MAGUFULI IS A FIXER BUT FIXERS ARE KNOWN NOT TO FIGHT AND CHANGE SYSTEMS BUT FIX PARTS OF IT. HUYO KAMISHNA IS PART OF A ROTTEN ENTIRE SYSTEM WHICH HE NEEDS TO FIX... HE FIRED THE GUY LAKINI THE SYSTEM IS STILL INTACT
Aisee nimepiga makofi nikidhani niko live kumbe naangalia video! Mkuu miaka 10 haitoshi kuinyoosha nchi wakuongezee 10 mingine! Allah akulinde baba yetu!
Mimi naendelea kusema ww ni rafiki wawanyonge kwakweli nimetokwa namachozi kwaraha maana maamuzi unayo yachukua ni uhalisia wa maisha ya mtu ambaye ni mtoto wamkulima.ule utanzania halisi tunauwona kwako.Barikiwa muheshimiwa raisi wetu,
Haki ya mjane na masikini ni ya lazima kuisimamia.MWENYEZI Mungu huwatetea kwa mkono hodari watu wa kundi hili.Tusidhulumu haki za wajane na watu masikini jamani.
Watu hawapendi kujifunza cjui kwa Nini wanawaonea wanyonge,wakumbuke duniani tunapita tyuuu jamani hivyo mnavyowaumiza watu mtaviachaaa na hao wanyonge watawazika huko vijijini, ustaarabu muhimu
Kweli zinaumiza mioyo ya watu, what I can see there is future in tz hongera wrote wanaofahamu viongozi was juu was nchi. Pole nyimbo za zamani Bora sasa waombwe wa radio station wazipige X10 a day. Watanzania tuchape kaziiiiiiiii.
kwa kweli hii nchi ina tatizo kubwa katika mfumo wa uongozi na namna ya kushughulikia matatizo ya wananchi, 'chain of command haipo vizuri. Matatizo yote hayawezi kuwa yanamsubiri rais peke yake
😂😂😂🙌🙌🙌🙌walai ukifanya kazi na magufuli ofisi moja kama ndio mm bola nikaacha kazi tu nikasake kwingine mzee kupumua kwa shida yaan ukipigwa swali moja pakuchengea akuna unakutana nacho duu magu 🙌🙌🙌
Kweli vizuri aviddumu mungu akutunze huko siku moja tutaonana tena😭😭😭
Kama unakubari serikari ya magufuri haichezewi gonga like hapo
RIP FATHER AFRICA
Yaan hii video imeniliza kabisa kweli huyu ni rais wa wanyonge kutoka moyoni kama unamkubali rais magufuli acha ubishi gonga like yako hapa
Mashaallah raisi unaimani Allah akuhifadhi Inshaallah
Hugo Mkuu wa wilaya mla ruswa tu hafai
@@jumakiparis2267 sure
Huyu ndio raisi anawafikia wananchi sio yule kila siku yupo ULAYA
@@manyotaskipper5765 sure
Wale tunaompenda jembe letu hebu piga like kwa magu
Like zikusaidie nn
Zinbo Rmdan j
Yaani hadi machozi yamenitoka. MUNGU akubariki sana mheshimiwa Raisi.
Mungu akulinde sikuzote Rais wetu John pombe magufuli
Daaaaaaah inauma sana
Safi sana mweshimiwa jpm,nakupendaga kwa kutenda haki
Hongera Mheshimiwa Rais...mungu akubariki
Mungu akulinde na kukupa maisha marefu yenye afya tele. Utuongoze vyema
😭😭😭😭😭😭
Magufuli pongezi
Mungu akubariki rais wetu nakupenda sana daah
How i wish things were this way in Kenya.
Hata patikana Kama magu
Ubarikiwe sana saidia wanyonge
Chapa kazi baba nakupendajeeee
Nakupenda Raisi wangu
Uyo ndo Magufuli bwana
Mi pia
MAGUFULI IS A FIXER BUT FIXERS ARE KNOWN NOT TO FIGHT AND CHANGE SYSTEMS BUT FIX PARTS OF IT. HUYO KAMISHNA IS PART OF A ROTTEN ENTIRE SYSTEM WHICH HE NEEDS TO FIX... HE FIRED THE GUY LAKINI THE SYSTEM IS STILL INTACT
Man Mborrow uyu mheshimiwa atafika mbali Mungu ambariki
Ooooh my God mlinde huyu rais wetu jamani!!
mungu akulinde daima
Big up Sana Mr President
Aisee nimepiga makofi nikidhani niko live kumbe naangalia video! Mkuu miaka 10 haitoshi kuinyoosha nchi wakuongezee 10 mingine! Allah akulinde baba yetu!
👌💃💃
Tanzania mumebarikiwa na kiongozi mwenye utu. I wish Kenya tungekua na kiongozi kama makafuli, you are blessed country
nampenda Jeee
kama umetoa chozi kama mm gonga like
live long the righteous ruler
abdag
Tanzania imejaa dhuruma sana wa2 wenye pesa wanasumbua wa2 maskini hii ni shida sana hakuna raisi kama magufuri aseeeeeeee
safiii
Inauma sana roho ninavyo mtanzama hayati jonh Joseph pombe makufuli
Hongera sana Rais wetu kwa kutetea haki ya wanyonge kama huyo bibi
Haya mambo makubwa
Nawapenda viongozi kama hawa mimi
Anaekubali kua huyu Nirais wa vyama vyote gonga like
Mashallah
John mungu amulinde
Safii Jpm
Jpm alikuwa mtetezi wa nyonge kabisa mungu amlaze pema poponi aseeeeeeee
Dah
Magufuli Mtu wa Mungu.
