ANTII Pt: 4 : Tamthilia Ya Maadili | Official Video | Mash Tv | Madrasa Shop Tz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 354

  • @laylatsalim779
    @laylatsalim779 3 роки тому

    Jamaan fahad Ana mtihan kwa mkeo

  • @kulthumabdalla7416
    @kulthumabdalla7416 2 роки тому +5

    Yaallah nijaalie niwe mke mwema pia nipate mume mwema

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 3 роки тому +1

    Bora abaki tuh maan ata akiondoka mambo yashajipa💃💃💃💃

  • @mariamabdallah115
    @mariamabdallah115 3 роки тому +10

    Mashaallah tuliisubiri mda mrefu sana

  • @lakalhamdu4477
    @lakalhamdu4477 3 роки тому +21

    Wallah inshaaAllah hii siries nitaifuata mpka iishe maana ni lulu miongoni mwa lulu (ALLAH AWALIPE KILA LA KHERI), Nipo na ninyi mpka kwa du'aa

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому +1

      Maasha Allah
      Maasha Allah
      Maasha Allah
      Aameen Allahumma Aameen
      Aameen Yarrabil A'lameen
      Aameen Thumma Aameen
      Aameen Aameen Aameen
      Jazzakka llah ghayr
      SHUKRAN SAANA MY DEAR

    • @rahmaayoub7519
      @rahmaayoub7519 3 роки тому

      Ameen Thumma Ameen

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 3 роки тому

      Amnia

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому

    Ataka mfukuza antii ataweza nayy kila kitu antii. Mlanisi huyu

  • @qal6469
    @qal6469 3 роки тому +4

    Masha Allah barakallahu fiik wajazakallahu khair ,I have learned alot in this series , I will learn how to take care of my man and love him endlessly

  • @sheilamdachi9346
    @sheilamdachi9346 3 роки тому +3

    Nilisubiri hadi nikasahau, imechelewa buh imefika pamoja sanaa

  • @arafajohn9052
    @arafajohn9052 3 роки тому +3

    Mnachelewesha sana mwendelezo mpaka tunasahau ilipoishia

  • @khamisally6924
    @khamisally6924 3 роки тому +6

    Dah ujumbe kiukweli ni mzuri sana naomba muendelezo wake ili tupate kujifunza zaid

  • @machubaby2747
    @machubaby2747 3 роки тому +4

    Jamani Antii ata likua nimeisahau ila mpo vizurii

  • @mshahahamzmdmd5942
    @mshahahamzmdmd5942 3 роки тому +2

    Jmn mpk tuna sahau kabisa

  • @زينبتنزانيا-غ2ه
    @زينبتنزانيا-غ2ه 3 роки тому +1

    Nilimis hii kitu duuh ulituchewesha Sana mwaka huu tumwagieni tu wengini tupo oman .mwatufariji

  • @alexiamruu7581
    @alexiamruu7581 3 роки тому +7

    Mko vizuri ila mbona mwachelewesha utamu❤❤❤much respect from you ....coast flaver🌹🌹🌹

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 3 роки тому +1

    Ubaya mnachelewa mpaka nnasahau kama ipo tena

  • @fatmaothmanally9416
    @fatmaothmanally9416 3 роки тому +4

    Mpk juz nimetok kuitaft jmn nilijua mushasahau asanteni sanaa

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому +1

      Shukran kwa Support.... endelea kuwa nasi Uburudike zaidi huku ukielimika

  • @anisabakari5298
    @anisabakari5298 3 роки тому +1

    Allhamdullilah nashukur tumeletewa jamani mm nilikua nimesahau mjue msitufanyie hivyo❤️❤️❤️❤️

  • @xhernymakanga5315
    @xhernymakanga5315 3 роки тому +8

    Ni nzur lakn mnachelewexha Sana ad m2 unasaau mwanzo

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому +1

      Tutajitahidi isikae saana ila tatizo ni Video Cameraman but Shukran Kwa kutizama

  • @bonlove2653
    @bonlove2653 3 роки тому +1

    Daaah jamani iko vzuli sana msicheleweshe mwendelenzo prs

  • @rahmaayoub7519
    @rahmaayoub7519 3 роки тому

    MaashaAllah naufatilia sana huu mchezo mzur kweli tuleteeni muendelezo mnaukata patam hasa

