TUTATABASAMU TENA by F.M. Shimanyi_Official_4k_video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 98

  • @donatiuschilongani.242
    @donatiuschilongani.242 16 днів тому +1

    dah aiseh hiyo gita ingepigwa tena mwishoni mweeee nadhan ningekufa yaan hahahaha @Shimanyi bro bigup sana kwa kuandaa kazi nzuri sana kwa sasa. Mungu awatunze sana wana Don Bosco hahahahaha

  • @gelvaskatapa3080
    @gelvaskatapa3080 Рік тому +1

    Tabasamu kwa MUNGU nawasikia nikiwa hapa Zambia ndola

  • @OllivaSimbeye
    @OllivaSimbeye Рік тому +1

    Hongereni sana

  • @EmmanuelMalenga-sr6yr
    @EmmanuelMalenga-sr6yr Рік тому +2

    Waooooo kitu kipya kwenye maganda yake kinatupeleka noel Asante nimeburudikan sana kwenye siku yangu hii ya kuzaliwa 21/12 hakika nimepata TABASAM TENA

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Oh vizuri! Wimbo huu ukupe tabasamu jipya ktk kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa. Happy birthday to you 👏

  • @wesleyrogito8326
    @wesleyrogito8326 Рік тому +3

    mungu asidi kuwapa nguvu na afya njema ili muendelee kuenesa inli yamwokozi bwana yesu kristu

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

    • @sharonkalungu1667
      @sharonkalungu1667 7 місяців тому

      😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮​@@kwayayamt.donboscovijana

  • @laurentlaya1213
    @laurentlaya1213 Рік тому +2

    kazi nzurii sanaaa hongereni

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @MrPeaceJunior
    @MrPeaceJunior Рік тому +2

    Naqbali sana kwa hii hatuu big up kubwaaa😂😂 chukua na maua yenu haya hapa💐💐🌷🌷

  • @CossyKiria
    @CossyKiria Рік тому +3

    One of the best song of the year👏 well congratulation to you St Don Bosco.. still proud of you🫡 mmeupiga mwingi mno.. Kongole kwa waalimu na kwenu nyote mlioshiriki kufanikisha hili.. hakika mnatabasmu tena katika Yesu. Nawapenda mno❤️🙏

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @eugenekeragori
    @eugenekeragori Рік тому +3

    Mnatubariki sana sana aki mola awaongezee zaidi na zaidi.. mwalimu shimanyi never disappoints

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому +1

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

    • @eugenekeragori
      @eugenekeragori 11 місяців тому

      @@kwayayamt.donboscovijana Asante sana..have shared kwa social media platforms zangu 🙏🙏

  • @JudithGeorge-c3h
    @JudithGeorge-c3h 2 місяці тому

    Mungu abariki napend sana

  • @AloyceSemkalami-xw3le
    @AloyceSemkalami-xw3le 5 місяців тому

    Nyie hamna dhambi kabisa aisee

  • @AggyMarandu
    @AggyMarandu Рік тому

    Very nice song kwel tutatabasamu Tena😆😆😆😃🥰🥰🥰🥰

  • @samwelidurumbeti5314
    @samwelidurumbeti5314 Рік тому +2

    Hongereni sana kwa Kazi nzuri

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @edwinmborrow8056
    @edwinmborrow8056 Рік тому +3

    👮👮👮 Respect mno mno kwenu na Mungu aendelee kuwalinda na kuwajalia matash mema katika Utume wenu..

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @Fridahkilonzo96
    @Fridahkilonzo96 Рік тому +2

    Sauti jameniiiiiiii❤❤❤

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      ❤Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @GemaSway
    @GemaSway 11 місяців тому

    Hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu azid kuwa pamoja nanyi .

  • @yustinadamiano6953
    @yustinadamiano6953 Рік тому +2

    Waoooh so amazing 😍😍😍

  • @GenofevaKimale
    @GenofevaKimale Рік тому +2

    Hongera sanaaa wapendwaa❤❤❤

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu ❤❤

  • @LinnahKway
    @LinnahKway Рік тому +2

    Barikiweni sana

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @philipinaphilo2344
    @philipinaphilo2344 Рік тому +2

    Mambo ni fire

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @chep2019
    @chep2019 Рік тому +2

    Yaani hili mliupiga mwingi,,,hongereni sana VIWAJIKA wa hapo parokia ya roho Mt NGARENARO @aka Kwa babu,,,kazi nzuriiiii ❤❤❤

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Waalike ndg jamaa na marafiki wautazame wimbo huu kwa kushare link yetu. Usiache ku subscribe channel yetu

