MPYA: SIRI ZA FAMILIA - 1 season I, SIMULIZI ZA MAISHA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 4 місяці тому +5

    Welkam back masleen thanks our D'Oen 🎉🎉🎉🎉

  • @angeldavid4720
    @angeldavid4720 4 місяці тому +9

    Mr HANS MASLEEN umekuwa adimu San umetutupa San my wetu yote kwa yote karibu San tulimis kazi zako❤

  • @salmakea7797
    @salmakea7797 4 місяці тому +6

    Wow tumeanza kitu kipya kwa mpigo, mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AshaJuma-rg9bk
    @AshaJuma-rg9bk 4 місяці тому +1

    Asante hans tulikumis sana big up d oen tuwemo

  • @annociatenyandwi6251
    @annociatenyandwi6251 4 місяці тому +2

    Good Job D

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 4 місяці тому +4

    😂😂😂watu hamlali jaman 😂😂😂😂 .. Uwiiiiiii kitu kipyaaaaaaa 🧚🧚🧚🧚nawapenda mnoooo simulizi mix 🌹🌹🌹 maua yenu jamani

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 4 місяці тому +2

      Unajaza nafasi comment kidogo tu

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 4 місяці тому +1

      @@swabrarashidi1082 mke wa Bwana kipalago 😂😂😂 unanitafuta

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 4 місяці тому

      @@AnnaMelikion Amna mke wa mkalia mboga

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 4 місяці тому

      @@swabrarashidi1082 🤣🤣🤣 nikomae mkalia mboga gani tena

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 4 місяці тому

      @@AnnaMelikion unamkana mumeo unatabia mbaya

  • @RahelKalume-j3l
    @RahelKalume-j3l 4 місяці тому +4

    Huyu dada wa kharim aombe mungu hizo shahawa ziwe ziliisha nguvu kabla ya kuziweka huko kwake kinyume na hivyo kama namuona vile akiwa na mimba😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 4 місяці тому

      🤣🤣🤣 Lazima azae na Kaka ake.

  • @زينزوادي
    @زينزوادي 4 місяці тому +3

    Kituiko jamani nakupata tano kwatano❤❤

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 4 місяці тому +1

    Thanks director

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 4 місяці тому +5

    Wakwanza 🙏🙏🙏❤❤❤❤ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @omanal373
    @omanal373 4 місяці тому +4

    New new new simulizi in town 😊😊

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 4 місяці тому +2

    Jamani jamani Zuhura ataka amwage mchele mbele ya kuku wengi😅😅😅😅 ,haya ataka aseme nn😂mm pia nataka kujua twende nalo🚶‍♀️‍➡️🚶‍♀️‍➡️🚶‍♀️‍➡️🚶‍♀️‍➡️

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 4 місяці тому +2

    Siri ya famili ...na hii Siri za familia ..ni vipi boss

  • @mercyelijah7449
    @mercyelijah7449 4 місяці тому +3

    Hatimaye Hans Masleen amerudi tena baada ya mda mrefu..... asante kwa kurudi

  • @AishaOthumani-xq4ec
    @AishaOthumani-xq4ec 4 місяці тому +1

    Doen ndani ya nyumbaa

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 місяці тому +4

    Jambo jipyaaaa❤❤❤🎉 na D'OEN wetu

  • @juliennealimasi6378
    @juliennealimasi6378 4 місяці тому +1

    Nilikua nimesha kumiss baba

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 4 місяці тому +3

    woyooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hasamsaid4578
    @hasamsaid4578 4 місяці тому

    Ahsnt sana tulikumis sana bro Hans tupo pamoja wana simulizi mix 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 4 місяці тому +1

    Mh hawa vijana kabla ya kukubali kuoana inabidi kufuatilia historia, ss hutu Karim anaposa na kuwaacha mabinti kulikoni jamani

  • @fatmafuraha7924
    @fatmafuraha7924 4 місяці тому +1

    Jamani hatuitaniiiiii wanafamilia wa simulizi mix vibaya hivooooo

  • @msimhassan
    @msimhassan 4 місяці тому +2

    🔥🔥

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 4 місяці тому +3

    Kama naona dada anaenda kubeba mimba ya kaka kupitia taulo 😂😂😂 maan yuko kwenye siku za hatar na kaingiza kidole kuchokonoa kitumbua huku akiwa na shahawa za kakake kidoleni

  • @EustackPaulo
    @EustackPaulo 4 місяці тому +2

    Hii mbona kama imerudiwa jaman

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 4 місяці тому +2

    ❤️❤️❤️❤️

  • @AyishaEidi
    @AyishaEidi 4 місяці тому +4

    Tupo sambamba ila

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 4 місяці тому

    🔥🔥🔥👌

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 4 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @annociatenyandwi6251
    @annociatenyandwi6251 4 місяці тому +2

    Tunaomiss simulizi ya mathayo mlumbi tujuwane

  • @atuganilemwakasangam2018
    @atuganilemwakasangam2018 4 місяці тому +3

    🎉🎉🎉🎉🎉
    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MbaruqAthuman
    @MbaruqAthuman 3 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AishaMasali-lw8pc
    @AishaMasali-lw8pc 4 місяці тому +1

    Nasikitika sana simulizi mix mmeshindwa kusikiliza maoni yetu 😢

    • @KhadijaDija-ir2hq
      @KhadijaDija-ir2hq 4 місяці тому +1

      Wanazingua 😢

    • @Hansmasleen
      @Hansmasleen 4 місяці тому +3

      Maoni yepi hayo ndugu

    • @Jackjuneart_tz
      @Jackjuneart_tz 4 місяці тому +2

      Bila shaka angesimulia felix

    • @furahankunzimana425
      @furahankunzimana425 4 місяці тому

      Nimeumia sana mimi kweli 😢😢

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 4 місяці тому

      ​Kweli kabisa,. simulizi ingenoga hata siifungui nasoma comment.Felix .angepewa asimulie jamani, lakini story za Hans maseen mpaka nione imekamilika ndiyo niifungue, uhuni mwingi story haifiki mwisho inakatizwa kama MAAJABU YA MAPENZI STORY ILIKUWA NZURI LAKINI ILIKATIZWA, pia asiposimulia Felix Mwenda sifurahii katukatu kusikiliza*****Mwengine mwandishi namba moja kwangu mwenye uwezo na kipaji kikubwa Edgar Mbogo amekuwa muhni mpaka leo Gobole la urithi imekwama.ili wasinikere sitofungua simulizi yake mpaka nijue imekamilika,wanakera bando ni gharama,linapotea bure simulizi hauliwekwi , dunia ya sasa kila sehemu matapeli wanafumuka . halafu angekuwa anaweka vipande virefu hata masaa7-10 tujipimie wenyewe bando isipotee bure, na msimuliaji asibadilike aweFelix mwenda,sio huyu anayejifunza kusoma hapa anagotagota, utafikiri anasoma gazeti Looo a​@@Jackjuneart_tz

  • @MYME-u5d
    @MYME-u5d 4 місяці тому

    🤔🤔🤔

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 місяці тому

    Halafu nahisi huyu jamaa alieogesheaa bila maji nasabuni hotelini ameibiwaa nadadake bi biharusi alieachwaa mana huyo dada niyule alipata mimba akiwa std6 nahisi tuuu ndohuyoosina uhakika kitambo iishe tutajua kitu mmmmm siri zafamily