tu dudu zimekuwa nyingi sana

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 6 днів тому

    Haya sasa kijogoo Kula jeuri yako mpuuzi sana tamaa ya nn kufilia mbali na huko

    • @regen5458
      @regen5458 3 дні тому

      Labda hua ywapokonya afu ywaudi ywaenda pewa yy

  • @user-hw2sr9mp4v
    @user-hw2sr9mp4v 6 днів тому +1

    Wakwanzaaa luke zang😂😂🎉❤❤

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 6 днів тому +1

    Nawaona mko chonjo ila hata mm nko chonjo

  • @user-tp7bz9ep2l
    @user-tp7bz9ep2l 6 днів тому

    BASI MSICHELEWESHE

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 8 годин тому

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-qd7xl3zo4c
    @user-qd7xl3zo4c 6 днів тому

    Jamani pendo😢mpaka nimehisi maumivu yake

  • @PilliSaidi
    @PilliSaidi 6 днів тому

    Tunaendelea sasa shukuruni

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 6 днів тому

    Wa 6 jamani ❤❤❤😂

  • @user-tv6ii7pc4z
    @user-tv6ii7pc4z 6 днів тому

    Ooh hoo kumekucha familia yenye laana loooh 😢😢 Mungu saidia wadhaifu

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 6 днів тому

    duuh hao police nao vp jamani😢😢😢

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 6 днів тому

    Nice

  • @rahmamct
    @rahmamct 6 днів тому

    Tuweke vipande viwili

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 6 днів тому +1

    Mbona sina imani na huyo babu anayemsaidia joice 😢😢au ndo huwa anawauwa wadada wa kazi wanaofanya kazi kwa maembe

    • @user-yk8em1bh8g
      @user-yk8em1bh8g 6 днів тому +1

      Yaan nmewaza kama ww kashanpa mashaka yeye ndio Kla wa wacchana wengne 😢😢😢😢😢

  • @user-yk8em1bh8g
    @user-yk8em1bh8g 6 днів тому

    ❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 днів тому

    Huyuu mtaown kwann amechoma kituo cha zahanati tena anewatuma haozimwii kwakwanyumba yawatu kisha nyuma ametuma asikari huyuu atamtafutaa nn jamani

  • @nizzbruce4491
    @nizzbruce4491 4 дні тому

    Mbona huyo king asiletwe Kenya na familia yake🤔🤔

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 6 днів тому +5

    Yaani simulizi za bingwa Edgar Mbogo huwa sina haja ya kupitia comment kwanza ili kujua inafaa kuifungua, ninahakika hana kazi mbovu hata moja, tatizo hatoi kwa wakati, naomba vipande virefu mfano msimu wa kwanza zote uweke pamoja 1--12 vyote kipande kimoja hata kama kina saa 12 naomba ufanye hivyo, pia msimuliaji asibadilike aweFelix mwenda.Ombi jengine juzii niliona simulizi YAKO mwalimu naye anataka Ambayo inazaidi ya miaka 3.lakini nzuri sanaaaaaa naomba vipande baadhi havipo naomba uigawe vipande viwili, kimoja season one yote iwe kwa pamoja, season two yote iwe pamoja nakuomba sana 🎉🎉❤🎉

    • @maseleenaesleen8149
      @maseleenaesleen8149 6 днів тому

      Mwalimu naye anataka ilisha isha surch kwa makini utaipata yote dear

    • @dariyally1766
      @dariyally1766 6 днів тому

      Baadhi ya vipande wamevipiga lock uk8visach huvion mfate felix au smix ofisi akutumie​@@maseleenaesleen8149

    • @jamilanahimana-wc4nd
      @jamilanahimana-wc4nd 6 днів тому

      Season 2 hatujaionaga​@@maseleenaesleen8149

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 6 днів тому

      @@maseleenaesleen8149 kipenzi Asante kwa kunijali, ukweli sehemu ya kwanza vipande viwili vitatu havipo, sehemu ya pili vipande vinne havipo, halafu ni story ya zaidi miaka 3 , lakini mie kipindi hicho nilikuwa sijui kama Youtobe kuna simulizi,nilipokuwa chuo ndio nikasikia wanasikiliza, ilikuwa KIAPO CHA DAMU, mwenzangu hapo ndipo nilianza kuvutiwa na mwandishi bingwa bwana Edgar Mbogo, namsimuliaji wake mwamba wa sauti Felix Mwenda 💯💯 yani hii miamba naikubali kila mmoja katika sehemu yake*pia yupo msimuliaji mwengine naye anakipaji sauti Anko Jei
      ,

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 6 днів тому

      @@maseleenaesleen8149 nimeitafuta zaidi ya CK lakini vipande baadhi havipo kabisaaaaa

  • @user-vt3uq3xv3s
    @user-vt3uq3xv3s 6 днів тому

    🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @tatoo0098
    @tatoo0098 6 днів тому

    Itakua wakumi jomon ❤❤❤

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 6 днів тому

    Mua kauwawa 😂chezea gobole wewe

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 днів тому

    Kumanisha huyuu babu hujipatia pesaa kupitia kwa mabint wanaozulumiwaa na na huyoo mtoto wamkubwaaa nayy ndohuwa anawauwaa kisha pesa anaweka mfukoni Leo ameulaa wachuyaaa akaxulunu kuximu huko

  • @ashaswaleh7587
    @ashaswaleh7587 6 днів тому

    Oyoooo❤❤❤❤

  • @user-ee5hu4nu3v
    @user-ee5hu4nu3v 6 днів тому

    yamotoo❤❤❤

  • @salhamlanz9806
    @salhamlanz9806 6 днів тому

    Yamoto

  • @user-vt3uq3xv3s
    @user-vt3uq3xv3s 6 днів тому

    🇹🇿🇮🇶🎉🎉🎉🎉

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 6 днів тому

    Achana nae pendo

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 6 днів тому

    ❤❤❤