Mchungaji Mungu akubariki sana niko Kenya na nakupokea vyema sana nabarikiwa sana pia vifungo vyangu vimefunguliwa vyote kwa Imani pamoja na kizazi changu chote kilichopo na hata kitakacho kuja baadaye.Shida tu ni hiyo namba tukituma pesa ya matoleo haifanyi kwahivyo jaribu utupatie suluhisho hapa Kenya ili tuwe tunaungana nawe kimadhabahu.Asante na Mungu awe nawe daima.
Mtumishi ubarikiwe niombee hayo mapito yako kwenye familia yangu naomba unisaidie Kwa kutuombea kwenye elim ,kilimo ,ufugaji biashara ,kuchukiwa bila sababu
Kama unatamani kusaidiwa ni rahisi sana ndugu yangu ni wewe kumkubali YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO, maana Yesu ndiye chanzo Cha wewe kushinda dhambi. Kwa hiyo mruhusu yeye aingie ndani yako na afanye makao ndani yako. Nakuhakikishia Utashinda.
Omba Roho Mtakatifu akuongoze akuepushe na vikwazo ninavyo kuzuia kukutana na watumishi wa Mungu wa kweli ili wakufanyie maombi ya kuvunja maagano ya Mizimu na Miungu ndio inakufunga bila hivyo usinge kuwa unajuta kuwa unadhambi ungekua unajionea sawa kila utakalofanya wala usinge jali. Shukuru sana angalau unahofu ya Mungu.
Barikiwa sana na Mungu mwana wa aliye juu za mbingu mbinnguni. Nakuomba uje kwetu uutangaze utukufu wa Mungu
Mchungaji Mungu akubariki sana niko Kenya na nakupokea vyema sana nabarikiwa sana pia vifungo vyangu vimefunguliwa vyote kwa Imani pamoja na kizazi changu chote kilichopo na hata kitakacho kuja baadaye.Shida tu ni hiyo namba tukituma pesa ya matoleo haifanyi kwahivyo jaribu utupatie suluhisho hapa Kenya ili tuwe tunaungana nawe kimadhabahu.Asante na Mungu awe nawe daima.
Mungu akubariki sn mtumishi wa Mungu akupe maisha marefu
Mungu awabaliki watumishi wa promover tv
Nimefunguliwa mimi na familia yangu pamoja na vizazi vijavyo kwa Jina kuu la bwana wetu Yesu Kristo. Amina. Barikiwa mchungaji.
Mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU
Mungu akubariki mtumishi
Ameen natoka kwa Jina la yesu na ñinavuka naenda viwango vingine be blessed more pastor
Mtumishi ubarikiwe niombee hayo mapito yako kwenye familia yangu naomba unisaidie Kwa kutuombea kwenye elim ,kilimo ,ufugaji biashara ,kuchukiwa bila sababu
Profet naomba umuombee mke wangu neema awazi amiri amepitisha muda wa kuzaa mimba yake imepitisha muda sasa iimepitiliza wiki 2 muombee ajifungue
Damu ya Yesu Kristo Kwa boma na mke wako.mambo yatakuwa sawa.
Amina
Mtumishi ni kweli kabisa tunaitaji msaada wa mungu
Amen
Halo muchunaji tutakufikiaje ilitupate ukombozi tuko taita taveta tukonashida familia hatusongi mbele na watoto wetu
Amen amen amen 🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
UBARIKIWE mtumishi
Jameni mimi zambi zimenitawala hatasijui chakufanya mungu nisaidie
Kama unatamani kusaidiwa ni rahisi sana ndugu yangu ni wewe kumkubali YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO, maana Yesu ndiye chanzo Cha wewe kushinda dhambi. Kwa hiyo mruhusu yeye aingie ndani yako na afanye makao ndani yako. Nakuhakikishia Utashinda.
@@ZakayoNaman amen
Mungu na akupe haja ya moyo wako..utende sawa na vile inavyotakiwa kufanya
Omba Roho Mtakatifu akuongoze akuepushe na vikwazo ninavyo kuzuia kukutana na watumishi wa Mungu wa kweli ili wakufanyie maombi ya kuvunja maagano ya Mizimu na Miungu ndio inakufunga bila hivyo usinge kuwa unajuta kuwa unadhambi ungekua unajionea sawa kila utakalofanya wala usinge jali. Shukuru sana angalau unahofu ya Mungu.
Kaz yamungu isonge mbele,bendera chuma,mlingot chuma nakukubari san
Amen
Ushi milele baba
Mtumishi naomba kamba za kuzimu zikatike niombee
Tuhobemtumishi
Mcungani naombo namba yoko nakoomb
UBARIKIWE mtumishi
Amen