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 3 роки тому +2

    Mnachelewa sana hadi tunamsahau antii

  • @junayhaone874
    @junayhaone874 3 роки тому

    Mkwe mpandishe cheo mwanangu
    Nmeridhia kiroho safi kabisaaaaa

  • @mkkm4884
    @mkkm4884 3 роки тому +3

    mashallah allah azidi kuwapa nguvu naipenda san

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому +1

      Aameen Allahumma Aameen
      Jazzakka llah ghayr

  • @wazirikhamis3628
    @wazirikhamis3628 3 роки тому

    Kiukwel film ipo vzr alhamdullillah na inajenga jamii pia inagusa mioyo ya wlioweng wenye kuifatlia lakin wahusik mnachlew kulet mwendlezo wke mpka tunasahau kbsa jitahdin bs

  • @maibakari7758
    @maibakari7758 3 роки тому +3

    Waoo niliisubiri kwa muda sana but imekuwa na muda fupi san msicheleweshe part5

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +1

    Mashallahu kwakutuelmisha mungu awabarki kwan hayo yote yamo humu humu ktk jamii zetu

  • @ibrahimkombo8985
    @ibrahimkombo8985 3 роки тому +2

    Ukweli natamn usiishe huu mchezo ni mzur san san ila kipande kijacho naomba natamn kuona huyo bibi atakavyojuta kwa kumkosa mume lakn mume amrejee ili apate kujifunza kuish na mume maan jeur imezidi mnoo ..big up san

  • @scoprpionscorpion3916
    @scoprpionscorpion3916 3 роки тому +3

    Maashaallah nilikuwa naisubili kwa hamu sana

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +1

    Msicheleweshe sana paka nilisaau yani. Good job

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 роки тому +1

    Antiiii antiiii kazi unayo

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому

      Anayo kidogo

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому

      Mwanamke huyu duh, ila atakomeshwa hapo aunty akija kuwa mke mwenzake

  • @samirasultan4624
    @samirasultan4624 3 роки тому +11

    Kipande kingine lini jmni tunasubirishwa saaanaaaa

  • @aminasuleiman6867
    @aminasuleiman6867 3 роки тому +2

    Masha Allah ila mlichelewesha sana jmn mlikuwa wapi

  • @ballqissbabyabdallah8959
    @ballqissbabyabdallah8959 3 роки тому +2

    Mwendelezo jamani nzuri sana

  • @kuluthummusa971
    @kuluthummusa971 3 роки тому

    Mashallah Allah awalipe kwa mafundisho yenu nimefurah Sana haya mambo Yapo

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому

    Igizo zuri sana lakini mnacherewa sana muendelezo wake mnafundisha vizuri sana tuna subir hiyo harusi ya antiy na fahadi tumuone huyo mke mtu atajirekebisha aw atazidi jeuri

  • @aishaq7044
    @aishaq7044 3 роки тому

    Assalam alaikum warahmatullah muraligani nduguzetu mpowazima kwakweli twawapa hongera na asanteni sana kwamafuzo mazuri Allah atike LA afya na Allah azidikuwashindiya katika ndotozenu

  • @fatmamligazi815
    @fatmamligazi815 3 роки тому

    Masha Allah Hongereni sana Sana salma na fahad mmejua kuitendea haq

  • @salmamohd5712
    @salmamohd5712 3 роки тому +2

    Bos swaleh mnacherewa akaaaaaa

  • @bahatirajabu4539
    @bahatirajabu4539 3 роки тому +2

    Mnatusubirisha sana tupeni mwendelezo bas

  • @abubakaromary8370
    @abubakaromary8370 3 роки тому +1

    Mashaallah ila jaman part ya tano iko wap au ndio mwisho km ipo tupostien maan movie ipo sawa mashaallah

  • @azizajuma2674
    @azizajuma2674 3 роки тому +1

    Mashaa Allah mwendelezo jamani msiucheleweshe

  • @nicolausdandagala6201
    @nicolausdandagala6201 3 роки тому

    Ndoa niuvumiliv lkn syo hii jamn Mwenyez Mungu niepishe jmn me nitakufa mapema duuuuh!!!

