Jinsi ya kupika chapati laini za kusukuma bila kukanda sana | How to make soft chapati

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 425

  • @Mapishirahisi
    @Mapishirahisi  6 років тому +35

    Follow me on instagram: instagram.com/mapishi_rahisi

  • @a.a.a9722
    @a.a.a9722 3 роки тому +3

    Shukran sana saba kwa recipe hii. Nilifanya juzi na hivi sasa niko jikoni nafanya hii recipe tena , watoto na husband aliipenda sana. JazakiAllah Kheir. Best chapati recipe ever 😋 👌 🙌 😍 ❤ ♥

  • @ayitem9651
    @ayitem9651 4 роки тому +19

    I don't think after watching this, my chapatis will come out hard ever again. Best chapati video I have ever watched. Many thanks ❤... I have learned a lot.

  • @hafsaruun256
    @hafsaruun256 6 років тому +25

    this is my chapati cookin style too. i dnt even wait for an hour, Express. dakika tano ni enough😂😂💕💕💕. thank u so much

  • @khamistomohamed7079
    @khamistomohamed7079 6 років тому +4

    Absolutely amazing, I tried the sambusa way and it was awesome and now chapati way has to follow . Asante dada huu ndio upishi wetu wa kimombasa.

  • @georgeodoo9924
    @georgeodoo9924 6 років тому +15

    I love the way you make it look so easy to make. They look fabulous and I know they even taste better. Most of all your voice is softer than the chapatis themselves. This is compliments from a South Sudanese man who studied in Chuo ki Kuu cha Dar es Salaam during Nyerere's presidency in the 1970s. Stay blessed my daughter/grand daughter.

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 років тому +10

    Nimezipika chapati zimekua nzuri.. Mashallah.. Lakiin nimewwka chumvi tu.. Sijaweka sukari

    • @beatricejackson2568
      @beatricejackson2568 4 дні тому

      Ni nzuri sana tena ukiwezaa weka sukarii na ganda la limao bichii ukuniee kidgoo

  • @mypeace7331
    @mypeace7331 6 років тому +7

    Nilikuwa sipendi kupika chapatti kwasababu zina Kazi sana, lakini nimejarabu method yako nimehona ni rahisi sana, na chapatti zimetoka perfect kabisa Asante kwaku share.

  • @ericsallu1929
    @ericsallu1929 5 років тому +13

    Many thanks for your recipe. I tried it yesterday and the results and feedback I got from everyone was amazing 🔥🔥. Keep doing what you do best. Love from the UK 👌🏾

  • @Nyf989
    @Nyf989 4 роки тому +2

    This is the best video I has ever seen this is the best chapati ever

  • @FranciscaKamau
    @FranciscaKamau 4 роки тому +2

    Im glad to have watched the video today and followed two critical steps kneading with oil and allowing the dough to sit for an hour. They turned out super soft.

  • @estherchristopher3693
    @estherchristopher3693 3 роки тому +2

    I tried it yesterday and the results was 🔥🔥👌. Thank you😘😘

  • @masabamujaahid8903
    @masabamujaahid8903 3 роки тому +1

    Mmmmh! Recipe nzuri kweli ningependa kujaribu inshallah

  • @itsme.linah1
    @itsme.linah1 3 роки тому +3

    Am already making while watching your video 😊

  • @macarthakerubo2453
    @macarthakerubo2453 4 роки тому +1

    I tried this method,,,na nimefaulu👏🏾👏🏾👏🏾asante

  • @fatumaabdullahiabdirahman9695
    @fatumaabdullahiabdirahman9695 6 років тому +4

    Maasha Allah.AMAZING recipe.luv it.na ni rahisi kweli kweli.huwa naitumia kila nikipika chapo..thans

  • @josephsoka1565
    @josephsoka1565 4 роки тому +13

    Huyu mdada mashallah!!napenda sana kasauti kake na lafudhi yake! Reminds of my X girlfriend 😀

  • @livukansemwa135
    @livukansemwa135 6 років тому +8

    Asante sana my Dada nimejaribu recipe yako zimetoka super..bless u

  • @josephrios6573
    @josephrios6573 6 років тому +3

    Asante dadangu kwa kweli, lini niliishi katika TZ (labda mwaka mmoja iliyopita au zaidi) ningekula chapati kila siku, nilikipenda sana na sasa tangu nimerudi nyumbani sijaweza kwa sababu hakuna hapa. Hata hivyo sasa kwa sababu video zako nimejifunzaje kupika chapati kwa ajili yangu! Asante sana tena

  • @lizngotho
    @lizngotho 6 років тому +17

    I have to try this!!! the other method ya kupaka mafuta na kuziroll ina bore sana sana.

