Askofu Mwamakula amenena mambo ya kweli kabisa. Waandishi wa habari wanatakiwa wawe na degree ya taaluma alafu ndipo akasome degree ya journalism. Mfano mwandishi wa habari wa masuala ya kilimo awe na degree ya kwanza ya kilimo ndipo akasomee degree ya journalism nk.
Elimu na uwexo wa kuelewa mambo ni mdogo.Walio wengi ni wababaishaji na hawajui hata namna ya kuuliza maswali lakini yote hayo yanatokana na elimu duni na uwelewa mdogo.
Na hayo yte yanasababishwa na katiba ni mbovu haiwapi watu Uhuru wa kujitegemea ,Bali wanaendeshwa na serikal kwa jinsi wanavyotaka , hawapendagi kuchambuliwa pale wanapofnya mabaya ,Bali wanapenda vyombo vifiche uovu na kuwasifia
Nakubaliana na Askofu Mwamakula na Advocate Maduhu. Mambo ya msingi hayaandikwi. Swala kujiandikisha kwa mfano ni very sensitive. Unaweza kudhani CCM imewanunua wasitustue wananchi ili wajiandikishe CCM peke yake.
Kweli baba Askofu Emmaus Bandikile, waandishi wengi wana utapiamlo... Makanjanja waliotengenezwa kuwaandikia habari vigogo, na kupamba utawala, utasikia Samia ametuleyea barabara, matundu ya choo huu sio uzalendo wamekuwa wauza story za umbea na uchawa tuu.
Simba na Yanga zinatumika kuwapumbaza Watanzania, upinzani shitukeni. Anzeni na kuzipiga vita hizo timu ndio mtafanikiwa, mfano sasa hv kila mtanzania yupo bize na Simba vs Alahly tripol or Yanga vs CBE! 😢😢😢
Wana habari wetu jaribuni kuangalia tv za kenya mfano citizen muone wenzenu wanovyo ripoti na kuchambua habari mtajua tu kwamba mko nyuma sana yani hapa tz mtangazaji anasimulia mambo ya nyumbani kwake yani baazi ya vyombo vya babari vina boa ni ajabu
Wanafuatilia na kutegea pia mashoga kwa ajili ya Serikali wanakamatwa vyumbani wanawapiga picha wakiwa uchi Shoga anapotegewa na kukamatwa na baadae wanaita polisi wakiwa wamekuja nao na mtego wanahimiza watu kutegea mashoga kwa gazeti wanatoa aibu yao na kupiga picha na kufungwa waende jela
Hata vituo vinavyohusika kutofika katika jopo hili tangu jana,mimi mwananchi ninayefuatilia kuzuiwa na vyombo hivyo vyote wakati huu ambao bado tunasikiliza kipindi hiki kisifikishe taarifa zao kwetu kwa usahihi kwa nia ileile ovu ili watanzania wengine tusielewe jinsi vyombo hivi vya habari kitolewa ukweli hu kwetu mpaka muda huu kwa kuuchezea mtandao sasa bila kuogopa taarifa zote mbya kwetu.
@@matiredms917 kabisa pia kunatetesi serikali inawatishia kuwafungia media zao endepo wakienda kinyume na mitazamo ya serikali kwa kuikosoa. Mfano kwenye media fulani fulani wakigundua ume comment kukosoa serikali basi hiyo comment ina ondolewa haraka sana ku poteza ushahidi. Nchi imekosa professional journalism.
Ila pia kutaka journalist awe na elimu kubwa kuliko mbunge nayo inafikirisha. Mbunge anatunga sheria, kuishauri na kuikosoa serikali ila elimu darasa la saba inatosha. Tukubaliane tu kupitisha rasimu ya wariona iwe katiba ili twende sawa
askofu unayosema ni ukwel, waandishi wetu hawatufai , na hua hao hao ndio wanatuchafulia nchi kwa namna nyingneyo, Ila mda mwingi wanaishi kichawa chawa kwa mujibu wa serikal pia
waandike mambo ya uchaguzi atawalipa nani? hizo habari za uchaguzi wananchi hawana morali ya kuzisoma kwakuwa serikali inawachagulia Viongozi kwahiyo waandishi wapo saw kutokuandika
Wamekwamishwa kwa muda mrefu sana na sheria za kuwadhibiti na akiandika ukweli wanafungiwa kuna mifano ya magazeti kadhaa yaliyofungiwa tusiwalaumu moja kwa moja
Memsahau mwangosi?yuko wapi?mwandishi akiandika ukweli anabambikiwa kesi ya uchochezi ndiomaana wameamua kufanya matangazo ndio yanalipa wala utafutwi na watu wasiojulikana.
