MAU MPEMBA KWANINI RAMADHANI SEHEMU 17
Вставка
- Опубліковано 17 жов 2024
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500
Mko vizuri wapenzi like kwao jamani
Wa mwanzo Leo naomba like zangi hongera xana sheikh mau
Yaaani humu hamna muigizaj mmbaya wote ni ,🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ewaaaa, yni nawakubali vbaya sana nawapenda wote kwa ajili ya Allah, Allah awajalie vpaji vyenu vzidi Inshaallah,
Wapo wakWanza ni mau wapili shadra hao hwafai hTa shilingi ukisikia ma worst ekta na ektriss bure kabisa kipindi kizuri hao ndio wamefeli heri agewekwa supastar BWANA KACHARA
Tuliogundua kwamba mkojani amemuiga shekhe mau tujuane kwa like hapa
Nani na Nani wanataka hii iendelee hata baada ya Ramadhan mkono juuu🙋
🙋♀️
Bin sule mkono juu
☝️☝️☝️☝️☝️
Tupo
@muna said @salwa suleiman @issa abdala rai @mussa cissoco . Nimekubali wadau tuponi pamoja
Hiki nimeipenda maana ina ujumbe ndan yake kazi nzuri nmekubali
Jaman naomben coment bas me wa mwanzo kuwah ❤
Jamani coment apewe mau
Kaz Kaz MashaAllah, ilikuw nausubir apa,
Wakwanza naombeni like zemu please nilikuwa naingojea kwa ham had Leo Ni wa kwanza
Upo vizur
Hili ni funzo kwetu sote
Mashaallah jazakumllah kheir amiin kazi nzr sana
I view😮
Jaman wekeni vipande viwili kwa siku kimoja hakitoshi
Wa kwanza ❤😂
Much much love always for the burdan ndani ya dammam city
Dongo Ashakodisha minazingwa?
Masha allah endeleeni kutupa ujumbe
Mh lakin huu uliyaj wa uchimvi kwa watu wazima ni nomaa
Team naomba mikono juuuu 😂😂😂😂
Jamani mm nshaangalia ivi naawa..? Ila cc wapemb 2ko vyema îløvê you pembaaaaa 💯💝
Mmeniwahi leo
Leo wa 1
Move nzuri naikubali sana
Bikidecha Allah akurehamu.lkn nafasi yko bado mtu km ww hakunaaaa😢
Jaman viachieni kwa wingi bc tu enjoy
Dongo mwaliyaaa eeee 😅 dongo hao ni wazee wko.mzee hana baya
Hhhh ikirushwa ishadakwaa
Jmn jina la kaswaida nimeipenda hio kasid
Vipi ushapata jina au ?
Wanatuekea vipande vidogo tuu
Haya uyo masifaa anaitwa chochimoooo umo na yeye😁😁😁😁😁😁😁😁
Sehem hii mau umejuta.maana hukumuelea Naomba.aliyo akikwambia.
Alooo nacheka 😂😂😂😂😂watakata wtu mbav hawa 🤣🤣🤣🤣🤣
mama dongo kishalia ep16 uku 17 anashangaa kuambiwa herizi....???editor vp
Nice
Kipandee kimojaa hakitoshii kwelii tuma vi 2
Wengi sana ✌️✌️✌️✌️✌️
More fire❤❤❤
Jmn mpo channel gan na TV gani?
Msikitini waanguka hirizi😂😂😂😂😂
✋✋✋✋
Hee
Mwisho wa ubaya aibu yamemfika mwinyu.
Haaaaaaaaa mau yasini ni kinga lakini mbio unazo umeiyogopa miyaka thalaathini haaaaaaaa mungu awabariki nyote kwa mafunzo yalio mazuri
Iendeelee
Mashallah.
Jamaa naona Dongo atashikwa yule mana Mau anakuja kwa zote. Sjui km atawah kuondoka
Nipo hewani namcheki mau
Yaani raha tu
Toene viwili viwili
Hatari
Dongo ni kiboko yy na mau
☝️☝️☝️☝️☝️☝️
Kuna mafunzo sana kati ya dongo na meinyi + mau na fabi + hawara
🌟🌟
🙋
Na mm
Daongo unanini wewe acha udokozi baba yako nae mshirikina hatari hiyo familia
Natka kasida jmn
KIBONGE NLIKUA SIJUI KM USANII UNAUMUDU NLIJUA KIDUKA NDIO FANI
Bado nafasi ya bikidecha haijazibika
Nafas Ya Bi Kidecha Haitazibika Sbb yy ni yy isipokuwa Moja zuri Zaidi filamu Ni nzuri snaa Haijatokea
Allah amfanyie wepes Kila penye uzito ktk safar yke hyo ya maisha ya milele
Nice
✋✋✋✋✋