TUMSHUKURU MUNGU by V. C. MGANI, KMFA - KWANGULELO (AUDIO & VIDEO - HOLY TRINITY STUDIOS)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2023
  • Kwaya ya Mt. Fransisco wa Asizi kwangulelo - Arusha katika kuendelea kukuinjilisha kwa njia ya nyimbo, imekuletea zawadi ya wimbo huu wa Shukrani, unao kwenda kwa jina la TUMSHUKURU MUNGU, karibuni tushiriki kueneza Injili kote ulimwenguni kwa Kusikiliza, KU share, KU like na KU Subscribe kwenye channel yetu
    Asante
    Katibu: +255 686 563 285
    A/Mipango: +255 764 558 899

КОМЕНТАРІ • 11

  • @JamesPasson-md5wh
    @JamesPasson-md5wh 11 місяців тому +3

    Hongereni sana mmeimba vizuri, Mungu aendelee kuwapa kibari cha kumtumikia yeye

  • @LaurentKatalo-hu6hs
    @LaurentKatalo-hu6hs 10 місяців тому +3

    Hongereni sana kazi murua kabisa hii

  • @NTM9320
    @NTM9320 11 місяців тому +2

    super 🎉

  • @maxijoseph3881
    @maxijoseph3881 7 місяців тому +2

    Mungu atulinde tunapo maliza mwaka huu na kutupatia uzima, I love this song ❤❤🎉great one for the day. Bass weeehh 👏👏👏

  • @robysonmrema5720
    @robysonmrema5720 11 місяців тому +3

    Kazi nzuri sana iliyotukuka katika kwaya yangu pendwa

  • @NYIMBO_ZA_MISA
    @NYIMBO_ZA_MISA 10 місяців тому +3

    Nzuri sana

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 11 місяців тому +2

    Hongereni sana waimbaji Mungu awabariki wote

  • @ChristinaNgoti-ql5pf
    @ChristinaNgoti-ql5pf 11 місяців тому +2

    Kwakweli mmeimba vizuri Sanaa,mavazi mmepenzeza,mmecheza vizuri,hongereni Wana Fransisco.

  • @nevermwambela3719
    @nevermwambela3719 11 місяців тому +2

    Mbarikiwe kwa kazi nzuri❤

    • @kwangulelo
      @kwangulelo  11 місяців тому

      Amina....tunamshukuru kwa matamshi mema kwetu...Mungu akubariki pia