@@jangalaalexbubehi7658 ndani ya ccm wanabadilisha mwenyekiti kila baada ya miaka 10 Je? Chadema wamebadilisha lini mwenyekiti wa chama chao Hivyo hakuna Demicrasy ACT tayari Kabwe kaachia uenyekiti wa Chama taifa Mbowe bado tu Hivyo Chadema hakuna Demokrasy
Waislamu wengi kwenye ubongo wana mavi ni mambumbu na machizi kutokana na kwamba wanaishia kusoma majini madrasa wakristo wanaenda kusoma shule na habari za YESU
uyu ni askofu wa dini au ni askofu wa chama chadema mbona anakuwa wambelembele sana, hasa chadema inapokuwa na mambo yake, hivi kanisa lake ni ipi, mbona cjaona akihubiri injili ata kwa cku moja
Kweli kabisa
Askofu Mwamakula amenena mambo ya kweli kabisa.
Waandishi wa habari wanatakiwa wawe na degree ya taaluma alafu ndipo akasome degree ya journalism.
Mfano mwandishi wa habari wa masuala ya kilimo awe na degree ya kwanza ya kilimo ndipo akasomee degree ya journalism nk.
Waandishi wapo star tv , Example chief odemba & aloyce nyanda mashine izo kbs
Kabisaaa
Odemba ni hatari Zaid kwanza odemba angekua kwenye kikos Cha upelelezi noma sana hyu
@@lovenessvisent9408 ODEMBA MWEUPE HANA MASWALI
YEYE ANAHOJI KITU AMBACHO JIBU ANALO KICHWANI
ODEMBA ANAONYESHA YA KUWA ANAIPENDA ZAIDI CHAGADEMA
Rungwe wa CHAUMA nimekuelewa brother!❤
Media tz ni tatizo kubwa sanaa
90% ya vilaza ndio waandishi tz , wananjaa hatari uchawa na kuomba omba ndio mishe zao.
1:30 1:32 @@fahadfaraj6474😂😅😅
Ni mfumo wa Elimu yetu haina mlolongo mzuri wa kujiendeleza
Mungu simamia nchi yetu kwa uwezo wa mkono wako wa kulia juu ya kila raia.
Tatizo ni uongozi wa CCM unapromote mpira wa Simba na Yanga magazeti yote yako busy kuandika mambo ya mpira na kumsifia Mama Samia na uongozi wa CCM
Waandishi wa Tanzania ni SHIDA TUUU
Elimu na uwexo wa kuelewa mambo ni mdogo.Walio wengi ni wababaishaji na hawajui hata namna ya kuuliza maswali lakini yote hayo yanatokana na elimu duni na uwelewa mdogo.
Na hayo yte yanasababishwa na katiba ni mbovu haiwapi watu Uhuru wa kujitegemea ,Bali wanaendeshwa na serikal kwa jinsi wanavyotaka , hawapendagi kuchambuliwa pale wanapofnya mabaya ,Bali wanapenda vyombo vifiche uovu na kuwasifia
Nakubaliana na Askofu Mwamakula na Advocate Maduhu. Mambo ya msingi hayaandikwi. Swala kujiandikisha kwa mfano ni very sensitive. Unaweza kudhani CCM imewanunua wasitustue wananchi ili wajiandikishe CCM peke yake.
Nchi hii hatuna waandishi wa habari bali tuna takataka za waandishi wa habari.
Kweli baba Askofu Emmaus Bandikile, waandishi wengi wana utapiamlo... Makanjanja waliotengenezwa kuwaandikia habari vigogo, na kupamba utawala, utasikia Samia ametuleyea barabara, matundu ya choo huu sio uzalendo wamekuwa wauza story za umbea na uchawa tuu.
Media nying ss hv wanatangaza mikeka et bado dk 10 ushinde shilingi laki .......