  • @MEELACOS
    @MEELACOS Рік тому +2

    Safi sana kazi nzuri mno ...hongereni @

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 Рік тому +2

    Safi sana director imetulia sanaaa, kazi nzuri sanaaaa

  • @calvinadolph7990
    @calvinadolph7990 Рік тому

    Moto moto

  • @elizabethsamson1086
    @elizabethsamson1086 Рік тому +3

    Mambo ni fire imekaa poa sana 🙏🙏🙏

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Amina . Asante sana. Plz subscribe channel yetu pia usiache kuwaalika ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @Lornegan01_
    @Lornegan01_ Рік тому +2

    Baraka tele..hongereni sana❤🙏🏼

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @trinitymixes
    @trinitymixes Рік тому +4

    NIce music by F M shimanyi
    Hongera choir ya DonBosco

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @berndethamavange5184
    @berndethamavange5184 Рік тому +1

    😅😅 mi ndo nishaanza kutabasam tayari. Kazi nzuri hongereni wote mliohusika na hii kazi, Mungu awabariki

  • @innocentmakoi462
    @innocentmakoi462 Рік тому +2

    Hongereni sana wote! Kazi nzuri🎉🎉

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @JoachimMathias
    @JoachimMathias Рік тому +1

    I would like to congratulate you for the good work of God you are doing the youth of the Holy Spirit Ngarenaro,
    The work is very good🔥🔥🔥may God bless you more and more.
    I'm watching from Texas

  • @mapendoglory16
    @mapendoglory16 Рік тому +2

    Shimanyi I salute you Bro. Thanks for this.
    Waimbaji you have nailed it. Much love asanteni Sana. Hakika hakuna kisicho Na thamani Duniani.

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @stephenmboya2988
    @stephenmboya2988 Рік тому +1

    Kazi nzuri jameni Hongera

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @marcusbonane7075
    @marcusbonane7075 Рік тому +1

    Hongereni saana nimebarikiwa saana namuona Mtumishi Mick Baba wawili

  • @geoffreymicheni6030
    @geoffreymicheni6030 Рік тому +1

    Mambo mazurii

  • @rommyabel5433
    @rommyabel5433 Рік тому +2

    👏👏👏

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali subscribe channel yetu lkn pia unaweza kuwaalika watu wengi zaidi kuutazama wimbo huu

  • @YasintaJulius-c3u
    @YasintaJulius-c3u Рік тому +1

    Amina

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Amina. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @martinimatutuli5575
    @martinimatutuli5575 Рік тому +1

    Mashibeeee

  • @MashibeBaraka
    @MashibeBaraka Рік тому +2

    🔥🔥🔥 Hakika tutatabasamu tena 👏🏽👏🏽👏🏽

    • @mariamwinyi-pi9cn
      @mariamwinyi-pi9cn Рік тому

      Asa wewe utakwenda unafikiri utatabasamu huko huko Tabata😂😂

  • @faresbm3587
    @faresbm3587 Рік тому +1

    Nimeikubali mziki umetulia

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali subscribe channel yetu na pia usiache kuwaalika watu wengi zaidi kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @GraceanaJustine
    @GraceanaJustine Рік тому +1

    Hongereni sana wapendwaaa meipendaa

  • @francisnzioki8255
    @francisnzioki8255 Рік тому +1

    Good one.Welldone.

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @daviddeogratias1622
    @daviddeogratias1622 Рік тому +1

    Kumbe unyama ni mwingi sn

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Bila shaka . Tafadhali subscribe channel yetu na waalike wengi zaidi kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @MaryWikas-pi2pk
    @MaryWikas-pi2pk Рік тому +1

    ❤❤

  • @professor_mteknolojia3385
    @professor_mteknolojia3385 Рік тому +1

    Congratulations🎉

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Thank you. Tafadhali subscribe channel yetu lkn pia unaweza kuwaalika watu wengi zaidi kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @engineertarimo7345
    @engineertarimo7345 Рік тому +1

    Hongereni, kazi nzuri

  • @lucastheorganist3933
    @lucastheorganist3933 Рік тому +1

    hii kali sana isay moto sana

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Bila shaka. Asante sana. Tafadhali subscribe channel yetu lkn pia unaweza kuwaalika watu wengi zaidi kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu

  • @ReginaReginald-g9z
    @ReginaReginald-g9z Рік тому +2

    Hongereni mmeimba vizuri barikiwa sanaa

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @CalvinKway-pq3fp
    @CalvinKway-pq3fp 3 місяці тому

    🎉🎉❤

  • @zachariamagidanga891
    @zachariamagidanga891 Рік тому +1

    ❤❤

    • @kwayayamt.donboscovijana
      @kwayayamt.donboscovijana  Рік тому

      Asante sana. Tafadhali usiache kusubscribe channel lkn pia waalike ndg jamaa na marafiki kuutazama wimbo huu kwa kushare link yetu ❤❤❤

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri

  • @tarisilakway8443
    @tarisilakway8443 Рік тому

    Hongeren sana vijana kazi nzuri