  • @mashtv5103
    @mashtv5103  3 роки тому +15

    Ishallah tutajitahid Ila na nyinyi wadau mutupe sapoti zenu kwa Hali na mali

  • @hapnishazpeacegirls5628
    @hapnishazpeacegirls5628 3 роки тому +3

    Mashallah ilikuw naisubiri kwa hamu

  • @mgenirama2305
    @mgenirama2305 3 роки тому +2

    Bat mwanyamaza sana

  • @napendakulanapendakula9372
    @napendakulanapendakula9372 3 роки тому +3

    Mnacherewa sana jamni

  • @aminamsomali1619
    @aminamsomali1619 3 роки тому +3

    Shukran sana muendelezo tafadhali iko poa

  • @janethuo5099
    @janethuo5099 3 роки тому +8

    Nimengojea Episode hii sana

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому

    Nzuri sana hongereni watunzi

  • @saunaaliy3992
    @saunaaliy3992 3 роки тому +3

    Muendelezo jamani twaipenda sana

  • @saadaalmamary8397
    @saadaalmamary8397 3 роки тому

    Mwendelezooo plz dj nice one

  • @iddyperembo2463
    @iddyperembo2463 3 роки тому +2

    Mashaa allah muendelezo jamani

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 3 роки тому +2

    tuleteeni nyengine baada ya mwaka mmoja au zaidi jitahidini eeeh

  • @mebakaribakarikongoninga5047
    @mebakaribakarikongoninga5047 3 роки тому +1

    Mashallah nilikuwa naisubiri kwa amu hii party 4

  • @zulfaabdallah1534
    @zulfaabdallah1534 3 роки тому +2

    mashaallah,, mscheleweshe saaana muendelezo

  • @awetuhamis6670
    @awetuhamis6670 3 роки тому +3

    Duuh! Mpaka nmesahau ilipoishia

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 3 роки тому +3

    Assalam Alaikum mimi ombi langu musicheleweshe sana jaman munatukosesha Furaha za mioyo yetu

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому +1

      Walaykum Salam Warrahmatullah Wabarakat
      Bi Idhn llah In Shaa Allah
      Tutajitahidi kulifanyia Kazi hili

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 3 роки тому

    Move safi sana Anti unastahiki kwa mke.

  • @alhabiiibhussein1172
    @alhabiiibhussein1172 3 роки тому +3

    Nzuri sana mwendelezo plz

  • @Amina-sf8kb
    @Amina-sf8kb 3 роки тому +3

    Jaman nilikuwa naisubili kwa ham asante san

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 роки тому +2

    Alhamdulillah mumetuletea part 4 maana duuuh hatanilikuwa nishaanza kusahau 💞😘

  • @Abla_habiba02
    @Abla_habiba02 3 роки тому +1

    Mashaallah shukran.sana kwa hii series😊 Allah awafanyie wepesi kwa kila.jambo.

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 роки тому

    Muandelezo ilaa lunaichelewesha sana😍😍

  • @shadyjuma7688
    @shadyjuma7688 3 роки тому

    mashallah nzuri inafundisha ila mnaweka vipande vifupi sana

  • @aishaseif7852
    @aishaseif7852 3 роки тому +2

    Akiondoka Antii Mume kapata urahisi wa kwenda kuongea nae na ndoa ileee haha

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 роки тому +1

    Shukurani Ira mnacherewesha adi tunashau🙏🙏🙏❤️❤️😢😢

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 роки тому +1

    Nilisubiri kwa hamu kubwa sana jamani msicheleweshe sana

  • @zainabushaban8610
    @zainabushaban8610 3 роки тому +3

    Nilikuwa naisubir sanaaaa

  • @zuhrasalum7551
    @zuhrasalum7551 3 роки тому

    Munazinguwa sana kiukweli tushachoka kuisubiriya part 5

  • @mashtv5103
    @mashtv5103  3 роки тому +28

    Shukran wote na twawapenda wote kwa kuwa pamoja nasi
    Tuanatamani tuitoe haraka Ila uwezo ndio unochangia Ila tunawajali sanna

    • @salehfakih4848
      @salehfakih4848 3 роки тому +1

      Mbona munakaaa mpaka twasahau iliishiajeee jitahidi mutoe haraka na muwe munatengeneza siries kama hizii kwa wingi tujifunze

    • @mamussi6872
      @mamussi6872 3 роки тому +1

      @@salehfakih4848 wameshasema tatizo hawana wadhamini na fedha pia

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 3 роки тому

      Mungu atawasaidia atawapa nguvu kila penye zito pawe ma wepesi... Aamiin ksa sote

    • @bnussrahlimsantah3730
      @bnussrahlimsantah3730 3 роки тому

      @@mamussi6872 ndovyo vilivyo hizi movie za maadili mazuri huwa hazifiki mbali na ndo zinamafunzo hizo za kibalaa balaa ndo zasonga kusambaa