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 5 років тому +1

    Ubarikiwe sana dada Aisee kicha maji juzi nimepika chapat kama hizo zako asant sana dada barikiw

  • @sharonmugisha1523
    @sharonmugisha1523 5 років тому +5

    Thank you so much for the recipe. I tried it this evening and got soft chapati. Keep up the good work

  • @Itsher602
    @Itsher602 4 роки тому

    Nimepima ni kweli ni nzuri san nazinakuwa laini tena sana 😍😍😍😍

  • @a.a.a9722
    @a.a.a9722 3 роки тому +1

    Yaani hukufanya tabaki walaa mambo marefu. Mashallah

  • @halimakambi7669
    @halimakambi7669 6 років тому +1

    Nimependa mapishi yako sana yaani umepika kirahisi sana sio kama wengine ! Mashaallah! Nitajaribu

  • @maureensuperb1014
    @maureensuperb1014 6 років тому +17

    Waoh nimepende vile umepika hizo chapati... ilove cooking chapati.. asante sana

  • @laidahmaris.26
    @laidahmaris.26 8 місяців тому

    Nimependa kazi yako adi wewe mwenyewe😍😍

  • @firdaustimimi7697
    @firdaustimimi7697 10 місяців тому

    Mashallah baraka Allah ajaab chapati nzuri mungu akubariki

  • @norahkiereri4085
    @norahkiereri4085 5 років тому +2

    Thank you for the recipe. You are right, this is so much easier than kneading dough for 15 minutes.

  • @linetnambiro8752
    @linetnambiro8752 5 років тому

    Chapati soft ...napenda vile unatumia mafuta kidogo..
    Kudos

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 4 роки тому

    Asante kwamapishi dada mashaallh unasauti mzr🙏🙏🙏🙏

  • @carenobonyo9578
    @carenobonyo9578 5 років тому

    Asante sana...sijawahi kupika chapatti maanake huwa naona kuwa ngumu sana lakini sasa ntajaribu

  • @zeinabsubra3903
    @zeinabsubra3903 6 років тому +16

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah my sister uneifanya iwe rahisi mno..nitajaribu style yako InShaaAllah.."Allah(swt)akuzidishie kwa ujuzi wako InShaaAllah"Aamin

    • @Mapishirahisi
      @Mapishirahisi  6 років тому +1

      Ameen shukran sana habibty😘. In sha Allah nitawaletea mapishi mengine mengi. Na nyinyi pia nisaidieni kwa ku share video zangu kwa watu wengine pia ili wao pia wafaidike❤❤💋

    • @karamburegina464
      @karamburegina464 6 років тому

      MashaAllah

    • @jamesibahebe8935
      @jamesibahebe8935 5 років тому

      Dah mashalllah

    • @oscardalphos8082
      @oscardalphos8082 5 років тому

      hata mimi

  • @mariagecelatague4817
    @mariagecelatague4817 4 роки тому

    Very nice your chapati thnk now iknow how to make and cook

  • @aknet08
    @aknet08 5 років тому +3

    MashAllah so beautifully roll rounded and looks yummy 😋 too InshAllah soon going to try

  • @erickonyango6349
    @erickonyango6349 6 років тому +8

    Wonderful channel I like food I now know how I will become a good cook.Thanks a lot luv you.