Shikamoo magufuli safiiiiiiiiiiii
Ahsante
Mungu akuangazie nuru Rais wetu
Mimi naendelea kusema ww ni rafiki wawanyonge kwakweli nimetokwa namachozi kwaraha maana maamuzi unayo yachukua ni uhalisia wa maisha ya mtu ambaye ni mtoto wamkulima.ule utanzania halisi tunauwona kwako.Barikiwa muheshimiwa raisi wetu,
amen
Hongera JPM tunashukuru kwa kuwajari wanyonge Mungu akubariki sana Rais wetu.
Amani Bwire
Wanaopenda Rais. Wetu Kipenzi Atutumikie Miaka 20 Layk Hapa Kuniunga Mkono
Namupenda sana kwa kazi yeke
kwa kazi nzuri kwa wanyonge aendelee hata kwa awamu 3 za uongozi
@@lizyyjfdxpatoo1374 hahama
Mungu akubariki Rais wangu love you so much
hongera sanaa prezi dar
Haki ya mjane na masikini ni ya lazima kuisimamia.MWENYEZI Mungu huwatetea kwa mkono hodari watu wa kundi hili.Tusidhulumu haki za wajane na watu masikini jamani.
Kiboko yenu ishakuja hio hapo hopo jee
January makamba na nape jifunzeni kupitia kunahofuya mungu
congratrats presdawa
wasaidie wasiojiweza mzee kazi nzuri naaaam
mpaka choz aise
Watawaibia hela
Kupatikane basi wakutupatia matokeo baadaye ya juhudi hizi nzuri za Rais Magufuli...kulienda aje baadaye.
I MISS DR Magufuli >> may the almighty God give him a confotable after earthly life!!
Samia atayaweza haya?
Mapenz yang kwako aya semek nakupenda sana magu
I really love makufuli
Hii nimeipenda sananaaaaaaaaaa
Piga kazii kaka
Watu hawapendi kujifunza cjui kwa Nini wanawaonea wanyonge,wakumbuke duniani tunapita tyuuu jamani hivyo mnavyowaumiza watu mtaviachaaa na hao wanyonge watawazika huko vijijini, ustaarabu muhimu
Safi sana Rais wa wanyonge
Makufuli nakupenda kwa kazi yako inanifurahisha
Kweli mnakula rushwa ila huyu mzee mjukuu wake atachukuwa kiwanja
Safiiiii sanaaaa Muheshimiwa Rais
Daaaaaah
Dhaaaa akika ww nd ulikuw mtawal w hak kwel😂😂😂😂
Daaah wenye pesa hawanaga huruma aseee......
Mimi naishi Burundi rakini mungu amubariki Magufure nimwawume hodari
safiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana JPM
Dr. John Pombe Magufuli, hata mimi siko Mtanzania, uko ulikuwa kiongozi yangu kabisa😭😭😭😭😭😭
Dah hii kali mwanaume unalia
Ubarikiwe Mr president hapana mchezo hata mzungu hawajawahi Fanya mambo Kama yako
thank you my president,the lord GOD give you along life
Say ❤❤
In Kenya we need such leaders ...... Not thieves who steal from their people....
Kwa hapo
Mh, Mm namkubali maana
anaweka mambo wazi hakuna konakona.
Tatizo wengi walifanya kazi kwa mazoea.
Iko kazi uongozi watu
Huyo Shewiyo ni mla rushwa mkubwa, hapa DSM alininyanyasa sana na kiwanja changu maeneo ya Mbezi Beach.
Ukiona mtu hamkubali magu bas jua alizoea kula vya bure
Kweli zinaumiza mioyo ya watu, what I can see there is future in tz hongera wrote wanaofahamu viongozi was juu was nchi. Pole nyimbo za zamani Bora sasa waombwe wa radio station wazipige X10 a day. Watanzania tuchape kaziiiiiiiii.
Mmh
true
Ni mchawi
Uchaguz hatutaki tena Rais wetu anatosha kila sekta karbu na dodoma
nakupenda mpak nakufaaaa
Ckua nampenda na wala ckumchagua magufuli lkn kunavtu anafanya namkubali.
Namkubali sana sana Uncle Magu jamani, yanikuna matendo yake
Magufuri kweli ni jembe
raisi ana kazi kubwa sana,tuzidi kumwombea dua
Ndio mana tunakupenda mheshimiwa rahis wetu mpendwa mzee wetu John pombe magufuli mngu akuhifazi ili uwatetee wanyonge
excellent Mr president
Safi saidia maskini
Gudi sana
safi sana rais kwahapo uko pamoja na wanyonge
mzee magu cheichei mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mwenyeweeee
Mpaka nasikia raha kumsikiliza JPM wetu asiyemkubali basi tu jamani.
rais wa wanyonge
Huyu baba
kwa kweli hii nchi ina tatizo kubwa katika mfumo wa uongozi na namna ya kushughulikia matatizo ya wananchi, 'chain of command haipo vizuri. Matatizo yote hayawezi kuwa yanamsubiri rais peke yake
ubalikiwe baba
Nimelia kweli wewe ni rais wa wanyonge
Tunakushukuru mkuu kwa kutetea wanyonge
Kwaya mpya
Ongera sana Rais wa Wanyonge Hapo Magufuri Nimekupigia Saruti Tawala Miaka yote
Shikamoo baba Magufuli
Sijaona Raisi mwingine kama Magafuli mtetezi WA wanyonge. Heri Mungu angelimpa uzima
😂😂😂🙌🙌🙌🙌walai ukifanya kazi na magufuli ofisi moja kama ndio mm bola nikaacha kazi tu nikasake kwingine mzee kupumua kwa shida yaan ukipigwa swali moja pakuchengea akuna unakutana nacho duu magu 🙌🙌🙌
Rais natoa machozi kabla ujafa