    • @REY_KATUNI1
      @REY_KATUNI1 3 роки тому

      Tutasubiria inshaallah

  • @rehemabakali494
    @rehemabakali494 3 роки тому +6

    Hadi tulisahau yaan

  • @zaharatoto8004
    @zaharatoto8004 3 роки тому +2

    Masha Allah. Jamn muna chelewesha mpka tuna sahau

  • @kilizajumainn826
    @kilizajumainn826 3 роки тому

    Antiiiiiii anakufaaa

  • @hidayaalisaid1083
    @hidayaalisaid1083 3 роки тому +2

    Bwana kafurahi maana atakua na nafasi nzuri ya kumfuata auntii. Ndugu ya 5 musiicheleweshee

  • @zuhurasalum4645
    @zuhurasalum4645 3 роки тому +1

    Mushatoa party ya 6 au bado

  • @shukuramadhani6017
    @shukuramadhani6017 3 роки тому +2

    Natamani iyendele msichelewi tunaipenda sana

  • @salehemavengero5081
    @salehemavengero5081 3 роки тому +1

    Nzuri sana

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange930 2 роки тому

    Next episode please 🙏 mbona mwaka ujao lakini mtupe

  • @irenemmasy79
    @irenemmasy79 2 роки тому

    Move nzur sana

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 3 роки тому

    Uliambiwa kuwa uyaona uka fikiri ni maembe na machungwa ni maisha poa kakaangu

  • @rehemakibwago8887
    @rehemakibwago8887 3 роки тому +2

    Inafundisha jaman lkn munachelewa jaman

  • @fatmamussa1161
    @fatmamussa1161 3 роки тому +2

    Mbona fupi ivi

  • @salmahassani9679
    @salmahassani9679 3 роки тому +2

    Mwendelezo mnachelewesha

  • @didaahcley6227
    @didaahcley6227 3 роки тому +4

    Maa Shaa Allah,,,tunasubiri Antii part5 In Shaa Allah

  • @hadijarajabu5312
    @hadijarajabu5312 3 роки тому

    Mnachelewesha sana muendelezo

  • @ramlazuber6038
    @ramlazuber6038 3 роки тому

    Mashaallah ujumbe mzuri sanaa

  • @radhiyarashid1314
    @radhiyarashid1314 3 роки тому +6

    Mashallah,,ila part 5 cjui lini maana mimi part 4 mpk nikaenda kuona part 3 Ilipoishia maana nimesahau..

  • @omarihuseni1564
    @omarihuseni1564 3 роки тому +1

    Ni nzuri ila cha 5 adi 2030

  • @onecycytv3266
    @onecycytv3266 3 роки тому +2

    Muna tucerewesha sana kabisa😭😭hadi na liya

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому

      Jomonyyyyyy usilieeee My dear Ndy Tunalifanyia kazi hilo swala Cameraman wasumbufu saana

  • @ruqayaisumaili33
    @ruqayaisumaili33 3 роки тому +3

    Mwendelezo jaman

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 роки тому +1

    Mashallhaa
    Asateni
    Kwakuileta

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому

      Shukran kwa kushukuru
      Usiache kuburdika na Kuelimika pamoja nasi

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 роки тому +1

    Mmh huyo mwanamke nishida saut juu

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому

    Antiy pole saana

  • @stevenmichael4398
    @stevenmichael4398 3 роки тому

    Tatizo mwachelewa duuuh

  • @smartndaipa4188
    @smartndaipa4188 3 роки тому

    Napenda sana

  • @mribafomoi1311
    @mribafomoi1311 3 роки тому +35

    alosikia zawadi wangu agonge like

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 роки тому +2

    Thanks my nilikuwa naisubiri kwa Hamm antiii

  • @ashiraally527
    @ashiraally527 3 роки тому +5

    Tunasubiria muenderezo msituchereweshee

  • @omnafd3065
    @omnafd3065 3 роки тому

    Masha Allah Kaz nzr Sana jaman hongereni San ❤️❤️💋💋💋💋💋💋💪💪💪Pat 5 pls mbona mnachelewesha ivo

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 3 роки тому +1

    Antii haloo kilejaaa👌

    • @sallysaidy685
      @sallysaidy685 3 роки тому

      Huhuhuhuhuhu umenifurahisha yaaani
      Shukran kwa kuburdika na Kuelimika nasi