Zirail alipokea kazi na mungu aliogopa alijua atapata lawama kwa binaadamu lakini Allah akamwambia usijali watatajana wenyewe kwa wenyewe.... wengine wanatoa kafara watu kwa utajiri, ubakaji hebu pia tukilaumiana je na mungu nae tunamtendea mazuri....
Haku gani mlizo nazo mbona jambo linapotokea kabla ya uchaguzi hamfanyi hayo acheni mineno ya hovyo unamlisha nn wewe mbeya mkubwa biblia yako ya uchochezi toka apa wewe huna sera zite za kutaka goli la meno utabomolewa meno yako hato kutamka vitabu vyake huvijui utajuta wewe huna uwezo hata sura yako inanuka ugomvi
Asante,mungu yupo atatulipia
Kaka umeongea ukweli umenitia moyo nimekupenda
Mwenyezi Mungu akufunike
Ahsanteni ACT , Hakika hiki ni chama kiongozi kwa sasa Tanzania
Asante sana Maharagande Mungu akulinde kwa ukwelihuu
Jamani tumefikia pabaya sana
Safi sana, Maharagande❤
Maneno safi sana... CCM ni sawasawa na terminal cancer. Ni balaa tu
Safi muheshimiwa
Tanzania isiongozwe kwa mazoea ni hatari sana kwa amani ya nchi.
Nitamkumbuka sana magufuri
Serikali bado mnawanyamazia waropokaji hao?
Zirail alipokea kazi na mungu aliogopa alijua atapata lawama kwa binaadamu lakini Allah akamwambia usijali watatajana wenyewe kwa wenyewe.... wengine wanatoa kafara watu kwa utajiri, ubakaji hebu pia tukilaumiana je na mungu nae tunamtendea mazuri....
Yaani maneno yameningia hasaaa kibaya kilichoniuma ni hiki cha muuwaji mautekaji maubakaji 😭😭😭😭
Ccm lazima tuing,oe madarakani kila secta hakuna uafadhali, hospital,police,shule,maisha magum,vitu kumbanda bei,maji hakuna
Pesa za mashetani wale wengine , kuandamana wavunjwe miguu wasiyo kuwa na hatia kazi kwenu msiyopenda afya zenu.
Good job
Apa nimeanza kuona kwa mbali u seriously wa wapnzani
Nanyie tena mmeanza
Haku gani mlizo nazo mbona jambo linapotokea kabla ya uchaguzi hamfanyi hayo acheni mineno ya hovyo unamlisha nn wewe mbeya mkubwa biblia yako ya uchochezi toka apa wewe huna sera zite za kutaka goli la meno utabomolewa meno yako hato kutamka vitabu vyake huvijui utajuta wewe huna uwezo hata sura yako inanuka ugomvi
Kumbe Hiki chama nacho kipo
Nakiona.
Komaa baba ukweli uko palepale
Asanter
Hali gani unaitaka tufafanulie unayoitaka tukupe wewe Hali unaitaka
Kwasasa nikuondoa uoga to
Tupo pamoja