Shukran jazilah Mungu awa bariki nyote mnaojitahid kutuelimisha kutuelimisha yan kwa utamu huu ata staman iishe wallah,ila naomba kidogo dakika mtuongezee walau nusu saa ifike.
asnte naomba umefuata nyayo ya mke wa nabii Ibrahim pale alipo mwabia amuoe sara lkn yy alikuw na lengo lake na ww una lengo lak Allah akupe utambuzi huo huo inshaallah....
MashaAllah pongezi zenu kazi nzuri sana tuko pamoja
Shukran jazilah Mungu awa bariki nyote mnaojitahid kutuelimisha kutuelimisha yan kwa utamu huu ata staman iishe wallah,ila naomba kidogo dakika mtuongezee walau nusu saa ifike.
Hongeren sana mnaweza sana mungu awazidishie katik kaz zenu
Hio sehemu ya mussa uso angewekwa kiswabi ingependeza zaidi..
Mwenyezi mungu awabariki nyote kwa mafundisho munayo tupa
nawapenda nyote kwa kazi nzuri mlioifanya be gup kwa dongo ❤❤❤❤
Allah alituona wallah ss w.wk zaid ya bilisi subhanaallah heeeeh ramadhan yt w.wk tunakuwa wanafik
Jamani eeee mambo tayari 😂😂😂😂 wamwanzo leo
MashaAllah hongereni sana
Mashaallah mungu atupi mjawe kila mtu na rizikie
Nipeni like wa mwanzo
Kaz mzur Allah akuzidishien
safi sana wa kwanza mm leo
Mungemshirikisha na kiswabi
Shadra ana Naomba are sold is special actress,well deserved it congratulations to them
Nipo macho namwangalia mau
mm sikulala mpaka nimeona hii kitu
Thanks for goog job we together for this.
Ooh jameni nilipeza kitambo kulashelshel
Wakwanza leo
Wakwanza mie like zenu nipeni😊
Dah nilitaka niwahi wakwanza Lakini dah 😁😁😁😁nipeni like Basi japo wa 15 😂
Makame hongera sana
Daku 😂❤
Makameeeeee
Kila hatua dua wadau
Hoger inav onekan tunampend weng mau mpemba ee
Mm ndo wamwisho hasw we wakum 15 pia umewah
Jambo haliwa pasipo na nsimamizi na majaliwa⚖️
Wa mwanzo ku view ❤
Nipeni like zenu
Mjomba wangu Mau Mpemba unazingua sanaa kumtoa Makame dukani
😂😂😂😂niliisubr kwa hamu
Warda unajua kuitengnza fitna mafunzo mazur sana
First ❤🎉
hhhhhhh❤
asnte naomba umefuata nyayo ya mke wa nabii Ibrahim pale alipo mwabia amuoe sara lkn yy alikuw na lengo lake na ww una lengo lak Allah akupe utambuzi huo huo inshaallah....
Big up kwa Mussa Uso
Ya 15 naisubiri fanya mpango itoke tunaisubir kwa shauku sana
Hii filam mzur sana .ila munatonjesha tu maana hata dakika 40.haifik kwanin? Ebu zidishen dakika.
😊😊😊😊❤❤❤❤❤
❤❤
Episode murwaa
Mkemwenza hataki
Huu mchezo Makame ametisha sana Maana ameutia chumvi simchezo
Mau kiboko!😂😂😂😂
Hapo kwenye chizi tu mmefeli. Hakuna chizi mwenye fasaha ya mawazo hayo. Character hio hapo mmechemka. Ila mko vizuri.
Kuna chizi fresh ujue😂😂😂
Wapo Machiz kama hao ety wanaitwa mwez mchanga Yan kuna Muda wanakuw fresh kuna Muda ndio hivy
Nyooote ni WA mwanzo, nauliza huyu WA mwisho ni naniii??? Mwatukeraaaaa!!!!!
😂😂😂
Character ya mussa uso kwa nn asiwe kiswabi mau apo umechemka kidogo
Jambu haliwa pasi na usimamizi na majaaliwa😂
Wapembaaa hoyeeeee 🤣🤣🤣
Oyeeee 🤗🥰
Oyeee
naomba katisha