Simba na Yanga zinatumika kuwapumbaza Watanzania, upinzani shitukeni. Anzeni na kuzipiga vita hizo timu ndio mtafanikiwa, mfano sasa hv kila mtanzania yupo bize na Simba vs Alahly tripol or Yanga vs CBE! 😢😢😢
Wana habari wetu jaribuni kuangalia tv za kenya mfano citizen muone wenzenu wanovyo ripoti na kuchambua habari mtajua tu kwamba mko nyuma sana yani hapa tz mtangazaji anasimulia mambo ya nyumbani kwake yani baazi ya vyombo vya babari vina boa ni ajabu
Wanasutana kwenye radio laivu
Kweli kabisa Baba Askofu kwa Neno lako sahihi "mwandishi wa Nchi hii wanamtapia mulo mkubwa ambao unatokana na serikali ya mafisadi na majizi ccm.
Bila KATIBA HAKI hakuna wao hp juu wanakula bata vx za m 500 ndenge kila cku dar to dodoma, unaonaje hio,uhuru halisi hakuna wasojulikana wpo,baba,
Waandishi wetu wanazunguka mtaani kutafuta watu walofumaniwa ndo wa post Habari za maana aah
Wanafuatilia na kutegea pia mashoga kwa ajili ya Serikali wanakamatwa vyumbani wanawapiga picha wakiwa uchi Shoga anapotegewa na kukamatwa na baadae wanaita polisi wakiwa wamekuja nao na mtego wanahimiza watu kutegea mashoga kwa gazeti wanatoa aibu yao na kupiga picha na kufungwa waende jela
Wamegeuka machawa
Manara nae mwana midia hatari
tuvusheee baba
Hata vituo vinavyohusika kutofika katika jopo hili tangu jana,mimi mwananchi ninayefuatilia kuzuiwa na vyombo hivyo vyote wakati huu ambao bado tunasikiliza kipindi hiki kisifikishe taarifa zao kwetu kwa usahihi kwa nia ileile ovu ili watanzania wengine tusielewe jinsi vyombo hivi vya habari kitolewa ukweli hu kwetu mpaka muda huu kwa kuuchezea mtandao sasa bila kuogopa taarifa zote mbya kwetu.
WAANDISHI WA HABARI NA VYOMBO VYAO WAPO KWA AJILI YA UMBEA WA CHADEMA NA SIO SWALA LA KITAIFA
HASA HIKI CHA JAMBO TV NI SHIDAAAAAAA
Kuna censorship kwenye media. Kwa kifupi serikali imeingilia vyombo vya habari kuripoti habari za serikali. Nchi imekosa professional journalism.
Aidha kuna self-sencorship kutokana na unafiki uchura na kuwa corruptible and compromised.
@@matiredms917 kabisa pia kunatetesi serikali inawatishia kuwafungia media zao endepo wakienda kinyume na mitazamo ya serikali kwa kuikosoa. Mfano kwenye media fulani fulani wakigundua ume comment kukosoa serikali basi hiyo comment ina ondolewa haraka sana ku poteza ushahidi. Nchi imekosa professional journalism.
Katiba ibadilishwe ili kupata uhuru wa vyombo vya habari kwa haki
Ila pia kutaka journalist awe na elimu kubwa kuliko mbunge nayo inafikirisha. Mbunge anatunga sheria, kuishauri na kuikosoa serikali ila elimu darasa la saba inatosha. Tukubaliane tu kupitisha rasimu ya wariona iwe katiba ili twende sawa
Wanafiki hao wooooote wapo mtaa wa 2
askofu unayosema ni ukwel, waandishi wetu hawatufai , na hua hao hao ndio wanatuchafulia nchi kwa namna nyingneyo, Ila mda mwingi wanaishi kichawa chawa kwa mujibu wa serikal pia
Waandishi wamefungwa midomo mikono na macho na Serekali. Wakisema wanafungiwa au kunyanganywa vibali
Magazeti yote wanashabikia ccm na serikali yake tu
waandike mambo ya uchaguzi atawalipa nani? hizo habari za uchaguzi wananchi hawana morali ya kuzisoma kwakuwa serikali inawachagulia Viongozi kwahiyo waandishi wapo saw kutokuandika
Akili kubwa
Me. nimeacha kusoma. magazeti. huu. mwaka. wa. 4 au. wa. 3. wala. kunbalia. tv. naangalia Azama two. niwaone. rafiki. zangu. watruk na. wakolea. na. Tv. Mahasim. basi
Maduhu umesema kweli tupu
Askofu Yuko sahihi kuhusu waandishi wa habari wengi ni mbumbumbu wa maswala wanajua ku report nani kasema nini basi.