  • @ainymichiyo8221
    @ainymichiyo8221 5 років тому +3

    Nice to watch u video..will do before Chinese new year hope this will turn well

  • @dennistheacrobat8701
    @dennistheacrobat8701 6 років тому +7

    Mashallah sister nimependezwa na upishi wako bora,,natamani mola anijalie mke kama wewe anaejua kkupika ivyo

  • @u.maronkocarine7600
    @u.maronkocarine7600 3 роки тому

    Nashukuru sana kwa mafundisho,nami nita jaribu

  • @Juniperbreezeer
    @Juniperbreezeer 6 років тому +1

    Kiswahili yangu siyo muzuri, mimi na penda videos yako! I'm also learning better swahili from watching you. Thank you from California with love ❤

  • @chakweli
    @chakweli 6 років тому +7

    Asanten sister !!!! Love them and will try to make them as you do. Thank you again.

  • @sweetaida8382
    @sweetaida8382 6 років тому +2

    Mashaallah..ila dada jaribu kujibu maswali yetu

  • @vailethfrancis8431
    @vailethfrancis8431 Рік тому

    Daah nimeipenda sana ✔️✔️✔️

  • @janetracy8732
    @janetracy8732 6 років тому +3

    Nitajaribu ii style... Asante... 💕

  • @Tv-dl4qj
    @Tv-dl4qj 3 роки тому

    Walaikum salam na kupenda bure😘

  • @haawaa24
    @haawaa24 4 роки тому +1

    Best japati thank you from uk

  • @abdulrhmanmohammed2187
    @abdulrhmanmohammed2187 4 роки тому

    Thank you for this video im single 😊😊😊 and your video is the best

  • @ZaiJunus-kg4bh
    @ZaiJunus-kg4bh 11 місяців тому +1

    Thank kwa mafunzo madamu🙏🙏

  • @sakofatuma7949
    @sakofatuma7949 6 років тому +5

    Sooo nice nimependa wil try it

  • @belsoi9799
    @belsoi9799 4 роки тому +2

    Nice cooking style, I love this method

  • @flvemanuel1572
    @flvemanuel1572 6 років тому +5

    Ahsante sana..mkweli mapishi rahisi...😍😍

  • @gazzanation5112
    @gazzanation5112 5 років тому

    Wow very simple and easy instructions to follow with wonderful results results keep it up #mapishi rahisi

  • @ikranhassan4846
    @ikranhassan4846 6 років тому +1

    Asante sana nilikuwa nauliza maji ya vugu vugu or ya moto

  • @ciam3831
    @ciam3831 5 років тому +2

    Nice I did it and zikatoka laini . I would like you to show us how to make chutney tafadhali.

  • @agnesmyundo5337
    @agnesmyundo5337 6 років тому +1

    Mashallah my dear sister, nice nijivunza how to make chapati

  • @12377683
    @12377683 3 роки тому

    Thanks so much i tried this recipee and it was amaizing

  • @juliethpogocho5030
    @juliethpogocho5030 5 років тому

    Nimechukua kozi sister ngoja na mie nizirekebishe ahsante

  • @aishadaniella2548
    @aishadaniella2548 6 років тому +2

    Congratulations i like it nimeelimika sana thanks

  • @belykanbella7653
    @belykanbella7653 4 роки тому +2

    Thanks a lot for the video, hii humaanisha ya kwamba mtu hapashwi kuongeza yeast wala chapa mandazi anapochanga unga wa chapati? please munisaidiye hapa, thanks

  • @erickymajali2691
    @erickymajali2691 2 роки тому

    Asalam aleikum..ushaolewa thayari dada...ama tulete posa😉😊

  • @muhamedishadia8504
    @muhamedishadia8504 4 роки тому

    Thanks I like mapishi rahisi 👌🏽😍

  • @kakawilson2428
    @kakawilson2428 4 роки тому

    Tunashukulu sana sisi wasingo kwatuonyesha gisi yakupika

  • @jacklinemushi3246
    @jacklinemushi3246 5 років тому +2

    Woaah thank you so much😍ubarikiwe

  • @uwashemajane7448
    @uwashemajane7448 6 років тому +1

    Ahsante sana mpendwa KWA kutuelimisha mapishi rahisi ya chapati

  • @audreyirakoze7807
    @audreyirakoze7807 2 роки тому

    Asante sana nimependa😘🇧🇮

  • @z.s773
    @z.s773 4 роки тому

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH JAZAKALLAH KHEIR

  • @juliethkipagile4632
    @juliethkipagile4632 5 років тому +11

    Asante kwa mapishi. Ila nilitamani sana kuona izo chapati ulizozisukuma (mbichi) umezitunzaje pembeni?

