ASKOFU MWAMAKULA APIGA KELELE KWA VIONGOZI ''HALI TULOFIKIA SASAHIVI NAOGOPA SANA'ATAKA UMOJA...
Вставка
- Опубліковано 19 вер 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►UA-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Wewe ndio uende huko. Mzee Mwamakula anajielewa sana, yuko vizuri mno.
Askofu umehoji vizuri. Mapendekezo ya kuwatumia viongozi wa dini ni zuri sana ikiwa kama ikikubalika ushiriki wao utokane na kura za waamini wao. That is to say, wasichaguliwe kwa vyeo vyao maana dini imekuwa biashara. Na hivyo kuna viongozi wao wasio na elimu sahihi na wengine wanafaa kuhongeka.
Huwa masikilizano sana Askofu mahali popote huwa namfuatilia kwani ana madini adimu sana.... Anafaa sana kusikilizwa..
Ameen
Desmond Tutu Askofu huyu alikuwa chachu sana ya ukombozi wa SA
Dah! Askofu unahekma sana wenye akili tumekuelewa.
Shule nzuri sana ikipata waelewa..
Ugumu kwetu unatokana na tamaa ya madaraka, mali na na ubinafsi.
Nyny chocheeni moto uwake dini na siasa nihatari sana
Muache askofu yuko vizuri
Misingi ya siasa chimbuko lake ni Dini, nahii ina enda mbali zaidi kabla ya kristo, it goes all the way back to Roman Empire.
HAKA KAPALOKO KWANINI KASIENDE HOSPITAL YA KIBONGOTO KUANGALIA NGWENGWE KULIKO KUDANGANYA BAADHI YA WAGALATIA 😢😢😢😢
Ngwengwe ndo Nini rafiki
Nakuona tena mjane vipi upo
@@MmohamediSaidi MO KIMBIA HUKO HICHO CHAMA CHA SACCOOS NI WAGALATIA ONLY WATAKUTEKA HAWO 🤪🤪
Hujitambui
Ngwengwe?😂😂 we jamaa utaki askofu aongee
Acha mambo ya dini kuwa mwana siasa Kuku jike we
Ninyi wakristo mnaumia sana kuongoza nchi muislaam,mbona wakati wa magufuli, watu walitekwa hamkuropoka kama sasa,sasa marekani kumpiga risasi trump ndy katiba nzuri,acheni udini,nyie maakofu ndy m natuharbia nchi
mh!! kama serikali inaweza kukubari hilo.tanzania umepona .lakini ccm ninayoifahamu mhhhhh!!
Hapana huwezi kutumia mabwana wawili ,nenda kahubiri nakubatiza
Kama.una.lakusema.nyamasa
@@user-ug6hu7wv1o imeandikwa au hukumbukuki
@@user-ug6hu7wv1o nyamaza sio nyamasa ,,kasome imeandikwa usitumikie mabwana wawili ,,,siku hizi wachungaji mnandoa nyingi
Muache askofu yuko vizuri
@@VisentJohn-r3r mjane vipi mbona povu jingi