Sasa Mtu kama Mwijaku Kitenge Unafikili watazungumzia nini Zaidi ya Umbea
Uchawa
Afadhali kipanya masoud ila amebugi kwenda wasafi kuungana na machawa
shida ni mfumo wa uchaguzi sio kuongezeka kwa mipaka
Vyombo vya habari ni nini kinawazuia msiandikè habari?
Wamekwamishwa kwa muda mrefu sana na sheria za kuwadhibiti na akiandika ukweli wanafungiwa kuna mifano ya magazeti kadhaa yaliyofungiwa tusiwalaumu moja kwa moja
WAKIANDIKA MAMBO MUHIMU WANATEKWA VYOMBO VINAFUNGIWA
WAKIAMUA WOTE KWA UJUMLA KUANDIKA UKWELI HAWTAWAFUTIA
Huyu ni askofu?au ni msemaji wa chadema mpumbavu huyu wewr umesomea namna ya kuwaibia wanyonge
kama ww ni journalist sindano kali imeingia kunako.
kama ww cyo journalist una chuki binafsi ktk mambo ya ukweli
Memsahau mwangosi?yuko wapi?mwandishi akiandika ukweli anabambikiwa kesi ya uchochezi ndiomaana wameamua kufanya matangazo ndio yanalipa wala utafutwi na watu wasiojulikana.
LISSU DEMOCRACY IANZE NDANI YA CHAMA CHAKO
Ndani ya ccm ni wangapi Huwa wanagombea nafasi ya mwenyekiti ? Na chadema Huwa wanagombea wangapi?
@@jangalaalexbubehi7658 ndani ya ccm wanabadilisha mwenyekiti kila baada ya miaka 10
Je? Chadema wamebadilisha lini mwenyekiti wa chama chao
Hivyo hakuna Demicrasy
ACT tayari
Kabwe kaachia uenyekiti wa Chama taifa
Mbowe bado tu
Hivyo Chadema hakuna Demokrasy
Media zimekuwa chawa wa kusifia serkali tuu
Hakika
Kunakipindi cha itv wananikera
WACHA KUDANGANYA WAGALATIA SERIKALI HII IMEZIBA MRIJA NYIE TEC MMESHAJULIKANA NA PROPAGANDA ZENU ZA UDINI NA CHUKI 😢😢😢
UMEPOKEA UDINI UMEKOSEA MAWAZO EMBU NENDA MADINA UKUTE HAKUNA WASOMI NA WALISOMA WAKAKUONGOZA KUZUNGUKA KABAHAA INGEKUWA KABAHAA HIPO TANZANIA INGEKUWA STENDI YA MPIRA
@@chizcom4229MAPALOKO MMEJULIKANA NA UDINI WENU HAHAHAHA VYUMA VIMEKAZA MIUJIZA IMEKUWA FAKE WACHUNGAJI SADAKA HAZITOSHI ALBINOS HAWAPATIKANI 😢😢😢😢😢
@@chizcom4229 WAGALATIA MMESHAJULIKANA NA MAIGIZO YENU HAHAHAHA
Acha kumsakama askofu
Waislamu wengi kwenye ubongo wana mavi ni mambumbu na machizi kutokana na kwamba wanaishia kusoma majini madrasa wakristo wanaenda kusoma shule na habari za YESU
Waandishi wenyewe wanapongwa na serikali sasa we unataka wafanye nini dawa nikususia habari za serikali.
Kweli kabisa mfano ni jana Arusha kanyanganywa cheap na mpambe wa Mkuu wa Mkoa. Wanadhibitiwa na Serekali wasipofuata ya Serekali wanafungiwa
Media Ni Biashara Kila.Mtu Anaandika Kitu Ambacho Kina Manufaaa Kwake So Uandike Mambo ya Siasa Yanahusu,