  • @josinamwakisege1058
    @josinamwakisege1058 5 років тому +5

    My sister your voice , inamtoa Nyoka pangoni ,ubarikiwe

  • @Lxsifer
    @Lxsifer 2 роки тому +1

    Who’s a man who can’t cook and searched for this

  • @hawaa341
    @hawaa341 13 днів тому

    Nzuri sana

  • @ernestliwaha711
    @ernestliwaha711 4 роки тому

    Ni nzuri mashalaah

  • @giselegiram
    @giselegiram 4 роки тому +1

    Nzuri kabisa

  • @neemakayunizahoro8879
    @neemakayunizahoro8879 3 роки тому

    Napenda Sana apishi

  • @carolynekhabamba1460
    @carolynekhabamba1460 6 років тому +2

    Nimefuata hii video na matokeo were amazing soft chapatis..

  • @umukundwaanitha7665
    @umukundwaanitha7665 6 років тому +3

    Wooow asante dada

  • @salahmwambene2799
    @salahmwambene2799 2 роки тому

    Nice 👍 l like it

  • @mariawilson9209
    @mariawilson9209 2 місяці тому

    Nime weza nice

  • @zarcokundy1668
    @zarcokundy1668 4 роки тому

    good job I like it

  • @jumantakebuka
    @jumantakebuka 5 місяців тому

    Safi sana masha allah

  • @jumangodoki3867
    @jumangodoki3867 6 років тому +4

    Upo vizr dada

  • @lucywahome3899
    @lucywahome3899 4 роки тому +1

    I love you r ❤️ chapatis 😍

  • @floraakongo3835
    @floraakongo3835 6 років тому +1

    Good video sugar no good, thanks

  • @saadamrisho5396
    @saadamrisho5396 6 років тому +6

    ahsante dada nimejifunza

  • @lucyboti8327
    @lucyboti8327 Рік тому

    Asante sana leo nimeweza

  • @nadiaskincare5767
    @nadiaskincare5767 5 років тому +1

    I love u girl teach how to cook biliani an kufanya pilipili

  • @ester5334
    @ester5334 6 років тому +1

    mbna chapati nyeupe ivoo lkn hongera umejitahd.

  • @lilianmwanga6861
    @lilianmwanga6861 6 років тому +1

    Nimefurahia sana mapishi kwani napenda sana chapati. thanks.

  • @rayaanslittleworld9944
    @rayaanslittleworld9944 4 роки тому

    Nyc recipee

  • @سنتياالشهري
    @سنتياالشهري 4 роки тому

    Ni nzuri sana

  • @sammyalmas7572
    @sammyalmas7572 5 років тому

    mashaallah Dada msos mtam hata kwa macho

  • @olivervalentino7117
    @olivervalentino7117 6 років тому +1

    waooooh nzuli

  • @Zylla2024
    @Zylla2024 2 роки тому

    Hongera dada

  • @damarissamba1432
    @damarissamba1432 6 років тому +5

    Dah! Nakubali

  • @neemageorge1088
    @neemageorge1088 3 роки тому

    Nimeipenda

  • @christinagombati1466
    @christinagombati1466 6 років тому +1

    asante kwa mapishi ya chapati

  • @g.f.p.8630
    @g.f.p.8630 5 років тому +1

    Easy and nice 👍

  • @jacquelinengwandu3467
    @jacquelinengwandu3467 5 років тому +2

    I am going to try this,
    will be back with results?!
    Namaste

  • @vanniah1
    @vanniah1 6 років тому +2

    Sauti yako jameni. 🇺🇸 napenda toka all the way here

  • @alutamusiq9804
    @alutamusiq9804 5 років тому +1

    Chapati nimeipenda

  • @maryrogers7141
    @maryrogers7141 Рік тому

    Habari hongera kwa mapishi mazuri Swalilangu ni kuhusu chapati hizi hukupaka mafuta katikati ukakunja je hakukua na lazima ya kupaka mafuta katkati? na ni kwanini