KUGEUZWA NA KUWA MTU MWINGINE - Pastor Gregory Daudi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @leahdaniel271
    @leahdaniel271 3 роки тому +1

    Wapendwa katika KRISTO YESU tuwe na moyo wa shukrani pale mwenzetu anapotoa sadaka ya shukrani nasi tufurahi pamoja nae kwani Tu Mwili mmoja katika KRISTO YESU

  • @sharonmwesh696
    @sharonmwesh696 6 місяців тому

    Amina

  • @gregolywillam4343
    @gregolywillam4343 3 роки тому

    Hakika mchungaji GREGOLY waga nabarikiwa na mahubili yako

  • @safanagospelrevival1155
    @safanagospelrevival1155 2 роки тому

    Naam ujumbe mzuri,, barikiwa Baba

  • @edsonbutati2021
    @edsonbutati2021 3 роки тому

    Jembe la yesu

  • @bahationgongabahati626
    @bahationgongabahati626 3 роки тому

    Tangia nikiwa sekondar ulikuwa unatudumia nabarikiwa sanaa

  • @gregolywillam4343
    @gregolywillam4343 3 роки тому

    Hakika mchungaji Gregoly nimebarikiwa sana Mungu azidi kukuinua kwenye huduma yako

  • @godfreykhatau4013
    @godfreykhatau4013 4 роки тому

    Nampenda sana uyu Baba.. Anahubiri kwa upendo na kwa huruma sana..ni mnyenyekevu pia..
    Kwa upande wangu nimepokea sana.....
    Ubarikiwe Baba

  • @yougototv2681
    @yougototv2681 5 років тому +1

    amen

  • @samsonkitulanya7397
    @samsonkitulanya7397 5 років тому

    Ameen

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 4 роки тому +1

    Powerful. Tumekukumbuka dodoma

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 5 років тому

    Hakika ujumbe mzuri.